Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing index pages (125826 articles)
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSSSF YATUMIA MAONESHO YA WIKI YA VIJANA KITAIFA KUTOA ELIMU YA HIFADHI YA JAMII

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Paul Kijazi, (katikati), akimuhudumia Mwanachama wa Mfuko kwenye banda la PSSSF katika Maonesho ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA TAN YATUMIA MIRADI YA KIMKAKATI MWANZA KUCHOCHEA UANDISHI WA MAENDELEO

Jitihada za kutumia uandishi wa habari kuchochea ukuaji wa uchumi na kuunga mkono maendeleo nchini zimepewa kipaumbele katika kongamano la wadau wa habari lililoandaliwa na Taasisi ya Vyombo vya Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHIRIKI KONGAMANO LA VYAMA VYA USHIRIKA AFRIKA WAFURAHIA KUJENGEWA UWEZO

Na Said Mwishehe,Michuzi TVWASHIRIKI wa Kongamano la kimataifa la Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo Barani Afrika(SACCA) wamesema kongamano hilo limekufa fursa muhimu ya kuwaongezea maarifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAO KUMUENZI MWANAMKE MKULIMA, KUTOA TUZO, ZAWADI KWA VINARA TANGA.

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) nchini Tanzania limesema maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani mwaka huu yataweka mkazo katika kutambua na kuenzi mchango wa mwanamke mkulima...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DED KIBITI ATOA ONYO KWA WATUMISHI WANAOHUSIKA NA UTOROSHAJI WA KOROSHO KIBITI

Na Mwamvua Mwinyi, KibitiMKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Ramadhan Kimara, ameonya kuwa hatamvumilia mtumishi yeyote wa halmashauri atakayehusika na utoroshaji wa korosho,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

𝑴𝑨𝑲𝑨𝑴𝑼 𝑾𝑨 𝑹𝑨𝑰𝑺 𝑨𝑾𝑨𝑩𝑨𝑡𝑨 𝑾𝑨𝑲𝑨𝑡𝑫𝑨𝑹𝑨𝑺𝑰 𝑲𝑨𝑻𝑨𝑽𝑰, 𝑨𝑻𝑢𝑨 𝑲𝑰𝑲𝑢𝑴𝑢 π‘ͺ𝑯𝑨 𝑫𝑬𝑺𝑬𝑴𝑩𝑨 𝑲𝑾𝑨 𝑴𝑹𝑨𝑫𝑰...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi,ameagiza kuharakishwa kwa miradi ya barabara, maji na umeme mkoani Katavi, huku akiwataka wakandarasi wanaosuasua kuongeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU: MAANDALIZI YA KUKABILIANA NA MAAFA YAANZIE NGAZI YA FAMILIA

Na Jane Mwakyoma, RukwaWAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka familia nchini kujiwekea mipango ya kukabiliana na maafa kabla hayajatokea ili kuongeza uwezo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAWASILISHA BUNGENI MKAKATI WA KUBORESHA UCHIMBAJI NA BIASHARA YA...

● Waziri Mavunde aeleza mkakati wa kudhibiti utoroshaji na kukuza biashara ya Tanzanite● Serikali kuongeza utafiti wa kina eneo la Mirerani kuwasaidia wachimbaji● Kamati ya Bunge yaitaka Serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAENEO YANAYOWEZA KUIMARISHA SEKTA VYAMA VYA USHIRIKA BARANI AFRIKA YATAJWA

Na Said Mwishehe,Michuzi TVMATUMIZI ya teknolojia, utoaji wa mikopo kwa ufanisi na usimamizi bora ni miongoni mwa maeneo muhimu katika kuimarisha sekta ya ushirika wa fedha na kuongeza manufaa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA SHUGHULI ZA UZALISHAJI ZA VIJANA: DKT...

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mkazo katika kuwawezesha vijana na kuzipa kipaumbele shughuli zao za uzalishaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI LOIBORSIRET WAASWA KUJIPANGA NA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE

Na Mwandishi Wetu, SimanjiroWahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Loiborsiret, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, wameaswa kutumia muda uliobaki kujisomea kwa bidii na kujiandaa kikamilifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT SAMIA APOKEA HATI ZA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR LEO

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Mohamed Salem Ahmed Al Rashdi, Balozi Mteule wa Falme za Kiarabu (UAE)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KASESELA: SAID GOHA ALIKUWA MZALENDO NA MWANAMAPINDUZI WA KWELI

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Richard Kasesela, ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, marehemu Said Goha, yaliyofanyika katika Kata ya Mtimbila, Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASA YATAMBULISHA MBEGU ZINAZOSTAHIMILI UKAME NA MVUA NYINGI

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Profesa Peter Msofe, amepongeza Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) kwa kuzalisha mbegu bora zenye uwezo wa kustahimili ukame na mvua nyingi, akisema zinaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vigogo wa Ulaya Kukipiga Leo Kwenye UEFA

HATIMAYE baada ya muda mrefu, usiku wa Ulaya umerejea ambapo wababe kibao watashuka dimbani kupepetana kuwania pointi 3. Je nani unampa nafasi ya ushindi siku ya leo?Vijana wa Mikel Arteta Arsenalbaada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUIMARISHE USHIRIKIANO KUZUIA UHALIFU.

Wananchi wa Kijiji cha Utende, Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, wametakiwa kuimarisha ushirikiano na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu kwa wakati ili kulinda maisha na mali zao.Β Wito huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADEREVA BODABODA KATAVI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani ili kulinda maisha yao na abiria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NMB, UDSM waendeleza ushirikiano wa kukuza vipaji

BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kukuza vipaji, kuhamasisha ufaulu wa kitaaluma na kuwaandaa vijana kwa soko la ajira, kupitia makubaliano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Marioo aongeza moto 4Plays - Mshindi wa AFRIMMA kutumbuiza kwenye miaka...

Kama ulikuwa bado unatafuta sababu ya kuweka pembeni mipango ya Oktoba 17, Marioo amekupa moja! Staa huyo wa Bongo Flava amejiunga na line-up ya 4Plays, sherehe za miaka minne ya 1245, zinazotarajiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI REVIVAL EDUCATION TRUST KUSAIDIA WANAFUNZI 100 KUREJEA SHULE

Na Mwandishi wetuSHIRIKA la Revival Education Trust limepanga kuwasaidia wanafunzi 100 kutoka familia zenye changamoto za kiuchumi kurejea shuleni mwaka ujao, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuwapa nafasi...

View Article
Browsing index pages (125826 articles)


Latest Images