PPRA, ZPPDA zasaini makubaliano kuenzi miaka 60 ya Muungano
Na Mwandishi Wetu Wakati kesho Tanzania ikisherehekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) na Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma...
View ArticleSERIKALI YA MAREKANI YAZINDUA MPANGO VYA VYANDARUA VILIVYOTIWA DAWA ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) wameungana na Serikali ya Mapinduzi ya...
View ArticleAIRTEL TANZANIA YANG’ARA HUDUMA BORA ZA MTANDAO-TCRA
AIRTEL TANZANIA imeibuka kinara wa kutoa huduma bora za mtandao kufuatia ripoti ya Takwimu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayoishia Machi 2024 ya kila robo ya mwaka iliyochapishwa Aprili...
View ArticlePROFESA MALEBO:UHAMAJI WA HIARI KUTOKA NGORONGORO NI KWA LENGO LA KULINDA...
Na Mwandishi WetuSERIKALI ya Tanzania imesema kuwa inatekeleza uhamaji wa hiari wa wananchi kutoka Ngorongoro ili kulinda haki za binadamu na uhifadhi.Hayo ameyasema Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya...
View ArticleMWANZA YAZINDUA KAMPENI ELIMU KWA UMMA MRADI WA UJENZI WA MINARA 758...
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Hassan Masala,kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, akizungumza na viongozi wa serikali wakiwemo wa vyama vya siasa wakiongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM),leo...
View ArticleTBS YATOA ELIMU KWA WAJASIRIMALI KWENYE MAONESHO YA MUUNGANO
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TVSHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu ya viwango vya ubora kwa Wajasiriamali wadogo waliojitikeza katika Maonesho ya Kibiashara ya Miaka 60 ya Muungano katika...
View ArticleBUNGE LAPITISHA SH. TRILIONI 1.8 MATUMIZI YA WIZARA YA NISHATI 2024/2025
-95.28% kuelekezwa kwenye maendeleo-Serikali kuja na Kanuni ya Uwajibikaji kwa wananchi Miradi ya Mafuta na Gesi Asilia-Dkt. Biteko aagiza Halmashauri kupeleka fedha za Ushuru wa Huduma...
View ArticleBARAZA LA MAWAZIRI EAC LAKUTANA JIJINI ARUSHA
Mkutano Maalum wa 53 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki umefanyika leo tarehe 25 Aprili 2024 Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha. Mkutano huo, pamoja na masuala mengine...
View ArticleAGENDA YA KUTOKOMEZA MALARIA IWE YA KUDUMU KATIKA VIKAO VYA MAAMUZI
Na WAF, TABORANaibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameziasa Kamati za Ulinzi na Usalama nchini kuona umuhimu wakuifanya ajenda yakutokomeza Malaria iwe yakudumu kwenye vikao vya maamuzi.Dkt. Mollel...
View ArticleBenki ya CRDB yakabidhi madarasa Sekondari ya Kikilo, Shule ya Msingi Isabe,...
Benki ya CRDB kupitia sera yake ya uwekezaji kwa jamii, Aprili 24 - 25, 2024 ilikabidhi madarasa mawili katika Shule ya Sekondari Kikilo na madarasa mengine mawili katika Shule ya Msingi Isabe zote za...
View ArticleRAIS SAMIA AKIWA KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za...
View ArticleGGML, OSHA WAWANOA MAMA LISHE ARUSHA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO
Na Mwandishi Wetu, ArushaKAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), imetoa mafunzo maalumu kwa akina mama lishe 50 wa mkoa wa...
View ArticleTANZANIA YAIELEZA UN HAKUNA WANANCHI WALIOHAMISHWA KWA NGUVU NGORONGORO NA...
Na Mwandishi wetuKikao cha 23 Jukwaa la kudumu la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Watu wa Asili (UNPFII) kinaendelea jijini New York nchini Marekani. Kikao hicho kinahudhuriwa na ujumbe wa Tanzania...
View ArticleVIJIJI 11,837 VIMEUNGANISHWA NA UMEME –DKT. BITEKO
Serikali imesema hadi kufikia Mwezi, Machi 2024 jumla ya vijiji 11,837 sawa na asilimia 96.37 ya vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara vilikuwa vimeunganishiwa huduma ya umeme. Hayo yamesema na Naibu...
View ArticleORB OF DESTINY KASINO YENYE NJIA 14 ZA MALIPO
ORB OF DESTINY ni mchezo wa sloti kutoka kwa Hacksaw Gaming. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, unaleta mshangao mzuri. Kuna Wilds zenye nguvu na mizunguko ya bure inayokuja na ushindi wa hali...
View ArticleWEMBE, ASKARI MGAMBO MIKONONI MWA POLISI, SAKATA LA DKT. KAWAMBWA
Na Mwamvua Mwinyi, PwaniJESHI la Polisi Mkoani Pwani, limewakamata Diwani wa kata ya Kiromo Mstaafu Hassan Wembe na Askari Mgambo Abdallah Mgeni na baadae kupewa dhamana, kwa kosa la kumshambulia kwa...
View ArticleTANROADS YAWEKA KAMBI BARABARA YA MOROGORO- IRINGA KUZIBA MASHIMO MAENEO...
Na Aisha Malima-MorogoroSerikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro inaendelea na kazi ya kuziba mashimo na kukarabati barabara kuu ya Morogoro – Iringa ikiwemo katika eneo...
View ArticleBARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAJA NA MKAKATI KUONGEZA UFANISI
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akizungumza wakati wa Mkutano wa Uchaguzi wa Viongozi wa Kati ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika leo tarehe 24 April 2024 Zanzibar...
View ArticleWALIOCHEPUSHA VYAKULA VYA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI,WAHOJIWA
Na Mwamvua Mwinyi, RufijiTAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) inawahoji watu 11 akiwemo Mtendaji wa kata, kijiji pamoja na vijana Tisa ambao ni wabeba mizigo (makuli) kwa madai ya...
View ArticleRUVUMA:JESHI LA POLISI WAMTIA MBARONI WIZI WA VIFAA NDANI YA MAGARINI HALFA...
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma Kamishina msaidizi Mwandamizi Marco Chilya,akionyesha baadhi ya kompyuta Mpakato(Laptop)zilizokamatwa na Polisi kutoka kwa kinara wa wizi ya vifaa vya ndani ya...
View ArticleMSAJILI WA HAZINA AZUNGUMZA NA MKURUGENZI MPYA WA HESLB
Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu (kulia), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Dkt. Bill Kiwia (wa pili kushoto), katika kikao kilichofanyika Jijini...
View ArticleShamrashamra za Kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na...
Maonesho ya Kwata ya Kikundi cha Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania kutoka Zanzibar Maarufu kama Askari wa Tarabushi wakionesha Maonesho mbalimbali ya aina ya Kwata tangu kipindi cha utawala wa Sultan...
View ArticleSAKATA LA DKT KAWAMBWA: DIWANI MSTAAFU WEMBE, ASKARI MGAMBO MIKONONI MWA POLISI
JESHI la Polisi Mkoani Pwani limewtia mbaroni Diwani wa kata ya Kiromo Mstaafu Hassan Wembe na Askari Mgambo Abdallah Mgeni na baadae kupewa dhamana, kwa kosa la kumshambulia kwa maneno makali,...
View ArticleSIX DECADES STRONG, CELEBRATING THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA'S PROUD UNION...
60 years of the United Republic of Tanzania, We are united and Strengthened for the Development of Our Nation.1. Introduction.The United Republic of Tanzania was established by unifying Tanganyika and...
View Article
More Pages to Explore .....