Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110091 articles
Browse latest View live

MWANDISHI WA ‘PAKA WA BINTI HATIBU’ KUWEKWA KITI MOTO!


TASWIRA KUTOKA BUNGENI DODOMA

$
0
0
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa akielezwa jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi katika viwanja vya Bunge, mjini Dodoma jana.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo na Mbunge wa Viti Maalumu,Mh.  Zainabu Vullu katika viwanja vya bunge walipohudhuria kikao cha pili cha mkutano wa 18 wa Bunge mjini Dodoma jana.

MKUTANO WA BARAZA LA PILI LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI WAFUNGULIWA RASMI

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora Mhe. George Mkuchika, (katikati) akiwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Juma Assad (kushoto) pamoja na wajumbe wengine wakiimba wimbo wa wafanyakazi wakati wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi uliofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Naf Beach iliyoko mkoani Mtwara.
Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Prof. Mussa Juma Assad akisoma hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa Mkutano wa Pili wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi uliofanyika jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Naf Beach iliyoko mkoani Mtwara.
Mgeni rasmi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora Mhe. George Mkuchika, akiwahutubia wajumbe wa Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi muda mchache kabla ya kulifungua baraza hilo jana katika Ukumbi wa Hoteli ya Naf Beach iliyoko mkoani Mtwara.

SIKU YA KIMATAIFA YA FARAGHA YA TAARIFA (DPD) NA YAKUZINGATIA

$
0
0
Mataifa mbalimbali duniani ifikapo tarehe 28 ya kila mwezi wa kwanza wanaadhimisha siku ya kimataifa ya faragha ya taarifa ambapo kunakua na matukio mbali mbali ya kuhamasisha njia rafiki za kuweka salama taarifa za watu hasa wawapo mtandaoni. Taarifa zaidi za siku hii "BONYEZA HAPA"

Siku hii imekua ikitumika vizuri kwa ushirikiano mkubwa ma mashirika binafsi, serikali na vyombo vya habari kukumbusha watumiaji mitandao kuzingatia matumizi salama ya mitandao ili kubakisha taarifa za watumiaji mtandao salama.

Inafahamika, ukuaji wa wa kasi wa Teknolojia umeambatana matumizi yasiokusudiwa wa teknolojia ambapo umekua ukihatarisha sana ufaragha wa watumiaji wa teknolojia hizo. Kwa kuzingatia hili siku ya kimataifa ya faragha ya taarifa imekua ikihimizwa kutumika vizuri kukumbusha watumiaji mtandao yale yanayoweza kuhakikisha taarifa zao zinabaki salama watumiapo mitandao.

Kwa uchache mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuweza kulinda faragha yako ya taarifa ikiwa ni ukumbusho ni kama yafuatayo:-

USIKOSE KUCHEKI MECHI ZA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA KATIKA HATUA ROBO FAINALI KUPITIA DSTV

TIC NA TRA ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUSHIRIKIANA KATIKA KUPEANA TAARIFA NA TAKWIMU

$
0
0
 Mkurugenzi Mtendaji Wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania ( TIC),Juliet Kairuki (kushoto) akizungumza machache katika mkutano baina ya TIC na uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ulioambatana na kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya kushirikiana katika kupeana taarifa na takwimu ambao utakuza maslahi ya kiutendaji katika taasisi hizo.Wa pili kushoto ni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade.
Mkurugenzi Mtendaji Wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania ( TIC),Juliet Kairuki na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade wakisaini mkataba wa makubaliano wa kushirikiana katika kupeana taarifa na takwimu,ikiwa ni mpango utakaozipatia maslahi taasisi hizo.Mkataba huo umesainiwa leo kwenye Ofisi za TIC,jijini Dar es Salaam.Wengine pichani toka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Nakuala Senzia,Mwanasheria wa TIC,Alex Mnyami,Kaimu Mkurugenzi wa Fedha wa TIC,Pascal Maganga,Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti wa TIC,Anna Lyimo,Revocatus Arbogust, pamoja na Mkurugenzi wa Elimu kwa Walipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Richard Kayombo.
Mkurugenzi Mtendaji Wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania ( TIC),Juliet Kairuki na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade wakibadilishana mkataba hiyo mara baada ya kuisaini leo kwenye Ofisi za TIC,jijini Dar es Salaam.
Ofisa wa Kituo cha TRA ndani ya TIC,Adam Lingwetu (kulia) akifafanya jambo juu ya machine maalum ya kutoa Namba za TIN wakati wa mkutano baina ya TIC na uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) uliofanyika leo kwenye ofisi za TIC,jijini Dar es Salaam.

MKUTANO WA WADAU WA NISHATI YA UMEME VIJIJINI WAFANYIKA JIJINI DAR

$
0
0
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto ) na Meneja Mradi wa Benki ya Dunia (WB) katika nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Oliver Braedt (kulia) wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava akifungua warsha iliyokutanisha wadau mbalimbali wa nishati ya umeme vijijini iliyofanyika jijini Dar es salaam kujadili mpango mkakati katika usambazaji wa umeme vijijini. Pia ilihusisha wadau wengine kutoka nchi za Peru, Vietnam, Brazil, Tunisia na Ghana.

Rais Kikwete ateta na Rais wa Zamani wa Nigeria,Olusegun Obasanjo jijini Addis Ababa

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo jijini Addis Ababa Ethiopia leo wakati wa kikao maalum kilichojadili hali ya usalama Barani Afrika.Rais Kikwete aliwasili nchini Ethiopia jana kuhudhuria kikao cha wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(African Union) AU.(picha na Freddy Maro)

Airtel yatangaza tano bora ya shindano la Airtel Trace Music Stars

$
0
0
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars.Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel,Anethy Muga.
Meneja Masoko wa Airtel Tanzania,Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza majina ya washiriki walioingia 5 bora katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars.Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando.
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania,Jackson Mmbando (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wanne waliongia hatua ya 5 bora katika mashindano ya kuvumbua vipaji vya muziki ya Airtel Trace Music Strars . fainali za mashindano hayo zinategemea kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa pili.kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Tanzania,Anethy Muga.


EALA APPOINTS SELECT COMMITTEE TO LOOK INTO GENOCIDE AND GENOCIDE IDEOLOGY

$
0
0
Hon AbuBakr Ogle makes a point on the floor of the House
East African Legislative Assembly has passed a Resolution to form a select Committee on Genocide. The Committee shall in addition look at the security impact on the Community of genocide ideology including genocide denial.

The Resolution moved yesterday by the Hon AbuBakr Ogle and unanimously supported by Members gives the EALA Commission the go-ahead to nominate seven persons consisting of at least one Member from each Partner State. 

The Select Committee is charged with considering ways and means of combating, outlawing and preventing genocide.   It shall make proposals on how EALA and other Institutions of the EAC can provide leadership in the fight and prevention of genocide.  This should include the development of instruments and institutional capacity in the Community.

The Select Committee has three months from the time of its appointment to execute its mandate. The resolution was supported by Members who contributed including Hon Christopher Bazivamo, Hon Dora Byamukama, Hon Abubakar Zein, Hon Patricia Hajabakiga, Hon Mumbi Ngaru, Hon Hafsa Mossi and Hon Mike Sebalu.

ZURIEL ODUWOLE LAUNCHES TV PRODUCTION COMPANY

$
0
0
Africa's most influential child [according to New Africa Magazine], and the worlds most powerful 11 year old [according to New York Business Insider Magazine] has began the 2015 year on a fresh and entertaining note. Along with her 2 younger sisters Azaliah [10] and Arielle [7], they have formally launched their own TV Production company called KCP, and released their first creative work recently, as a Pilot content idea.

Called "Travels Around", it showcases their experiences traveling across the globe in an intimate and personal way, and the first country of focus is the beautiful African Island nation of Mauritius. Full of entertaining, creative, and adventure segments, it shows once again that children are creative, and can do anything they want to, if they are educated, and encouraged without limitations.

Her next planned destination countries include Tanzania, Ghana, Ethiopia, Rwanda and South Africa.

NAPE AANZA AMSHA-AMSHA YA MIAKA 38 YA CCM MJINI SONGEA

$
0
0
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akiongoza wananchi kwenda katika maeneo mbalimbali kuzindua mashina ya Wajasiriamali wa CCM na kuhutubia mkutano wa hadhara, baada ya kuwasili leo mjini Songea.
 Mratibu wa Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emaanuel John Nchimbi akiwasili kwenye Ofisi hiyo ya CCM mkoa wa Ruvuma leo kumpokea Nape.

MEYA MANISPAA MOROGORO, WAANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI

$
0
0
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ( wa kwanza kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Morogoro , Said Amanzi , wakipita eneo ambalo gari la namba SM 4151 Nissan iliyokuwa ikitumiwa na Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amir Nondo , ilipogongwa Januari 30, mwaka huu saa 9: 30 alasiri eneo la Mzambarauni Darajani -Msamvu barabara kuu ya Moro- Dar na Basi la Abiria aina ya Scania yenye namba za usajili T 831 CEH (Happy Africa ),iliyokuwa ikitokea mkoani Njombe kwenda Dar es Salaam .Meya huyo na watu wengine watatu walijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro na kulazwa wakindelea kupatiwa matibabu.   
Wasamalia wakimuwahisha Hospital,Mmoja wa majeruhi mara baada ya kupata ajali eneo la Mzambarauni Darajani -Msamvu barabara kuu ya Moro- Dar na Basi la Abiria aina ya Scania yenye namba za usajili T 831 CEH (Happy Africa ),iliyokuwa ikitokea mkoani Njombe kwenda Dar es Salaam .
Meya wa Manispaa ya Morogoro, Amir Nondo ,(45) akiwa amelazwa wodi namba tano ya daraja la kwanza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro baada ya kujeruhiwa kufuatia gari yake SM 4151 ilipogongwa Januari 30, mwaka huu saa 9: 30 alasiri eneo la Mzambarauni Darajani , Msamvu Barabara kuu ya Moro- Dar na Basi la Abiria aina ya Scania yenye namba za usajili T 831 CEH (Happy Africa ),iliyokuwa ikitokea mkoani Njombe kwenda Dar es Salaam ,mbali na Meya huyo na watu wengine watatu ,Dereva Mwambala Ally (55), na waandishi wa habari , Anita Chali (30) pamoja na HUSSEIN Nuha (28) pia walijeruhiwa na kulazwa katika hospitali hiyo kwa ajili ya kupatiwa matibabu. ( Picha na John Nditi).

MSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI

$
0
0
Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akiwa ameshika bendera kuashiria uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,Wengine ni Viongozi katika kampuni ambazo zimejitkeza kudhamini mbio hizo
 Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Pamela Kikuli ambao ndio wadhamini wakuu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2015 ,akizungumza wakati wa uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio hizo uliofanyika Hotel ya Kibo Homes mjini Moshi.

Mkurugenzi Mkuu wa NHC atembelea miradi Geita na Mwanza

$
0
0
Msimamizi wa mradi wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Bombambili Geita Bw, Julius Ntoga (kulia) akitoa maelezo ya mradi huo kwa ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu alipotembelea mradi huo jana. Mradi huo wenye nyumba 48 ni wa nyumba za kuuza na unakamilika Februari mwaka huu.
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC ukitembelea nyumba za gharama nafuu zilizojengwa eneo la Bombambili, Geita kwa ajili ya kuuzia wananchi.


Abiria zaidi ya 200 wakwama lukuledi asubuhi hii

$
0
0
Abiria wanaosafiri kutoka Nachingwea kwenda Dar kupitia masasi,wamekwama asubuhi hii katika eneo la kijiji cha Lukuledi kilichopo katika mpaka wa wilaya za Nachingwea na Masasi,baada ya Lori la mizigo kukwama kutokana na matengenezo ya daraja katika kijiji hicho,hali hiyo ilimepelea baadhi ya mabasi kurudi na kupitia njia ya mzunguko hadi Ndanda kurudi Masasi.Picha na Abdulaziz Video wa Globu ya Jamii,Lindi.
Kibao cha Mkandarasi wa Daraja hilo.

LICHA YA CHANGAMOTO NYINGI BARA LA AFRIKA LINAPIGA HATUA - ZUMA

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisoma makabrasha ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa AU unaofanyika kwa siku mbili jijini Addis Ababa kuanzia leo. Nyuma ya Mhe. Rais ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb). Waziri wa Jinsia na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Sophia Simba (Mb) na Balozi wa Tanznia nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz (mwenye ushungi).

Na Ally Kondo, Addis Ababa
Wakuu wa Nchi za Afrika wamekumbushwa kuwa, Mwaka 2015 umeingia lakini Bara la Afrika bado linakabiliwa na changamoto nyingi ambazo kama hazitapatiwa ufumbuzi ustawi wa bara hilo utaendelea kudumaa. Kauli hiyo ilikuwa inarudiwa mara kwa mara na viongozi waliopata fursa ya kuhutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa siku ya Ijumaa tarehe 30 Januari 2015.

Changamoto hizo ni pamoja na mabadiliko ya tabianchi, ugaidi, migogoro ya kutumia silaha, ukatili wa kutisha, biashara haramu ya binadamu, umasikini na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola. Walishauri katika mwaka wa 2015 lazima matatizo hayo yajadiliwe kwa kina kwa madhumuni ya kuyatafutia ufumbuzi wa kudumu.

Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela washauriwa kutumia ujuzi kujiajiri

$
0
0
 Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa wa pili kulia akizungumza na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kyela Dr. Festo Dugange jana wakati wa ziara ya kuhamasisha vijana wa Kyela. Wa kwanza kulia ni Afisa Maendeleo ya Vijana Bi. Amina Sanga, wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya Bw. Laurean Masele na wa pili kushoto ni Afisa Vijana Mkoa wa Mbeya Bw. George Mbijima.
 Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akiwaelimisha vijana wa Wilaya ya Kyela kuhusu mwongozo unaosimamia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wakati wa semina ya Ujasiriamali, Stadi za Maisha, Ujuzi na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana iliyofanyika jana katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya.
 Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya walioudhuria semina ya Ujasiriamali, Stadi za Maisha, Ujuzi na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokua yakiendelea wakati wa semina hiyo.

HABARI NA PICHA ZADI BOFYA HAPA

PAC yaishauri Serikali namna ya kuinusuru kampuni ya TTCL

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo Filikunjombe wakiwa katika majukumu yao. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kabwe Zitto (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo Filikunjombe wakiwa katika majukumu yao.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa katika majukumu.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa katika majukumu.

  KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa mapendekezo ya kuinusuru Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kutokana na hali mbaya ya kampuni hiyo kifedha kwa sasa ambapo inaendeshwa kwa hasara huku ikiwa na madeni makubwa. 

PAC imetoa mapendekezo hayo katika taarifa yao kwa bunge ya mwaka juu ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mashirika ya umma iliyotolewa Januari 28 mwaka 2015. Kwa mujibu wa taarifa ya PAC hali ya mapato na matumizi ya TTCL kwa mwaka 2012 ilipata hasara ya bilioni 20.883 huku kwa mwaka 2013 ikipata hasara ya bilioni 16.258. 

PAC ilisema majumuisho ya hasara ya TTCL kupata hasara kwa takribani kwa miaka 10, Kampuni sasa imekuwa na hasara ambayo kwa mwaka 2013 ilifikia bilioni 334.48, jambo ambalo limeiondolea mvuto wa kukopeshwa na taasisi za fedha hata zile zenye nia ya kuikopesha. SOMA ZAIDI HAPA

Kenya National Assembly Committee on regional integration visits EACJ

$
0
0
The Judge President East African Court of Justice, Hon. Justice Dr. Emmanuel Ugirashebuja welcomed Members of the committee on regional integration from the National Assembly of the Republic of Kenya.

 His Lordship informed the Committee on the composition of the Court, achievements and challenges of the Court - that the EACJ is composed of ten (10) Judges, two (2) from each Partner State and that each of the two divisions of the Court has a bench of five (5) Judges.

The Judge President also informed the Committee the two Judges representing the Republic of Kenya,  Hon. Mr. Justice Aaron Ringera of the Appellate Division and Hon. Mr. Justice Isaac Lenaola Deputy Principal Judge of the First Instance Division.

The Judge President further informed the group that the EACJ has established Sub-registries in all Partner States’ capitals and that in Kenya it is located at the Milimani Law Courts. The Sub-registries were established to bring justice closer to the East Africans by giving the citizens access to the Court for any dispute that might arise.
Judge President Hon. Justice Dr. Emmanuel Ugirashebuja addressing the team 

His Lordship again informed the team that the sub-registries have led to an increase in the cases before the Court as litigants no longer have to travel to Arusha to file their cases which is costly and time consuming.  
The Committee was informed that in an effort to enhance its publicity and to reach the Citizens in East Africa, the Court has been going to the Partner States to sensitize Civil Society Organisations and Judges of the National Courts on the role and operations of the Court.

Viewing all 110091 articles
Browse latest View live




Latest Images