Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 679 | 680 | (Page 681) | 682 | 683 | .... | 3285 | newer

  0 0


  0 0

   Wadau Wambura Wambura na Jacquiline Mchwampaka, ambao ni wachumba,  wakipozi baada ya kulamba nondozzz zao za Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya Rasilimali Watu ( Master of Science in Human Resource Management) katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam. Wadau hawa wanatarajiwa kumeremeta Februari 15, 2015 kabla ya kuanza tena safari ya pamoja ya kusaka nondozzz ya PhD.
    Mdau  Jacquiline Mchampaka  baada ya kulamba nondozzz zao za Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya Rasilimali Watu ( Master of Science in Human Resource Management) katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam. Yeye anafanya jazi ya HR katika kampuni ya Mohamed Enterprises.
  a
  Jacquiline Mchwampaka baada ya kulamba nondozzz ya  Uzamili za Sayansi Katika Menejimenti ya Rasilimali Watu ( Master of Science in Human Resource Management) katika Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es salaam. Wambura ni mfanyabishara maarufu wa mbao jijini Dar es salaam

  0 0


   The Secretariats of the East African Community (EAC) and East African Business Council (EABC) have launched the 4th EAC-EABC Media Awards Competition.

  Presiding over the launch today during the 1st Preparatory Meeting of the 7th EAC-EABC Media Summit at the Imperial Royale Hotel in Kampala, Uganda, the Chair of the meeting Ms Joyce Mhaville who is also the Managing Director of ITV-Radio One of Tanzania said that submission of entries for the Awards was now open and that the competition was open to all bona fide practicing journalists/commentators from the East African Community Partner States of Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania, and Uganda.

  "To qualify for the East African Media Awards 2015, all submissions must have been published or broadcast during the period 1st September 2013 to 15th December 2014", declared Ms. Mhaville.

  She disclosed that the 4th EAC-EABC Media Award Competition consists of (9) nine categories as follows:
   EAC Secretary General's Award (Overall Winner)
  1. EABC Chairman's Award (Business Reporting);
  2. Green Award (Environment Reporting);
  3. Higher Education Reporting Award
  4. Political Reporting Award
  5. Agriculture and Food Security Award
  6. Photography Award
  7. Health Reporting Award
  8. Women Economic Empowerment Award
    
   The annual East African Media Awards is the premier regional competition for journalists, editors and commentators who cover/publish stories/articles/features and visual imagery promoting the East African Community (EAC) integration.
    
   The Head of Corporate Communication and Public Affairs at the EAC Secretariat noted "the Media Awards aim at reinforcing the critical role of the media in driving the integration agenda and seeks to reward, recognize and encourage journalistic talent across media platforms in the various aspects of regional cooperation".
    
   He said one may enter a maximum of three pieces per category; active website links for articles published online may be submitted by email, while print articles and radio/video clips may be submitted by email or post. Submissions in any of the above formats may also be done via the Awards website: http://www.eac.int/mediasummit/
    
   The Entries not originally published in English may be submitted but an accompanying English translation (for print/online articles and radio/TV scripts) must be provided. Detailed information on each category, formats for submission, additional guidelines for entry and the entry form can be accessed online from the Awards website: http://www.eac.int/mediasummit/
    
   Mr. Owora disclosed that the Prizes to be won include; cash prizes, Samsung tabs, camera, a trophy and a certificate, and a week-long attachment to Corporate Communication and Public Affairs Department at the EAC Secretariat.
    
   Entries must reach the EAC and EABC Secretariats by Friday15th February 2015. Entries after this date shall automatically be disqualified. Submissions by email should be sent to mediacentre@eachq.org or MediaAwards@eabc-online.com.

  0 0


  0 0
 • 12/19/14--15:07: Ni MISHUMAA YA KALE
 • Uko macho???
  Ingia www.vijimamboradio.com twende pamoja
  Dj Luke Joe kwenye mashine na Mubelwa Bandio kwenye mic

  0 0

  MSELA - Clouds Production

  0 0

  Naibu waziri maji Mhe. Amos makalla akipata maelezo ya ujenzi wa tanki la maji mradi wa Boro-Masoka kutoka kwa mhandisi maji Moshi injinia Brown Lyimo wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maji kanda ya Kaskazini. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe. Novatus Makunga
  Naibu  Waziri wa maji  Mhe. Amos Makalla akiangalia ramani ya mradi wa maji Boro - Masoka
  Naibu Waziri wa  maji   Mhe. Amos makala akikagua chanzo cha maji cha Mananga cha mto Ghona, Himo
  Naibu Waziri wa maji Me. Amos Makalla akisikiliza maelezo  kutoka kwa viongozi wa mji mdogo wa Himo katika moja ya kituo cha kuchotea maji

  0 0

   ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Fredrick Mwakalebela Desemba 26 anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la Krismasi mkoani Iringa.

  Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Mwakalebela anatarajia pia kuwaongoza waumini mbalimbali mkoani humo kwa lengo la kumtukuza Mungu kupitia waimbaji mbalimbali hapa nchini.

  Msama alisema Mwakalebela atafanikisha lengo la kusaidia wenye uhitaji maalum kama Yatima, Wajane na walemavu ambao wanahitaji msaada mkubwa kutoka kwa wadau mbalimbali.

  Msama alisema Mwakalebela ni mdau ambaye anatakiwa aendane na kauli mbiu ya Tanzania ni yetu, Tuilinde na Kuipenda ambayo inachochea wadau ambao wanatakiwa kusaidia wadau hao.

  Tamasha hilo linatarajia kuanza Desemba 25, kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kabla ya kuhamia Iringa  na kumalizia Desemba 28 Wilayani Songea kwenye uwanja wa Majimaji.

  0 0
 • 12/20/14--04:05: mambo ya kushangaa feri....
 • Kamera yetu leo imemnasa mdau huyu akibadili pozz mbali mbali wakati akiendeleza mshangao kwenye vyombo vya majini vikiwa vinapita juu ya maji wakati yeye akitupa shilingi inazama.


  0 0

  Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akitoa mada kuhusu Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja UTT-AMIS  katika mkutano Mkuu wa 47 wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) uliofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa mjini  Dodoma hivi karibuni. Mkutano huo ulidhaminiwa na UTT-AMIS
  Washiriki wa semina hiyo.

  BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

  0 0

  Kutoka Channel 10

  0 0  Baadhi ya akina mama wakichagua nguo
  Mfanyabiashara  katika mtaa wa kongo akipuliza mrija wenye maji ya sabuni ambayo anauza
  mama huyu akitengenezwa nywele baada ya kununua mtaa wa Kongo.
  Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


  0 0

  Na Mkubwa Fela
  Kabla ya kuzungumza chochote Napenda kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kila jambo ambalo limefanikiwa ni kwakupitia yeye aliye Muweza wa yote, Pili nawashukuru Watanzania wote karibu kila nyanja kwa kuonyesha ushirikiano wao kwa Mkubwa na wanawe mpaka kufikia hapa hii leo. 
  Kwani toka ianzishwe Yamoto Band leo leo ni siku ya furaha kwetu kusheherekea Mwaka mmoja ambao umefanyika kuwa na mafaanikio mengi makubwa, moja kati ya mafanikio hayo ni kuuza kazi zetu kweye mtandao na kukuletea kokote ulipo mpaka majumbani.
  Na kwa hiki kidogo tulichokipata sisi ukijumuisha na furaha tuliyo nayo ya kutimiza mwaka mmoja tumeona nibora tugawane na wenzetu ambao ni wahitaji haswa kwa msimu huu wa sikukuu kama tulivyozoea kufanya toka kipindi cha nyuma kwani hawa ni sehemu yetu kama wanajamii wenzetu.. 
  Na kwa wale wapenzi na washabiki wa Yamoto Band tupo tayari kukupatia kilichobora zaidi endapo utahitaji kazi zetu wasiliana nasi utakuletea mpka nyumbani kwako.

   Mkuu wa kituo akiwashukuru Yamoto Band
   Mkubwa Fela kituoni hapo
   Vijana wa Yatima Band wakitoa burudani kwa watoto yatima wa Temeke leo
  Watoto yatima na majirani wakifurahia burudani.
  Kwa picha zaidi BOFYA HPA

  0 0

  Mdau baada ya kupata ile gatepass ya KIA siku zilizopita hatimae wahusika wamekuja na mahususi ya hapahapa Mlimani City mall....heko Chui Security  Mdau Kafanabo wa Tukuyu Makandana

  0 0
  0 0

  Afisa Habari wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mkoani Kilimanjaro (KWIECO), Veronica Ollomi akifafanua jambo katika Warsha ya siku mbili kwa waandishi wa Habari  wa mkoa wa Kilimanjaro, kilichofanyika juzi mjini Moshi, kwa lengo la kuwapa mafunzo juu ya Haki za Binadamu na Sheria zake. 

   Washiriki wa Warsha ya Haki za Binadamu, waandishi wa Habari mkoani Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini wakati wa uwasilishaji wa mada mbalimbali katika mafunzo hayo, yakiwemo swala la Wosia, Sheria ya Ardhi kwa Lengo la kuwawezesha kupata uelewa wa sheria hizo katika utendaji wao wa kazi.
   Mtangazaji wa Redio Moshi FM, Neema Mkotya akiweka sawa mitambo kabla ya kuwasilisha Mada. 
   Mtaalamu wa maswala ya Haki za Binadamu kutoka KWIECO, Elizabeth Mushi akifafanua jambo kwa washiriki wa Warsha hiyo.

  0 0

  Naibu waziri wa Maji Mhe.Amos makalla akizindua mradi wa maji karanga mjini Moshi
  Naibu waziri wa maji Amos makalla akiwahurubia wafanyakazi wa mamlaka maji Moshi
   Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikabidhi tuzo ya ubora wa utunzaji mazingira kwa mkurugenzi wa mamlaka maji moshi Injinia Cryspin Lumeleja
   Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla Naibu wazir maji akiongea na wajumbe wa bodi ya mamlaka maji moshi
  Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akikagua chanzo cha maji cha Mto Karanga mjini Moshi  0 0

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linatoa tahadhari kwa wananchi kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa wakati wa zoezi la marudio ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 21/12/2014 katika baadhi ya vituo vya kupigia kura jijini Dar es Salaam.

  Awali, uchaguzi huo ulifanyika nchini kote tarehe 14/12/2014 na kulazimika kuahirishwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura kutokana na sababu mbalimbali. Katika mkoa wa Dar es Salaam uchaguzi huo uliahirishwa katika vituo mbalimbali kama ifuatavyo:

  Aidha, Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kuhakikisha uchaguzi huo unafanyika kwa amani na utulivu kama ulivyopangwa. Kutakuwa na askari waliovaa sare nadhifu, na askari wa kiraia ambao watakuwa na jukumu la kuhakikisha kuwa wakati wote amani inatawala katika vituo vya kupigia kura. Askari hawa watatumia weledi wa hali ya juu ili zoezi hilo liendeshwe kwa utulivu mkubwa ikizingatiwa vituo ni vichache ikilinganishwa na uchaguzi wa tarehe 14/12/2014.

  ONYO:
  Wananchi wanatakiwa kutofanya yafuatayo katika siku ya kupiga kura:
  1.Kutofanya kampeni yoyote siku ya kupiga kura.
  2.Kutovaa mavazi yanayoonyesha ushabiki kwa chama chochote cha siasa.
  3.Kutovunja sheria yoyote, kanuni, na taratibu zinazotawala uchaguzi wa serikali za mitaa
  4.Kufuata sheria za nchi ikiwemo sheria mama yaani Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

  Aidha, yetote atakayekwenda kinyume na sheria, kanuni na taratibu zilizopo atachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwa ni pamoja na kupelekwa mahakamani.
  “UTII WA SHERIA BILA SHURUTI NI MUHIMU KUZINGATIWA WAKATI WOTE”

  S. H. KOVA
  KAMISHNA WA POLISI KANDA MAALUM
  DAR ES SALAAM

  0 0

  Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania Ubelgiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.

  0 0

  Na John Gagarini, Chalinze 

  MBUNGE wa Jimbo la Chalinzewilayani Bagamoyo mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete juzi alifanyiwa sherehe za jadi za kabila la Kikwere ambazo zilifanyika kijijini kwao Msoga ambapo sherehe hizo ambazo ziliendana na kukabidhiwa vitu mbalimbali vya kijadi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. 

  Baadhi ya vitu alivyoakabidhiwa na mzee wa kabila hilo Zaidi Rufunga ni pamoja na kitanda cha kamba, msuli, kigoda na kinu pamoja na vitu mbalimbali. Sherehe hizo za kijadi ziliamabatana na ngoma ya Kikwere na ulaji wa chakula kiitwacho Bambiko ambacho hutumiwa na kabila hilo.
  Mbunge wa Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo,Mh. Ridhiwani Kikwete akila kuku aliyechomwa wakati wa sherehe za jadi za kumkaribisha nyumbani kwenye kijiji cha Msoga zilizofanyika hivi karibuni.
  Mzee Zaidi Rufunga akimuelekeza jambo kabla ya kula chakula cha jadi cha kabila la Wakwere kiitwacho Bambiko wakati wa sherehe za jadi za kumkaribisha nyumbani,Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete zilizofanyika hivi karibuni kijijini hapo.
  Baadhi ya akina mama wakila chakula cha jadi cha kabila la Kikwere kiitwacho Bambiko mara baada ya kumkaribisha nyumbani Mbunge wa Jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.

older | 1 | .... | 679 | 680 | (Page 681) | 682 | 683 | .... | 3285 | newer