Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 109570 articles
Browse latest View live

TANZANIA 50 PLUS CAMPAIGN WATEMBELEA WAGOJWA WA SARATANI WALIOLAZWA HOSPITAL YA OCEAN ROAD

0
0
Mgeni rasmi Dkt. Natalius Kapilima wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dar es salaam ya Amana akikata utepe kuashilia kugawa zawadi mbalimbali kwa wagojwa wa saratani waliolazwa katika hospital ya ocean road wengine kushoto ni Mkurugenzi wa TTCF Bw. Lutgard Kagaruki na wa tatu kulia ni Mratibu wa kampeni ya manusura wa saratani ya Tezi Dume na Mwanzilishi wa Tanzania 50 Plus Campagn Dkt.  Emanuel Kandusi
Dkt. Natalius Kapilima kulia akimkabidhii zawadi mgojwa wa saratani Idd Muhode ambaye amelazwa katika hospitali ya ocean road
Baadhi ya wadau mbalimbali wa kujitolea kutoka Tanzania 50 plus campaign wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutoa misaada mbalimbali kwa wagojwa wa saratani katika hospital ya Ocean Road

Dkt Natalius Kapilima akipokea zawadi za wagojwa zilizoenda kugawiwa katika hospitali ta Ocean Road kutoka kwa Mratibu wa kampeni ya manusura wa saratani ya Tezi Dume na Mwanzilishi wa Tanzania 50 Plus Campagn Dkt.  Emanuel Kandusi mwingine ni Mkurugenzi wa TTCF Lutgard Kagaruki walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa wagojwa
vitu mbalimbalio vikipakiwa kwenye mfuko kwa ajili ya kugawa kwa wagojwa
vifurushi vikiwa tayali kwa kugawiwa kwa wagojwa wa saratani katika hospitali ya ocean road
Mratibu wa kampeni ya manusura wa saratani ya Tezi Dume na Mwanzilishi wa Tanzania 50 Plus Campagn Dr Emanuel Kandusi kulia akimkabizi zawadi mgojwa Said Kassam aliyelazwa katika hospital ya Ocean Road

nani tenankama diamond?

0
0
Mengi yamesemwa, yanasemwa na yatasemwa lakini piga ua Diamond hana mfano wake kwa wasanii wote wa kizazi kipya nchini Tanzania kwa sasa. 
 Ukiweka pembeni tuzo lukuki alizopata ndani na nje ya nchi, zikiwemo tatu alizolamba Jumamosi huko Afrika Kusini, hadi sasa yeye ndiye msanii wa Kitanzania pekee anayealikwa kila kona ya dunia kila kukicha. 
 Hivi tunavyoongea ana mialiko kibao nje ya nchi ikiwemo Kampala, Uganda, na Washinton DC, Marekani.
Msanii Diamond Platnumz na mama yake mzazi pamoja na Zari na menejimenti yake baada ya kushinda tuzo tatu za Channel O #CHOAMVA na kuzidi kupeperusha bendera ya Tanzania nje na ndani ya nchi.
Madame Rita Paulsen na Salma Jabir walikuwepomkumpa taffu Diamond

SUNDERLAND 0 CHELSEA 0 AND TANZANIA 1

0
0
 By Ayoub Mzee-London 
The Tanzania Tourist Board was in the UK to launch a series of events related to the promotion of Tourism In Tanzania at Sunderland FC. The day also saw the launch of ‘a holiday of a lifetime’ campaign to visit Tanzania . 
The day saw Sunderland players wearing special t-shirts ahead of the home draw with Chelsea as part of the club's partnership with Tanzanian Tourist Board. 
 The Black Cats took to the field in the pre-game warm up sporting shirts emblazoned with the ‘Visit Tanzania’ logo as part of the partnership. SAFC has already developed close links with Tanzania, through providing technical and practical support to the development of the football academy project, the first of its kind in the country. 
 The project will see thousands of youngsters benefit from a joined up approach combining football, education and community engagement, harnessing the knowledge and expertise of Sunderland AFC and its own successful Academy. 
 Present at the event was the Tanzania High Commissioner HE Peter Kallaghe ,the Chairperson of the board of Governors of TTB ,TTB’s Marketing Manager Devota Mdachi and other members of TTB team For more details visit www.safc.com/tanzaniaholiday
Chelsea Manager Jose Mourinho is seen in the foreground directing his players as Visit Tanzania signs flash in then sideboards on Saturday
Sunderland players wearing special t-shirts ahead of the home draw with Chelsea as part of the club's partnership with Tanzanian Tourist Board.
The Tanzania High Commissioner to the UK HE Peter Kallaghe, and  members of  TTB team at Sundeland FC ground.

kinyakyusa oye!

Mahfali ya 26 ya chuo Kikuu Huria cha Tanzania yafana

0
0
Na Othman Khamis Ame Ofisi ya 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar 

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewahimiza Watanzania kuitumia fursa inayotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania { CKHT } katika kujipatia Taaluma huku wakiendelea na shughuli zao za kazi,ajira binafsi au kifamilia kama kawaida. 
Alisema wakati chuo hicho cha umma kinapotoa nafasi nzuri zaidi kwa Watanzania kupanua wigo wao wa elimu ya juu ni vizuri kwa wananchi kuitumia nafasi hiyo mapema bila ya kufanya ajizi. Balozi Seif alieleza hayo wakati akizungumza na walimu na wahitimu wa Vyeti, Stashahada na Shahada wa Mahfali ya 26 ya chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika huko Bungo Kibaha Mkoa wa Pwani. 
 Alisema wanafunzi wengi wasio na uwezo wa kulipia ada katika vyuo vya mabweni wanaweza kukaa kwa muda mrefu kupata elimu hiyo endapo wataamua kusubiri Serikali au mashirika ya dini na watu binafsi kujenga vyuo na mabweni hayo. 
 Balozi Seif alisisitiza kwamba njia pekee ya Taifa kutaka wananchi wake wajikomboe kimaisha kutokana na ujinga, maradhi na umaskini ni kuwawezesha kupata elimu ya juu iliyo bora na yenye gharama nafuuu popote pale walipo katika eneo la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. 
 Mapema Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Profesa Samuel Wangwe alisema juhudi mbali mbali za kuimarisha huduma za chuo zitaendelea kuchukuliwa ili kiwe miongoni mwa vyuo vikuu maarufu Duniani ambapo alieleza pia kuwa azma ya chuo hicho ni kuongeza idadi ya wanafunzi watakaokuwa chachu ya ongezeko la wataalamu kitaifa na kimataifa. Jumla ya wahitimu elfu 3,404 kutoka nchi mbali mbali Duniani wa fani tofauti wametunukiwa shahada, stashahada na vyeti kwenye mahafali hayo na kukifanya chuo hicho kutoa wasomi elfu 21,503 tokea kuanzishwa kwake mwaka 1992. 
Sehemu ya wahitimu wa Vyeti, Stashahada na Shahada wa Mahfali ya 26 ya chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika huko Bungo Kibaha Mkoa wa Pwani. 
  Mkamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyopo Bungo Kibaha Mkoa wa Pwani kwa ajili ya mahfali ya 26  ya chuo hicho. Aliyesimama ni Mkuu wa Chuio Kikuu Huria cha Tanzania ambae pia ni Waziri wa Katiba na Sheria Tanzania Dr. Asha – Rose Migiro.
 Balozi Seif akisalimiana na baadhi ya wahitimu wa shahada, stashahada na vyeti wa chuo Kikuu huria cha Tanzania ambao wametokea  Zanzibar .

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wa pili kutoka kulia wakiokaa akiwa katika picha ya pamoja na Wahitimu wa Chuo Kikuu huria cha Tanzania waliosimama nyuma pamoja na Uongozi wa Chuo hicho. Waliosimama wa Pili kutoka kulia ni Mbunge wa Jimbo la Dole Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar Muhitimu Mh. Sylvester Mabunda. Kushoto ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Profesa Samuel Wangwe, kulia ya Balozi ni Mkuu wa Chuo ambae pia ni Waziri wa Katiba na Sheria Dr. Asha-Rose Migiro na Makamu Mkuu wa bChuo hicho Profesa Tolly Mbwette.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na Mwenyeji wake Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dr. Asha-Rose Migiro wakiliongoza Gwaride kulingia kwenye uwanja wa Mahafali ya 26 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yaliyofanyika Makamu Makuu yake Bungo Kibaha, Mkoa wa Pwani. Picha na Hassan Issa wa OMPR, ZNZ.

IBADA YA SHUKRANI za dhati kwenda kwa wadau wote

0
0
kansolele

Inaniwia vingumu sana kutoa shukrani kwa mtu mmoja mmoja au makundi kutokana na ushirikiano wenu katika kipindi kigumu cha msiba na mazishi ya mpendwa mume wangu na mwenyekiti wa Dorka catering na Dorka group of company Marehemu Dr kephas kansolele Ntevi kwaniaba ya familia yangu .
Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwa wote walio shiriki kwa njia moja au nyingine kwa kipindi chote cha msiba wa mume wangu.Kiukweli tulipatwa na kigugumizi ambacho hakisemeki Ingawa nyote mnastahili kushukuriwa lakini ningependa kutoa shukrani zangu za peke kushukuru madaktari wa Muhimbili na manesi kwenye kitengo cha I.C.U , Dr Kalianyama mlifanya kazi usiku na mchana kuokoa maisha ya mume wangu lakini mungu alimpenda zaidi, kanisa la Good News Mission Tanzania Pastor kiongozi Jeong na ma pastor na waumini wote hamkuchoka kutuombea na bado mnatuombea tuna shukuru sana, Service Provider wezangu kiukweli mmenionyesha upendo ambao hausemeki, Marafiki zangu na wa familia mlikua na sisi usiku na mchana hamkutuacha, Networks wote waliokua wana shirikiana na mume wangu.
Blogs mbalimbali, majirani zetu wa mwenge na Bahari beach , Familia ya Ntevi, Familia ya Wakaombwe na ya Mzee Massau tunapenda kuwashkuru wote kwa upendo na faraja zenu, Sina maneno mazuri ya kuonyesha shukurani zetu za dhati kwa niaba yangu na wanangu, tunaomba mpokee shukurani zetu mwenyezi mungu awaongezee pale mlipo toa.
Tutakua na Ibada ya shukurani nyumbani kwa marehemu kunduchi njia panda ya madini.
Ratiba itakua kama ifuatavyo
Tarehe ::5/12/2014 mkesha Ibada na dinner (BBQ Night)
Tarehe ::6/12/2014 kuanzia saa 2 asubuhi wageni kuwasili na saa nne (BRUNCH) Hadi saa tano mchungani wa Good News mission atapowasili na saa tano na nusu ibada neno la shukrani ya familia
kwa mawasiliano ::+255718 661 705 / +255717 056 598
Bwana ametoa na ametwaa
Wote mnakaribishwa kushirikiana na sisi kumtolea mungu shukrani

Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo

Kampuni ya AFRICAN BARRICK GOLD yabadili jina,sasa kuitwa “Acacia”

0
0
Kampuni ya African Barick Gold (ABG) inayo furaha kutangaza kuwa imebadili jina lake na sasa na itatambulika kama Acacia Mining plc. Mabadiliko haya ni sehemu ya jitihada kubwa za kubadilisha mtazamo na mkakati wake mpya wa kazi yetu kubwa katika uchimbaji wa madini. Mabadiliko haya yamekuja baada ya wanahisa wa kampuni kukubaliana na kupiga kura ya kupitisha maamuzi haya jana tarehe 26 mwezi Novemba mwaka 2014.

Acacia ni mti ambao ndiyo chimbuko la jina letu jipya, ni mti unaonekana kuwa ni nembo ya mandhari ya Afrika na unaweka msisitizo kwenye malengo yetu ya kiuwekezaji Afrika. Zaidi ya hayo, tutaendelea kutumia nembo ya Afrika kwenye alama zetu zote ili kusisitiza kujikita kwetu kwenye bara la Afrika. Mfuko wetu wa Maendeleo ya Jamii wa ABG sasa utajulikana kama Mfuko wa Maendeleo ya Jamii wa Acacia.

Akizungumza kuhusu habari ya mabadiliko haya, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Acacia Mining, Brad Gordon amesema:

“Bila shaka mti wa Acacia (kwa Kishwahili “Mgunga”) ni mti unaojulikana kuwa ni sehemu ya utambulisho wa mandhari ya Afrika.Kwa mikakati yetu  mipya, tutajenga biashara endelevu na yenye mafanikio makubwa nchini Tanzania na barani kote Afrika. Kama mti wenyewe wa Acacia ulivyo enea.  Tunaamini kuwa mlinganisho wetu huu na mti wa Acacia ni madhubuti na tutaweza kustahimili mazingira magumu yoyote tutakayokumbana nayo.

Tunataka kuweka wazi kuwa mabadiliko haya ya jina hayana maana kuwa ni njia ya kukwepa  wajibu waliokuwa nao ABG kama vile kulipa kodi, bali ni kuakisi hatua na mkakati wetu mpya wa biashara. Vilevile  mabadiliko haya, hayataathiri ajira zozote na hayabadilishi mfumo wa umiliki wa kampuni. Tutaendelea kuwa wachimbaji wa dhahabu tuliojitegemea na tulio orodheshwa kwenye masoko yote ya hisa ya London na Dar es Salaam.  Hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya mikataba ya ajira au makubaliano (mapatano) na masharti ya ajira katika migodi yetu kufuatia mabadiliko ya jina la Kampuni."

Kufuatia jitihada hizi za kubadilisha jina la kampuni, alama zetu kwenye  masoko ya hisa pia zimebadilika kutoka ABG na kuwa ACA katika masoko ya hisa ya London (LSE) na Dar es Salaam (DSE).

Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia iko kwenye safari kutengeneza biashara itakayo kuwa kinara  katika bara la Afrika kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Ni muhimu jina hili liakisi hayo kwa usahihi.  Ubadilishaji wa jina ni hatua muhimu ya kuwaleta wadau wetu pamoja kwa lengo la kuunga mkono  utambulisho huu mpya wa kampuni.

Kampuni ya Acacia itaendelea kuwekeza na kufanya kazi kwa karibu na jamii zinazozunguka migodi yetu kupitia miradi iliyopo na miradi/mipango mipya. Tutaendelea kuwa miongoni mwa wachangiaji wakubwa wa uchumi nchini Tanzania na tutaendelea kuzingatia viwango vya juu kabisa vya ubora katika biashara yetu na pia kuendeleza uchimbaji huku usalama ukiwa kipaumbele chetu muhimu. 


NEWS ALERT: MTI MKUBWA WAPIGA MWELEKA MCHANA HUU ENEO LA SEAVIEW

0
0
 Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View,Upanga jijini Dar es Salaam.baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa chanzo cha kuanguka mti huo ni ukongwe wa mti huo.
 Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu.
 Muonekano wa Mti huo.
 Mti huo ukiwa umeangukia ukuta.
 Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo.
 hapo kwenye hiyo viti kuna watu walikuwa wamekaa lakini walinusurika.
Hawa ndio waliokuwa wamekaa kwenye hivyo viti.

introducing Dokii's single :"Hakuna kama mwanamke"

BIG BROTHER HOTSHOTS: SHEILLAH, TREZAGAH, ELLAH & GOITSE FALL AT THE FINAL HURDLE VOTING OPEN IMMEDIATELY TO DECIDE WHO WILL WIN

0
0
Pictured here: Idris and Macky2. Last night (Sunday, 30 November) four big Brother Hotshots Housemates were evicted, Sheillah from Botswana, Trezegah from Mozambique, Goitse from Botswana and Ellah from Uganda.  Africa’s biggest reality show Big Brother Hotshots, produced for M-Net’s AfricaMagic, is being screened live 24/7 on DStv 197/198. For more information log on towww.bigbrotherafrica.com 
-------------------------------------------------------
Sheillah, Trezagah, Ellah & Goitse fell just one week short of a shot at the USD 300 000 prize on Big Brother Hotshots as they were sent home in a heart-stopping quadruple eviction on Sunday night. Their departure means that 8 housemates are left in the game – and one of them must be named as the winner next Sunday!


Viewers must now choose between, in alphabetical order, Butterphly (Zimbabwe); Idris (Tanzania); JJ (Zimbabwe); M'am Bea (Ghana); Macky2 (Zambia); Nhlanhla (South Africa); Sipe (Malawi) and Tayo (Nigeria) – and get voting! Next week’s 2-hour live show will start an hour earlier, at 19:00 CAT, to pack all the drama of season 9 into one sizzling episode.


Macky2 revealed his Head of House ‘add’ decision to the housemates, with Ellah declaring “I knew it” as he’d explained that he’d based his decision on who he felt was a strong competitor. The Ugandan was spared - in the first round of evictions, at least - as IK revealed that Sheillah and Trezagah had been evicted. Joining him on stage, the Motswana said that she’d known ‘something was up’ when she wasn’t nervous for the first time, this week. She declared that her ‘thing’ with Nhlanhla as “very complicated” and that it wasn’t “a relationship”. Trezagah said he felt “so bad” at falling so close to the final and explained that he’d moved during the ‘freeze task’ – the only reason he was up for eviction in the first place – because he thought the task was over, and that he was being pranked again.


IK went back into the house and revealed that someone else was going to be evicted. He read out two more names – Ellah and Goitse – taking the number of evictees to four. The Ugandan could consider herself particularly unlucky to be sitting on the stage with IK, rather than sipping celebratory champagne inside the house with the finalists, as she never received a single nomination on Monday and was only up for eviction because Macky2 had added her to the list. She showed her annoyance when she told IK that she just wanted to punch Macky2 – though she also said she was proud of him for making a bold decision. Goitse said she was feeling “super awesome” and that she was looking forward to using her newfound fame to help her explore dancing, acting, writing, poetry, presenting “and everything”.

Five housemates were tied on 1 country vote apiece after Africa voted this week, so the tie-breaker rule came into effect, sending the four contestants with the lowest percentage vote for all countries, home. Since JJ picked up a higher percentage vote, he was spared and sent into the final. Conversely, Tayo picked up the most country votes (4), followed by Idris (3) and Sipe (2).


Sipe won the StarMeter prize this week on the back of the question: “Which of the Big Brother Hotshots housemates do you think has what it takes to win?”. Big Brother celebrated the work done by the Friends of the Global Fund Africa this week, naming them as winners of the USD 100 000 ONE Africa Award – in keeping with the housemates’ theme for the past week.

                                                                                                                                                      

Ugandan Reggae & Ragga star Bebe Cool performed ‘Love You Everyday’ and Fally Ipupa almost brought the house down with ‘Original’.

Voting opened immediately after the show and runs until 06:00 CAT on Sunday. Voters must now choose who of JJ, Tayo, Idris, Butterphly, Macky2, Sipe, Nhlanhla and M'am Bea they want to win Big Brother Hotshots! The more you vote for your favourite housemate, the better their chance of bing named as the winner of Big Brother Hotshots next week. There are four ways to vote the housemate you want to win.


1.       Via SMS

2.       Via WeChat

3.       Via www.bigbrotherafrica.com

4.       Via the mobisite on your mobile phone


SMS Voting

To vote via SMS: Text the keyword ‘Vote’, followed by the name of the housemate to the short code number for your country. For example SMS “Vote Uti” to 22626. SMS's are charged as applicable per specific network tariff. VAS rates apply. Free minutes do not apply. Please note that you can vote 100 times by SMS per mobile number during each voting period.


The SMS numbers for Tanzania are:

 Tanzania, United Republic of
Operator             Tariff                     Short Code

Vodacom             TSH 600                15426

Tigo                        TSH 600                15426

Zantel                   TSH 600                15426

Airtel                     TSH 600                15426


WeChat Voting

Voting on WeChat is free. To vote via WeChat on your mobile phone, go to your app store and download the WeChat app. Create your profile, then search for BigBrotherAfrica and add the account. You can then start voting on WeChat, up to 100 times per mobile phone number during a valid voting period.


Website and mobile site voting

Voting on the website and on the mobile site is free and you are allowed to vote 100 times per cellphone number on the website and again 100 times per cellphone number on the mobile site during a valid voting period.


Visit www.bigbrotherafrica.com for more information and for the terms and conditions. Stay in touch with Big Brother Hotshots on social media - follow @bigbroafrica on Twitter, @bigbro_africa on Instagram and on Facebook at facebook.com/bigbrotherafrica.



Big Brother Hotshots is produced by Endemol South Africa

vacancies @ CM GROUP

0
0

Office Manager (Controller - Admin Manager - Car Sales)


JOB DESCRIPTION
You will be responsible for ensuring that all Dealership transactions are processed accurately and timely in accordance our policies and procedures.  You will work closely with our leadership team.  To be successful in this position, you must be well-versed in all facets of accounting, cost control, collections, and margin expansion and financial controls. Being a proactive individual will make you stand out. You must possess proven leadership and coaching abilities with a focus on communication and customer relations. The Office Manager will encounter sensitive customer and company financial information.
 QUALIFICATION
·         Preferably a Bachelor’s degree in Accounting, Business Administration, Commercial Sales
·         Two years of experience in an office/administrative management position
·         Solid working knowledge of accounting office functions, accounts receivable, accounts payable, financial statements, and collections
·         Working knowledge of car dealership financial statements and dealership operations preferred
·         Ability to embrace and embody our Core Values
·         Excellent communication skills; both written and verbal
·         Proficient in Microsoft Office Suit

Clearing and Forwarding Agent


JOB DESCRIPTION
·         To advise importers accurately on the processes and procedures of clearance of goods.
·         To ensure that proper documents are lodged and goods are cleared as per the requirement of the law.
·         To keep and maintain all records as per the requirement of the law.
·         You must possess a valid Customs Agency License
Qualifications
·         A diploma, certificate in customs training from a recognized institute or a minimum of five years experience in customs operations,
·         MUST be able to verbally explain the entire Clearing and Forwarding procedures and/including the TRA computerized and online processes.

FOR BOTH POSITIONS, REMUNERATION WILL DEPEND ON HOW YOU SELL YOURSELF IN ADDITION WORKING EXPERIENCE AND ENERGY LEVELS.
IF YOU FEEL YOU POSSESS AND HAVE WHAT IT TAKES 

Forward your resumes (WITH TELEPHONE NUMBER) to the following email address by December 15, 2015
President

CM GROUP, P. O .Box 609, Dar es salaam, Tanzania charles.mtawali12@gmail.com

KERO LA DIMBWI LISILOKAUKA MAJI NA BARARABA MBOVU HAPA MBOZI ROAD - CHANG'OMBE

0
0
Asalaam Aleykum Ankali, Pole na majukumu. 
 Ningeomba uupatie uzi huu nafasi ili nasi tupate sehemu ya kupazia sauti kuhusu hii kero tunayopata watumiaji wa Mbozi Road, Chang'ombe, hapa Dar es salaam. 
Hili tatizo sasa limekuwa ni la muda mrefu panyeshe mvua ama isinyesha huwa pamejaa maji hivyo hivyo. tunaomba mamlaka husika (Manispaa ya Temeke) watusaidie au kwa lugha nyingine watimize wajibu wao tuondokane na hii adha.
Dimbwi lisilokauka barabara ya Mzozi Chang'ombe jijini Dar es salaam
Kupita hapa ni mshikemshike...

Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera amwaga wino Yanga

0
0


Kiungo Mbrazil Emerson De Olivera Neves Roque pichani kushoto akisaini mkataba leo jijini Dar,wa kutumikia Klabu ya Young Africans,Kulia ni Afisa Habari wa klabu hiyo Baraka Kizuguto.


Dar es Salaam. Wakati Yanga ikimpa mkataba wa mwaka mmoja kiungo Emerson De Oliveira, watani zao Simba wamemtema rasmi mshambuliaji Paul Kiongera.

Emerson amesaini mkataba huo baada ya benchi la ufundi chini ya Mbrazil Marcio Maximo kuridhika na kiwango chake na sasa ataitumikia timu hiyo ya Jangwani.

Emerson aliyekua akichezea katika timu ya Bonsucesso iliyopo daraja la pili kwenye jimbo la Rio de Janeiro anachukua nafasi ya mshambuliaji Geilson Santos "Jaja" ambaye klabu hiyo imeamua kuachana naye baada ya kutoridhishwa na kiwango chake.

Ofisa habari wa Yanga, Baraka Kizuguto alisema jana kuwa Maximo ameridhishwa na uwezo na kiungo mkabaji Emerson na kusema ataisaidia timu katika michuano mbali mbali ya Ligi na Kimataifa.

Ujio wa Emerson unafanya klabu ya Yanga  kufikisha jumla ya wachezaji watano wa kimataifa, wengine wakiwa ni Mbuyu Twite, Haruna Niyonzima, Hamis Kizza na Andrey Coutinho.

Katika hatua nyingine, klabu ya Simba imeachana rasmi na mshambuliaji Paul Kiongera anayesumbuliwa na majeruhi kwa muda mrefu na tayari mchezaji huyo ameshakubaliana na Simba kuhusu maamuzi hayo.

Habari za uhakika ambazo Globu ya jamii imezipata zinasema kuwa Kiongera huenda akaondoka nchini leo kwenda India kwa matibabu ya goti yanayomsumbua kwa muda mrefu.

Simba imelazimika kumuacha Kiongera baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na mshambuliaji Mganda, Danny Sserunkuma aliyekuwa akiichezea Gor Mahia ya Kenya.

"Ni kweli hatutakuwa na Kiongera, anatakiwa kupumzika baada ya matibabu. Hivyo lazima tuitumie nafasi yake," kilisema chanzo hicho.

Mshambuliaji huyo raia wa Uganda aliumia katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union iliyoisha kwa sare ya mabao 2-2.

Mwananchi ilipomtafuta Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' kuhusiana na suala hilo hakukubali wala kukataa na kusema "Tutatoa taarifa rasmi."

Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji yafanya Mahafali yake ya Sita

0
0
Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji (WDMI) Dkt. Shija Kazumba (kushoto) akimkaribisha Mgeni rasmi katika maafali ya sita ya Taasisi hiyo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel ambaye pia ni mgeni rasmi wa mahafali hayo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akipokea risala ya wahitimu iliyosomwa na kuwasilishwa kwa mgeni rasmi na Bw. Magembe Maduhu.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwahutubia wahitimu (hawapo pichani) wakati wa mahafali ya sita ya Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji (WDMI). Kushoto ni Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji (WDMI) Dkt. Shija Kazumba na kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo Prof. Gabriel Roderick Kassenga.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akimpa tuzo mhitimu aliyeongoza katika kundi la wanawake na aliyekua na ufaulu mkukwa kuliko wahitimu wote Bi. Fatma Ngano, kulia ni Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji (WDMI) Dkt. Shija na ushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo Prof. Gabriel Roderick Kassenga.
Baadhi ya wahitimu kutoka Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji (WDMI) wakiwa katika maandamano ya kitaaluma wakati wa Maafali ya sita cha Taasisi hiyo hivi karibuni.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mgeni rasmi katika mahafali ya sita ya Taasisi ya Maendeleo na Usimamizi wa Maji (WDMI) Prof. Elisante Ole Gabriel (mwenye miwani) katika picha ya pamoja na wakufunzi na wahitimu wa Taasisi hiyo.

BUNGE LA VIJANA LAANZA VIKAO VYAKE KATIKA UKUMBI WA MSEKWA BUNGENI DODOMA

0
0
Picha na habari na  Owen Mwandumbya, Dodoma 
 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeandaa Bunge la Vijana linalofanyika Mjini Dodoma kwa siku tatu, ikiwa ni jitihada la kuwajengea uwezo vijana wa vyuo vikuu nchini. Bunge hilo liloanza vikao vyake juzi linalojumuisha Vijana kutoka Vyuo Vikuu 15 vya hapa Nchini vinavyozunguka mkoa wa Dodoma. 
 Bunge hilo linalotarajiwa kumalizika tarehe 3 Desemba, 2014, ni sehemu ya Mpango wa Elimu kwa Umma ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kupitia mradi wake wa kuwezesha uwezo wa wabunge na watumishi unaofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), umelenga kuwajenga vijana kushiriki masuala ya kibunge kwa vitendo. 
 Jumla wa wanafunzi 120 kutoka vyuo vya UDOM CBE, MIPANGO, TIA, MZUMBE St. John, VETA, Theophili kisanji - Mbeya, MKAWA, RUAHA, chuo cha kiislam Morogoro, Tumaini, na Chuo cha Sayansi Mbeya wamechaguliwa kuwa wabunge wa Bunge hilo.
 Spika wa Bunge la Vijana Ndg. Edgar Israel kutoka chuo cha St. John cha Dodoma akiingia Bungeni tayari kwa kuanza kwa Bunge hilo
 Mpambe wa Bunge akiweka siwa mezani tayari kwa kuanza vikao vya Bunge la Vijana
 Spika wa Bunge la Vijana Ndg. Edgar Israel kutoka chuo cha St. John cha Dodoma akisoma dua kabla ya kuanza kwa Bunge hilo mjini Dodoma. Waliosimama mbele yake ni Makatibu Mezani.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

mvua ya mawe yanyesha jijini arusha leo

0
0
 Magari yakipita katika moja ya barabara za jiji la Arusha leo huku mvua kubwa ya mawe ikinyesha. Hakuna madhara ya aina yoyote yaliyoripotiwa hadi sasa ila baridi ni kali kiasi
 Sehemu ya vidonge vya barafu vilivyonyesha jijini Arusha leo

MUFINDI HIGHLANDS SCHOOL YAPOKELEWA KWA SHANGWE NA WAZAZI SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA ,WAUNGA MKONO KWA KUCHANGIA PESA

0
0

Mkurugenzi  mtendaji  wa  shule   ya Southern Highlands Mafinga  Bi Mary Mungai kushoto  akiwa na  wageni mbalimbali
Wanafunzi  wa shule ya  Southern Highlands Mafinda wakipiga  vyombo  vya muziki  walipokuwa  wakiimba  wimbo wa Taifa siku ya mahafali ya  chekechea na siku ya  wazazi shuleni hapo
Msimamizi  mkuu wa Library katika shule ya Southern Highlands Mafinga Glory Mgullah Akijitambulisha
Mwalimu Bi  Sarah akijitambulisha mbele ya  wazazi
Wageni  mbalimbali wakiwa katika  hafla ya  siku ya  wazazi.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

TAIFA STARS MABORESHO YAINGIA KAMBINI

0
0
Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kimeingia kambini leo (Desemba 1 mwaka huu) Bulyanhulu mkoani Shinyanga kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Ikiwa chini ya Kocha Mart Nooij, Stars Maboresho itapiga kambi mkoani humo hadi Desemba 6 mwaka huu ambapo itarejea jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mechi hiyo itakayochezwa Uwanja wa Taifa.

Wachezaji walioingia kambini ni Abubakar Ally (Coastal Union), Abubakar Ally Mohamed (White Bird), Aishi Manula (Azam), Andrew Vicent (Mtibwa Sugar), Atupele Green (Kagera Sugar), Edward Charles (Yanga) na Emmanuel Semwanda (African Lyon).

Gadiel Michael (Azam), Hashim Magoma (Stand United), Hassan Banda (Simba), Hassan Mwasapili (Mbeya City), Joram Mgeveke (Simba), Kassim Mohamed Simbaulanga (African Lyon), Kelvin Friday (Azam) na Makarani Ally (Mtibwa Sugar).

Miraji Adam (Simba), Mohamed Hussein (Simba), Muzamir Ally (Mtibwa Sugar), Omari Nyenje (Ndanda), Pato Ngonyani (Yanga), Rashid Mandawa (Kagera Sugar), Said Hamisi (Simba), Salim Hassan Mbonde (Mtibwa Sugar) na Shiza Ramadhan (Mtibwa Sugar).


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linaishukuru kampuni ya kuchimba madini ya Acacia Mining PLC (zamani African Barrick Gold PLC) kwa kufadhili kambi ya Stars kupitia mgodi wa Bulyanhulu.

WAWILI WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI AKIWEMO MMILIKI WA MATEI LOUNGE

0
0
Na SYLVESTER ONESMO wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Mnamo tarehe 30/12/2014 majira ya 18:30hrs huko njia panda ya NARCO barabara kuu ya Morogoro – Dodoma Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma gari lenye namba za usajili T. 213 DAR Toyota Mark X, likiendeshwa na HASSAN s/o HUSSEIN, mwenye umri wa miaka 42, mzigua, Mkazi wa Dodoma likiwa na abiria wanne wakitokea Morogoro wakielekea Dodoma liligonga kwa nyuma gari lenye namba za usajili T. 963 BRC Leyland Daf lililokuwa na tela lenye namba T. 708 ASP likiendeshwa na TUMAINI s/o JOSIA, mwenye umri wa miaka miaka 23, mjaluo, Mkazi wa Mbagala rangi tatu Mkoani Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu wawili pamoja na majeruhi watatu.

RPC DODOMA  SACP
DAVID MISIME
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amewataja waliofariki katika ajali hiyo kuwa ni MATEI s/o JOHN MMASI, mwenye umri wa miaka 32, Mchaga, Mfanya Biashara wa Matei Lounge iliyopo Mkoani hapa ambaye alifariki njiani alipokuwa akikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa Dodoma na JOSHUA s/o OGUDA, mwenye miaka 32, wakili wa kujitegemea, Mkazi wa Kikuyu kusini aliyefariki akiwaanaendelea na matibabu katika hospitali ya Rufaa Dodoma.

Kamanda MISIME amewataja majeruhi katika ajali hiyo kuwa ni BOSSI s/o NGASA @ SEBASTIAN Mwenye umri wa miaka 28, mzigua mkazi wa Makole Mmiliki wa Blog ya Bossngassa ambaye amelazwa wodi namba 1, JUMA s/o ZUBERI mwenye miaka 23, mkazi wa Nzuguni ambaye amelazwa wodi namba 11 pamoja na HASSAN s/o HUSSEIN, mwenye miaka 35, mzigua, Mkazi wa Dodoma aliyekuwa dereva wa gari dogo ambaye amelazwa wodi namba 1 katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.

Kamanada MISIME amesema uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa gari dogo kutaka kuyapita magari yaliyokuwa mbele yake bila kuchukua taadhari kulikochangiwa na mwendokasi. Miili ya marehemu imehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
Viewing all 109570 articles
Browse latest View live




Latest Images