Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 109933 articles
Browse latest View live

KESI YA MDEE KUANZA KUUNGURUMA NOVEMBA 16, MWAKA HUU

$
0
0
Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Dar es Salaam

Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kusikiliza maelezo ya awali dhidi ya  Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanane wa Chama Cha Demekrasia na Maendeleo wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi na kufanya mkusanyiko isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.

 Kesi hiyo ilitajwa leo na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.
Mbali na Mdee, washtakiwa wengine ni, Rose Moshi (45), Renina Peter, Anna Linjewile (48), Mwanne Kassim (32), Sophia Fangel (28), Edward Julius (25), Martha Mtiko (27) na Beatu Mmari (35), wote wakazi wa Dar es Salaam.

Wakili wa Serikali Hellen Moshi  alidai kuwa washtakiwa wote wapo na upande wa Jamhuri unaomba tarehe ya kusikiliza maelezo ya awali.

Hakimu Kaluyenda alisema kesi hiyo itasikilizwa Novemba 16, mwaka huu.

Katika kesi ya msingi, ilidaiwa kuwa, Oktoba 4, mwaka huu washtakiwa wakiwa Mtaa wa Ufipa, bila kuwa na uhalali walikiuka amri halali ya kutawanyika iliyotolewa na Mrakibu wa Polisi (SP), Emmanuel Tillf, kwa niaba ya Jeshi la Polisi.

Ilidaiwa kuwa washtakiwa hao walitenda  kosa hilo kinyume cha kifungu cha 124 cha Sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Katika shtaka la pili washtakiwa hao wakiwa eneo hilo hilo, walifanya mkusanyiko usio halali kwa lengo moja la kutembea kwenda Ofisi ya Rais, huku wakijua ni kinyume cha sheria.

Wakili huyo alidai kuwa, kosa hilo ni kinyume cha kifungu cha 74 na 75 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, sura ya 16 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002. Baada ya washtakiwa hao kusomewa mashtaka yao, walikana kuhusika na tuhuma hizo.

21ST PARTNERSHIP FUND STEERING COMMITTEE MEETING HELD IN ARUSHA

$
0
0
The 21st Partnership Fund Steering Committee Meeting was held yesterday at the EAC Headquarters in Arusha, Tanzania. The meeting was attended by Developemnt Partners contributing to the EAC Partnership Fund. The EAC Partnership Fund is a basket fund mechanism with annual contributions from Development Partners (DPs) aimed at supporting the EAC projects and programmes that are geared towards regional integration.

Norway is the current Chair of the Partnersghip Fund. In this context, the meeting was chaired by Ms. Elisabeth Schwabe-Hansen the Counsellor-Political Affairs at the Royal Norwegian Embassy in Dar es Salaam, Tanzania.

Addressing the Development Partners, the Secretary General of the East African Community Amb. Dr. Richard Sezibera disclosed that in June this year, the East African Legislative Assembly approved the EAC budget for financial year 2014/15 of USD 124,069,625. This budget consists of USD 73,180,446 from the Development Partners and USD 50,889,179 from the Partner States.

He said the funds from the Development Partners will be used to implement the EAC priorities for FY 2014/15, which include; Operationalization of the Single Customs Territory; Implementation of the EAC Common Market Protocol; Implementation of the roadmap towards the establishment of EAMU; Development of Infrastructure, Tripartite, EAC Industrialization Policy and Strategy; EAC Food Security Action Plan and Climate Change Master Plan; Sensitization of East Africans; Peace and Security; Political Federation and Revitalization of LVFO.

The Secretary General noted that the Community was making good progress on the integration agenda which is greatly supported by the Partnership Fund and applauded the Development Partners for the continued contributions.

“Since its inception the Fund has now contributed over USD 41 Million to this great agenda. However, much still needs to be done as we move into an era of Single Customs Territory, Implementation of the EAMU Protocol and Institutional Strengthening of EAC to deliver on its agenda” asserted the EAC official, adding that “I still count on the valuable support of the Development Partners and specifically the Partnership Fund which is a very special vehicle for EAC in terms of coordination of Development Partner support”.

The 21st Partnership Fund Steering Committee Meeting considered, among others, the proposed priorities and disbursements for FY 2015/16, and the Partnership Fund Internal and External Audit and Annual Reports for FY 2013/14.
A cross section of Members of the Partnership Fund Steering Commiittee during the meetng.
a group photo opportunity

2014 Copa Coca-cola National Tournament

Tangazo kwa Wanablog wote nchini

IN LOVING MEMORY

$
0
0
GAUDENSIA BAREGU KABANGIRA 























 Mom, it is now five years since you departed, but I know that those we love dont go away, they walk beside us every day.  Unseen, unheard, but always near, so loved, so missed, so very dear. The years we had with you Mom were just not enough, but memories we have will last forever. I thank you for watching over me & guiding me like I knew you would. You are truly the best friend any daughter could have ever asked for & I'm glad we had the one-on-one time we did the last few years. Until we meet again, enjoy the pain free life you so truly deserve.
Greatly missed by your loving husband, Henry Kabangira, daughter and son-in-law (Rose & Clement Kiondo), your son and daughter-in-law (Steven & Edna Kabangira), your grandchildren, your brothers and sister-in-laws (Prof & Dosca Baregu; Paul & Rose Baregu, Simon & Mercy Baregu), your only Sister, Regina Baregu, all relatives and friends.  You remain forever in our hearts.
I have fought the good fight, 
I have finished the race, I have kept the faith2Timothy:4:7

Bongo Movie yaipaisha Bendera ya Tanzania Duniani

$
0
0
Going Bongo ni filamu ya kwanza ya kutoka Tanzania ambayo imepenya katika kiwango cha kimataifa. Going Bongo ni  filamu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki inayopatikana katika mtandao wa iTunes. Pia ni filamu ya kwanza ambayo inaanza kuonyesha sura mpya  ya viwango vya filamu Tanzania. 
Filamu hiyo ya drama  inayosisimua, Inahusu daktari wa Kimarekani anayekuja kufanya kazi Tanzania kwa muda wa mwezi mmoja, imetengenezwa kwa kiwango cha hali ya juu, kinachoonekana kuleta mabadiliko makubwa  na ushindani wa  utengenezaji wa filamu Tanzania. 
Watanzania wote duniani popote pale mlipo mnaombwa  kupata copy yako ya filamu hii nzuri na mali yetu ya Tanzania. hazina yetu ya kujivunia kupitia mtandao wa itunes bit.ly/goingbongoitunes pia Unaweza   kutazama trailer hapa: http://youtu.be/So0QIUM6kOM Kwa wale ambao hawatumii iTunes wanaweza kuorder DVD hapa bit.ly/goingbongodvd Watumie taarifa ndugu, jamaa, marafiki na jumuiya nyingine za Watanzania au Waafrika kwenye Diaspora.   Pamoja Inawezekana!
Usikose kupitia links zifuatazo

Shirika la Afya ulimwenguni (WHO) kanda ya Afrika lapata mkurugenzi mpya

$
0
0

Shirika la Afya ulimwenguni kanda ya Afrika (WHO - AFRO) katika mkutano wake wa 64 unaendelea nchini Benin kuanzia tarehe 3-7/11/14. Leo tarehe 5/11/14 mkutano huu umemchagua  Dkt Matshindiso Rebecca Moeti kutoka Botswana kuwa Mkurugenzi Mpya wa Kanda ya Afrika baada ya kuwashinda wapinzani wake wanne kutoka Cote D'Voire,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Benin na Mali.Dr.Moeti ataongoza kwa kipindi cha Miaka 5 kuanzia mwezi wa Februari, 2015 Wakati ambapo mkurugenzi wa sasa Dr.Louis Sambo kutoka Angola atakapomaliza muda wake.

UZINDUZI WA FILAMU YA WAPE SALAMU ZAO JUMAPILI

$
0
0
UZINDUZI wa filamu ya Wape Salamu Zao unatarajia kufanyika siku ya Jumapili tarehe 9 November katika ukumbi Travetine Magomeni, jijini Dar es salaam.
Uzinduzi huo utambatana na ujio wa sesson 2 kipindi cha Ulimwenguni wa filamu cha TBC 1,kinachoongozwa na Juma Mtetwa katika, kivutio kikubwa ni Jackson Kabirigi ‘Kisate’.
 “Nimepanga kuacha historia katika uzinduzi wa filamu ya Wape Salamu Zao, kuna vitu vingi sana ambavyo sijawahi kuwaonyesha watazamaji hajawahi kuviona kutoka kwangu tarajieni maajabu,”anasema Kabirigi. 

Uzinduzi huu unasindikizwa na gwiji la muziki wa Taarab Bongo mfalme Mzee Yusuf, ambaye naye ameahidi kufanya show ya kipekee haijawahi kutokea hivi karibuni, na kuimba nyimbo zinazotamba na kufanya vizuri Tanzania. 
Wasanii nyota wa filamu kutoka Bongo movie watakuwepo wakiwa wamependeza huku zuria jekundu likipamba sehemu ambayo watu watapata nafasi ya kupiga piga katika mapozi, show hiyo ya kufunga mwaka kiingilio ni 8,000/ tu kwa mtu mmoja si ya kukosa.




UFINYU WA BAJETI WAATHIRI MISAADA KWA WAKIMBIZI-UNHCR

$
0
0
 Bw. Antonio Guterres, Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi ( UNHCR) akiwasilisha Taarifa ya  Shirika hilo mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa pamoja na mambo mengine,  Bw. Guterres amesema wakati idadi ya wakimbizi ikiongezeka maradufu,  UNHCR inakabiliwa na  upungufu mkubwa wa bajeti yake  kiasi cha kupunguza  kiwango cha chakula wanachopewa wakimbizi hasa Afrika.
Na Mwandishi Maalum, New York


Shirika la Umoja wa Mataifa  linalohudumia wakimbizi ( UNHCR) linakabiliwa na upungufu mkubwa wa raslimali fedha kiasi cha kuathiri utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wakimbizi  wanaoendelea kuongezeka kila  mwaka.

Hayo yameelewa siku ya  jumatano  na  Kamishna Mkuu wa UNHCR, Bw. Antonio Guterres wakati alipokuwa akiwasilisha taarifa  ya  Shirika hilo mbele ya  wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la  Umoja wa Mataifa.

Katika taarifa  yake hiyo ambayo imeainisha  utejaji wa UNHCR katika  kipindi cha mwaka uliopita,  mafanikio na changamoto  , Bw. Guterres amesema, idadi ya wakimbizi kwa mwaka 2013 ilikuwa zaidi ya watu milioni 50 ikiwa ni idadi kubwa tangu  Vita Kuu  ya Pili ya Dunia. Na kwamba idadi hiyo  inaweza  kuongezeka ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

Amesema,  idadi ya  wakimbizi wa ndani  katika Afrika imeongezeka kutoka  wakimbizi milioni 10.4  na kufikia milioni 12.5.

Aidha ameongeza kuwa    wanawake na watoto  chini ya miaka 18 ndio kundi kubwa zaidi . Kundi ambalo amesema linakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwamo za  udhalilishwaji wa kijinsia,  ndoa za utotoni,   biashara ya haramu ya binadamu ambapo wengi wao huuzwa na kugeuzwa watumwa.

Amesema  ongezeko hilo la wakimbizi haliendani na  raslimali fedha  na misaada mingine hali  inayolifanya  kutowafikia wakimbizi wengi kwa wakati  na pia   Shirika  kulazimika  kupunguza hata kipimo cha chakula ambacho wakimbizi wanapewa hususani   Barani Afrika.

Amebainisha kuwa  Afrika inahitaji msaada wa haraka wa dola  186 milioni ili wakimbizi waweze kupata mlo kamili kwa mwaka huu wa 2014.  Aidha Kupunguzwa kwa kipimo  cha chakula kumesababisha watoto wengi  kupata utapia mlo.

Amezitaja baadhi ya sababu zinazopelekea uzalishaji mkubwa wa wakimbizi kuwa ni vita vya wenyewe kwa wenye, ukame ,  uhaba wa maji na mabadiliko ya tabia  nchi.

Aidha  ameeleza kuwa kwa upande wa Bara la Afrika ambalo limeshuhudia  ongezeko la wakimbizi kumetokana na   vita vya wenyewe kwa wenye katika nchi za Mali,  Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudani ya Kusini, Somalia na  baadhi ya maeneo ya Jamhuri ya  Kidemokrasia ya Kongo.

Eneo jingine ambalo Kamishna amelitaja kuzalisha wakimbizi wengi ni pamoja na Mashariki ya Kati hususani Syria.

Kamishna Mkuu  pamoja na  kuhimiza Jumuiya ya Kimataifa kuendelea kulichangia  Shirikia hilo ili liweze kuendelea na jukumu la  utoaji wa misaada ya kibinadamu.  Amesisitiza  kuwa   suluhisho pekee la  kumaliza tatizo la kuwapo kwa wakimbizi  ni  la kisiasa zaidi kwa pande zinazohusika  kumaliza tofauti zao.

Amesema, wanasiasa hawawezi kuendelea kuwa chanzo cha migogoro na machafuko yanayopelekea wananchi wao  kuyakimbia makazi yao    na nchi  zao na kisha kuyaachia Mashirika    yanayotoa misaada ya kibinadamu   jukumu la  kuwahudumia wahanga wa machafuko hayo.

“ Tufikie mahali sasa tubadilike  na tulikatae hili, haiwezekani wengine waazishe  machafuko na  kuwaachia watu wengine wasafishe uchafu wao” amesema Bw.

Aidha  ametumia  mkutano huo kuzishukuru nchi mbalimbali ambazo  kwa muda mrefu zimekuwa wenyeji wa wakimbizi ikiwa ni pamoja na kutumia raslimali zao  kuwasaidia.

Akasema nchi hizo  ikiwamo Tanzania  zimeratibu  na kuwezesha  baadhi ya wakimbizi kurejea makwao kwa hiari ikiwani  ni  pamoja  na kuwapatia uraia kwa wale ambao wameomba.

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania, Balozi Ramadhan Mwinyi, akizungumza kwa  niaba ya SADC  amesema  Jumuiya hiyo  inapinga kuendelea kuitegemea UNHCR hata katika  mambo ambayo nchi mwenyeji inaweza kuyatekeleza.

Akatoa mfano wa baadhi ya majukumu ambayo nchi mwenyeji inaweza kuyatekeleza pasipo kutegemea UNHCR  kuwa ni pamoja na ukusanyaji wa  takwimu na utambuzi wa  wakimbizi.

Amesema  jukumu ambalo UNHCR inaweza kuchangia ni katika uwezeshaji na si utekelezaji   wa zoezi lenyewe kutokana uenyeti wake.

Kuhusu  kupungua kwa bajeti ya Shirika hilo, SADC imeelezea wasi wasi wake kuwa  pamoja na athari ambazo zimeanza kujitokeza pia kutaathiri uwezo wa nchi wenyeji kuendelea kutoka huduma kwa wakimbizi  na hasa  ikizingatiwa kuwa pamoja na matatizo ya kiuchumi  waliyonayo bado  nchi hizo zimekuwa zikitumia  raslimali zake 
 Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania, Balozi Ramadhan Mwinyi akizugumza kwa niaba ya nchi za SADC katika mkutano huo ambapo wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa  wamepokea na kujadili  taarifa ya  UNHCR katika mkutano uliofanyika siku ya Jumatano.

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA WANNE, AHAMISHA SITA, WATATU WA ZAMANI AWAWEKA KIPORO, PIA ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE WAPYA WA WIZARA NA KUHAMISHA MMOJA.

$
0
0





MAKATIBU WAKUU WA WIZARA

 Rais Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja, uteuzi uliomuondoa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Charles Pallangyo.
Pallangyo sasa anakua Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita, nafasi ambayo inatafsriwa kuwa adhabu, siku chache baada ya vyombo vya habari ikiwamo FikraPevu kuibua kashfa ya uhaba wa dawa katika hospitali kubwa za serikali.
Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi na uhamisho wa Makatibu Tawala wa Mikoa.
Taarifa iliyotolewa mjini Dodoma jioni ya leo, Jumatano, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue imesema kuwa walioteuliwa ni pamoja na Dkt. Donan Mmbando ambaye anakuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuchukua nafasi ya Pallangyo.

Katika uteuzi huo Dkt. Yohana Budeba anakuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mbogo Futakamba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Dkt. Adelhelm James Meru ambaye anakuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Maliasili.
Kabla ya uteuzi wake, Dkt Mmbando alikuwa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Budeba alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Uvuvi na Mifugo, Mhandisi Futakamba alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Dkt. Meru alikuwa Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA).
Aidha, taarifa hiyo imesema kuwa Rais Kikwete amemhamisha Bibi Maimuna Tarishi kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria
Adoh Steven Mapunda, Mkurugenzi Mtendaji, Manispaa ya Bukoba amepanda na kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Severine Kahitwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita anakuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro na Dkt. Faisal Issa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro anahamishiwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza.
Wakati huo huo, Rais Kikwete amemteua Kanali (Mst) Joseph Simbakalia, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EPZA kuchukua nafasi ya Dkt. Meru.
Uteuzi huo unaanza leo na Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wataapishwa, Alhamisi, Novemba 6, 2014, Ikulu, Dar es Salaam.

Jimix na SMS Bure toka Vodacom

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LEO TAREHE 06.11.2014

Industry Professionals Invited to 1st ever Hospitality Conference in Tanzania

$
0
0
The first Hospitality Roundtable will bring together leading hotel brands, hoteliers, suppliers, buyers, investors, and cross sector service providers to establish a clear dialogue on the state of the industry and to secure future growth. The Conference will be held at the Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam Tanzania on November 10-11, 2014. Entrance to the conference is FREE to all East African Nationals and Registration can be done online at http://www.hospitalityroundtabletz.com/online-registration.html

Over the next few decades, Sub Saharan Africa is expected to undergo profound economical change. The conference will bring together regional and industry experts to allow exploration of business opportunities, find new business partners and gain invaluable industry knowledge to help their business succeed. More importantly, delegates will be able to see how they, as stakeholders, can align their services and be part of this growth.  With the potential to lead to national economic development, the hospitality industry is hoped to seize this opportunity to catalyze  growth and become a leading region that the world will recognize. 

" With international and domestic investors recognizing the rich potential in Tanzania, it really is the time for us all to discuss how Tanzania can best foster a sustainable hospitality industry, build lasting and mutually beneficial partnerships, and build a pipeline for success” said conference organizer and international hospitality expert Meelis Kuuskler. “The hospitality and tourism industry is poised to grow at unprecedented rates. But, this development can only materialize if stakeholders can build a sturdy ecosystem to facilitate its sustained growth. With communication, innovation, and a coordinated planning effort, we can build on the solid foundation that East Africa has already established.”

The conference programme will introduce several new and exciting sessions with themes that include: Current state of the industry, Supply Chain and Sourcing, Recruitment, training, and Retention of Human Resources, Revenue in food and beverage, new Technology that can support hospitality developments and operations. If Tanzania and East Africa are to benefit from this industry, it is important for all stakeholders to be proactive and keep abreast of current trends and advancements.

The hospitality industry requires consistent delivery of products and services that meet guest expectations. Delivering consistent and quality service is one of the major challenges that the hospitality industry faces. Considering issues such as procurement, staffing, and strategies for growth, the 2-day conference will allow delegates to consider new ways of ensuring their business remains competitive. 
Keynote messages and panel discussions will include presentations from domestic and international experts in hospitality, who will be sharing their views on how to secure the healthy growth of the industry in Tanzania. Suppliers and showcase providers are coming from around the world to present their products to the industry. This represents a major shift in business as usual, as the roundtable introduces hospitality suppliers to the industry, suppliers who can directly support overall growth and success. 
One of the fundamental issues affecting the growth of the hospitality sector is that of Human Resources.  "The challenge we need to address in the hotel industry as far as human resources is training and  development of employees . In order to equip the employees with the necessary skills, companies should adopt a proactive approach when it comes to training. Training should be continuous, consistent  and relevant to the industry needs" said Mr Damasi Mfugale, CEO of Peacock Hotels.

"The Hospitality Roundtable comes at a time when Africa is facing a lot of challenges mainly because of both intentional and unintentional misrepresentation of its facts on international media which unfortunately influences decisions of individual tourists. 

I am of opinion that this forum will be a good platform to disseminate truth and facts on Africa and Tanzania in particular and will bring invaluable experience sharing amongst stakeholders at a time when there is need to do so more than ever before." said Mr Sirili Akko, CEO of Tanzania Association of Tour Operators.

NHIF KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO KATIKA HALMASHAURI 54 NCHINI

$
0
0
Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichni) katika makao makuu ya NHIF Bendera Tatu jijini Dar es salaam kuhusu kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo, Kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na kutoka mkushoto ni Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na masuala ya kiufundi NHIF)
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),Athman Rehani akifafanua jambo wakati wa mkutano huo , kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba.
Kutoka kulia ni Meneja wa CHF Bw. Costantine Makala, Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano,Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti, Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba, Athman Rehani Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Mkurugenzi wa masoko na Utafiti NHIF,Raphael Mwamoto na Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na masuala ya kiufundi NHIF).

UJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA

$
0
0
Na John Gagarini, Bagamoyo

SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.

Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara ukamilike.

Akizungumza  kwenye kikao cha baraza la Madiwani kilichofanyika mjini Bagamoyo Mahiza alisema kuwa ujenzi wa maabara kwenye wilaya hiyo bado zoezi hilo haliko vizuri hivyo lazima itumike nguvu ya ziada kufanikisha zoezi hilo.

“Kuanzia sasa najua nitaanzia kata gani lakini nahamia Bagamoyo na wakuu wa idara kila mmoja tukitoka hapa ataniambia atakuwa kata gani ili tuanze usimamizi kwani bila ya kufanya hivi muda utaisha na mambo yatakuwa magumu,” alisema Mahiza.

“Kuanzia sasa vikao vya madiwani havitakuwepo kilichobaki wote tuende kwenye ujenzi wa maabara na kama mtu anaona hawezi kuwajibika aondoke mapema asije akatuharibia mipango yetu ya maendeleo kwani watoto ni wetu,” alisema Mahiza.

Mahiza alisema kuanzia sasa hivi hakuna cha mahafali wala sherehe wimbo uliopo ni maabara kwa shule zetu za sekondari kwani baadhi ndo wako kwenye msingi je ujenzi utakamilika kwa wakati jambo ambalo linatia mashaka.

“Baadhi ya watendaji hawana haraka na kusababisha shughuli kwenda taratibu kuanzia sasa hapa ni mwendo wa kufanya kazi kwani tusipokuwa makini muda utaisha hatujakamilisha itakuwa haipendezi,” alisema Mahiza.

Aidha alisema kuwa wakuu wa wilaya na mikoa waliitwa Dodoma na Rais na kutakiwa wawe wamekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu na wao walimwahidi kuwa watakamilisha ujenzi kipindi hicho.

Kwa upande wake mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo Shukuru Mbato alisema kuwa agizo hilo wamelipokea na watahakikisha wanakamilisha ujenzi wa maabara hizo kwa muda uliopangwa.

MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI MWAKA 2014

JK aelekea marekani leo

$
0
0
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw.  Aboubakar Juma leo Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake
 Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari polisi pamoja na wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014

EAC AT WORLD TRAVEL MARKET IN LONDON: East Africa is a Safe and Ebola Free Destination, EAC Tells WTM

$
0
0
The East African Community is show-casing the region’s tourism potential and marketing the five Partner States as a Single Tourist Destination at the ongoing World Travel Market in London, United Kingdom.

The five Partner States are being lead by Chairperson of the EAC Council of Ministers, Hon. Phyllis Kandie, who is also Kenya’s Cabinet Secretary, Ministry of East African Affairs, Commerce and Tourism, while Hon. Jesca Eriyo, the EAC Deputy Secretary General (Productive and Social Sectors) is heading the team from the EAC Secretariat.

At the joint marketing event held at the Kenya Stand 5 November, 2014, the Chairperson of the Council made a statement on the strategies that are being implemented nationally and regionally on the Ebola virus. She said East African Governments had prepared a robust Ebola Emergency Preparedness and Response plans that meet the World Health Organization standards, comply with the International Health Regulations- Emergency Committee and AU Decisions on Travel and Trade Restrictions.
She affirmed to her audience and the world at large that EAC was secure, safe and Ebola free Destination of Wonders and Opportunities (statement attached).

At the same event, the Deputy Secretary General (Productive and Social Sectors), Hon. Eriyodisclosed that substantial progress had been made in the Hospitality industry through the implementation of the East African Community Criteria for the classification of Accommodation establishments. She also noted that substantial progress had been achieved in the preparation and introduction of a Single Tourist Visa that facilitates the sell of multi-destinations.

Present at the event were, among others,  Honourable Lazaro Nyalandu, Minister for Natural Resources and Tourism, United Republic of Tanzania; Hon. Agnes Akrior Egunyu, Minister of State, Ministry of Tourism, Wildlife and Antiquities – Republic of Uganda; His Excellency High Commissioner Peter A. Kallaghe, United Republic of Tanzania; His Excellency AmbassadorWilliam Nkurunzizya, Republic of Rwanda; and His  Excellency High Commissioner Deo Sindayihebura, Embassy of Burundi.

Directors of Tourism and Board Members of different Marketing authorities; Mr. Mureithi Ndegwa, Managing Director, Kenya Tourist Board (KTB); Ms. Devota Mdachi, Acting Managing Director, Tanzania Tourist Board (TTB); Mr. Stephen Assimwe Executive Director , Uganda Tourist Board; Ambassador Yamina Kayiteri, Head of Tourism and Conservation, Rwanda Development Board (RDB).
  Hon. Phyllis Kandie, Cabinet Secretary, Ministry of East African Affairs, Commerce and Tourism and Chairperson of the Council of Ministers reaffrims EAC is a secure, safe and Ebola free Destination of Wonders and Opportunities at the EAC Join Event at WTM 2014

Hon. Jesca Eriyo, EAC Deputy Secretary General in charge of Productive and Social Sectors updates atendees of the EAC Joint Event on the progress made in the hospitality industry in the region

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MHE MAHADHI JUMA MAALIM AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

$
0
0
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.
Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa Ufaransa wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.
Mhe. Dkt. Maalim akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa MEDEF-International, Bw. Phillippe Gautier Taasisi ambayo imeandaa Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Ufaransa litakalofanyika Paris, Ufaransa mwezi Desemba, 2014.  
Mhe. Dkt. Maalim katika picha ya pamoja na Balozi Taj (wa pili kulia) na Bw. Chiristophe Gallean, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Starch of Tanzania. Mhe. Dkt. Maalim yupo nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi.
Mhe. Dkt. Maalim (mwenye tai nyekundu) na Mhe. Balozi Taj (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na Maafisa wa Ubalozi mbele ya jengo jipya la Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa.

SECRETARY GENERAL OF THE EAC ADDRESSES ZINDUKA 2014 FESTIVAL AT THE SHEIKH AMRI ABEID STADIUM, ARUSHA

$
0
0
The Secretary General of the East African Community, Amb. Dr. Richard Sezibera today commended the East African Business Council, Pan African Lawyers Union (PALU), the people of Arusha and the management of Arusha City Council for organizing and hosting the Zinduka 2014 themed“Peoples’ Voices, Sustainable Development” at the Sheikh Amri Abeid Stadium in Arusha, Tanzania.

Amb. Sezibera applauded the warm hospitality extended by the organizers and Arusha city to the delegates attending the Forum, saying “this is the spirit that we envision and that should be emulated if regional integration is to be attained”.
Zinduka Festival is a forum for re-awakening the consciousness of the people to engage in the process of East African integration and Pan-Africanism through common struggles for socioeconomic and political liberation.
Addressing the huge gathering that included ordinary citizens, civil society, private sector, professional associations, Hon. Members of the East African Legislative Assembly (EALA) and National Parliaments; Representatives of the Government of the United Republic of Tanzania, and other EAC Partner States; Representatives of the development partners; the Secretary General urged the Zinduka 2014 to embrace the spirit of scaling up the integration and uniting the citizens of the region towards one destiny.
“I urge the delegates to actively interact during this Forum, establish partnership with colleagues from the sister EAC Partner States  and enjoy the ambience and other attractions in Arusha”, said the EAC official. 

Notes to Editors

Zinduka is a Swahili word which literary translates to a re-awakening of consciousness. Zinduka Festival is a forum for re-awakening the consciousness of the people to engage in the process of East African integration and Pan-Africanism through common struggles for socioeconomic and political liberation. It offers East African citizens from all walks of life, and organizations from diverse sectors, an opportunity to celebrate the vibrant East African diversities; as well as share our successes and challenges as we pursue the region’s economic and political liberation.

Zinduka Festival 2014 is the second edition of a journey that will redefine, deepen and secure the East African integration process in the people and in the communities. Rooted in Panafricanism, Zinduka is the East African people’s response to the imperatives of a continent whose time has come. Zinduka is an annual festival open to the public and free-of-admission.
The inaugural Zinduka Festival was held between May 30 and June 1, 2013 in Arusha, Tanzania. The rationale for choosing Arusha as the venue is because it hosts the Headquarters and Secretariat of the East African Community, and harbors numerous historical memories in the efforts of integration and the spirit of Pan-Africanism.

The 4th and 11th Preambles of the Treaty for the Establishment of the EAC acknowledge that the lack of involvement of the private sector and civil society, were amongst the key reasons for the collapse, in 1977, of the old East African Community (EAC); and that is why the new EAC has allowed the private sector, civil society and other interest groups to play a leading role in the socio-economic development activities and the integration process.

Article 127(4) specifically requires the Secretary General to establish a Forum for the private sector, civil society organizations, other interest groups and appropriate institutions of the Community. Article 129 also provides for the employees’ associations, employers’ associations, business/ trade associations, professional associations and the need to recognize and also encourage regional federations of all these associations.

The EAC have taken great steps to achieve the above Treaty requirements since the EAC was formally inaugurated on 30th November 2001, for example; formulating of the Rules for granting formal Observer Status; granting of formal Observer Status to East African CSOs, private sector organizations, professionals associations among others; establishment of the Secretary General’s Forum, three so far have been organized (1st in Dar-es-salaam, second Nairobi, Kenya and the third one was held in Entebbe, Uganda) and the establishment of the Secretary General’s CEO Forum (more than 10 forums for Business sector).

Also in the last thirteen years, the EAC has witnessed growth in the participation of the civil society, professional, women and private sector organizations in the integration process. To this extent, organizations such as the East African business Council, East African Civil Society Organizations Forum (EACSOF), East African Trade Union Council (EACTUC) the East African Law Society (EALS), the East African Magistrates and Judges’ Associations (EAMJA), the East African Youth Council (EACYC), the East African Investment Promotion Authority Organizations (EAIPAO), East African Local Governments Authority (EALGA), the Joint Research Council for East Africa,( JRCEA), East African Tourism Council (EATC) and an East African farmers Association (EAFA), the East Africa Communications Regulatory Authority (EACRA), East African Youth Ambassadors Platform (EAYAP) and the East African Health Platform (EAHP) have in one way or the another participated in the activities of the EAC.
he Secretary General of the East African Community, Amb. Dr. Richard Sezibera at the Sheikh Amri Abeid Stadium in Arusha, Tanzania.
Viewing all 109933 articles
Browse latest View live




Latest Images