Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 608 | 609 | (Page 610) | 611 | 612 | .... | 3272 | newer

  0 0

  Airtel Tanzania imefungua duka lake la kisasa kisiwani Zanzibar lililopo mtaa wa Mlandege lenye uwezo wa kuhudumia wateja zaidi ya 100 kwa siku. Ni duka la kisasa ambalo lipo karibu na wateja lenye kurahisisha maisha ya wateja wote wa Airtel kisiwani Zanzibar. 
   Akizungumza katika uzinduzi wa duka hilo Mkurugenzi kwa huduma kwa wateja , Bi Adriana Lyamba alisema, "kwamba kupanua kwetu kwa huduma za mtandao kwa wateja wetu ni ishara tosha ya kuonyesha ni jinsi gani Airtel inajali wateja wake na kuwapatia wateja wetu huduma bora na za kibunifu. 
   "Ni juhudi zetu na mafanikio yetu ya kuwa na wateja zaidi ya milioni 9 tulionao ndio yanayotufanya tuweze kuwashukuru wateja wetu kwa kuwapatia huduma nzuri zenye Kiwango cha juu. Kwa huduma tunazozitoa kupitia maduka yetu yaliyoenea hapa nchini maduka haya yanauwezo wa kutoa huduma zenye kiwango cha juu yanayotoa huduma kwa masaa mengi na kutoa huduma nzuri kwa wateja. 
  Uzinduzi wa maduka yetu ni mafanikio makubwa kwetu na hii ni shukurani yetu kwao kwa kuwaonyesha ni jinsi gani tunawajali wateja wetu. Hafla hiyo ilizinduliwa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi, ambaye aliipongeza Airtel kwa ajili ya kuleta huduma zake karibu na watu wa Zanzibar.
   "Mbali na kutatua matatizo ya wateja, mtazamo huu mpya wa duka hili ni maendeleo tosha kwa wakazi wa Zanzibar kwani huduma zinazotolewa hapa ni za kiwango kizuri na uwezo mkubwa ambapo wateja wa Airtel wamekuwa wakihitaji hapa kisiwani Zanzibar. alisema. 
   Mwinyi alisema kuwa, huduma mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na Airtel kuanzia , ujumbe, Inteneti , usajili, huduma za Airtel Money ambazo zinarahisisha maisha ya wananchi katika jamii. "Huduma hizi zinaleta matokeo mazuri katika namna ya kufanya biashara na kuboresha maisha ya maelfu ya wakazi wa Zanzibar na mamilioni ya Watanzania kwa ujumla," aliongeza Mwinyi. 
   Kama sehemu ya huduma nzuri , Airtel tayari imekarabati maduka mengine katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Bukoba, Mbeya, Mtwara, Dodoma, Mwanza, Tabora na leo hapa Zanzibar. 
   Maduka ya Airtel yataendelea kutoa huduma mbali mbali zenye kiwango cha juu na upatikanaji wa bidhaa zake kama vile modems, simu, malipo ya bili,huduma za Airtel money na huduma nyingine nyingi . Tumewekeza kwa kiwango kikubwa katika mtandao wetu ili kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma sahihi na ya kiwango cha juu.

   Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Abdallah Mwinyi akijiandaa kukata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la huduma kwa Wateja la Airtel kisiwani Zanzibar(Kushoto) Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania,
  Adriana Lyamba (kulia) Maneja wa Kanda ya Zanzibar Mariam Yussuf.
   Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Tanzania, Adriana Lyamba (kushoto) akimwelekeza jambo mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi , Abdallah Mwinyi wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa duka
  la huduma kwa Wateja kisiwani Zanzibar ,wakishuhudiwa na wageni
  wengine waalikwa.
   Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana Lyamba (kushoto) akimwelekeza mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Abdallah Mwinyi jinsi huduma ya Airtel money ilivyoboreshwa
   wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa duka la huduma kwa Wateja kisiwani Zanzibar  .
  Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Abdallah Mwinyi akizungumza  jambo wakati wa uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja la Airtel kisiwani Zanzibar .Akifuatiwa na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Tanzania, Adriana Lyamba na Maneja wa Kanda ya Zanzibar Mariam Yussuf.

  0 0

    Naibu Waziri Wizara  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadalla (mwenye kofia)  akioneshwa namna Meli ya RV Jumuiya inavyofanya kazi ikiwa katika mwendo ndani Ziwa Victoria na nahodha wa meli hiyo  Captain Juma Nkwama jijini Mwanza. 
   Naibu Waziri wa Wizara  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadalla akitiasaini kitabu cha maudhurio ndani ya Meli ya RV Jumuiya.
  Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Abdulla Juma Abdulla Saadalla  akifafanua ajambo ndani ya Meli ya RV Jumuiyakatika kikao chake na naodha wa meli hiyo Peter Nkwama na Muhandisi wa meli hiyo Herman Bundala.
  Meli ya RV Jumuiya Meli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwa gatini jijini Mwanza

  0 0


  0 0


  0 0
 • 10/15/14--20:00: ngoma azipendazo ankal
 • Offside Trick Feat. Spider - Mchina Mchina

  0 0

  BALOZI wa Redd’s Jokate Mwegelo, Dk. Criss Mauki wametangazwa kuwa washehereheshaji katika maadhimisho ya Siku Ya Msanii Tanzania yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mratibu wa Siku Ya Msanii, Justin Jones alisema kutakuwa na washehereheshaji watatu katika siku hiyo ambapo Criss, Jokate wataungana na MC mwingine Siza Daniel katika kupendezesha shughuli hiyo. 
   “Tulikuwa na idadi kubwa ya watu ambao walitajwa ili wawe Ma-MC katika shughuli yetu lakini baada ya kutafakari tukabaki na majina haya matatu ambao wanaingia kwenye historia ya kuwa washehereshaji wa kwanza katika Siku hii ya kwao,” alisema. 
   Akizungumzia taarifa ya kuchaguliwa kwake kuwa MC wa Siku Ya Msanii, Dk. Mauki alisema alifurahishwa na uamuzi huo kwa kuwa ni tukio kubwa ambalo linafanyika kwa mara ya kwanza nchini. 
   “Nilifurahi sana, kwangu si mara ya kwanza kufanya kazi na Haak Neel Production, lakini kwa hili Tamasha ni la kitaifa na linafanyika kwa mara ya kwanza, kwangu ni furaha kuhusishwa nalo, ni heshima kwangu, ingawa nimeshafanya shughuli kwenye majukwaa mengine lakini hili litaniongezea heshima, zaidi,” alisema. 
   Dk. Mauki ni mwanasaikolojia ambaye amekuwa akitoa mafunzo mbalimbali kupitia vipindi mbalimbali vya radio, televisheni mijadala na kwenye magazeti. Jokate amekuwa akifanya shughuli za ushehereshaji katika shughuli mbalimbali ambapo pia ni mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha TV1 cha mjini Dar es Salaam  akiwa na pia anafanya kazi na DSTV ya Afrika Kusini. 
   Ni mrembo ambaye aliweza kufanya vizuri alipokuwa Balozi wa kinywaji cha Redds mwaka 2006, ambapo ilidhaniwa kuwa ndiye angekuwa Miss Tanzania lakini alikuwa Miss Photogenic katika mashindano ya Miss Tanzania mwaka huo. 
   Kwa upande wake Siza, alikuwa mtangazaji wa kituo cha Clouds FM, na baadae kuwa MC katika shindano la Bongo Star Search pamoja Dume Challenge. 
   Siku Ya Msanii Tanzania inaandaliwa na Kampuni ya Haak Neel Production kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambapo imedhaminiwa na New Habari (2006) LTD kupitia magazeti ya Dimba, Bingwa, Mtanzania na The African, Channel Ten, Magic FM, Michuzi Media, PSPF, Proin Tanzania, Azam Media na CXC.
  Jokate Mwegelo
  Dk. Criss Mauki

  0 0


  Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Kamugisha Kazaura akitoa heshima za mwisho wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu, Amini Elias Mbaga iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.
  Kwaya ikiimba nyimbo za maombolezo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu Amini Elias Mbaga.
   Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), marehemu Amini Mbaga. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

  0 0


  0 0

  Kamati ya Bunge ya Bajeti inatarajia kuanza vikao vyake kuanzia tarehe 13 Oktoba hadi 2 Novemba, 2014. Katika vikao hivyo Kamati inatarajia kushughulikia Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (Tax Administration Bill, 2014) na Muswada wa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (Value added Tax Bill, 2014). 
  Katika kutekeleza azma hiyo, Kamati imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (Tax Administration Bill, 2014) na Muswada wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (Value Added Tax Bill , 2014) siku ya Jumamosi hadi Jumanne ya tarehe 25 – 28 Oktoba, 2014 kuanzia saa 4:00 Asubuhi Ukumbi wa Mkwawa, Ofisi ya Bunge Dar es Salaam. Miswada hiyo itashughulikiwa kwa pamoja kutokana na maudhui yake kushabihiana. 
  Kwa maelezo zaidi unaombwa kuwasiliana na Ndugu Michael Chikokoto simu Na.0785-570685 au Michael Kadebe kwa simu Na.0713-705463.  15 Oktoba 2014


  0 0

  Bw. Phippe Dongier ambaye ni mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi alipokuwa akijibu hoja zilizotolewa na Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali na kuahidi kuzifanyia kazi.
  Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar Bi Amina na wa kushoto kwake ni Bw. Said Magonya ambaye ni Kamishna wa Fedha za nje Wizara ya Fedha.
  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile alipokuwa akitoa msimamo wake kuhusu sera zinazopendekewa na Benki ya Dunia kwa mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier.
  Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania. Kutoka kulia ni Gavana wa Benki kuu ya Tanzania na kutoka kushoto ni Bi. Natu Mwamba Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania wakimsikiliza kwa makini Bw. Phippe Dongier ambaye ni mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi hayupo kwenye picha, alipokuwa akijibu hoja zilizowekwa mezani. Picha zote na Ingiahedi Mduma – Washington DC.

  0 0  0 0
 • 10/16/14--01:32: introducing "Shughuli" by AT

 • 0 0

  DSC_0087
  Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa shirika la kimataifa la sayansi, elimu na utamaduni (UNESCO) Bwana Al Amin Yusuph akielezea madhumuni ya warsha ya wadau wa mradi wa uchaguzi 2015 unaolenga kuboresha demokrasia amani nchini katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ujao, unaofadhiliwa na Shirika La Kimataifa la Maendeleo (UNDP) ulioenda sambamba na mkutano wa tano wa Mtandao wa vyombo vya habari vya Kijamii nchini (COMNETA).

  Na Mwandishi wetu
  Uchaguzi huru na wa haki utafanikiwa iwapo wananchi watapewa elimu sahihi  ya uraia na upigaji kura itakayohamasisha wapiga kura kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi.

  Hayo yamesemwa na Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji John Mkwawa kwenye washa ya siku nne ya wadau wa utekelezaji wa mradi wa uchaguzi unaolenga kuboresha demokrasia na amani nchini kuelekea uchaguzi mkuu ujao .

  Kamishina alisema elimu ya uraia ni muhimu kwa wananchi ili kuwahamasisha ushiriki wao katika demokrasia na kwamba haipaswi kuwa na utashi wa kisiasa au upendeleo kwa chama chochote cha siasa.

  Akitoa mada katika warsha hiyo inayofadhiliwa na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia maendeleo (UNDP) Jaji Mkwawa alisema katika kutoa elimu hiyo wanahabari hawana budi pia kuzingatia miongozo iliyowekwa ya kutofungamana upande wowote kisiasa na kutoa habari kwa usahihi kuhakikisha kwamba makundi yote yanapewa fursa na haki sawa.
  DSC_0169
  Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji John J. Mkwawa, akitoa mada kwa wadau wa utekelezaji wa mradi wa uchaguzi unaolenga kuboresha demokrasia amani nchini  (DEP) katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu ujao, unaofadhiliwa na Shirika La Kimataifa la Maendeleo (UNDP) ) katika warsha ya siku nne inayoendelea mjiji Dodoma. Kutoka kulia ni Afisa Habari na Mahusiano Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Bi. Salha Ali, Bi. Margaret Rugambwa mtalaam wa masuala ya jinsia na jamii kutoka UN Women na Mgeni rasmi Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo (UNDP) Godfrey Mulisa ambaye pia ni Mtaalam wa masuala ya utawala bora kutoka UNDP.
  DSC_0124
  Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo (UNDP) Godfrey Mulisa akisoma risala ya ufunguzi wa warsha hiyo kwa niaba ya Philippe Poinsot inayoendelea kwenye ukumbi wa mikutano ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma.


  0 0

    Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi ya wanachama wa (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dar es Salaam leo (kushoto ni) Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Kata ya Vituka Temeke Dar es Salaam na wanachama wengine.
  Mtemvu akiwa na wafuasi wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Vituka.


  0 0
 • 10/16/14--02:12: TAARIFA YA MSIBA


 • 0 0

     Head of Retail for FINCA Tanzania, Gershom Mpangalah, stresses a point to the media during today’s press conference on the launch of SNV-FINCA Partnership on OYE Project. Looking on from far left are Awadh Milas, OYE Program Leader-Youth Skills Development, Project Manager for OYE-Tanzania, Mozambique and Rwanda, Mr Roy Van Der Drift and Ed Greenwood, FINCA Chief Executive Officer.
   Awadh Milas, OYE Program Leader-Youth Skills Development speaking to the members of the press during the launch of SNV and FINCA partnership on OYE project. Looking on from his right are Project Manager for OYE-Tanzania, Mozambique and Rwanda, Mr Roy Van Der Drift, Mr Ed Greenwood, FINCA Chief Executive Officer and Head of Retail for FINCA Tanzania, Gershom Mpangalah
   Project Manager for OYE-Tanzania, Mozambique and Rwanda, Mr Roy Van Der Drift stress a point to members of press during the launch of SNV and FINCA partnership on OYE project. On his right is Awadh Milas, OYE Program Leader-Youth Skills Development, and from left are Mr Ed Greenwood, FINCA Chief Executive Officer and Head of Retail for FINCA Tanzania, Gershom Mpangalah.
      Some of the youth beneficiaries of OYE project phase one

  The Netherlands Development Organisation SNV, in partnership with the MasterCard Foundation today has launched its new partnership with FINCA Tanzania dubbed The Opportunities for Youth Employment (OYE) project aimed to improve the livelihoods of 20,500 rural, out-of-school youth.

  Speaking during the launch, Project Manager for OYE-Tanzania, Mozambique and Rwanda, Mr Roy Van Der Drift said their partnership with FINCA Tanzania is for the implementation of a five-year OYE project in Tanzania, Mozambique and Rwanda countries through connecting skilled youth with labour market opportunities and contributing to the establishment of new youth-led enterprises.

  “Our Partnership with FNCA Tanzania is purposely designed to implement our OYE-Project which intends to harnesses the motivation, energy and passion of rural youth to innovate and transform existing markets and to create new ones’ said Mr Drift.

  The SNV -FINCA Tanzania partnership aims to facilitate the access to financial services, advise on appropriate financial products and also compliment the Business Development training in areas of trainings that responds to youth own aspirations and the needs of local Agriculture and Renewable Energy markets. 

  "Small and Medium enterprises, if developed, can play an important role in this endeavor. This project will ease unemployment by creating jobs for the youth and the fastest-growing segments of the poor and unemployed in rural areas" said Awadh Milas, Project Leader/Advisor OYE Agriculture.  
   
  The project, now on its second year have already trained 1300 youth in agribusiness skills and renewable energy technologies whereas now it aims to reach 900 youth and train them on business development.

  ‘FINCA operates in almost 17 region in the country, and we are sure by this project we will be able to reach more youth and work together in promoting youth led enterprises and their access to financial services in order to realize their business ambitions” says Ed Greenwood, FINCA Chief Executive Officer.

  SNV through the OYE project reinforces the employability and business skills of youth, making them more reliable to handle finance, while mentoring and coaching them to develop and establish their own enterprises.

  0 0

  Na Saidi Mkabakuli.

  Wapanga mipango nchini wameaswa kuzingatia weledi wakati wa kuandaa maandiko ya miradi yanayowasilishwa kwa wafadhili ili kuongeza ushindani dhidi ya nchi nyingine wakati wa uwasilishaji wa maombi ya kupatiwa ufadhili wa miradi ya maendeleo.

  Wito huo umetolewa na Kaimu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri wakati alipofanya mazungumzo na viongozi waandamizi kutoka wizara za viwanda na biashara, fedha, uchukuzi, nishati na madini pamoja na viongozi waandamizi kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Zanzibar.

  Bibi Mwanri alisema kuwa kuna ushindani mkubwa kwa nchi zinazoomba ufadhili wa miradi ya maendeleo hivyo uandishi wa maandiko yenye kuzingatia weledi na viwango vya kimataifa ni msingi katika kuongeza ushindani na kuweza kuwashawishi wafadhili kuvutiwa na miradi husika.

  “Katika kukabiliana na ushindani hatuna budi kujikita katika weledi na kuandika maandiko yenye kuweza kuvutia wafadhili ili waweze kuja kuwekeza nchini kwetu, ili tuweze kutimiza ndoto zetu za kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025” alisema Bibi Mwanri.

  Mwezi Juni mwaka 2011, Serikali iliandaa Mpango wa Kwanza wa Maeneleo (2011/12 – 2015/16) kwa lengo la kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambapo Mpango huu ulihitaji takribani trilioni 40 ili kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano.

  Kwa mujibu wa Mpango huo, vyanzo vya utekelezaji wake ni pamoja na Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP); uwekezaji wa kigeni; Hati Fungani kwa Waishio Ughaibuni; Hatifungani za ndani; Hati Fungani katika Masoko ya Nje; Mifuko ya Pensheni na hifadhi ya jamii; na makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi wa nchi zinazoendelea.
  Kaimu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wizara za viwanda na biashara, fedha, uchukuzi, nishati na madini pamoja na viongozi waandamizi kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Zanzibar.
  Bibi Maryam Khamis (Wapili kulia) Mtaalam wa uchumi kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Zanzibar akizungumza katika kikao hicho.
  Pichani ni baadhi ya viongozi waliohudhuria Kikao hicho. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji nchini (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru.
  Mmoja wa wajumbe wa kikao hicho, Bw. Aunyisa Meena kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akichangia mada.

  0 0

   
  Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiwasili Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam tayari kwa ibada ya kumuombea marehemu. Mwili wa marehemu Amin Elias Mbaga aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya TTCL ukiingizwa kanisani. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya wafanyakazi wote wa TTCL mara baada ya ibada hiyo iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza, jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akiwafariji wanafamilia ya marehemu Amin Elias Mbaga. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kuelekea Kilimanjaro kwa mazishi.
   Mke na Watoto wa Marehemu Amin Elias Mbaga wakiwa katika ibada hiyo.


  0 0

  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma.


  0 0

  A renowned Lawyer –cum- Diplomat, Ambassador Mwanaidi Sinare Maajar (pictured) has been appointed the new Board of Directors of Bank of Africa Tanzania Limited.

  Prior to her new appointment, Mrs. Maajar was serving as a member for Board of Directors of the bank and the appointment has also approved by the Bank of Tanzania.

  According a statement issued by the Bank in Dar es Salaam yesterday, Ambassador Maajar who is a legal expert wears the shoes left behind by the late Ambassador Fulgence Kazaura who died early this year.

  “Ambassador Maajar has a vast experience in both public and private sectors,” the statement said, noting that her appointment as the Board Chairperson meant a lot to the Bank of Africa Tanzania.
  The new board chairman ended her tour of duty as Tanzania’s Ambassador to the United States of America and non-resident ambassador to Mexico in March 2013.

  “Prior to her transfer to the United States, Mwanaidi Maajar was accredited to the Court of St. James’s as Tanzania’s High Commissioner to the United Kingdom as well as non-resident Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary to the Republic of Ireland, between 2006 and 2010,” the statement said.

  She was also a founding Partner of Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani, Advocates, (“MRN&M”).

  “In February 2006 MRN&M merged with another leading law firm in Tanzania, Epitome Advocates, to form REX ATTORNEYS (“REX”) in an effort to provide better legal services to their largely international clientele.
  Mrs. Maajar heads the Natural Resources Law Practice at REX which covers energy, mining oil & gas, one of the fastest growing practices.

  Currently, she is a chairperson of the Tanzania Mozambique Centre for Foreign Relations, chair of the Vodacom Tanzania and the International Consultant for the D Group, an international consulting Group having taken on the role after the retirement of Sir. Andy Chande, a respected Tanzanian business man. 

  In respect of social responsibility,Mrs. Maajar is chair of the Hassan Maajar Trust (HMT) a charity established in July 2011 in memory of her late son, to help improve the learning environment in schools in Tanzania.

  “ HMT’s flagship program, A Desk for Every Child, aims to ensure that every child in Tanzania has a desk,” the statement noted.

older | 1 | .... | 608 | 609 | (Page 610) | 611 | 612 | .... | 3272 | newer