Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 54 | 55 | (Page 56) | 57 | 58 | .... | 3283 | newer

  0 0


  0 0
 • 02/26/13--03:27: NMB YAWA SUPER BRAND
 • Baada ya miaka saba ya uwekezaji endelevu katika kuboresha huduma, masoko na mtandao wa matawi. NMB sasa inazaidi ya matawi 148, ATM zaidi ya 500, wateja wanaotumia NMB mobile kupata huduma zaidi ya 800,000 na huduma mbadala kama intenet banking, kituo cha huduma kwa wateja na POS. Wateja wa NMB sasa wanapata huduma popote walipo bila kuhitajika kwenda kwenye tawi la NMB. Maboresho hayo yameiwezesha NMB kutunukiwa kuwa Super Brand mwaka 2013-2014. NMB imekua namba moja katika sekta ya benki.

  Mkuu wa masoko na mawasiliano wa NMB,Imani Kajula akipokea tuzo ya super brand kutoka kwa mkurugenzi wa super brand East Africa Jawad Jaffer.

  Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Mark Wiessing akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kussaga (Kulia) na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NMB Imani Kajula.

  Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa NMB wakiwa na tuzo ya super brand 2013-2014

  0 0  0 0

  Makamu Mwenyekiti wa Kamati Maadili ya Utangazaji nchini, Walter Bgoya (katikati) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam ukumbi wa habari Maelezo.

  Na Thehabari.com

  KAMATI ya Maadili ya Utangazaji nchini imevifungia vituo viwili vya radio pamoja na kukipiga faini kituo cha Clouds FM kutokana na kukiuka maadili ya utangazaji.

  Vituo hivyo vya redio ambavyo vyote kwa pamoja vimefungiwa kutorusha matangazo yake kuanzia leo kwa miezi sita ni pamoja na Imani FM cha Dar es Salaam na Kwa-Neema FM kilichopo mkoani Mwanza.

  Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Walter Bgoya alisema Kituo cha Clouds FM kimetakiwa kufuta kipindi chake cha Jicho la Ng'ombe mara moja pamoja na kulipa faini ya sh. milioni 5.

  Akifafanua zaidi Makamu Mwenyekiti huyo alisema vituo vya Imani FM na Kwa-Neema vimefungiwa kwa kosa la kufanya kazi zao kwa uchochezi jambo ambalo ni kinyume cha maadili ya tasnia ya utangazaji. Kituo cha Clouds FM kimetakiwa kutoanzisha kipindi kingine kinacho fanana na Jicho la Ng'ombe.

  Kituo cha Imani FM kinadaiwa kufanya uchochezi kwa wananchi juu ya suala la sensa ya watu na makazi huku kile cha Kwa-Neema kufanya uchochezi juu ya mgogoro wa uchinjaji wanyama kwa Waislamu na Wakristu mkoani Geita.

  Hata hivyo Kamati ya Maadili imeweka mlango wazi kwa vituo hivyo kukata rufaa endapo havikuridhika na adhabu vilivyo pewa kutokana na makosa vinao daiwa kufanya.

  Kamati Imevitaka vyombo vyote vya habari kufanya kazi kwa kuzingatia Kanuni Sheria na maadili ya tasnia hiyo ili kuepuka kuzua migogoro kwa wananchi ambao wamekuwa wakiviamini vituo hivyo.

  Hata hivyo mara baada ya ujumbe wa kamati hiyo kumaliza kusoma adhabu hizo kwa waandishi wa habari haukuruhusu maswali kwa waandishi wa habari, hivyo waandishi kubaki wameduwaa.

  0 0

  Mheshimiwa Mathias Chikawe (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria leo amefungua Mkutano wa Jukwaa la Tume za Uchaguzi za Nchi za SADC unaokutana Dar salaam kwa siku Mbili.

  Jukwaa hilo linajumuisha Tume za Uchaguzi kutoka nchi za Tanzania, Zambia, Botswana, Swaziland, Madagascar, Angola, DRC, Lesotho, Malawi, Mauritius, Mozambique, Seychelles, Zanzibar na Zimbabwe. Jukwaa hilo lilianzishwa mwaka 1998 kwa lengo ya kuleta chachu ya mabadiliko katika nchi za SADC kwenye masuala ya uchaguzi. Jukwaa linahimiza uanzishwaji wa Tume huru za Uchaguzi, umuhimu wa kuweka mazingira stahiki ya kisheria na kitaasisi ili kuziwezesha Tume za Uchaguzi kufanya kazi za kusimamia uchaguzi kwa ufanisi.

  Mhe Chikawe pamoja na mambo mengine amezitaka Tume za Uchaguzi zilizo katika Jukwaa hilo kuimarisha ushirikiano wao kwa lengo la kuboresha chaguzi Barani Africa ili chaguzi hizo ziwe kichocheo cha maendeleo na sio chanzo cha vurugu na vita. Mhe. Chikawe amesema kwa kupitia Jukwaa hilo, Tume za Uchaguzi zitaweza kutatua changamoto mbalimbali zilizopo za kisheria, kimuundo, kitaalamu na kifedha zinazozikabili Tume nyingi barani Africa ili kuhakikisha nchi za SADC zinakuwa na chaguzi huru na za haki
  Wajumbe wa Jukwaa la Tume za Uchaguzi za Nchi zaq SADC wakimsikiliza Mhe Chikawe wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo.
  Wajumbe wa Jukwaa la Tume za Uchaguzi za Nchi za SADC wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa Mkutano huo.
  Mhe Chikawe (katikati) akibadilishana mawazo na Mhe. Jaji (Mst) Damian Lubuva, (kushoto) ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Jukwaa hilo na Bw. Julius Malaba (Kulia) Mkurugenzi wa Uchaguzi Nchini.

  0 0


  Mkurugenzi wa taasisi huru ya Superbrands Ukanda wa Afrika Mashariki Jawad Jaffer akimkabidhi Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya MeTL Group Hussein Dewji cheti cha tuzo ya ubora na thamani ya nembo kwa kampuni zinazotoa huduma bora kwa walaji katika hafla fupi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
  Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya MeTL Group Hussein Dewji.
  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Raha Aashiq Sharrif (Kulia) akiwa Mwakilishi wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Raha Preetkamal Bansal ( wa pili kulia) wakati wa hafla fupi ya Superbrands kukabidhi vyeti kwa makampuni bora kwa mwaka 2013/14 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
  Mkurugenzi Mkuu wa ITV na Radio One Bi. Joyce Mhaville ( wa pili kulia) aliyembatana na Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha IPP Bi. Joyce Luhanga ( wa tatu kulia) wakati wa hafla ya utoaji wa cheti cha tuzo ya ubora na thamani ya nembo iliyoendeshwa na Taasisi ya Superbrands.
  Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya MeTL Group Hussein Dewji akibadilishana mawazo na mmoja wa wageni waalikwa katika hafla hiyo.

  Taasisi huru ya Superbrands ambayo ni kubwa kuliko zote duniani, inayoratibu ubora na thamani ya nembo kwa kampuni zinazotoa huduma bora kwa walaji, leo imekabidhi vyeti vinavyotambuliwa kimataifa vya utambuzi wa ubora wa bidhaa kwa kampuni zilizofanya vizuri nchini Tanzania kwa mwaka 2013/2014.
  Tuzo za Superbrands ni miongoni mwa tuzo zenye thamani kubwa na zinazoleta heshima ya pekee ndani ya kampuni.
  Hii ni mara ya tatu kwa tuzo hizo kutolewa ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki tangu kuanzishwa kwake yapata miaka mine iliyopita.
  Uamuzi na hatimaye utoaji wa tuzo husika unatoka baraza huru la wataalamu waliobobea katika masuala ya biashara, lakini lengo hasa likiwa ni ni kustawisha na kuhamasisha ari katika utoaji huduma zinazo zingatia ubora.
  MeTL imekuwa moja wapo kati ya Makampuni yaliyopokea vyeti vya tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya tatu hapa nchini.

  0 0

  Leo jijini Dar es salaam kulikua na tafrija ya kutambua makampuni yaliyofanya vyema kuanzia kipindi mwaka 2012 hadi kufikia hadhi ya kupata cheti cha taasisi inayotambulika kimataifa ya Superbrands. Benki ya CRDB ikiwa ni benki pekee kutoka Tanzania ambayo imepata cheti hicho kwa miaka miwili mfululizo iliyopita, mwaka huu imeweza kuendeleza rekodi yake kwa kupata tena hadhi ya kuwa Superbrand hivyo kufanya benki hiyo kupata cheti hicho kwa mara ya tatu mfululizo.
  Mkurugenzi kutoka taasisi ya Superbrand, Jawad Jaffer akitoa maelezo kwa wageni waalikwa juu ya kitabu cha orodha ya kampuni zilizotunukiwa hadhi ya Superbrand.

  Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB-Uendeshaji na huduma kwa wateja Saugata Bandyopadhyay wakati wa tafrija ya kupokea cheti cha Superbrand
  Baadhi ya wageni walio hudhuria tafrija hiyo.
  Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akizungumza na waandishi wahabari juu ya sababu zilizoipaisha Benki ya CRDB hadi kutunikiwa cheti cha Superbrand kwa mara ya tatu mfululizo pia mikakati ya benki hiyo katika kuboresha huduma zake ili kuendeleza rekodi yake ya kupata cheti hicho kila mwaka.

  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB-Uendeshaji na huduma kwa wateja Saugata Bandyopadhyay(kulia) akipokea cheti cha Superbrand kutoka kwa mkurugenzi wa Superbrand, Jawad Jaffer

  0 0

   .Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingw(kulia) akiongea na Mshindi kwenye simu ya mezani wakati wa Droo  ya  kuwapata washindi wa shilingi Milioni 5 na Milioni moja  katika  Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,ambapo wafanyabiashara ndogondogo wa Kagera na Dar es Salaam Bw.Rashid Kagombora na Adam Ramadhan wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.wanaoshuhudia kushoto kulia ni Matina Nkurlu Meneja Uhusiano,Benjamin Michael Maneja wa Huduma za Ziada na Afisa Mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Salehe,Mteja anatakiwa kutuma neno"MAHELA"kwenda namba 15544 na kuweza kujishindia.Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.
   Meneja wa Huduma za ziada wa Vodacom Tanzania Bw.Benjamin Michael,akibonyeza kitufe cha kompyuta kwa ajili ya kumpata mshindi wa Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo, ambapo wafanyabiashara ndogondogo wa Kagera na Dar es Salaam Bw.Rashid Kagombora na Adam Ramadhan wamejinyakulia  kitita cha shilingi Milioni 5 kila mmoja.
  Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu (kulia)akionesha moja ya namba ya simu ya mshindi wa Promosheni ya"MAHELA"aliejishindia kitita cha shilingi Milioni 5 ambapo wafanyabiashara ndogondogo wa Kagera na Dar es Salaam Bw.Rashid Kagombora na Adam Ramadhan wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5 kila mmoja katika promosheni hiyo inayoendelea kuchezeshwa na Vodacom Tanzania,katikati ni Maneja wa Huduma za ziada wa Vodacom Bw.Benjamin Michael,anaefatia ni Msimamizi wa Michezo ya kubahatisha nchini Bi.Chiku Salehe. Mteja anatakiwa kutuma neno"MAHELA"kwenda namba 15544 na kuweza kujishindia.zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa.

  0 0


   Minister for Industry and Trade, Dr Abdallah Kigoda (C ) speaks during launching ceremony of  the Tanzania Portland Cement Company expansion project 2013-2014 for company’s cement mill number 5 at a
  press event in Dar es Salaam today. Seated left  is the TPCC Managing Director, Pascal Lesoinne and  the TPCC Board Chairman, Jean Marc Junon.

    Minister for Industry and Trade, Dr Abdallah Kigoda (C ) signs on a billboard to officialolly  launch the Tanzania Portland Cement Company expansion project 2013-2014 for company’s cement mill number 5 at a
  press event in Dar es Salaam today. Looking on left is TPCC Managing Director, Pascal Lesoinne and TPCC Board Chairman, Jean Marc Junon.
  Some of the TPCC at the launching ceremony

  0 0

   READ International is a UK registered and student volunteer-led charity charity that has sent over 1.3 million books to East Africa and renovated 40 libraries since its founding in 2006. These vital educational resources have been distributed into thousands of schools and libraries across Tanzania by UK based student volunteers; providing help for schools to deliver their education programmes and really supporting access to education.

  On 10 January 2013, READ International launched its first ever Tanzanian Volunteer Programme in five locations in Tanzania. This is the first time that READ has run a volunteer programme for Tanzanian volunteers.  Twenty volunteers travelled to Mtwara, Lindi, Morogoro, Pwani and Dar-es-Salaam to help set up or improve a secondary school library.  The aim of the project was to

  ·         To provide an attractive space that improves and supports access to books (textbooks, fiction and non-fiction)

  ·         To construct an environment where reading for pleasure is encouraged

  ·         To create an environment that is conducive to study and with easy-to-access resources

  Mama Sitta, Former Tanzanian Minister of Education said:“These resources are extremely valuable to our schools; providing this kind of educational support is one of the best ways to alleviate poverty in Africa”

  As part of the renovation project, the volunteers would have been

  ·         Making minor repairs to the building

  ·         Repainting the walls and furniture

  ·         Installing new furniture (where necessary)

  ·         Purchasing books published locally in both Kiswahili and English

  ·         Setting up a referencing system where one didn’t exist before

  ·         Recruiting and training volunteers from the school to become prefects

  Montse Pejuan, Country Director of READ International said:“It is truly exciting to be able to offer this opportunity to young Tanzanians.  Based on how the training went, I have absolute confidence that they will produce 5 welcoming rooms for over 3200 students”.

   ·         In Mtwara region: Masasi Day Secondary School

   ·         In Lindi region: Ngongo Secondary School

           In Morogoro region: Nelson Mandela Secondary School

        In Dar-es-Salaam region: Twiga Secondary School

      In Pwani region: Kisarawe Lutheran Seminary

  One of the 5 libraries was funded by the Rotary Club Bahari.  Other corporate partners that have supported library renovations include International School of Tanganyika, BG Group and National Bank of Commerce. 

  Since registering as a charity READ International has had its work recognised in a number of ways. The charity was winner of 'Best New Charity' in the Charity Times Awards 2007, ‘Best International Aid and Development Charity’ in the Charity Awards 2010 and ‘Best Corporate Partnership’ in the Institute of Fundraising Awards 2010.

   READ International is dedicated to empowering young people to become active global citizens and this first Tanzanian led project helped provide a platform to enhance the volunteers’ leadership potential as well as achieve growth, both personally and in their wider social environment.

  To find out more visit: www.readinternational.org.uk.  


  0 0

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ukumbi mkubwa wa mikutano wa Julius Nyerere multi-purpose International conference Hall uliopo mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar es Salaam. Ukumbi huo wa Serikali upo chini ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
  Ujenzi wa Ukumbi huo uko katika hatua za mwisho na Rais Kikwete mbali na kuridhishwa na hatua hiyo ametoa maelekezo kwa wahandisi kutenga sehemu maalumu kwa Wapiga picha na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi.
  Rais Kikwete pia ameelekeza wahandisi kuweka viti na meza zinazohamishika ili kukidhi matakwa ya mikutano na vikao vya aina mbalimbali. Picha na Freddy Maro.
  Sehemu ya jukwaa kuu
  Nafasi za wajumbe wa mikutano
  Viti
  Upande wa juu


  0 0

   President of Rotary Club of Dar es Salaam Oysterbay Raju Sheth addresses those in attendance at the handover of Maji kwa Maisha at Shule Msingi Msasani
   More than 2,000 students, staff, Rotarians and dignitaries attended the handover,  "Maji Kwa Maisha" at Shule Msingi Msasani.
  President of Rotary Club of Dar es Salaam Oysterbay Raju Sheth opens the taps and drinking water flows freely for the students and staff, providing clean drinking water for good health.


  Msasani Primary School is among nine schools in Dar es Salaam that will benefit from a water and sanitation project valued at USD 80,000.


  The money was jointly raised by six Dar es Salaam Rotary clubs during the ‘2010 Rotary Dar Marathon’ and by Rotary Clubs in Vancouver and matched by the Rotary Foundation.


  Installations include renovation of existing toilets, water storage facilities, water filtering facilities to reach drinking quality, various water points and faucets, hand washing facilities, piping, valves among other facilities.


  “I’m very proud of the collective efforts that have resulted in the transformation for the better of so many student’s lives,” said Raju Sheth, President, Rotary Club of Dar es Salaam Oysterbay.


  “It’s a great feeling, not only for Rotary Clubs and Rotarians, but the pupils and families of the pupils.  Projects that lead to activities like these are a living example of our motto, ‘Service above Self’. We feel honoured and humbled to be a part of this, and to help make it possible,” he added.


  The project is organised by a partnership of Rotary Club of Dar es Salaam Oysterbay, other Dar es Salaam Rotary Clubs and Rotary Clubs in Vancouver, Canada and The Rotary Foundation. The Rotary Club of Dar es Salaam Oysterbay, took responsibility for the renovations and installations at Msasani Primary School.


  About Rotary International

  Rotary is the world's premiere service organisation. Its motto is 'Service above Self'. Water & Sanitation is one of the six areas of focus. Other areas of focus are peace and conflict prevention/resolution, disease prevention and treatment, maternal and child health, basic education and literacy and economic and community development.

  For more information about Rotary International visit www.rotary.org

  and for Rotary Club Oyster Bay www.rotarydar.com  0 0  0 0

   Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,(kulia)  akimkabidhi zawadi ya Kasha  Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman  Yussuf bin Alawi bin Abdullah,akiwa kiongozi wa ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman,baada ya  hafla ya chakula maalum,kilichoandaliwa kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
   Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman  Yussuf bin Alawi bin Abdullah,akitoa hutuba fupi ya  shukururani zake kwa kuandaliwa chakula  maalum,akiwa na ujumbe wake katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar 
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,(kushoto) alipokuwa akitoa hutuba fupi ya kuwashukuru wageni  wa ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman,ulioongozwa na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman  Yussuf bin Alawi bin Abdullah,(kulia) baada ya kushiriki katika  hafla ya chakula maalum,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar.

  0 0
 • 02/26/13--10:14: Kali TV Online this week

 • This week, Kali TV met a Kenyan native young successful immigrant lawyer, Regina Njogu. Coming from East African country of Kenya, Regina has managed to establish her own law firm RNW Law Firm serving a lot of immigrants in Maryland, Washington DC and Virginia.

  0 0

  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania,Dr. Agnes Kijazi akifungua rasmi warsha ya wanahabari Kwa kutambua mchango mkubwa wa vyombo vya habari katika kufikisha ujumbe kwa jamii,Mamlaka imeandaa warsha ikiwa na lengo la kupata lugha rahisi na ya kueleweka kwa umma bila kuleta mkanganyiko pindi taarifa za hali ya hewa zinapotolewa
  Mkurugenzi wa huduma za utabiri,Dr. Hamza Kabelwa akifafanua jambo kwa washiriki.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania,Dr. Agnes Kijazi.
  Baadhi ya wanahabari wakifuatilia warsha hiyo.

  0 0

  Waziri wa Nishati na Madini, Tanzania, Mhe. Sospeter Mhongo, akiwa Ofisini kwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Peter Kallaghe, akiangalia Kitabu cha wageni kilichopo Ofisini hapo, kabla ya kusaini Kitabu hiko.
  Mheshimiwa Waziri Sospeter Mhongo (kulia) akiongea na baadhi ya Wafanyabiashara na Wawekezaji mapema leo kwenye Mkutano wake ambao aliufanya kwenye Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, London, (kulia),Mhe. Balozi Peter Kallaghe, akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mhe. Waziri, alipokuwa akiongea na Wawekezaji hao wenye nia ya kuwekeza nchini Tanzania katika Sekta hiyo ya Nishati na Madini.
  Baadhi ya Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Kigeni na Wajasiliamali wa Kitanzania, kwenye Sekta ya Nishati na Madini, wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Waziri wa Nishati na Madini Tanzania, Mhe. Sospeter Mhongo, alipokuwa akiongea nao mapema leo.
  Mheshimiwa Waziri Sospeter Mhongo (kati), akiwa kwenye picha ya pamoja Wawekezaji, (kushoto) Bwana Manubai Teraiya, mwakilishi wa Lloyds Eastern Group na (kushoto) ni Dada Gillian Raini Mwakilishi wa Kampuni ya East Africa Ventures.
  Mheshimiwa Waziri, akibadilishana mawazo na Wawakilishi kutoka Kampuni ya Margin Capital ya Uingereza, mara baada ya kumalizika mkutano na Wafanyabiashara na Wawekezaji hao.picha na Rashid Dilunga.

  0 0
 • 02/26/13--13:21: Shukrani


 • 0 0


  0 0


  Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Hon. Bernard K. Membe (MP) (right), yesterday (February 26, 2013) met with the United Nations Refugees Agency Representative (Tanzania), Ms. Mends-Cole who paid a courtesy visit to discuss strategic direction on refugees local integration.  The two met in the Minister's office located in Dar es Salaam. 

  During their discussion, Hon. Membe raised his concerns when refugees become intentionally displaced in their own country, which can spark chaos to the nationals in the receiving regions.  He further raised the issue of discrimination among refugees, and requested that the UNHCR Tanzania Representative monitor and find solutions to such events as they arise.

  Hon. Membe explains to Ms. Mends-Cole about the Government's readiness in seeing a sufficient and efficient systems are put in place in order to improve the refugees camp.

  Hon. Membe in discussion with Ms. Mends-Cole (center), UNHCR Representative in the United Republic of Tanzania.  Left is Ms. Melanie Senelle, External Relations Officer for the UNHCR.
    
  Mr. Amos Msanjila (left), a Foreign Service Officer in the Ministry of Foreign Affairs and Ms. Melanie Senelle, External Relations Officer for UNHCR, listening to Hon. Membe's discussion with Ms. Mends-Cole. 

  Hon. Membe and Ms. Mends-Cole share a good icebreaker laugh during their meeting yesterday in the Minister's office in Dar es Salaam. 

  Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation shares a book about Zambia with Ms. Mends-Cole, the UN Refugees Agency at the conclusion of their meeting. 
   
   
  All photos by Tagie Daisy Mwakawago of the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation.

older | 1 | .... | 54 | 55 | (Page 56) | 57 | 58 | .... | 3283 | newer