Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110130 articles
Browse latest View live

LIKE IT! SHARE IT! POST IT! AND OWN IT! BIG BROTHER AFRICA, YOUR ALL ACCESS PASS

$
0
0
Every year fans across the continent sit eagerly glued to their screens, social media abuzz; they wait tensely to be razzled and dazzled by their favourite Big Brother Africa housemates. 

As the shows fanbase grows, so does the conversation on the social networks. During the 8th season, over 6 million fans interacted with Big Brother Africa via the Website, Twitter, and Facebook, with the website generating just over 200 million impressions. 

“As a voter driven show, the success of the Big Brother Africa brand relies heavily on audience engagement and our social media platforms allow for this to happen in real-time”, says M-Net Africa Regional Director (West Africa) Wangi Wa-Uzoukwu. 

She also added that because of Big Brother Africa’s growing success on social media, it is important for the brand to continuously explore other platforms, "Every year, we expand the ways audiences interact and enjoy more premium entertainment. This year, even more people will be able to partake in the thrill of Big Brother via their mobile devices and on different ‎platforms. The addition of Instagram, for instance, brings yet another exciting dimension and we look forward to sharing more entertaining content with our fans."


One person who knows all too well about the power that social media has, is season 8 winner, Dillish Matthews who has established a fan base of over 200 000 across Facebook and twitter “I never dreamt of such a big following and it keeps increasing, which is a great advantage for my career as a personality and model. As the countdown begins, I can’t help but reminisce about some of my most memorable moments in the Big Brother house. Good luck to the new housemates and I hope they enjoy the adventure.”


With auditions well underway across the 14 participating countries, this year’s season promises to impress with more drama, romance, intrigue and suspense. 

Endemol MD Sivan Pillay says this is going to be the most exciting season yet. “We have been producing the series since 2003 and to keep fans captivated, we have to evolve and this entails finding housemates with a little extra talent and swagger”.

Big Brother Africa 9 kicks off on Sunday 7 September and will be screened live 24/7 on DStv channels 197 and 198 while the best of the live highlights will be shown on GOtv. Don’t forget to follow Big Brother on Twitter, Facebook and Instagram to ensure you don’t miss out on any of the action! 

For more information log onto www.bigbrotherafrica.com 

VODACOM YASABABISHA VILIVYO ROBO FAINALI YA DANCE 100 CHANG'OMBE

$
0
0
Kikundi cha Street Dance cha Mbagara jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Wachezaji wa kundi la Manuary kutoka Majohe Pugu jijini Dar es salaam, wakicheza wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Vijana wanaounda Kikundi cha G.O.P cha Keko jijini Dar es salaam, wakitoa burudani kali wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM: ASKARI POLISI FEKI WA USALAMA BARABARANI ALIYEKUWA ANATAPELI WANANCHI AKAMATWA

$
0
0
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishna Suleiman Kova akimuonyesha mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Askari Feki aliyekamatwa hivi karibuni.

GAPCO YAZINDUA KILAINISHA KIPYA CHA PIKIPIKI

$
0
0
Kampuni ya Gapco Tanzania Ltd leo hii imezindua kilainishi kipya cha pikipiki kilijulikanacho kama Relstar Alpha 4T Ultra. Uamuzi wa Gapco kuzindua bidhaa hii ni kutokana na ongezeko kubwa la pikipiki nchini haswa kwa matumizi ya kibiashara.

Akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi huo, Mkurugenzi Mkuu wa Gapco, Bwana. Macharia Irungu alisema, “Utafiti umetuonyesha kwa sasa watumiaji wamiliki wengi wa pikipiki wanalazimishwa kutembelea gereji mara mbili kwa mwezi kwa ajili ya kurekebisha pikipiki zao. Kupitia kilainishi chetu cha Relstar Alpha 4T Ultra tunawahakikishia wateja wetu kutumia muda mfupi kwenye warsha na kupata maili zaidi kwa pesa zao.

Ongezeko kubwa la pikipiki au bodaboda nchini imeleta pia ongezeko la vilainishi vya pikipiki vyenye viwango vya chini. Kupitia kilainishi kipya cha Gapco wateja wataweza kupata; maili zaidi na akiba wanapoenda kufanya marekebisho kwenye pikipiki zao.

Naye Mgeni Rasmi katika hafla hiyo, Kamander wa Trafiki, Bwana. Mohamed Mpinga aliwaonya watumiaji wa pikipiki kuepukana na vilainishi vya viwango vya chini na pia kuwahimiza kutii sheria za barabarani.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabara Tanzania,Kamanda Mohamed Mpinga na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Gapco Afrika Mashariki, Macharia Irungu wakizindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam jana.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarania Tanzania,Kamanda Mohamed Mpinga na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Gapco Afrika Mashariki, Macharia Irungu wakipiga makofi mara baada ya kuzindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam jana.
Picha ya pamja mara baada ya uzinduzi wa vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam jana.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabara Tanzania,Kamanda Mohamed Mpinga akimkabidhi William Dafta koti maalum la kuaksi mwanga mara baada ya kuzindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam jana.
Waendesha pikipiki(maarufu kama Bodaboda) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua vilainishi vya GAPCO RELSTARALPHA 4T vya Pikipiki za miguu miwili na mitatu wakati wa hafla fupi iliyoandaliwa jijini Dar es Salaaam jana huku wakiwa wamevalia makoti maalumu ya kuaksi mwanga yaliyotolewa na Kampuni hiyo ili kujilinda na usalama wao.

Tanzania, Marekani zasaini makubaliano ya Utekelezaji wa Power Africa Initiative

$
0
0
Na Teresia Mhagama

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark B. Childress wamesaini Makubaliano ya Awali (MoU) kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Marekani kwa ajili ya kutekeleza mpango wa Serikali ya Marekani wa kusaidia maendeleo ya sekta ya umeme barani Afrika, unaoitwa “Power Africa Initiative” ambao umetengewa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 7 na serikali ya nchi hiyo, ambapo makampuni binafsi ya nchi hiyo yaliahidi kuwekeza Dola za Marekani bilioni 9.

Mpango huo uliozinduliwa na Rais Barack Obama wa Marekani wakati alipotembelea Tanzania, mwezi Julai 2013, utainufaisha Tanzania pamoja na nchi nyingine kama Ethiopia, Ghana, Nigeria, Liberia na Kenya.

Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo ilifanyika katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Washington DC, USA mnamo tarehe 3 Agosti, 2014. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi. Liberata Mulamula.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ( katikati) pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark B. Childress (wa kwanza kulia) wakisaini Makubaliano ya Awali kwa ajili ya kutekeleza mpango wa Serikali ya Marekani wa kusaidia maendeleo ya sekta ya umeme barani Afrika, unaoitwa “Power Africa Initiative”. Wa kwaza kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Bi.Liberatha Mulamula.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ( kushoto) pamoja na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark B. Childress (kulia) wakibadilishana nyaraka mara baada ya kusaini Makubaliano ya Awali kwa ajili ya kutekeleza mpango wa Serikali ya Marekani wa kusaidia maendeleo ya sekta ya umeme barani Afrika, unaoitwa “Power Africa Initiative”.

BALOZI WA TANZANIA UBELGIJI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI LIEGE - UBELGIJI

$
0
0
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Ubelgiji baada ya kumaliza mazungumzo nao leo Liege - Ubelgiji.

MAASKOFU MORAVIAN WATINGA OFISINI KWA CHIKAWE,WAMUOMBA AINGILIE KATI MGOGORO NDANI YA KANISA

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Maaskofu wa Kanisa la Moravian nchini baada ya kuwasikiliza malalamiko yao kuhusiana na migogoro ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea kwa muda mrefu katika Kanisa hilo. Maaskofu hao ambao walikuwa wanaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Alinikisa Cheyo walimuomba Waziri Chikawe aingilie kati kwa kudhibiti vurugu hizo ambazo zinazisambaratisha kanisa lao. Hata hivyo, Waziri Chikawe aliahidi kulifanyia kazi suala hilo na atalitolea maamuzi baada ya kufanya uchunguzi wa kina kwa kukutana na pande zote mbili zinazogombana.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza kwa makini Askofu wa Kanisa la Moravian nchini, Conrad Nguvumali (watatu kulia) wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe jijini Dar es Salaam leo. Maaskofu watano wa Kanisa hilo ambalo limekumbwa na mgogoro kwa muda mrefu sasa, wakiongozwa na Askofu Kiongozi wa Kanisa hilo nchini, Alinikisa Cheyo (wapili kushoto) walionana na Waziri huyo ili kuomba msaada wake katika kudhibiti vurugu zinazoendelea katika Kanisa hilo. Hata hivyo, Waziri Chikawe aliahidi kulifanyia kazi na hatimaye kulitolea maamuzi suala hilo baada ya kufanya uchunguzi wa kina kwa kukutana na pande zote mbili zinazogombana. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Reviewed & Re-Released: "Ni Raha Tu"-AY [Original And Remix]-Listen And Download

$
0
0
Ni Raha Tu-AY 
Ni Raha Tu-AY| Ni Raha Tu-AY Feat.Complex[/caption] As the world was welcoming the new millennium with illusion global threat of Y2K, the east African nation of Tanzania was also going through its own share of changes. The scene resembled of a man standing in the middle of a burning lake of himself, unable to escape with time running out faster than a rocket.

 The country had lost her founding father, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere a year earlier. Everyone was devastated and worried. The future of the nation without him was certain but doubtful. It seemed like the engines for the country had suddenly gone off. Darkness had fallen! Dar-es-salaam, in particular, was then a city under a smutty darkness.

 Five years earlier [1995], the first multi-party elections had taken place. The seasoned journalist and diplomat, Benjamin William Mkapa had taken the oath with muted promises of changing the economical gateways. He asked everyone to tighten his or her belt. 

He had a daunting task of changing the sickening sensation of life plunging downward that had occupied the minds of millions of Tanzanians. Benjamin Mkapa’s economical policies [under the wings of his party-CCM] were not clearly understood. Few people, to this date, have grasped well what he wanted to do. All I know is; he wanted the country to be self-reliant. 


GADO LEO

ALIKIBA LIKE NEVER BEFORE

VETA KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

$
0
0
Wafanyakazi na wanafunzi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA kutoka vyuo mbalimbali nchini wapo katika maonesho ya wakulima nane nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya maonesho Ngongo kilometya 17 kutoka Lindi mjini. VETA wamesheni vitu mbalimbali na mafunzo kwa wakulima na teknolojia za kisasa. Pia kuna mgahawa wa kisasa upo kibandani kwao na unatoa huduma zote za hoteli kuanzaia chakula na vinywaji vyote. SOURCE: FATHER KIDEVU BLOG
 Mwanafunzi wa Uashi wa VETA, Noel Sowan akiwaonesha vijana wenzake wa Lindi namna ya ufyatuaji wa matofari ya kissa yatuamiayo udongo yanavyo fanyika.
 Huyu akijenga kwa matofali hayo na nyumba hupendeza
 Beatrice Kirati ambaye ni Mwanafunzi wa VETA akifafanua juu ya kifaa cha kisasa cha kunyeshea kuku na nyuki maji. Kifaa hicho kinaweza unganishwa na bomba au tanki la maji moja kwa moja bila kumfanya mfugaji kuwekea mifugo yake maji mara kwa mara.
 Mwanafunzi wa VETA, Jackson Range akimpa maelezo juu ya mashine ya kutotolea vifaranga iliyotengenezwa nao.
 Mtaalam wa kutathmini mafunzo ya VETA, Joyce Mwinuka akiwasikiliza maofisa wa Polisi kutoka Mkoani Lindi ambao ni Mkuu wa Kituo cha Polisi Mingoyo, Mkaguzi wa Polisi Juma Solomon (kushoto) na Mkuu wa Oparesheni wa Mkoa wa Lindi, ASP. Charles Onyango walipotembelea banda la Veta.
 Raia wa Uingereza anaefanya utalii kwa kusafiri na pikipiki kutoka nchini kwake hadi Afrika Kusini akianglia mashine ya asili ya kukeleza mbao iliyobuniwa na VETA Mtwara. Wanaompa maelezo ni Mwalimu, Juma Malibidu (kulia) na Aboubakar Maurusi.
 Raia wa Uingereza anaefanya utalii kwa kusafiri na pikipiki kutoka nchini kwake hadi Afrika Kusini akianglia mashine ya kufyatulia nishati mbada ya kupikia itokanayo na maranda ya mbao. Hii ni VETA Pekee
VETA pia ina mashine maalum za kisasa za umwagiliaji maji katika bustani yako.

MKUU WA MKOA WA PWANI AZINDUA MRADI MPYA WA VIWANJA VYA PANGANI,KIBAHA

$
0
0
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akikata Utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Mradi mpya wa Viwanja vya Pangani Mjini Kibaha,Mkoani Pwani jana Agosti 4,2014.Mradi huo Unaratibiwa na Kampuni ya Space & Development kwa Ufadhili wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB Development Bank).
Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akiangalia Maji yanayokoka kwenye Kisima kikubwa kilichopo ndani ya Mradi huo ambacho kina uwezo wa kutoa Lita elfu 10 kwa saa,ikiwa ni sehemu ya Miundombinu iliyopo ndani ya Mrani huo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akizungumza na baadhi ya wadau (hawapo pichani) waliohudhuliwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa Mradi mpya wa Viwanja vya Pangani Mjini Kibaha,Mkoani Pwani jana Agosti 4,2014.Mradi huo Unaratibiwa na Kampuni ya Space & Development kwa Ufadhili wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB Development Bank).
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Rasilimani nchini (TIB Development Bank), Peter Noni akizungumza machache juu ya namna walivyojitokeza kusaidia kuufanikisha mradi huo ikiwa ni pamoja na kusaidia maendelea ya maeneo mbali mbali ndani ya Mkoa wa Pwani,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi mpya wa Viwanja vya Pangani Mjini Kibaha,Mkoani Pwani jana Agosti 4,2014.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Space & Development,Renny Chiwa akizungumza kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika eneo la Pangani,Kibaha Mkoani Pwani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mh. Mwantumu Mahiza akipongezana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Rasilimani nchini (TIB Development Bank), Peter Noni mara baada ya hotuba yake.
Picha ya pamoja.

Furaha ya Kusainiwa Kitabu

$
0
0

Na Profesa Joseph Mbele
Wapenzi wa vitabu wakishajipatia nakala ya kitabu cha mwandishi fulani, huguswa pale mwandishi anaposaini kitabu hicho. Aghalabu mwandishi huandika ujumbe mfupi kwa mteja huyu na kasha kuweka sahihi. Ni jambo linalowagusa sana wasomaji. Mimi mwenyewe, kama mwandishi, nimeshasaini vitabu vyangu vingi. Ninazo baadhi ya picha za matukio haya kutoka miaka iliyopita.
Msomaji makini na mwanablogu Christian Bwaya hivi karibuni ameelezea vizuri katika blogu yake, hisia zake baada ya kujipatia kitabu changu cha Africans and Americans: Embracing Cultural Differencesambacho nilikuwa nimekisaini:
Namshukuru kwa dhati mwandishi wa kitabu hiki, Prof. Mbele kwa kunitumia kitabu hiki bila malipo, tena kwa gharama zake. Si jambo linalowatokea wengi. Ni furaha iliyoje hatimaye nimekipokea leo asubuhi. Naanza kukisoma kitabu hiki kwa mara nyingine, safari hii kikiwa na saini ya mwandishi. Ni upendeleo na muujiza wa pekee kunitokea katika siku za hivi karibuni. Ni lazima nimshukuru kwa dhati. Asante sana Profesa

Utamaduni wa kusaini na kusainiwa vitabu nimeuzoea. Hata juzi tarehe 2 Agosti, niliposhiriki tamasha la Afrifest kule Brooklyn Park, Minnesota, nikiwa na vitabu vyangu, wadau kadhaa walionunua vitabu vyangu waliomba kusainiwa.



Hapa anaonekana mdau akiniangalia wakati nasaini nakala yaMatengo Folktales, ambayo alikuwa amenunua hapo. Baada ya kusainiwa nakala yake, aliona furaha ya ziada kupiga picha nami huku akiwa ameshika kitabu hicho. Hiyo nayo ni kawaida hapa Marekani; wadau wakishanunua kitabu na kusainiwa, wanapenda kupiga picha na mwandishi, ikiwezekana.



Mdau huyu, aitwaye Adrian, m-Marekani Mweusi, alinifahamu tangu miaka kadhaa iliyopita. Alikuwa anasoma katika chuo fulani mjini Minneapolis. Kulikuwa na mkutano wa kitaaluma, nami nilikuwa mmoja wa wanajopo, nikitoa mada. Adrian alivutiwa sana. 

Halafu, alinisikiliza tena mwaka jana, nilipokuwa naongea katika jopo la watu wawili, nikiwa na Profesa Mahmud el-Khati, m-Marekani Mweusi, tukiongelea mbele ya umati, mahusiano baina ya wa-Afrika na wa-Marekani Weusi.
Adrian ni msomi kijana makini. Tayari naona nyota yake imeanza kung'ara katika medani ya uongozi katika jamii. Nina imani atafika mbali katika jamii ya wa-Marekani weusi na Marekani kwa ujumla.


Hapa kushoto ni picha nyingine, kutoka hiyo hiyo juzi katika tamasha la Afrifest, nikiwa na mdau kutoka Liberia, ambaye alikuwa amenunua kitabu cha Africans and Americans: Embracing Cultural Differences, nami nikiwa nimekisaini. Inaonekana aliguswa sana, na hakuweza kujizuia kuniwekea mkono wake begani pangu.

Suala hili la kusaini au kusainiwa vitabu linastahili  kutafakariwa. Naamini lina vipengele kadhaa muhimu, kama vile kiutamaduni, kisoshiolojia, kisaikolojia, na kifalsafa. hata katika maduka ya vitabu hapa Marekani, aghalabu utaona vimepangwa vitabu vya mwandishi vikiwa na ujumbe "Signed copy." Jambo hili linaisukuma akili yangu kutaka kulielewa zaidi. Ningependa kujifunza zaidi kuhusu suala hili, kwa kusoma maandishi mbali mbali na kufanya tafakari mwenyewe.

You might also like:

SEMINA KUBWA YA INJILI DALLAS, TEXAS AGOSTI 8 na 9, 2014

Mkuu wa mkoa wa Mbeya,Mh Abbas Kandoro afungua mashindano ya Airtel Rising Stars Mbeya

$
0
0
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mh. Abbas Kandoro  akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Mbaspo wakati akifungua rasmi mashindano ya Airtel Rising Stars.
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mh. Abbas Kandoro  akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Mbozi wakati akifungua rasmi mashindano ya Airtel Rising Stars.
 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya Airtel Rising Stars Mbeya 



Kandoro afagilia mashindano ya vijana.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro amefungua rasmi mashindano ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mkoa wa Mbeya na kusisitiza umuhimu kwa wadau wote wa soka kutilia maanani programu za vijana. Ufunguzi huo ulifanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya juzi Jumatatu. 

“Hii ndio njia pekee ambayo inaweza kutuletea maendeelo ya soka na kuiwezesha nchi yetu kuondokana na matokeo mabaya katika mashindano mbali mbali ya kimataifa”, alisema. Aliishukuru kampuni ya Airtel Tanzania kwa kubuni programu hii ambayo imekuwa ikiwapa vijana fursa ya kuonyesha na kuviendeleza vipaji vyao.

Aliwataka vijana kucheza kwa kujituma na kuwataka wafahamu kwamba hatma ya mchezo wa soka kwa siku za usoni iko mikononi mwao “Miamba yote ya soka ambayo tunaihusudu na kuishabikia hivi leo imepata mafanikio hayo makubwa baada ya kuwekeza na kutilia manani soka la vijana na naamini kwamba kwa mwendo huu na sisi tutapata mafanikio ya kuridhisha. Ni suala la muda tu”, alisema.

Amewataka viongozi wa chama cha soka mkoa wa Mbeya (MREFA) kuyatumia vizuri mashindano ya Airtel Rising Stars ngazi ya mkoa na kuchagua vijana nyota watakaounda timu ya mkoa kushiriki kwenye fainali za Taifa za Airtel Rising Stars zinazotarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 10 hadi 17.

Fainali za Taifa zitashirikisha timu za wavulana na wasichana kutoka mikoa ya kisoka ya Ilala, Temeke na Kinondoni. Timu nyingine zitatoka Morogoro, Mwanza, Mbeya na Zanzibar. Alisema mbali na kutumika kubaini vipaji vya soka, programu ya Airtel Rising Stars pia inatoa fursa kwa vijana kushiriki mazoezi hivyo kuwafanya kuwa na afya njema.

Kalenda ya mwaka ya Airtel Rising Stars inatarajiwa kufikia tamati mwishoni mwa mwezi huu ambapo zaidi ya nchi 20 za Afrika zitachuana kwenye mashindano ya kimataifa yaliyopangwa kufanyika nchini Gabon. Katika kindumbwendumbwe hicho Tanzania itawakilishwa na timu za wavulana na wasichana zenye wachezaji 16 kila moja. Wawakilishi hao watachaguliwa wakati wa fainali za Taifa jijini Dar es Salaam.

Kwa upande wake Katibu mkuu wa MREFA Juma Killa ameishukuru kampuni ya Airtel kwa kubuni programu hii ili kutumika kama jukwaa linatotumika kubaini vipaji vya wanasoka chipukizi. Alisema kuwa mashindano ya Airtel Rising stars yameifanya kazi yao ya kutafuta vipaji vya soka kuwa rahisi zaidi.

Akizungumza kwenye hafla hiyo, Meneja wa Airtel Tanzania Kanda ya Mbeya Straton Mushi amewashukuru wadau wote wa soka kwa kuyaunga mkono mashindano ya Airtel Rising Stars na kuyapa umuhimu yanaostahili.



SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI MASHINE ZA HYDRAFORM MKOA WA DODOMA

$
0
0
1
Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma Bw. Itandula Gambalagi akikabidhi mashine 28 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi katika hafla iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Chamwino.
2
Mkufunzi kutoka VETA akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa jinsi mashine hizo zinavyofanya kazi
3
Mkuu wa mkoa Dr Rehema Nchimbi akikabidhi mashine kwa wakuu wa wilaya za Chamwino na Kongwa kwa niaba ya wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Dodoma. (Picha kwa hisani ya kittengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)

BALOZI WA UJERUMANI NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE D’SALAAM

$
0
0
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke alipokuwa akimfafanulia jambo wakati Balozi huyo na Naibu wake walipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ujerumani na Tanzania. 
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia jambo Balozi wa Ujerumani nchini, Egon Kochanke wakati Balozi huyo na Naibu wake, John Reyels (kulia) walipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ujerumani na Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akiagana na Naibu Balozi wa Ujerumani nchini, John Reyels wakati Naibu huyo na Balozi wake, Egon Kochanke (katikati) walipomaliza mazungumzo na Waziri Chikawe ofisini kwake Dar es Salaam baada ya kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ubalozi huo na Wizara yake. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 FULL BURUDANI

Wakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA

$
0
0
Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa Masoko
Mkuu wa mkoa wa Iringa  Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya 
Elimu ikiendelea kutolewa.

MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AZINDUA MAKTABA YA KISASA SHULE YA SEKONDARI CHALINZE

$
0
0
1
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akikata utepe kuzindua maktaba ya shule ya sekondari ya Chalinze mjini Chalinze jana ambayo imejengwa na Kampuni ya Tanga Cement kupitia bidhaa yake ya Simba Cement kwa kushirikiana na taasisi ya Read International kwa gharama ya shilingi milioni 42 za kitanzania katika kuboresha elimu jimboni humo.

Mbunge huyo pia ameahidi kujenga jiko katika shule hiyo na kuongeza kompyuta ili wanafunzi wajengewe mzingira mazuri zaidi ya kujisomea lakini pia ameahidi kushughulikia tatizo la wanafunzi 10 ambao wamefauru kwenda kidato cha ano na sita lakini hawakupata nafasi ya kuchaguliwa, hivyo ameueleza uongozi wa shule hiyo pamoja na wazazi kwamba wanafunzi hao lazima watafutiwe nafasi ya kuendelea na shule hata kama itakuwa siyo ndani ya jimbo la Chalinze, 

"Muhimu wapate nafasi ya kuendelea na elimu yao ya kidato cha tano na sita" Alisema Mh. Ridhiwani Kikwete alimuomba mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Bw. Mbwana Madeni amkabidhi majina ya wanafunzi wote kumi ili yaanze kufanyiwa kazi mara moja.
2
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani Kikweteakipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Chalinze Bw. Mbwana Madeni kabla ya kuzindua rasmi maktaba ya shule hiyo, Katikati ni Emma Lyu kutoka taasisi ya Read International na kushoto ni Raquel Araya kutoka Taasisi ya Read International pia.
3
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani Kikwete akionyeshwa vitabu mbalimbali vilivyopo katika maktaba ya shule ya sekondari ya Chalinze na Najma Juma kutoka Chuo Kikuuu cha Dar es salaam UDSM ambaye anafanya kazi za kujitolea katika taasisi ya Read Internional.
4
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh Ridhiwani Kikweteakiangalia kitabu wakati akikagua maktaba hiyo kulia kwake ni Najma Juma wa Read International.
Viewing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images