With salams and duaa With the generosity of IZAAS supporters and donors the 1st of Ramazan was started with recitation of holy Quran and Duwas.
MASHALLAH.
Kindly see below.
Mubaarak Abdullah
Mats Hummels ameipaisha Ujerumani kwa kichwa na kuizimisha Ufaransa katika uwanja wa Maracana jijini Rio de Janeiro leo na kuipeleka nusu fainali. Beki huyo mwenye umri wa miaka 25 alifunga bao hilo la pekee dakika ya 13, na Ujerumani inayofundishwa na Joachim Low itaelekea Uwanja wa Belo Horizonte kupambana na mshindi wa robo fainal kati ya Brazil na Colombia baadaye leo. Chini ni mabeseni yenye madonge ya barafu ambayo wachezaji wa Ujerumani walitumia kutuliza joto kali la jiji la Rio de Janeiro kabla ya mchezo wao na Ufaransa. Inaonesha "ndumba" hii imewasaidia leo.
Diamond Platnumz na DMK kwenye utoaji tuzo za BET Los Angeles Photo Credits: DMK Global Promotions' facebook page |
ON ACCOUNT OF SABA SABA DAY, OUR OFFICE WILL REMAIN CLOSED ON 7TH JULY, 2014. FOR ALL YOUR URGENT BOOKINGS ETC, PLEASE CONTACT OUR BRANCH OFFICE AT JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT, TERMINAL 2 ON TEL. NOS. 022-2842738 OR 0713-540881 FOR FURTHER ASSISTANCE. WE WOULD LIKE TO WISH YOU A HAPPY SABA SABA DAY! MANAGEMENT - UNIGLOBE SKYLINK TRAVEL & TOURS LIMITED |