Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 442 | 443 | (Page 444) | 445 | 446 | .... | 3278 | newer

  0 0
 • 05/07/14--07:45: SOKA NDANI YA DSTv PEKEE


 • 0 0
 • 05/07/14--13:09: SHIMO HATARI LAZIBWA
 • LILE Shimo hatari lililokuwa kero kwa watumiaji na kuripotiwa na Global TV Online juzi Jumatatu Mei 5, 2014 limezibwa kwa sehemu kubwa. 
  Shimo hilo lilikuwa katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jirani na Kituo cha ITV, Mwenge jijini Dar es Salaam. Ungana na Global TV Online kushuhudia shimo hilo lilivyozibwa!

  0 0

  cid:image003.png@01CED4CF.016FDC70
  East African Community

  The East African Community Secretariat has today signed a cooperation programme worth 2.3 million Euros with the European Union (EU) to improve Maritime Security and  create  a favourable environment for the economic development in the region.

  The signing of the agreement was preceded by a roundtable discussion, also held at the EAC headquarters, on the theme: “the Business Environment in East Africa’’ organized in commemoration of the EU Week. 

  The financing agreement was signed by the Deputy Secretary General in charge of Finance and Administration of the East African Community, Mr Jean Claude Nsengiyumva and Filiberto Ceriani Sebregondi, Ambassador  of the European Union to United Republic of Tanzania and the East African Community.

  The Maritime Security Programme (MASE) is part of a 37.5 Million euros package to four regional organisations of Eastern and Southern Africa (EAC, COMESA, IGAD and IOC). The financial support will, among others,  strengthen the capacities of the four blocs in order  to implement the Regional Strategy and Action Plan against Piracy and for Maritime Security adopted in 2010.

  Within this framework, the EAC will lead the efforts to strengthen legal, legislative and infrastructural capability for arrest, transfer, detention and prosecution of pirates, both at national and regional levels.

  In particular, support will be provided to investigative capacities as well as prisons/correctional services reform and capacity building offered to prosecutors and court staff. A key deliverable will include support to the operationalization of the EAC Regional Forensic Referral Centre.

  Other activities run by other regional organisations seek to foster the implementation of the Somalia Inland Action Plan, to develop regional capacity to disrupt piracy financial networks, to enhance capacity for maritime tasks and support functions and to improve coordination and information exchange between stakeholders.

  The MASE Programme falls under an EU comprehensive approach to fighting piracy and complement other EU actions such as EUCAP Nestor and Atalanta missions, the EU military Training Mission (EUTM) for Somalia and the Critical Maritime Routes Programme  MARSIC.

  Speaking during the ceremony, the EAC Deputy Secretary General in charge of Finance and Administration, Mr Jean Claude Nsengiyumva  applauded  the engagement with the European Union in mobilizing resources geared towards uplifting the standard of living of the citizens in the region.

  The EAC official reiterated that EAC greatly values the strategic cooperation with the EU and regards it as one of its key strategic partners. He  assured the European Union of its highest consideration.


  In his remarks Filiberto Ceriani Sebregondi, European Union’s Ambassador said “ Improving Maritime Security is key to create favourable condition for economic growth and social development. The MASE programme will support the East African Community in taking part in global and regional efforts towards safer Eastern Africa coasts’’

  Earlier at the EAC headquarters, representatives from the civil society organizations and the private sector joined EU and EAC staff in a roundtable discussion on the Business Environment in East Africa as part of the EU-EAC week which will  reach its climax on Friday 9th  of May 2014.

  The Round-Table Discussions themed; Business Environment in East Africa featured EU’s Amb. Sebregondi; Deputy Secretary General in charge of Finance and Administration, Mr. Jean Claude Nsengiyumva; Deputy Secretary General in charge Political Federation Mr. Charles Njoroge; the Chairman of the Tanzanian Private sector Foundation, Mr. Reginald Mengi; the East African Business Council Chairman, Mr. Felix Mosha; the Tanzania CEO Roundtable Chairman, Ali Mufuruki; and the East Africa Civil Society Forum Policy Advisor, Mr. Robert MMAITSI as the main discussants.

  0 0

  Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Augustino Ramadhani (wa pili kutoka kushoto) akiwa na Mhe. Naimi Aziz, (wa pili kulia) Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia. Wa kwanza kushoto ni Bw. Nsavike Ndatta, Afisa Mambo ya Nje Mkuu wa Ubalozi, na wa kwanza kulia ni Bw. Eutace Lubuva, Afisa Mambo ya Nje Mkuu wa Ubalozi. Jaji Mstaafu Mhe. Augustino Ramadhani, amealikwa kutoa mada katika mkutano wa Umoja wa Afrika wa wataalam wa Sheria unaofanyika mjini Addis Ababa, Ethiopia. 

  0 0


  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari(hawako)pichani kuhusu mambo muhimu yaliyopo kwenye ripoti ya ukaguzi wa hesabu ya Mwaka wa fedha ulioishia Juni 30 2013 kama ilivyo wasilishwa Bungeni Tarehe 7 Mei,2014.
  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akiwa katika picha ya pamoja na wataalam alioongozana nao.
  Sehemu ya vitabu vyenye ripoti hiyo.
  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu za Serikali Ndugu Ludovick S.L.Utouh akizungumza na waandishi wa habari akiwa  na Mweyekiti wa kamati ya kudumu ya tawala zamikoa na serikali za mitaa Mhe.Mbarouk Mohamed(kulia) na Mwenyekiti wa kamati ya mashirika ya Umma Mhe Zitto Kabwe(kushoto)
  Sehemu ya wageni walioshuhudia hafla hiyo. Picha na  Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma.


  0 0
 • 05/07/14--20:00: ngoma azipendazo ankal
 • Sikiliza "Love Station" ya  The winners

  0 0

  "Niliamini kuwa itatuchukuwa muda mrefu kusafiri kuweza kujenga na kutengeneza kitu ambacho kitatambulika kitaifa kitakuwa na heshima inayostahili na kitatoa mchango unaostahili na kitashawishi wachimbaji wengine kuona kwamba hii ni Fursa ambayo hakuna yeyote yule anayeweza kuiacha ipite pembeni. Sasa wacha niwapongeze NSSF kwa kuwa wajanja kati ya mifuko mingine yote ya jamii na kuamua kuliangalia kundi hili ambalo nguvu yake ya baadaye italiongoza taifa kuwa na matajiri wake wa ndani nikimaanisha wawekezaji wa ndani wenye nguvu Mabilionea" alisema Naibu Waziri wa Nishati na Madini Steven Masele.
  Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la taifa la Hifadhi ya jamii NSSF Crescentius Magori akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na NSSF kuhusu mfuko huo kwa wachimbaji wadogo wa madini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano Victoria Palace Hotel Capripoint jijini Mwanza.. 
  Meneja kiongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya jamii NSSF mkoa wa Mwanza akitoa maelezo ya awali na kutambulisha wadau mbalimbali walio hudhuria Semina kwa wachimbaji wadogo wa madini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano Victoria Palace Hotel Capripoint jijini Mwanza, ikiandaliwa na NSSF.
  Wadau wa NSSF wakinukuu pointi za msingi katika Semina ya wachimbaji wadogo wa madini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano Victoria Palace Hotel Capripoint jijini Mwanza.
  Naibu waziri wa wizara ya Nishati na Madini nchini Steven Masele ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi akizindua Mpango maalum na kufungua Semina kwa wachimbaji wadogo wa madini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano Victoria Palace Hotel Capripoint jijini Mwanza. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

  0 0

  European Union Naval Force Commander Task Force 465 Jurgen Zur muhlen at the centre Addressing the estimated guest during the Visit to Tanzania, and give thanks to Tanzania Government for good relationship.
  Assistant Commander Tanzanian Naval Brigedier General Rogastian Laswai , give the word of thanks to European union Naval for flag Ship F215 Brandenburg for having Good relationship Between them and Tanzania and the Naval training that are organized by European Union Naval.
  Untitled
  European Union Naval Force Commander Task Force 465 Jurgen Zur muhlen at left side together with Assistant Commander Tanzanian Naval Brigedier General Rogastian Laswai during the gathering
  Some Guest From Government of Tanzania, Delegation of European Union, Embassy of Federal Republic of Germany, invited Naval Force from Neighbor countries and other guest who join On Board inside Frigate Brandenburg

  0 0

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Rished BADE kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).


  Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni  Sefue, uteulzi huu umaanza tarehe 06 Mei, 2014.  Bwana BADE anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bwana Harry KITILYA ambaye alistaafu tarehe 14 Desemba,2013.


  Kabla ya uteuzi huo, Bwana BADE alikuwa Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania tangu Septemba,2012 na baadaye kukaimu nafasi ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania tangia Bwana Kitilya alipostaafu.


  Kabla ya kujiunga na Mamlaka ya Mapato Tanzania, Bwana Rished BADE amewahi kufanya kazi katika maeneo mbalimbali yaliyompa ujuzi na weledi mkubwa kwenye mambo ya fedha na mapato kama ifuatavyo:-


  Ø  Oktoba, 1995 – Mei, 2000 – Mkaguzi wa Benki za Biashara, Benki Kuu ya Tanzania.

  Ø  Juni, 2000 – Juni, 2001 – Credit Manager, Akiba Commercial Bank.

  Ø  Juni, 2001 – Septemba,2001 – Chief Financial Officer, Akiba Banking Corporation.

  Ø  Septemba, 2001 – Machi, 2006 – Chief Operating Oficer, Barclays Bank (Uganda).


  Ø  Januari, 2007 – Desemba, 2009 – Chief Executive Officer, Barclays Bank (Tanzania)

  Ø  Desemba, 2009 – 2012 – Chief Financial Officer, (East and West Africa Cluster) Barclays Bank Plc Emerging Markets.

  Ø  Novemba, 2010 – Septemba, 2012 – Chief Executive Officer, Tanzania Mortgage Refinance Company.


  Bwana Rished BADE ana Shahada ya Kwanza ya Bachelor of Commerce and Management ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (1995); Shahada ya Master of Commerce in Banking and Finance ya Chuo Kikuu cha Sydney (1999), na ni Certified Public Accountant (CPA).


  Katika kumteua kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mheshimiwa Rais ana imani kubwa kwa elimu, uzoefu na weledi alionao, Bwana Rished Bade kwa kushirikiana na watumishi wenzake, atatoa mchango mkubwa kwa Taifa kwa kuzidi kuimarisha Mamlaka hiyo na kuboresha utendaji wake na hivyo kuongeza mapato ya Serikali kwa faida ya Taifa.

   “Mwisho”

  Imetolewa na:


  Premi Kibanga,

  Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,

  Ikulu - Dar es Salaam.


  08 Mei, 2014


  0 0

  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang kwa mazungumzo oembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014.
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa China Mhe. Li Keqiang pembeni ya Mkutano wa Uchumi Duniani kwa bara la Afrika jijini Abuja, Nigeria, Mei 7, 2014.PICHA NA IKULU

  0 0

  ABUJA, Nigeria, May 8, 2014/ -- Rasilimali za Afrika zenye utajiri mwingi zinatoa nafasi ya kipekee ya ufanisi katika uimarishaji wa maisha ya raia wa Afrika, yasema ripoti mpya kubwa iliyozinduliwa leo na Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, lakini mara nyingi sana rasilimali hizi huporwa na maafisa wafisadi pamoja na wawekezaji wa kigeni. Aidha, Ripoti hii inaonyesha kwamba kuongezeka kwa ukosefu wa usawa vilevile kunaizuia Afrika isiikamate nafasi hii ya maendeleo.

  Ripoti hii ya 2014 ya Jopo la Maendeleo ya Afrika (http://www.africaprogresspanel.org), Nafaka, Samaki, Pesa: Kugharamia mageuzi ya Kijani kibichi na Samawati, inawahimiza viongozi wa kisiasa wa Afrika kuchukua hatua hususa sasa ili kupunguza ukosefu wa usawa kwa kuwekeza katika kilimo. Pia, inataka hatua ya kimataifa kuchukuliwa ili kukomesha kile kinachotajwa kuwa uporaji wa sekta za mbao na uvuvi.

  “Baada ya zaidi ya mwongo mmoja wa ukuzi, kuna mengi ya kushangilia,” Bwana Annan atawaambia viongozi wa kisiasa na wa kibiashara, wakati wa kuzinduliwa kwa ripoti hii katika mkutano wa Baraza la Kiuchumi la Ulimwengu kwa Afrika (World Economic Forum for Africa). “Lakini ni wakati wa kuuliza kwa nini ukuzi mkubwa wa jinsi hii haujasaidia hata kidogo kuwainua watu kutoka katika umasikini na kwa nini utajiri mwingi wa Afrika umeharibiwa kupitia mazoea ya ufisadi na uwekezaji usio mnyoofu.”#


  0 0

  Mkurugenzi wa Uendeshaji toka wakala wa huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) bw. Naftal Singwejo akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki utakaotumika katika kutoa huduma ya mafuta kwa magari ya Serikali na mitambo ili kuongeza tija katika utoaji wa huduma hiyo kwa Taasisi ,Wakala na Wizara zote .kushoto ni Mkurugenzi Himili Biashara Bw. Malik Aram.

  Na Frank Mvungi-Maelezo

  Serikali yaanza kutekeleza mradi wa kufunga mfumo wa kielektroniki kujaza mafuta magari na mitambo ya taasisi za Umma ili kuongeza tija katika utoaji huduma hiyo kote nchini. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) bw. Naftal Singwejo wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.

  Akifafanua Singwejo amesema mradi huo utashirikisha Wizara,Taasisi zote za Umma,Wakala na Idara zinazojitegemea ambazo kwa mujibu wa sheria ya ununuzi wa Umma na 7 ya Mwaka 2011 sura ya 410 kifungu cha 56 zinatumia huduma hiyo toka kwa wakala huo.

  “Hatua za awali za utekelezaji wa mradi huu zitahusisha kufungwa kifaa maalum (identification tag) katika mlango wa tanki la gari au mtambo “alisema Singwejo Akizungumzia faida za mfumo huo, Singwejo alisema hakutakuwa na mfanyakazi (Pump Attendant) wa kuweka mafuta katika gari au mtambo na hivyo huduma hiyo itapatikana kwa haraka na hivyo kuongeza tija.

  Faida nyingine ni kuwa taarifa ya matumizi ya mafuta ya chombo cha umma itapatikana kwa wakati kwa njia ya mtandao na hivyo maamuzi sahihi kufanyika juu ya matumizi ya mafuta kwa chombo husika.

  Aidha, Singwejo alibainisha kuwa mfumo huo utaondoa kabisa udanganyifu wa matumizi ya mafuta katika magari na mitambo kwa taasisi za umma na kutoa nafasi kwa chombo kilichodhibitika tu kuweza kupata huduma ya mafuta.

  Naye Mkurugenzi Himili Biashara Bw. Malik Aram alisema kuwa mfumo huo ni wa kisasa ambao unatumika katika nchi zilizoendelea na majaribio ya mfumo huo hapa Tanzania yatafanyika katika kituo cha Kurasini mwishoni mwa mwezi Julai, 2014 ambapo hadi sasa mfumo huo umeanza kusimikwa katika kituo hicho.

  Bw. Malik aliongeza kuwa baada ya kukamilika kwa mfumo huu katika kituo cha Mafuta cha kurasini katika mwaka huu wa fedha katika mwaka ujao wa fedha mfumo huo utafungwa katika Mikoa ya Arusha, Dodoma, Iringa, Mbeya, na Mwanza.

  Serikali ilianzisha wakala wa Huduma ya ununuzi Serikalini (GPSA) ili kudhibiti matumizi ya fedha za umma yanayofanyika kupitia ununuzi wa vifaa mbalimbali na mafuta kwa ajili ya magari na mitambo ya umma, hivyo mfumo huu ni moja ya hatua za utekelezaji wa mpango huo kamambe wa kuwa na matumizi ya rasilimali za umma wenye tija.

  0 0

  Jiji la Abuja, ambao ndilo makao makuu ya nchi ya Nigeria, lipo katikati ya nchi hiyo kubwa na tajiri yenye utajiri mkubwa wa mafuta na gesi. Mji huu ulijengwa miaka ya 1980, na ukatangazwa rasmi kuwa makao makuu ya nchi December 12, 1991, kuchukua nafasi ya jiji la Lagos, ambalo linabakia kuwa ni jiji lenye wakazi wengi kuliko sehemu yoyote katika Nigeria. 
  Kama ilivyo ada, Abuja limekua siku hadi siku huku likishuhudia ongezeko kubwa la watu kiasi cha serikali kulazimika kuanza kujenga miji ya pembeni (satellite cities) katika maeneo ya Karu, Suleja, Gwagwalanda, Lugbe, kuje na sehemu zingine ndogondogo ambako mji huo unaelekea.
  Inakadiriwa mji wa Abuja una wakaazi takriban milioni tatu, hivyo kuwa mji wa nne wa Nigeria wenye wakaazi wengi, wa kwanza ukiwa Lagos (milioni 21), Kano na Ibadan. Inasemekana mwaka 2006 Lagos ilikuwa na watu milioni 17.5, kwa mujibu wa sense iliyofanyika mwaka huo. Kwa sasa, ongezeko la watu likiwa asilimia 3.2 kwa mwaka, jiji hilo sasa lina wakaazi milioni 21. 
  Kwa Tanzania, jiji la Dar es salaam lina wakaazi 4,364,541 kwa mujibu wa matokeo ya sense ya watu na makaazi ya mwaka 2012. 
  Jiji  la Dar liliacha kuwa na hadhi ya makao makuu ya nchi mwaka 1974, na mji wa Dodoma kuchukua nafasi hiyo. 
  Historia ya mji wa Abuja  inaanza miaka ya 1970 wakati wa migogoro ya kidini na kikabila ilipokuwa kileleni. Ndipo mikakati ikawekwa kuwa na makao makuu ya nchi katikati ya nchi ambapo patakuwa huru na rafiki kwa kila upande unaopingana. 
   Sababu ingine ya kuhamishia makao makuu hapo Abuja ambako awali palikuwa na kijiji kidogo na misitu, ni msongamano kutokana na wingi wa watu katika jiji la Lagos. 
  Mpango uliotumika ni kama ule wa Brazil ambao walichagua kujenga makao makuu yake Brasilia, kutoka Rio de Janeiro. Jiografia ya Abuja inajengeka kuanzia mwamba mkubwa uitwao Aso Rock, wenye ukubwa wa mita 400. 
  Mji huu pia una sifa za kuwa mji uliopangika kwa ubora wa hali ya juu , tajiri na ghali sana kuishi barani  Afrika.

  0 0

   Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu akifungua mkutano na Wahariri wa vyombo vya habari May 7, 2014 jiji Dar es Salaam. juu ya utunzaji wa Mazingira na kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani mapema mwezi wa Sita.
   Mwendesha mada  Bi. Singlunda, akielezea machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Julius Ningu.
   Mdau wa habari akichangia mada.
    Mdau wa habari akichangia mada.

  0 0  0 0

  World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab speaks at the closing Plenary session of the Growth Africa Investment Forum at the World Economic Forum in Abuja. Listerning from left arePresident Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Hon Daniel Kablan Duncan, the Prime Minister of Ivory Coast, President Goodluck Jonathan of Nigeria, Ms Amina Mohamed from the UN in charge of the Post-2015 goals initiative, President of Rwanda Hon. Paul Kagame, the Deputy Chairperson of the African Unity Hon. Erastus Mwacha, and the USAID Administrator, Dr Rajiv Shah.
  President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete makes his contribution during the closing Plenary session of the Grow Africa Investment Forum at the World Economic Forum on Africa in Abuja. Others from left are the Prime Minister of Ivory Coast, President Goodluck Jonathan of Nigeria, Ms Amina Mohamed from the UN in charge of the Post-2015 goals initiative, President of Rwanda Hon. Paul Kagame, the Deputy Chairperson of the African Unity Hon. Erastus Mwacha, and the USAID Administrator, Dr Rajiv Shah.
  World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab pins a WEF pin on President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in the sidelines of the World Economic Forum in Abuja.
  President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in talks with the World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab in the side lines of the World Economic Forum in Abuja.
  President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in talks with the World Economic Forum Founder and Chairman Prof. Klaus Shwab in the side lines of the World Economic Forum in Abuja.
  President Dr, Jakaya Mrisho Kikwete attends a High Level Meeting on the African Strategic Infrastructure Initiative in Abuja, Nigeria, on May 8, 2014. To his right are host President Goodluck Jonathan and H.E. Macky Sall, the President of Senegal.
  President Dr, Jakaya Mrisho Kikwete listen to the Governor of the Bank of Tanzania Professor Benno Ndullu after a High Level Meeting on the African Strategic Infrastructure Initiative in Abuja, Nigeria, on May 8, 2014. Others from left are Mr Erick Shitindi, Permanent Secretary in the Ministry of Labour and Employment, Dr Philip Mpango, Executive Director Planning Commission, Ambassador Celestine Mushy, Director Multilateral Cooperation, Dr Shaban Mwinjaka, Permanent Secretary in the Ministry of Transport and the Tanzania High Commissioner to Nigeria, Hon. Daniel ole Njoolay.
  President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in talks with the USAID Administrator, Dr Rajiv Shah in the side lines of the World Economic Forum in Abuja. STATE HOUSE PHOTO

  0 0

  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kulia) akionesha kitu wakati Meneja wa Tanrords Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dorothy Mtenga ( kushoto ) akiangalia eneo la maji lililijaa katika mto  Kilombero mei 5, mwaka huu, wakati Mkuu huyo wa Mkoa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ilipotembelea eneo la Kivukoni kuona madhara ya mafuriko.
  Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, akiwa ndani ya boti kwenye mto Kilombero , mei 5, mwaka huu ,tayari kuanza safari ya kurejea eneo sehemu ya kituo cha kupandia abiria umbali wa kilometa zipatazo 1.5.
  eneo la ujenzi wa tuta la barabara ya kuingilia kwenye Kivuko cha Kilombero ambayo imebomolewa na maji ya mafuriko ya mvua na kusababisha magari kushindwa kupita eneo hilo ambalo lina urefu wa mita 65 na kipande kikubwa kubwa ni mita 30 kama walivyokutwa Mei 5, 2014 eneo hilo.


  0 0

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta jambo na Mbunge wa Urambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, bungeni mjini Dodoma leo Mei 8, 2014.
  Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul akiwa Bungeni.
  Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozwa na mpambe wa Bunge kutoka ukumbili leo Mei 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  0 0

  The Climate Service Adaptation Programme Stakeholders’ Consultation Workshop on Global Framework for Climate Services (GFCS) in Tanzania is taking place in the United Republic of Tanzania from 7th-9th 2014, at Giraffe Ocean View Hotel Dar es Salaam. The GFCS Programme aims to build resilience in disaster risk management, food security, nutrition and health in the country.

  The programme is being supported by the Royal Government of Norway starting with Tanzania and Malawi. This is to help African countries adapt to changing climate and to increase resilience to droughts and floods and other weather and climate extremes.

  This Programme is a mult-agencies and cross sectoral initiative involving seven (7) partner organizations, these include the World Meteorological Organization (WMO), CGIAR Research Programme on Climate Change Agriculture and Food Security (CCAFS); Centre for International Climate and Enviromental Research- Oslo (CICERO); Chr. Michelsen Institute (CMI); International Federation of Red Cross and Crescent Societies (IFRC); World Food Programme (WFP); and World Health Health Organization (WHO).
  Participants of National Stakeholders’ Consultative Workshop for climate services in Tanzania.
  Representative of the Minister of Transport, Dr. Agnes Kijazi, Director General of Tanzania Meteorological Agency gave the opening remarks on behalf of the Minister of Transport.
  Director of Global Framework for Climate Services Mr. Filipe Lucio explaining the objectives of the programme.

  0 0


  Mhe. Dkt. Maalim akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi kwenye Kituo cha Taifa cha Kuratibu Matokeo. Kwa nyuma ni screen zinazoonesha matokeo kutoka sehemu mbalimbali za nchi yanavyoingia.
  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maali m akielekea kwenye moja ya Vituo vya kupigia kura wakati wa  Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini humo uliofanyika tarehe 7 Mei, 2014. Mhe. Dkt. Maalim anaongoza ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi  kutoka Tanzania kama nchi mwanachama wa SADC na pia  mjumbe wa Asasi ya Ulinzi, Siasa na Usalama ya SADC. 
  Mhe. Dkt. Maalim akiwa na Waangalizi wengine kwenye moja ya vituo vya kupigia kura mjini Pretoria kabla ya zoezi la upigaji kura kuanza.

older | 1 | .... | 442 | 443 | (Page 444) | 445 | 446 | .... | 3278 | newer