Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 109595 articles
Browse latest View live

Okoa gharama na muda wa ujenzi wa nyumba yako

0
0
Wakati Watanzania, katika miaka ya karibuni wamekuwa wakijitahidi kuboresha maisha yao hususan katika suala zima la ujenzi wa nyumba zilizo bora na za kisasa, upande wa pili wa harakati hizi umekuwa ni wa changamoto nyingi ambazo zimekuwa zikiwakabili wananchi katika kuzifikia ndoto zao hizo, hasa kwa upande wa gharama za vifaa vya kufanikisha ujenzi huo, lakini pale ambapo wameweza kujitahidi kuweza kufikia gharama hizo,

Katikati ya sintofahamu hii, kumekuwa na Watanzania ambao wamekuwa wakijitahidi kuwaza ni namna gani wataweza kuwasaidia wananchi wenzao katika kukabiliana na changamoto hizo, ambapo miongoni mwao ni wamiliki wa kampuni ya Mega Woodcraft Products (T) Ltd, kampuni ambayo imelenga kuleta mapinduzi makubwa katika sekta ya ujenzi nchini kwa kutambulisha mfumo wa kisasa wa ujenzi wa

Kifupi, Mega Panel, ni Mega Panel ni polystyrene (EPS) iliyoimarishwa kwa wavu wa chuma cha pua uliopakwa zinc na kuunganishwa kwa nguvu ya umeme ili kuwa kiini cha mkingiko wa waya zilizopenyeza kwenye polystyrene ambapo polystyrene iliyochomekwa katikati ya wavu wa chuma cha pua huzuia moto na umeme na ingawa panel hii ni nyepesi ina sifa ya kuifanya iwe kifaa cha ujenzi imara na kinachodumu. 

Inaweza kufungwa na kujengwa haraka na ni imara kuliko matofali au matofali yenye uwazi.Mfumo huu wa ujenzi ilianza Marekani, licha ya kuwa kitu kigeni nchini, lakini umeshatumika katika nchi kadhaa na kuonyesha mafanikio makubwa nchi kama Japan, China ,Korea, Afrika Kusini, Msumbiju, Botswana na ata majirani zetu Kenya wanatumia mfumo huu wa ujenzi ,

Manufaa ya ujezi huu ni ujenzi mwepesi na rahisi, hutumia asilimia hamsini (50%) tu ya ujenzi ukilinganisha na ujenzi wamatofali, hupunguza asilimia thelathini (30%) ya saruji , hupunguza gharama za usafirishaji na unajenzi (installation cost), haitaji msingi mkubwa kwa sababu Mega Panels ni nyepesi sana ukilinganisha na matofali hivyo ni rahisi kuongezea gorofa (Vertical extension),  kutoka kwenye nyumba ya chini ni rahisi kujengea maumbo maalum (design configuration), imara sana kutonana na wavu wa chuma cha pua (wire mesh reinforcement), hupunguza joto kwa asilimia ishirini(20%) kutokana na polystyrene, pamoja na mambo yote hayo  mfumo huu ni rafiki wa ikolojia.

Aidha, paneli hizi ambazo zinapatikana katika ukubwa wa aina mbalimbali kwanzia ukuta wa nje (load bearing wall) ukuta wa ndani (pattion wall) dari (roof panels/ slab panels) kwa ukubwa wa 1.2 mtrs X 2.8 mtrs), zimethibitika kuwa pia na uwezo wa kuhami bamba, ukuta na hata paa, pale zilikotumika, huku pia zikiwa na uwezo wa kuhami sauti, kuhami msingi na vitu vingine vingi. 

Ili kujua zaidi kuhusu mfumo huu, wasiliana na Mega Panels kupitia tovuti yao www.mega.co.tz , ikiwa ni pamoja na mbinu za ujenzi wake nk. na ikiwa bado una maswali zaidi, unaweza kuwatembelea Mega Woodcraft Products (T) Ltd ofisini kwao, mtaa wa Bungoni, kiwanja namba 508, au kwa barua pepe jonathan@mega.co.tz

African Diaspora Funding Opportunity - March 17 Deadline

0
0
Dear All,

We have been notified by one our networks that, there is a new funding opportunity with a fast approaching deadline – the Carnegie Corporation  is supporting African diasporans to travel back to Africa for short periods for capacity building at African Universities. The information is below, but in a nutshell, it provides funding for African-born scholars (from all disciplines) based in North America to visit Africa for a period of 2 weeks to one semester to engage in joint curriculum development, research collaboration and/or graduate student training and mentoring in Kenya, Tanzania, Uganda, Nigeria, Ghana and South Africa. This is the first round of competitions and the applications are due March 17, 2014!  

PLEASE DISTRIBUTE WIDELY TO YOUR AFRICAN-RELATED NETWORKS AND HELP GET THE WORD OUT! It’s the hope of the organizers that there will be a very healthy representation of scientists among the first cohort - the first round of any competition can help shape it, and demonstrate the demand!

Related Documents:

In a related effort, please also note that the Department of State works with AAAS and the National Academies in a partnership called NODES – Networks of Diasporas in Engineering and Science.  The website for this partnership (http://www.aaas.org/program/science-and-engineering-diasporas) has many resources and groups – alas in its new website design, AAAS now requires that you dig around – but there are treasures under the Events/Resources/Groups/About tabs. The Deputy Secretary of State recently authored an article of the Potential of Science Diasporas (http://www.aaas.org/news/potential-science-diasporas).

Let me know if you will have any question,

With Kind Regards,

Dr. Ndaga Mwakabuta,
DICOTA President.
DICOTA Communication

Tuzo za Ebrahim Hussein za anzishwa kuenzi mchango wake katika utunzi wa mashairi

0
0
Mwenyekiti wa kamati ya mashinda ya Tunzo ya Ushairi nchini Tanzania Ibrahim Seushi akizungumza wana wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tuzo hizo mapema hivi karibuni. Tuzo hizo zitaitwa Ebrahim Hussein ikiwa ni kumuenzi nguri na mkongwe huyo wa mashairi hapa nchini.
Jaji Kiongozi wa Tuzo za Ebrahim Hussein Profesa Mugabyo Mlinzi Mulokozi akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa tuzo hizo mapema hivi karibuni.
Profesa Ebrahim Hussein (katika) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa tuzo za mashairi zilizopewa jina lake ikiwa ni kuenzi mchango wake katika tasnia hiyo mapema hivi karibuni.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Utamaduni wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Hajaty Shani Kitoga akiimba shairi la Wakati Ukuta ambaole ni moja ya kazi za Profesa Ebrahim Hussein wakati wa uzinduzi wa tuzo za mashairi zilizoanzishwa mapema hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Publisher Bw. Walter Bgoya akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa tuzo za mtunzi wa mashairi ambapo kampuni hiyo ndiyo muendeshajio wa mashindano hayo.
Profesa Ebrahim Hussein (katika) akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa tuzo za mashairi zilizopewa jina lake ikiwa ni kuenzi mchango wake katika tasnia hiyo mapema hivi karibuni. Picha zote na Frank Shija - WHVUM

NEW YORK YAMJADILI TENA TEMBO, CHELSEA CLINTON AONGOZA MAJADILIANO, TANZANIA YASHIRIKI

0
0
Moja ya picha mbalimbli za Tembo zilipamba ukumbi yalipofanyika majadiliano kuhusu tembo, picha hizo na ambazo zilikuwa kivutio kwa washiriki wa majadiliano hayo ziliandaliwa na National Geograpy.
Mkurugenzi Mtendaji wa ABC HOME Paulette Cole akiwakaribisha wanajopo na wageni waalikwa katika majadiliano kuhusu tembo, majadiliano hayo yalifanyika siku ya jumanne usiku Jijini New York.
Chelsea Clinton, Makamu Mwenyekiti wa Clinton Foundation, na ambaye aliongoza majadiliano hayo akiwatambulisha wanajopo, kutoka kushoto ni Bw. John Heminway, Balozi Tuvako Manongi, kati kati ni Chelsea Bint wa Rais Bill na Hilary Clinton, kulia kwa Chelsea ni Bw. Bryan Christy na anayefuatia ni Bw. Josh Ginsberg kutoka Wildlife Conservation Society. Heminway na Christy ni waandishi na watunga filamu na kwa pamoja wametengeneza filamu ijulikanayo kama "The Battle for Elephants". Filamu hiyo itaonyeshwa February 27 kupitia Channel ya National Geograpy.

MSAADA TUTANI: Ninataka Kujitoa Kwenye Klabu Ya Wasagaji Matajiri

0
0
Habari za leo ndugu, ninakuomba unisaidie kuweka waraka wangu kwenye blogu yako, ili watu wenye uwezo wa kunisaidia hata kwa ushauri tu, waweze kunisaidia kwani nipo katika wakati mgumu sana sasa hivi  Natanguliza shukurani zangu za dhati kwako.

Kwa ufupi mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26 . Ninaishi Dar Es salaam na kazi yangu ni mfanyabishara. Baada ya maisha kunipiga sana, niliamua kwenda kuomba ushauri kwa mdada mmoja jirani yetu ambaye yeye mambo yake yalikuwa yamemnyookea sana.

Dada huyo aliniunganisha na mmama mmoja ambaye alikuwa anaishi Masaki, mama huyo akanipeleka kwenye klabu ya wanawake wasagaji ambao ni matajiri ambako niliingizwa kwenye utaratibu wa ibada (matambiko ) yao. Hekalu la wanawake hawa matajiri lipo katika wilaya ya Kinondoni.

Waganga wakuu wa hekalu hilo wapo watatu, kuna wanaume wawili ambao ni vijana vijana tu na mwanamke mdada mmoja ambaye yupo kwenye umri wa kama miaka arobaini hivi na ushee.

Watu hawa watatu ni wachawi wenye nguvu za ajabu sana na pindi unapojiunga na klabu hii, unakula kiapo cha kutii na kufuata masharti yao katika siku zote za maisha yao. Wanao kiuka masharti yao huwa wanapata matatizo makubwa sana.

Katika hekalu hilo, zinafanyika ibada za uchi za kila mwisho wa wiki na huwa zinahusisha mamia ya wanawake. Niliingia katika klabu hii tangu mwaka jana (2013) mwanzoni, kweli nilipoingia nilitajirika sana baada ya muda mfupi tu. Kila kitu nilichokitaka katika maisha yangu nilikipata.

Hata hivyo pamoja na kupata mali na utajiri kupitia klabu hii, mimi ninataka kujitoa ingawa nashindwa kwa sababu naogopa kupata adhabu ya kuvunja kiapo cha watu hawa.

Ninataka kujitoa kwa sababu, kwanza sina amani moyoni mwangu. Nafsi yangu inanisuta sana kupata mali ambazo zinatokana na kujiunga na klabu ambayo memba wake wanamuabudu shetani, vilevile ninajiona mkosaji sana kwa ninacho kifanya kwa sababu ni kama nimekuwa muabudu shetani.

Tatizo linalo nikabili ni kwamba, ninataka kujitoa lakini ninashindwa kwa sababu ninaogopa kupata adhabu ya kukiuka masharti ya klabu( dini ) hii ambayo kwa kweli ni magumu sana kwangu.

Ni tamaa tu ndio iliyo niponza, naomba mnisaidie ndugu zangu japo hata kwa kunipa ushauri. Vilevile ninawasihi akina dada wa hapa Dar Es salaam, ambao nawaona kwa wingi sana wanaingia katika klabu hii.

Kuweni makini sana wadada wenzangu, hakuna hela wala mali za bure, kila kitu kina gharama yake, utakapo fika wakati wenu wakulipa gharama zake, mtakielewa ninacho kizungumzia hapa.

Nipeni ushauri kupitia barua pepe yangu ambayo ni : tunukondo@gmail.com

togolani mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa Rais - Hotuba

0
0
        Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Togolani I. Mavura (pichani) kuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba) kuanzia Februari 8, mwaka huu, 2014.

Taarifa iliyotolewa Jumanne, Februari 25, 2014, mjini Dar Es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa Bwana Mavura anachukua nafasi ya Bwana Msafiri Marwa ambaye amehamishimiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na kupangiwa kazi nyingine.

Kabla ya uteuzi huo, Bwana Mavura ambaye ni Ofisa wa Mambo ya Nje alikuwa Katibu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.


Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu.

Dar es Salaam.



Serikali yaahidi ushirikiano na Viongozi wa Dini

0
0
Mwenyekiti wa maandalizi ya Kongamano la Viongozi wa Dini mikoa ya Lindi na Mtwara MohamedSenani akiwakaribisha wajumbe katika kongamano la viongozi hao katika ukumbi wa VETA mjini Mtwara. Kongamano ambalo viongozi hao walijadiliana juu ya rasilimali za gesi asilia, mafuta na madini kwa amani na maendeleo ya Tanzania.
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na viongozi wa dini kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara wakati wa kongamano la viongozi hao lililohusu rasilimali zetu za gesi asilia, mafuta na madinikwa amani na maendeleo ya Tanzania.
Baadhi ya wajumbe wa kongamano la viongozi wa dini wakiwasili eneo la Mnazi Bay kujionea shughuli za namna visima vya gesi vinavyofanya kazi na kuzalisha gesi ambayo ni moja ya chanzo cha nishati ya umeme kwa maendeleo endelevu ya nchi yetu.

BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI

MKUU WA MKOA WA KATAVI AFUNGUA MRADI WA KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI MWAKE

0
0
Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Dkt. Rajaub Rutengwe (mwenye suti katikati walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa UNHCR na Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mlele mara baada ya kufungua mradi wa kusoma masomo kwa njia ya mtandao katika Sekondari ya Katumba,Mkoani humo.

TANGAZO LA BWANA DALALI

VIKWANGUA ANGA VYAZIDI KUMEA JIJINI DAR

Balozi Seif Ali Idd akutana na Mkurugenzi wa Kampuni inayojihusisha na mafunzo ya ufundi ya European Erun ya Nchini Uingereza

0
0
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Kampuni inayojihusisha na mafunzo ya ufundi ya European Erun ya Nchini Uingereza Bwana Ramesh Kumar mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ndani ya Ukumbi wa Msekwa Mjini Dodoma. Kati kati yao ni Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati Zanzibar Mh. Ramadhan Abdulla Shaaban.
Afisa Miradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar { ZSSF } Nd.Khalifa Muumin akimpatia ufafanuzi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi juu ya ramani zilizokamilika kwa ajili ya ujenzi wa Nyumba za Mkopo huko Mbweni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar { ZSSF } Nd. Abdullwakil Haji Jecha mkutako uliofanyika nje ya Makazi ya Balozi Seif Bara bara ya Farahani Mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kampuni inayojihusisha na mafunzo ya ufundi ya European Erun ya Nchini Uingereza Bwana Ramesh Kumar akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shrika la Umeme Zanzibar { ZECCO } Nd. Hassan Ali Hassan Mjini Dodoma.
 Mkurugenzi wa Kampuni inayojihusisha na mafunzo ya ufundi ya European Erun ya Nchini Uingereza Bwana Ramesh Kumar akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wa Pili kutoka kulia waliokaa kwenye ukumbi wa Msekwa ndani ya eneo la Bunge la Jamuhuri Mjini Dodoma. Bwana Ramesh yupo nchini kuangalia mazingira ya Kampuni yake kutaka kujenga chuo cha ufundi Zanzibar kitakacholenga kutoa mafunzo ya ufundi ndani ya eneo la Mashariki na Kusini mwa Bara la Afrika.  Kushoto ya Balozi Seif ni Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati Mh. Ramadhan Abdulla Shaaban na kulia yake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Alu Juma Shamhuna pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Moha Aboud Mohd.Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.

Shaffih Dauda achukua fomu kuwania nafasi ya Uenyekiti TASWA

0
0
Pichani ni Shaffih Dauda ambaye ni Mtangazaji wa kipindi cha michezo Radio Clouds FM (Sports Extra) na Clouds TV (Sports Bar),ambaye ametangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za MichezoTASWA.
 Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akilipa fedha  tayari kwa kuchukua fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shaffih Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari toka Idara ya Habari ambaye ndiye  mtoaji  fomu Bw.Hussein Makame.
Mwandishi wa kujitegemea Bw. Hussein Omary Kushoto akipokea fomu ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) kwa niaba ya Bw. Shaffih Dauda ambaye anawania nafasi hiyo ya Uenyekiti, kulia ni Afisa Habari toka Idara ya Habari ambaye ndiye   mtoaji fomu Bw.Hussein Makame. Picha na Eliphace Marwa, Maelezo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ATEMBELEA MRADI WA MAJIKO SANIFU NA KUZURU KABURI LA SOKOINE MONDULI

0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa karakana ya utengenezaji Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof. Robert V. Lange juu ya kusafisha na kuyafanya maji kuwa salama, wakati alipotembelea sehemu ya karakana hiyo inayotumia umeme wa nguvu za jua (Solor Power Energe) February 25-2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa karakana ya utengenezaji Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Bw. Kisioki Moitiko kuhusu utengenezaji wa majiko hayo, wakati alipotembelea kwenye karakana hiyo February 25-2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa awamu ya kwanza Marehemu Edward Moringe Sokoin wakati alipozuru kijijini kwa marehemu Monduli juu alipokua katika ziara ya kikazi Wilayani Monduli Mkoani Arusha February 25-2014.

TAARIFA YA MSIBA JIJINI DAR

0
0
Bi. Agnes Matle Ngula 
24 Dec 1948 – 25 Feb 2014

Familia ya Bwana Venance Ngula inasikitika kutangaza kifo cha mkewe Bi. Agnes Matle Ngula kilichotokea saa 1.30 asubuhi siku ya Jumanne, tarehe 25 Februrari 2014, katika Hospitali ya TMJ, Dar Es Salaam- Tanzania.

Msiba upo nyumbani kwa familia ya Bw. Venance Ngula, eneo la Masaki, mkabala na Seacliff  Appartments, Dar Es Salaam.

Mazishi yanatarajiiwa kufanyika Jumamosi, jijini Dar Es Salaam. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Ngula.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa- Jina lake lihimidiwe daima! Roho ya mama yetu mpendwa ipumzike kwa amani!

DStv: Key Live Events- UEFA


Last respect and funeral time table of the Late Ambassador Fulgence Michael Kazaura

ENERGY ‘KEY ENABLER’ OF THE INTEGRATION PROCESS

0
0
image001
EAST AFRICAN LEGISLATIVE ASSEMBLY
The energy sector plays a key role in enabling the unlock of EAC’s economies for the benefit of integration.  Legislators are thus calling for concerted efforts to bridge the energy deficit in the region through the sustained use of clean and renewable energy. 
EALA late yesterday visited the Olkaria Geothermal Project in Naivasha, Nakuru County and lauded the contribution of the power plant in meeting the needs of the region.  The Assistant General Manager at the Olkaria Geothermal Project, Paul Ouma, remarked that the company is expected to double its production of geothermal energy in the next four months. 
Mr Ouma noted that the Olkaria Plant which currently produces 280MW is set to expand following the fastracking of the expansion of geothermal energy by the Ministry of Energy and the Kenya Electricity Generating Company (KENGEN). 
He informed EALA of the high potential areas that are yet to be fully exploited as Suswa, Longonot, Eburu and Silali.Under its expansion strategy, KENGEN plans to produce 1250MW from geothermal resource by the year 2018, Mr. Ouma stated. 
On her part, the Speaker of EALA, Rt. Hon Margaret Nantongo Zziwa hailed the remarkable progress of the company.  “Not only does it contribute to narrowing the energy deficit, but the Olkaria Project is making solid contribution to narrowing the energy deficit”, the Speaker remarked. 
Exploration of geothermal resources in Kenya started in the 1950’s.  However, this only bore fruits thirty years later leading to the construction of the geothermal station in 1981.Yesterday, EALA met with academia at the University of Nairobi’s College of Health Sciences.  The legislators were met by the Principal of the College of Health Sciences, Prof Isaac Kibwage and the senior management team. 
Prof Kibwage told the EALA that the University had continued to invest in academic research and in the management of HIV and AIDS.“The University is spending time on research in a number of areas, paediatric care, national vaccines, Prevention of Mother to Child Transmission (PMTCT), male circumcision practices, reduction of HIV transmission amongst risk populations among others”, the don stated.
“I call on EALA to continue passing relevant legislation in the medical sector”, he added. 
The College of Health Sciences is currently rated first in Kenya and East Africa. It ranks at number 1167 out of the 22,000 Universities globally according to the Principal. Chairman of EALA’s General Purpose Committee, Dr. Martin Nduwimana, lauded the progress at the University and noted that home-grown solutions were key. 
“At this rate, we need not necessarily go to Chennai Hospitals. Let us continue showcasing the capacity of health in East Africa”, the legislator noted. The meetings were part of the 10-day Kenya tour organized to acquaint themselves with development in Kenya. At the same time, the legislators shall interact directly with citizens and hear their views, aspirations and fears on the integration process.  

KINGWENDU AJA NA FAZA HAUSI

0
0
MSANII wa filamu nchini Athumani Lali 'Budege' baada ya kucheza filamu za watu sasa ameamua kuja na filamu zake mwenyewe na kuwawezesha wasanii wenzie kuwa na kipato kizuri baada ya kuamua kufungua kampuni yake binafsi inayokwenda kwa jina la AJM Entatainment ambayo ina husika na maswala ya filamu za kibongo
Athumani Lali 'Budege'
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Lali amesema kuwa kwa sasa yupo katika atua za mwisho kwa ajili ya kutoa filamu mpya inayokwenda kwa jina la Faza Hausi ambayo imeshilikisha wasanii wakongwe ndani yake akiwemo Mohamed Nurdini 'Chekbudi' ,Esha Buheti, Rashidi Mwishehe 'Kingwendu' Muogo Mchungu 
Filamu hiyo itakayo tolewa na Kampuni hiyo ya jijini Dar es salaam itakuwa moto wa kuotea mbali kwani si ya kukosa kabisa kwa mashabiki wa filamu nchini
filamu hiyo ya Faza Hausi itakuwa mtaani wakati wowote kuanzia sasa kwani takribani vitu vyote muhimu vimeshafanyika hivyo wadau wakae mkao wa kula kwani filamu hii si yakuikosa
Ambapo itapatikana Tanzania nzima nikianzia Dar es salaam na mikoa yote filamu hiyo itawafikia

WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAFANYA ZIARA TBL JIJINI DAR

0
0

 Wahariri wakiwa katika picha ya pamoja a viongozi wa TBL wakati wa ziara hiyo.
 Wahariri wa Vyombo vya Habari wakitembelea eneo la upikaji bia wakati wa ziara yao iliyofanyika  kwenye Kiwanda cha Bia Tanzania cha Dar es Salaam
 Mtalaam wa Upishi Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Benjamin Budigida akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta  wakati wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari walipotembelea Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.
 Meneja wa Usimamizi wa Ubora wa Bia wa TBL, Conchesta Ngaiza (kulia) akielezea jinsi wanavyodhiti ubora wa bia.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (kushoto) akisalimiana na Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Nevile Meena wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo  vya habari katika Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa TBL, Kelvin O'Flaherty.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

TAARIFA KUHUSU MKUTANO WA DIASPORA NCHINI UINGEREZA 2014

0
0
 Siku ya Jumamosi tarehe 22 Februari 2014 kilifanyika kikao baina ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Peter Kallaghe pamoja na wawakilishi wa Watanzania kutoka vitongoji vya London na maeneo mengine nchini Uingereza.Kikao hicho kilijadili haja ya kuandaa Mkutano wa Diaspora nchini Uingereza mwaka huu 2014. 
Katika majadiliano ilisisitizwa umuhimu wa kuwa na mikutano ya Diaspora hasa kwa malengo makuu yafuatayo: 
• Kuwaleta karibu watanzania waishio maeneo mbalimbali nchini Uingereza. 
• Kuwaweka karibu Watanzania na Serikali yao
 • Kuwatangazia Watanzania fursa zilizopo nyumbani katika sekta za maendeleo. 
Baada ya majadiliano kikao kiliona haja ya kuandaa kamati ya muda (Tanzania UK Diaspora Task Force) itakayosimamia mchakato wa maandalizi ya Mkutano wa Diaspora mwaka huu 2014. Kamati hiyo itakuwa chini ya Uenyekiti wa Bi Mariam Kilumanga akisaidiwa na Bw. Cleopa John katika nafasi ya Katibu. 
Aidha Bi Maxine Brown atashughulikia mawasiliano kati ya kamati na watanzania waishio nchini Uingereza kuelekea mkutano huo. 
Orodha ya wajumbe wengine wa kamati hiyo itawasilishwa baadae. Kamati hii itafanya kazi kwa karibu na ofisi yetu ya Ubalozi kufanikisha Mkutano wa Diaspora 2014. 
Kamati inaomba watanzania waishio Uingereza waupe uongozi wa kamati ushirikiano katika kufikia lengo hili ambalo hatimaye ni kwa manufaa ya watanzania wote na maendeleo ya nchi yetu. Ahsanteni. 
(Tanzania-UK Diaspora Task Force) 
26/02/2014
Viewing all 109595 articles
Browse latest View live




Latest Images