Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 35 | 36 | (Page 37) | 38 | 39 | .... | 3283 | newer

  0 0

   Masoud Ali Rashid wa Bandari (kushoto) na Yussuf Saleh wa Malindi wakipambana. Pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar lilifanyika jana kwenye uwanja wa Mao Tse Tung. Malindi ilishinda mabao 3-1


  Mshambuliaji wa Malindi, Masoud Ali Rashid (kushoto) akipambana na Yussuf Saleh wa Bandari, pambano la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar jana kwenye uwanja wa Mao Tse Tung ambapo Malindi iliichabanga Bandari mabao 3-1. Malindi ilishinda mabao 3-1.

  Mchezaji Haji wa Haji wa Malindi akimiliki mpira. Malindi ilishinda mabao 3-1. Picha na Martin Kabemba.

  0 0
  0 0


  ARGI+

  L-Arginine ni amino acid ambayo ina nguvu, wanasayansi husema kuwa ni molecule ya maajabu kwa sababu, miili yetu hubadilisha L-Arginine kuwa nitric oxide, molecule ambayo husaidia mishipa ya damu kurelax na kufunguka kwa ajili ya kupitisha damu vizuri. Upitishwaji wa damu vizuri kusaidia kazi nyingi sana katika miili yetu; Afya nzuri na kuweka sawa blood pressure, Afya nzuri ya cardiovascular, kuongeza kinga ya mwili, kukuza na kurekebsha mifupa na tissue, kuongeza Nguvu za kiume, kusaidia mmengenyo wa Fat na glucose, kupunguza homones za uzee. Bofya hapa kwa maelezo zaidi http://mariettasweke.blogspot.com/search/label/ARGI


  WEIGHT MANAGEMENT /KUDHIBITI UZITO

  Pendeza na upate muonekano mzuri kwa kutumia program ya bidhaa za asili za kupunguza au kuongeza uzito. Bofya hapa kwa maelezo zaidi http://mariettasweke.blogspot.com/search/label/Weight%20Management


  UREMBO NA BIDHAA ZA ASILI

  Pata muonekano mzuri na kuondoa uzee unaotokana na mazingira tuliyopo kwa kutumia bidhaa zisizo na kemikali. Bofya hapa kwa maelezo zaidi http://mariettasweke.blogspot.com/search/label/Sonya%20Products


  PERSONAL CARE/KWA MATUMIZI BINAFSI

  Jipatie bidhaa za asili zisizo na kemikali kwa ajili ya matumizi binafsi na ya nyumbani –Bofya hapa kwa maelezo zaidi http://www.mariettasweke.blogspot.com/search/label/Personal%20Care

  VIRUTUBISHO VYA ASILI

  Jiepushe na magonjwa mwilini mwako kwa kulisha mwili wako virutubisho tunavyovikosa kutokana na mwenendo wa maisha na kusababisha magonjwa. Bofya hapa kwa maelezo zaidi.


  SABABU KUMI ZA KUNYWA ALOE VERA


  BOFYA http://mariettasweke.blogspot.com/p/valentines.htmlKWA AJILI YA VALENTINE’S DAY SPECIAL PROMOTION


  MAELEZO ZAIDI PIGA

  Mobile: 0783454523/0786139316/0786766028,0769888605

  Email: mariettasweke@hotmail.com

  0 0
 • 02/03/13--08:13: kumbukumbu ya mzee

 • Gration H Matovu
  YOU LIVE ON:
  IN THE HEARTS YOU TREASURED.
  REST IS THINE AND
  SWEET REMEMBRANCE OURS.
         YOU ARE GREATLY MISSED
  BY YOUR LOVED ONES.
  UNAISHI KATIKA MIOYO YA ULIOWAHIFADHI.
  PUMZIKO NI LAKO KATIKA BWANA NA
  KUMBUKUMBU NZURI NI YETU.
        TUNAKUKOSA SANA TUKUPENDAO.


  0 0

  BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limewapongeza waandaaji wa tamasha la kila mwaka la Pasaka, Msama Promotions kwa kulifanya tukio hilo kuwa la kimataifa kwa kushirikisha waimbaji kutoka nchi mbalimbali.

  Akizungumza hivi karibuni katika tathimini ya tamasha la mwaka jana lililofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Basata Ilala jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mfuko wa Uwezeshaji, Angelu Luhala alisema inapendeza kuona jambo hilo linakuwa la Afrika badala ya Afrika Mashariki kama ilivyo hivi sasa.

  Luhala alitaka waandaaji hao kuongeza umakini na kuongeza waimbaji kutoka mikoa mingi zaidi tofauti na sasa kwa vile linavuta hisia za watu wengi katika muziki wa Injili wenye maushui ya kumtukuza Mungu.

  Naye Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa, Nsao Shalua licha ya kuipongeza kampuni hiyo ya Msama Promotions kwa ubunifu wa tukio hilo, pia aliisifu kwa kuzingatia sheria na taratibu za baraza hilo ambalo ndio dira ya sanaa Tanzania.

  Aliwataka kuwasilisha mapema tathimini ya maandalizi ya mwaka jana ili kufanikisha tamasha lijalo. Naye shabiki wa tamasha hilo, Eunice Muhandia alisema waandaaji wa tamasha hilo  wanatakiwa kuweka umakini katika suala la tiketi kwa sababu mwaka jana ilikuwa shida ndani ya uwanja wa taifa.


  0 0

   Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya kigoda toka kwa wazee wa Kigoma wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya kuzaliwa kwa chama hicho katika uwanja wa Lake Tanganyika  mjini Kigoma, huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Mbunge wa Manyovu Mhe Albert Obama na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dkt Walid Kaburu wakishuhudia
    Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi wa Kigoma wakati wa sherehe hizo
    Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia wananchi wa Kigoma waliokuwa wakimshangilia kwa nguvu kwenye sherehe hizo
    Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuhutubia

  0 0
 • 02/03/13--09:37: Article 7

 • 0 0

  Commodores na Ngoma yao ya Night Shift walikuwa sooo...!

  0 0

  'Usiusemee Moyo' ni mojawapo ya Ngoma zilizotoa Lady JAy Dee

  0 0


  Applications are invited from qualified candidates wishing to pursue Master of Engineering Management (MEM), Postgraduate Diploma in Engineering Management (PGDEM) and Postgraduate Diploma in Education (PGDE) under UDSM Distance E-learning Programme mode for the 2013/2014 academic year due to start in September 2013.


  1.       Entry Requirements for Postgraduate Diploma in Education (PGDE Online -1 year Programme)

  Bachelor degree in any field from a recognized Institution or University.


  2.       Entry Requirements for Postgraduate Diploma Engineering Management (PGDEM Online -1 year Programme)

  Advanced Diploma or equivalent, in Engineering or related fields from a recognized Institution OR a Pass degree in Engineering/Applied Sciences from a recognized University.


  3.       Entry Requirements for Master of  Engineering Management (MEM Online -2 years Programme)

  Minimum lower second class Bachelor of Science degree in a corresponding field of Engineering from University of Dar es Salaam or any other recognized institution. The Admission Board will also consider applicants with any other equivalent qualification not mentioned above subject to the Senate approval


  4.       Fee Structure

  For PGDEM and PGDE the fee is TZS 1,647,500 for local students (Tanzanians, East African and students from SADC countries) and US $2,449 for foreign students. For MEM is TZS 1,577,500 for first year and TZS 1,752,500 for second year for local students. For foreign students it is at US $2,446 and US $3,374 for first year and second year respectively


  5.       Delivery Mode

  These are Distance Mode Online Programmes with few face to face sessions that will be conducted at the University Main campus and at the University Computing Centres (Mwanza and Arusha branch). Furthermore students will access all learning materials and have online discussions with their lecturers through the Learning Management System (LMS). Students may access the Learning System anywhere where there is Internet connection.


  6.       Application forms

  Application forms can be obtained from the Centre for Virtual Learning office located at the University of Dar es Salaam Main Campus, University Computing Center (UCC)- Mwanza and Arusha Centreor can downloaded from websites: www.udsm.ac.tzor cvl.udsm.ac.tz. A non-refundable application fees of Tsh. 20,000/= for Tanzania and  US $ 20 for Non Tanzanians must be deposited into the Centre for Virtual Learning NBC Bank Account number 040103002088 (Mlimani branch) and original pay-in slip submitted together with the application form.


  The deadline for receiving application forms is strictly at 4:00pm on 30th May 2013


  For further information please contact the Centre for Virtual Learning, University of Dar es Salaam, P.O. Box 35062, Dar es Salaam. Tel: 022-2410758, 255-713-216-013, 255-683-710-939, Website: www.udsm.ac.tz, cvl.udsm.ac.tz, Facebook page: cvl.udsm, E-mail: cvl@udsm.ac.tz. For those in Arusha and Mwanza visit UCC (University Computing Centre) offices or call UCC-Mwanza: 255-755-398-634, UCC-Arusha: 255-754-695-655.
  0 0

  Mabondia Kombe Ally wa Luaha Galax akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Said Hofu wa JKT Makao Makuu wakati wa mashindano ya Klabu Bingwa yaliyofanyika uwanja wa Ndani wa Taifa.

  Bondia Said Hofu

  Mabondia wa timu ya JKT Makao Makuu kutoka kushoto ni Ismail Gaitano,Hmidu Alfani,Khamis Husein na Wambura Amiri klabla awajaingia kwenye mipambano yao.

  Bondia Wambura Amir akipasha misuri moto  

  Bondia Selemani Kidunda wa Ngome kulia  akimuazibu Mohamedi Chibumbui wa Magereza wakati wa mashindano ya Klabu bingwa yaliyofanyika uwanja wa ndani wa taifa Kidunda alishinda kwa K,O rauni ya kwanza na kuzima ngebe za Chibumbui na kusababisha kumpoteza fahamu kwa takribani dakika 4 ambazo alikuwa akipewa uduma ya kwanza uringoni alipodondoka baada ya kupata makonde yenye kilo nzito.

  Bondia Mohamedi Chibumbui kushoto akitafuta mbinu ya kumkepa bondia Selemani Kidunda wakati wa mashindano ya klabi bingwa ya Masumbwi Kidunda alishinda K,o raundi ya kwanza.

  Bondia Selemani Kidunda wa Ngome kushoto akipigwa konde na Mohamed Chibumbui wa Magereza wakati wa mpambano wa Klabu bingwa Kidunda alishinda kwa K,O raundi ya kwanza.

  Bondia Selemani Kidunda akikimbilia kona Nyeupe baada ya kumkalisha chini Mohamed Chibumbui kwa konde zito wakati wa mchuano wa Klabu Bingwa TAIFA iliyofanyika uwanja wa ndani wa Taifa Kidunda alishinda  K,O raundi ya kwanza Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com


  0 0

  Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo na kununua Redds sita kwa wakati mmojaMmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo na kununua Redds sita kwa wakati mmoja

  Mmoja kati ya wateja waliofika katika super markets za Jiji la Dar Es Salaam wakiwa katika meza ya kinywaji cha Redds Original kujionea zawadi mbalimbali zinazotolewa kwa wateja wanaofika kwenye maduka hayo. Redds inaendesha promotion ya kipindi cha sikukuu ya wapendanao ambapo kilele chake ni tarehe 14/02/2013  0 0  0 0

   Toka kulia ni Afisa Mauzo wa Airtel Kagera bw Leonard maige na Menejamauzo wa kampuni ya Airtel wa mikoa ya Kagera na kigoma bw. PeterKimaro katikati wakikabidhi sehemu ya vitabu vya sekondari vya masomoya sayansi kwa afisa elimu wa shule za sekondari Kagera bw. FlorianKimolo ikiwa ni msaada uliotolewa na Airtel kwaajili ya shule zasekondari kanyeranyere, Kirushya na Nyamigogo za Kagera, Hafla yaMakabidhioano imefanyima katika shule ya sekondari  kanyeranyere yawilaya ya Muleba -Kagera.Mwishoni mwa wiki. Airtel imekabidhi Vitabuvyenye thamani ya shilingi milioni 9
  Toka kulia ni Afisa Mauzo wa Airtel Kagera bw Leona Maige na Menejamauzo wa kampuni ya Airtel wa mikoa ya kagera na kigoma bw. PeterKimaro wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondarikanyeranyere ya wilayani muleba mkoani kagera wakiwa wameshikiriavitabu vya sayansi na hisabati walivyokabidhiwa na kampuni ya Airtelmwishoni mwa wiki.Vitabu vilivyokabidhiwa vinathamani ya shilingimilioni 9.

  0 0

  David Hayes, Deputy Secretary-US Department of the Interior discussing a point with the Director of Wildlife Prof. Songorwa (middle) and Martin Loibooki from TANAPA in Serengeti National Park.
  Hon. Hayes in a jovial mood with TANAPA officials in Serengeti National Park.
  Hon. David Hayes, Deputy Secretary-US Department of Interior talking to the Management of Serengeti National Park.
  Hon. David Hayes being welcomed at the Visitors Information Centre in Serengeti National Park by Tourism Warden Noel Sawe.
  Noel Sawe, Tourism Warden in Serengeti National Park shows Serengeti Map to Hon. Hayes.

  0 0


  0 0
 • 02/04/13--23:31: SHAMBA LINAUZWA BAGAMOYO
 • Shamba lenye ukubwa wa heka moja na nusu linauzwa maeneo ya Kiromo, Bagamoyo, liko jirani na Kiromo View Resort kwenye barabara kuu iendayo Bagamoyo mjini, kiasi cha 10 tu. Lina kibanda cha vyumba vinne, linafaa kwa uwekezaji wa shughuli mbalimbali za kibiashara, kwani liko barabarani kama picha zinavyoonesha. Bei ni maelewano.

  KWA MAELEZO ZAIDI, PIGA SIMU: +255 657 803139

  0 0
 • 02/05/13--00:48: KIJIWE CHA UGHAIBUNI


 • 0 0

  Timu ya Umoja wa Vijana  waendesha Pikipiki za magurudumu matatu Mkoani Mbeya imezinduliwa hivi katibuni na kupewa msaada wa jezi viatu na mipira toka kwa mlezi wao Mwaka Mwakisu hapo mlezi huyo akimkabidhi jezi mwenyekiti wa bajaji mkoa wa mbeya Iddi Ramadani 
  Mlezi Mwaka Mwakisu akimkabidhi mipira mwenye kiti wa bajaji mkoa wa mbeya.

  Mlezi wa waendesha bajaji mkoa wa Mbeya Mwaka Mwakisu amewataka wanaumoja huo wa bajaji kutumia vifaa hivyo vya michezo  kuleta mshikamano kwenye michezo na afya zao pia na kuacha kushabikia mambo ya kuleta vurugu na kuvunja amani ya mkoa wa mbeya na Tanzania kwa ujumla  
  Mwenyekiti wa Chama cha Waendesha bajaji mkoa wa Mbeya akimshukuru mlezi wako wa kuwasaidia vifaa vya michezo na kuzindua timu yao ya waendesha bajaji mkoa wa Mbeya
  Mgeni rasmi akipandisha bendera ya timu ya Bajaji FC kuashiria kuzinduliwa kwa timu hiyo
  Baadhi ya wachezaji wa timu ya Bajaji FC wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi

  0 0
 • 02/05/13--01:23: KIBONZO CHA KIJAST BIKOZ LEO


older | 1 | .... | 35 | 36 | (Page 37) | 38 | 39 | .... | 3283 | newer