Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 109602 articles
Browse latest View live

WANAWAKE WAWILI KIZIMBANI KWA KUJIPATIA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 25 KWA UDANGANYIFU

0
0
 Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.
WAANAWAKE wawili wakazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kujipatia mkopo wa Sh milioni 25 kwa njia ya udanganyifu.

Washitakiwa hao ni Veronica Tembe (45) na Lilian Kisamo (41) wote wakazi wa Tegeta.

Wakili wa Serikali, Faraja Nguka alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustine Rwizile kuwa katika siku na mahali pasipojulikana  washitakiwa wote kwa pamoja walikula njama ya kupata mkopo kwa njia ya udanganyifu.

Nguka alidai katika mashitaka ya pili kuwa siku na mahali pasipojulikana mshitakiwa Tembe  akiwa na nia ovu alighushi kadi ya gari aina ya Toyota Rav 4 yenye namba za usajili T 504 BBT kwa madhumuni ya kuonesha kuwa kadi hiyo ni halisi na imetolewa na Mamlala ya Mapato Tanzania (TRA).

Pia inadaiwa Novemba 27, 2012 katika Benki ya EFC Tanzania Microfinance Ltd iliyopo Victoria ndani ya Wilaya ya Kinondoni,  Tembe aliwasilisha kadi hiyo ya kughushi kwa maofisa wa EFC ili aweze kupatiwa mkopo.

Katika mashitaka ya nne, mshitakiwa Tembe anadaiwa aligushi leseni ya biashara kwa madhumini ya kuonesha kuwa leseni hiyo imetolewa na Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.

Nguka aliendelea kudai kuwa, Novemba 27, 2012 huko EFC Microfinance Ltd iliyoko eneo la Victoria, mshitakiwa aliwasilisha leseni ya biashara ya kughushi kwa Ofisa wa benki ya EFC kwa madhumuni ya kuonesha kuwa leseni hiyo imetolewa na Halmashauri ya manispaa ya Ilala huku akijua kuwa siyo kweli.

Inadaiwa  siku na mahali hapo mshitakiwa Tembe  akiwa na nia ovu alijipatia mkopo wa Sh milioni 25 kupitia akaunti yake  iliyopo katika benki hiyo kwa njia ya udanganyifu akijifanya kuwa yeye ndiye mmiliki wa leseni ya biashara na leseni hiyo ya gari ambavyo vilikuwa kama dhamana ya mkopo huo huku akijua kuwa siyo kweli.

Katika mashitaka ya saba, inadaiwa  mshitakiwa Tembe alitakatisha Sh milioni 25 huku akijua kuwa fedha hizo ni zao la makosa ya kughushi.

Hata hivyo, washitakiwa walikana mashitaka hayo na mshitakiwa Kisamo aliachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti huku mshitakiwa Tembe alirudishwa rumande kwa sababu mashitaka ya utakatishaji fedha hayana dhamana.

Hakimu Rwizile aliahirisha kesi hiyo hadi Julai 2, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa kwa sababu upelelezi bado haujakamilika.

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MKUU WA WILAYA YA CHEMBA SIMON ODUNGA

0
0

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiakimjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, aliyelazwa, katika Hospitali ya Mkoa, jijini Dodoma, Juni 24.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi waliyofika kupata huduma, katika Hospitali ya Mkoa, jijini Dodoma, Juni 24.2019, baada ya kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, aliyelazwa hospitalini hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Maajabu ya Mdalasini na Tangawizi katika Kuondoa Kitambi

JUMUIYA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII YAJENGA KITUO CHA KIMATAIFA CHA KUTOA ELIMU JIJINI ARUSHA

0
0

Na Woinde Shizza Michuzi Tv, Arusha 

 Jumuiya ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wa nchi za Afrika Mashariki na  Kati (ECASSA)wamejenga kituo cha kimataifa cha kutoa elimu ya hifadhi ya jamii nchini Tanzania ndani ya jiji la Arusha.

 Akizungumza wakati wa uzinduzi wa chuo hicho Naibu Waziri wa Kazi Ajira na Maendeleo ya Jamii Mhe. Antony Mavunde amesema kuwepo kwa chuo hicho katika nchi ya Tanzania ni jambo la muhimu sana kwani swala la utawala bora kwa jamii umekuwa ni hafifu sana katika utoaji wa huduma kwa jamii.

Amesema kuwa kikwazo na uhafifu ni kutokana na ukosefu wa sheria za kuwa bana watoa huduma na ukosekanaji wa utawala bora kwa jamii umekuwa nikikwazo kikubwa kwa upatikanaji wa huduma za jamii.

Wakizungumza wakati wa uzinduzi wa chuo hicho, baadhi ya washiriki kutoka nchi za jumuiya hiyo wamesema umuhimu wa elimu ya mifuko ya jamii barani  Afrika itasaidia sana kwani awali walikuwa wanakwenda nje ya Afrika kwa kukosekana kwake na kutumia pesa nyingi.

Kwa upande wake Naibu Mkurugenzi wa ECASSA Bw. Oseya Mtaikili kutoka nchini Kenya amesema kuwa kufuata elimu nchi za n’gambo kutafuta elimu kwa hiyo kuwepo kwa chuo hicho hapa Tanzania kitasaidia kupunguza dharama nyingi zinazotumika kwenda kutafuta elimu hiyo

Akizindua kituo hicho Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro amesema tatizo la uhaba wa wataalam wa mifuko ya hifadhi za jamii ni kubwa kwa nchi zote za Afrika Mashariki na kwamba uzinduzi wa kituo hicho ni ukombozi mkubwa.

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA UJENZI WA DARAJA LA TANZANITE

0
0
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mhandisi Mshauri wa kampuni ya Yoosin Engineering Mhandisi Suk-Joo Lee wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa daraja linalokatiza baharini na kuunganisha maeneo ya Aga Khan na Coco Beach Jijini Dar es Salaam. Daraja hilo limependekezwa kuitwa Tanzanite Bridge.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya ujenzi huo na Mhandisi Mshauri wa kampuni ya Yoosin Engineering Mhandisi Suk-Joo Lee 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipatiwa maelezo ya ujenzi huo na Mhandisi Mshauri wa kampuni ya Yoosin Engineering Mhandisi Suk-Joo Lee 

TANGAZO LA ZABUNI LA UJENZI WA SHULE TARAJALI YA KING MANSA ACADEMY LIKOKONA-NANYUMBU, MTWARA

0
0
C:\Users\hp\Desktop\company profile\IMG-20190620-WA0055.jpg
Namba ya Zabuni: KMA/2019/2010/UJ/01
Kwa ajili ya:-
Ujenzi wa majengo ya shule tarajali ya King Mansa Academy: Likokona-NANYUMBU, Mtwara.
  1. Taasisi ya King Mansa Academy inakaribisha maombi kutoka kwa mtu binafsi, makampuni, taasisi au vikundi mbalimbali ili kujenga majengo ya shule tarajali eneo lililoko Likokona- Nanyumbu.


  1. Unakaribishwa kununua nyaraka za zabuni na kupata maelezo kwa Katibu wa bodi ya zabuni ya King Mansa Academy ya Likokona- Nanyumbu. Ofisi ziko barabara ya kuelekea Chuo Kikuu cha Maji inaitwa KGSS stationery. Ofisi ziko wazi kuanzia saa saa2 asubuhi hadi saa11 jioni kila siku isipokuwa Jumapili na sikukuu.


  1. Ujenzi utakaofanyika utakuwa kama ifuatavyo:
LOT: 1- Ujenzi wa jengo la utawala.
LOT: 2- Vyumba 16 vya madarasa.
LOT: 3- Ukumbi wa matumizi mchanganyiko (Multipurpose Hall) na ujenzi wa jiko.
LOT: 4- Kuchimba kisima kirefu (drilling a borehole). 
LOT: 5- Nyumba 5 za watumishi (two in one).
LOT: 6-Vyoo matundu 40.


Tender document iandikwe kwa lugha ya Kiingereza.


  1. Ada ya zabuni ni Tsh 100,000/= fedha ambayo haitarejeshwa. Malipo hayo yafanyike kwa akaunti ya NMB 60310009133 yenye jina Mansa Nyuchi. Utakatiwa risiti kuonyesha imepokelewa na bodi ya zabuni ili kupatiwa kitini ‘pamphlet’ ya zabuni unayoomba.


  1. Bahasha zenye zabuni, halisi moja na nakala moja, zifungwe kwa makini zikionyesha Jina la namba ya zabuni. Kisha zirudishwe kwa Katibu ofisi za KGSS stationary.


  1. Kwa maelezo wasiliana na:
Katibu wa Bodi ya Zabuni
King Mansa Academy
S.L.P 700- Dar es Salaam
Simu: 0767 044068, 0787 044068, 0717 632885
Mwombaji ataje kiasi cha fedha katika zabuni aliyoomba.


  1. Siku ya mwisho ni tarehe 28/6/2019 saa 4:00 asubuhi. Kabla ya ufunguzi utakaofanyika hadharani katika ukumbi wa Princess Hall ulioko Mapambano – Sinza, unaruhusiwa kuleta Mwakilishi.

  1. Zabuni zifuatazo hazitakubaliwa:
  2. Zabuni zilizochelewa,
  3. Zabuni za kielektoniki au
  4. Zabuni zisizofungwa.


.

HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA WATIA SAINI MKATABA WA UJENZI WA WODI YA MAMA NA MTOTO ITAYOGHARIMU ZAIDI YA BILION MOJA

0
0
Na Woinde Shizza, Michuzi TV, Arusha
HALMASHAURI ya jiji la Arusha imetiliana saini mkataba wenye thamani ya shilingi bilioni 1.3 na Kampuni ya Ujenzi ya BQ Constraction limited ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ujenzi wa Wadi ya mama na mtoto itakayojengwa kwenye hospital ya wilaya iliyopo eneo la Engutoto. 

Hafla hiyo imetiwa saini leo Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dakta Maulid Madeni, Mstahiki Meya wa jiji la Arusha Karisti Lazaro na Mtendaji na mkuu wa kampuni ya BQ, Mhandisi John Bura, kwenye ukumbi wa halmashauri ya jiji la Arusha na kushuhudiwa na mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro. 

 Akizungumza mara baada ya utiwaji saini  Kaimu mhandisi wa jiji la Arusha, Samweli Mshuza, amesema jengo hilo ambalo ujenzi wake unatakiwa kuanza leo utachua muda wa miezi saba kukamilika na litakuwa ni la ghorofa moja. 

 Amesema ujenzi wa jengo hilo ni mwendelezo wa ujenzi wa majengo ya hospital hiyo ya wilaya ambapo tayari jengo la wagonjwa wa nje OPD, lenye ghorofa moja limeshakamilika na sasa linatoa huduma ya chanjo. 

 Kwa upande wake mtendaji mkuu wa kampuni hiyo ya BQ ,Mhandisi John Bura, amewahakikishia viongozi wa serikali kuwa ujenzi huo utakamilika ndani ya muda na anatarajia kukabidhi jengo hilo mapema January mwakani. 

 Nae mkuu wa wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqaro, amesema ujenzi wa hospital hiyo utapunguza idadi kubwa ya wagonjwa wanaopata huduma kwenye hospital ya mkoa ya Mount Meru. 

 Amesema upatikanaji wa dawa kwenye hospital za serikali, Vituo vya afya Zanati katika wilaya ya Arusha ni asilimia 98%. 

Mhe. Daqarro amesema majengo mengine yataendelea kujengwa kulingana na upatikanaji wa fedha na tayari huduma zingine zimeshaanza kutolewa kwenye jengo ambalo limeshakamilika . 

Mkuu huyo wa Wilaya pia amesema hatua hiyo ni historia kwani tangia Uhuru wilaya ya Arusha ilikuwa haina hospital ya wilaya na pia kwenye mipango iliyopo ni kujenga kituo cha Afya kata ya Olasti. 

Mkuu wa wilaya ameongeza kuwa muda hautaongezwa hivyo mkandarasi huyo ahakikishe anakamilisha ujenzi ndani ya muda uliowekwa. 

 Kwa upande wake mstahiki Meya wa jiji la Arusha Karisti Lazaro, amesema ujenzi huo unafanywa kwa fedha za ndani na akatoa wito kwa wananchi kuendelea kulipa ushuru na kodi mbalimbali kwa kuwa manufaa yanaonekana. 

 Amesema kuwa atahakikisha jengo hilo linakamilika na hivyo kuweka historia ya kuwa Meya wa awamu ya Tano ambaye Hospital ya wilaya inajengwa
 Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Dkt. Maulid Madeni na  mstahiki Meya wa jiji la Arusha Karisti Lazaro (kulia), wakitia saini ya ujenzi huo.
 Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt. Maulid Madeni akiwa na  mstahiki Meya wa jiji la Arusha Karisti Lazaro (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro. wakikagua eneo la ujenzi huo.
 Picha ya pamoja ya Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt. Maulid Madeni akiwa na  mstahiki Meya wa jiji la Arusha Karisti Lazaro (kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro na wadau na wakandarasi wa mradi  katika eneo la ujenzi huo.

KENYA taking over the CGPCS Chair as from January 2020

0
0


 The Contact Group on Piracy Off the Coast of Somalia (CGCPS) held its 22nd plenarysession on 20 June 2019 back to back with the Ministerial Conference on Maritime Security in Mauritius.AseriesofactivitiesincludingtheWorkingGroupsmeetingswere organized tomark this week dedicated to MaritimeSecurity.
Organized by the Indian Ocean Commission (IOC) together with the Republic of Mauritius (current Chair of the Contact Group in the name of the IOC), this plenary session brought together more than 200 participants from over 30 States and regional and international organizations to discuss on way forward of this platform focused on piracy created followinga UN Resolution in December 2008.
Kenya, actively involved in the maritime domain in the Western Indian Ocean, will be the third country in the region to chair this International platform as from January 2020 for a 2-years mandate after Mauritius (through IOC) and Seychelles. While there is a clear indication of the appropriation of maritime issues by riparian countries in the region, Kenya through its accessiontotheCGPCSChairmanshipisensuringitslong-lastinglegacyandisengagedto build on this a solid foundation so as to take the Group to even greater heights and cement the legacyoftheGroupasaneffectivemechanisminfightingpiracy”,statedtheCabinetSecretary for Defence of the Republic of Kenya, Amb. Raychelle Omamo, at the Plenary session in Mauritius.
CGPCS, a flexible and independent mechanism focused on piracy and related crimes
Celebrating its 10th year of existence this year, the CGPCS is currently at a crossroads. While alltheCGPCSmembersagreedonthefactthatpiracyhasbeencontainedbutnoteradicated and that they will continue to engage efforts to combat piracy and its root causes, there was also a pledge to review the modus operandi of the structure to ensure effective coordination and collaboration between stakeholders. “The threat of piracy remains present, therefore we should maintain on our guard and continue the policing of the seas”, underlined Hon. Nandcoomar Bodha, minister of Foreign Affairs, Regional Integration and International Trade of the Republic of Mauritius and Chair of theCGPCS.
The current Chair initiated a strategic review of the Contact Group which was drafted by the University of Copenhagen. The outcomes of the report were presented at the Friends of the Chair meeting in Copenhagen on 28th May 2019 and approved by all members during the plenary session in Mauritius. One of the objectives of this review is to ensure that the mechanism remains flexible and inclusive. The unique combination of technical, legal and political representation under one umbrella enables to have a comprehensive approach to piracy and related crimes.
Furthermore, the report also stressed on the issue related to two working groups focused on Operations at Sea and Regional Capacity Building respectively. Lifeblood’s of the Contact Group,theirroleshavetobereviewedtoensurecoherenceandeffectivenesswiththeoverall 
new vision. The related groups will, however, keep their activities and continue to report the valuable information to the CGPCS plenaries.
While the decision was made to close down the Working Group Operations at Sea, the Regional Capacity Building Work Group will be transferred to the Djibouti Code of Conduct (CoC) mechanism to ensure effective coordination. The idea is to use existing mechanisms to strengthen collaboration with partners but also prevent duplication of initiatives in the region.
overall new


DKT MWAKYEMBE AFUNGUA MICHEZO YA UMITASHIMTA MJINI MTWARA

0
0
  Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akielekea kukagua timu katika mechi baina ya timu za mikoa jirani Mtwara na Lindi katika ufunguzi wa mashindano ya michezo ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania  (UMITASHIMTA) yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya :awi Nangwanda Sijaona mkoani mtwara kulia ni mwakilishi kutoka ofisi ya Rais,  Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Bw. Benjamin Hoganga
 Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akikagua timu kabla ya mechi baina ya mikoa jirani Mtwara na Lindi katika ufunguzi wa mashindano ya UMITASHIMTA  yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya :awi Nangwanda Sijaona mkoani mtwara
 Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akiwa na timu ya mkoa wa  Lindi katika ufunguzi wa mashindano ya michezo ya  UMITASHIMTA yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya :awi Nangwanda Sijaona mkoani mtwara
 Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe akiwa na timu ya mkoa wa  Mtwara katika ufunguzi wa mashindano ya michezo UMITASHIMTA yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya :awi Nangwanda Sijaona mkoani mtwara
Waziri  wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison  Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa mkoa wa Mtwara wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya UMITASHUMTA kwa shule mbalimbali za msingi hapa nchini yanayofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Lawi Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara. Kulia ni mkuu wa mkoa huo Mhe. Gelasius Byakanwa na kushoto ni mkuu wa wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda. Wengine ni waamuzi wa mpira wa miguu katika mechi ya ufunguzi kwa mikoa jirani ya Mtwara na Lindi.
Picha zote na Fatna Mwinyimkuu

SAMSAL MABINGWA SOKA LA UFUKWENI JJIJINI DAR.

0
0
 TIMU ya Samsal yenye makazi yake Mikocheni jijini Dar es Salaam wameibuka mabingwa katika mashindino ya Soka la ufukweni lililomalizika mwishoni mwa wiki na hivyo kuzawadia kikombe pamoja na hundi ya Shilingi milioni moja.
Samsal waliibuka mabingwa baada ya kuifunga timu ya Safina yenye makazi yake Ukonga jijini Dar es Salaam 3-2, na kwa matokeo hayo nafasi ya pili ilichukuliwa na timu ya Safina na hivyo kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi laki sita(600,000/=).

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa Verge Africa, Rajan Kumar ambao ndio waratibu alisema mashindano haya yalianza na Kampeni ya kufanya usafi Ufukwe wa Coco Beach kwa kushirikisha Wafanyakazu wa makampuni ya Pepsi, RedBull, Slipway Hoteli, G1 Security Limited, AfyaPal(Muhimbili),Toshiba, Zenufa, HasafaScience, Verge Africa na Nipe Fagio juni 15,2019 na baadae pakafuatiwa mashindano ya soka la ufukweni ambalo limemalizika mwishoni mwa wiki hii kwa kushirikisha timu 14 ambazo niDar Beach Warmer, Every Living things, Safina Athletics, Mkude Fc, Osterbay City, JMK Fc, Beach Boys, CBE Combine, Samsal Fc, All Stars, We Kick Balls Fc, GEGE Fc, Gerezani Fc, Future Stars.

Kumar aliyashukuru makampuni yote yaliyojitokeza kushiriki Kampeni hiyo pamoja na timu shiriki zote na kuwaomba wasikose kujitokeza tena mwakani.

 Baadhi ya Wachezaji wa Samsal Mikocheji wakishangilia na Kikombe pamoja na hundi ya shilingi milioni moja mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya Soka la ufukweni yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya Wachezaji wa Samsal wakimpongeza Kocha wao kwa kumrusha juu mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya Soka la ufukweni yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam.Timu hiyo ilizawadiwa Kikombe na hundi ya shilingi milioni moja. Picha na Emmanuel Masaka wa Michuzi TV 

EASTERN AFRICA- SOUTHERN AFRICA-INDIAN OCEAN REGIONS DISCUSS FACILITATING REGIONAL ENERGY MARKET

0
0
EAC Secretariat

...Southern Africa Power Pool to connect to Eastern Africa Power Pool by 2022

The Energy and Communication Experts from the Eastern Africa-Southern Africa-Indian Ocean (EA-SA-IO) Regions concluded today in Quatre Bornes, Mauritius, a five-day meeting that discussed facilitation of regional energy market and enhancing communication and visibility of the Project on Enhancement of a Sustainable Regional Energy Market (ESREM) in the three Regions.


The Energy and Communication Experts, who were drawn from five Regional Economic Communities, namely; the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA), the East African Community (EAC), Intergovernmental Authority on Development (IGAD), Indian Ocean Commission (IOC), and the Southern Africa Development Community (SADC), also reviewed and adopted the Year 3 Work Plan and Budget of the Project, as well as reviewed coordination among RECs on the project.

Other participants in the Quatre Bornes meeting included the Regional Association of Energy Regulators, Regional Power Pools, Renewable Energy and Energy Efficiency Centres, and the European Union Delegation (EUD). 

The project on enhancement of sustainable regional energy market in the EA-SA-IO Region seeks to address market governance and regulatory related challenges affecting the implementation of energy development projects in the five Regional Economic Communities.

The project is supported by a seven million euros fund provided under the 11th European Development Fund (EDF) for a period of four years since the signing of the grant delegation agreement with COMESA in May 2017. The COMESA Regional Association of Energy Regulators for Eastern and Southern Africa (RAERESA) coordinates the implementation of the programme.


As a precursor to the fourth meeting of the Programme Technical Steering Committee, a two-day consultative workshop was held on 7th to 18th June 2019 to discuss the consultancy report on the Development of a Synthesized Renewable Energy and Energy Efficiency Strategy under the Project on Enhancement of a Sustainable Regional Energy Market in the EA-SA-IO Region.

As part of the project’s communication and visibility strategy, an awareness-training workshop for regional journalists and communication experts from the participating regional organizations was conducted on Wednesday 19th June 2019.

Addressing the participants at the opening ceremony, Dr. Mohamedain Seif Elnasr, the Chief Executive Officer of the COMESA based Regional Association of Energy Regulatory Authorities in the Eastern and Southern Africa (RAERESA) noted that the energy situation of Eastern Africa, Southern Africa and Indian Ocean regions was a firm indication of how much work the region still need to do so as to ensure that energy becomes a key enabler and game changer to doing business and increasing the productivity of the industries. 

“The challenges in our energy networks, as well as ever-increasing deficiencies in energy supply are a common feature of most of our countries. These challenges contribute to the reduction of revenue of our industries through increase in production costs”; noted Dr. Elnasr, adding that “Any industry being negatively affected by these challenges in the energy sector cannot thrive and create the much-needed employment for our people, or attract the much-required investments into our region”.

Dr. Elnasr, who was speaking on behalf of the Secretary General of COMESA, disclosed that the energy poverty in the region should be seen as an investment opportunity for power generation on a regional basis and an opportunity to build regional power interconnectors in order to facilitate trade in power from surplus to deficit regions.  In addition, high priority should be accorded to the development of regional energy infrastructure, which would assist to achieve economies of scale.

On energy, the RAERESA Chief Executive Officer said the regions’ cooperation and collaboration with the European Union, has culminated in the implementation of several projects in the last few years and ESREM project was a good example of cooperation and collaboration between the Regional Economic Communities and the European Union. In this context, he applauded the sterling contribution by the European Union through the different European Development Funds and other mechanisms in advancing the implementation of many continental, regional and national projects related to infrastructure.

On his part, the Representative of the EU delegation, the Program Manager - Infrastructure, European Union in Zambia, Mr. Graham Ching’ambu noted that the project was not only about rules and regulations but also about the creation of an energy market. In this regard, he pointed out that the project could be a driver for market and industrial growth within the region and could also contribute to lowering production costs hence enhancing competitiveness.

The Team Leader of the renewable Energy/Energy Efficiency at the IOC, Mr. Mark Kwai Pun said IOC was proud to be associated with ESREM as energy is a means for development. He disclosed that IOC had an energy programme that addresses specific needs of the Member States, which focuses on making the energy sector more resilient to climate change.

The Chief Market Analyst of the Southern Africa Power Pool (SAPP), Mr. Beta Musara disclosed that the target for connecting SAPP to the Eastern Africa Power Pool (EAPP) is 2022 and urged the Member States and the RECs to accelerate implementation of power interconnection projects to achieve that target.

The project on Enhancement of a Sustainable Regional Energy Market (ESREM) in the Eastern Africa- Southern Africa-Indian Ocean (EA-SA-IO) Region has three results areas namely; a regionally harmonized energy regulatory and policy framework that integrates gender perspectives; enhancement of regulatory capacity of the National Regulatory Authorities and Power Pools to proactively influence developments in the energy sector; and lastly, enhancement of renewable energy and energy efficiency to attract investments in clean energy and build capacity in clean energy in the region as well as the domestication on a demand driven basis.
 Some of the Communication and Energy Experts dissecting a Consultant’s report on the development of a synthesized renewable energy and energy efficiency strategy including the communication and visibility component for the three regions (EA-SA-IO).
 Nganikiye Balthazar (left), Burundi’s Director General of AREEN and Chairperson of the Executive Committee of Energy Regulators Association of East Africa and Ephrem Tesfaye (right) the CEO of the Independent Regulatory Board (IRB) of the Eastern Africa Power Pool closely follow a presentation
 Readlay Makaliki (left), the CEO of SADC Centre for Renewable Energy and Energy Efficiency (SACREE) and Ferdinand Molale (right), the Communication Expert from the Energy Regulator in Namibia (ECB) closely follow a presentation.
 Prof. Yamba (Consultant) (left), Yohane Mukabe (centre), ESREM Project Manager, and Samuel Mgweno from the ESREM Project Management Unit at the meeting.
Group Picture: Seated left to right: Eng. Man’arai Ndovorwi from Regional Energy Regulators Association; Graham Ching’ambu, the Program Manager - Infrastructure, European Union in Zambia; Dr. Mohamedain Seif Elnasr, the Chief Executive Officer of the COMESA based Regional Association of Energy Regulatory Authorities in the Eastern and Southern Africa (RAERESA; Mark Kwai Pun, the Team Leader of the renewable Energy/Energy Efficiency at the IOC; Nganikiye Balthazar, Burundi’s Director General of AREEN; and Prof Okure from the East African Centre for Renewable Energy and Energy Efficiency (EACREE).

EAC HOLDS TRAINING OF TRAINERS WORKSHOP FOR IMMIGRATION AND LABOUR OFFICERS

0
0
cid:5cc40b6c-53ac-4312-8698-e2bfa635d25b
 EAC Secretariat

The East African Community (EAC) Secretariat Friday concluded a three-day Training of Trainers (TOTs) workshop for Immigration and Labour Officers which was conducted at the Tanzania Regional Immigration Training Academy (TRITA) in Moshi, Tanzania. 

The workshop was targeted at enhancing knowledge and skills of the officers with a view to boosting their capacity to implement the EAC Common Market Protocol and other border management related matters. 

The specific objectives of the training were to give the the Immigration and Labour Officers opportunities to interact  and share experiences on the implementation of the EAC Common Market Protocol provisions of Free Movement of Persons and Labour; acquire knowledge and awareness on the operationalisation of EAC One Stop Borders Posts Act, 2016, and; enhance their knowledge of EAC Peace and Security Initiatives and measures to combat transnational crimes. 

The ToT workshop further sought to enhance the officers appreciation of the role of border management agencies in facilitating the growth of the Private Sector and Investment Promotion in addition to acquiring knowledge on detecting fraud in travel documents, and security of documents and investigations. 


In view of budgetary constraints, the training will be arranged in a phased manner and conducted in all Partner States instead of transporting and facilitating participants to TRITA, Moshi, and this new approach, would target more participants, who will later train others in their respective Partner States.

Speaking at the workshop, the EAC Principal Labour and Employment Officer, Mr. Stephen Niyonzima, said that the training of Immigration and Labour Officers was critical in as far as building capacity of the officers is concerned. 

Niyonzima added that in the public service officers were transferable while others, retire and therefore, the provision of regular training was necessary to promote efficiency and effectiveness in the management of the free movement of persons and labour in the Community.  

He further informed the participants that the Regional Monitoring Group on the implementation of the EAC Common Market Protocol, had on several occasions recommended the need to build capacity of border management officials on the implementation of the Common Market Protocol among other EAC protocols. 
The scope of the presentations at the training focused on the role of immigration, labour, examination of travel documents, fraud detection, private sector and investment promotion and labour migration and development.
 The EAC Principal Labour and Employment Officer, Mr. Stephen Niyonzima (standing) making a presentation to participants at the TOT Workshop.
A group photo of the participants who attended the Training of Trainers for Immigration and Labour Officers convened at the Tanzania Regional Immigration Training Academy in Moshi, Tanzania.

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA KUTOKA NEW YORK LEO

Bonanza la michezo kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya kupiga vita dawa za kulevya duniani lafana jijini Tanga

TASAC:Mafunzo kwa wataalam wa vyombo vya usafiri wa Baharini na Maziwa yanahitajika.

0
0

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

Usalama wa vyombo vya usafirii wa Baharini na Maziwa unahitaji kuwa na Mafunzo ya mara kwa mara kwa ajili ya vyombo hivyo kwa wataalam ikiwa ni pamoja na kujifunza mbinu mbalimbali katika uokoaji pindi linapotokea kuweza kukabiliana.

Hayo ameyasema Mkurugenzi wa Utawala na Rasilmali Watu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji kwa Zanzibar Rajab Yakub Uweja wakati akifunga Mafunzo ya Wataalam wa Usalama na Uokoaji katika usafiri wa Baharini ulioshirikisha nchi Tisa uliofanyika Jijini Dar es Salaam.

Uweja amesema kuwa mafunzo ya usalama katika bahari na maziwa yanahitajika kutokana vyombo vya majini ni muhimu katika sekta ya usafirishaji nchini.

Amesema kuwa Tanzania bado tuko vizuri lakini mafunzo bado ya yanahitajika kwa wataalam wa usalama na uokoaji.Aidha amesema kuwa Shirika la Usafiri wa Meli Duniani (IMO) kutokana na utaratibu wake limeonelea kuja kufanya mafunzo Tanzania kwa kutambua ni moja ya nchi inayopokea Meli nyingi.

Nae Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli Nchini (TASAC) Emmanuel Ndomba amesema usalama makosa yanayofanyika katika bahari asilimia 80 ni makosa ya kibinadamu hivyo wamiliki wa meli na vyombo vingine vya majini wanahitaji mafunzo.

Amesema kuwa Tanzania iko vizuri katika udhibiti wa usimamizi katika sekta ya usafirishaji wa Baharini na Maziwa.
 Mgeni rasmi na Mkurugenzi Mkuu wa TASAC wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kushirikisha Mafunzo ya Usalama na Uokoaji katika usafiri Baharini yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Wadau wa Mafunzo ya Usalama na Uokoaji wa vyombo vya usafiri Baharini wakisiliza mada.
 Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Stella Katondo akizungumza na waandishi wa habari namna Wizara hiyo walivyojipanga katika udhibiti wa  sekta ya usafirishaji katika mafunzo ya wataalam wa vyombo vya usafiri Baharini yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Wakala wa Meli Nchini (TASAC) Emmanuel Ndomba akizungumza kuhusiana mafunzo wataalam wa vyombo vya usafiri Baharini yaliyoshirikisha nchi Tisa yaliofanyika jijini Dar Salaam.
 Mkurugenzi wa Utawala na Rasilmali Watu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Rajab Yakub Uweja akizungumza wakati akifunga Mafunzo ya Usalama na Uokoaji kwa wataalam wa vyombo vya usafiri Baharini yaliyoshirikisha nchi Tisa yalifanyika Jijini Dar es Salaam.


Ulega:Sekta ya Uvuvi inahitaji wawekezaji makini.

0
0
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdullah Ulega akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Watumishi wa Taasisi wa Sekta ya Uvuvi nchini Somalia wanaopata mafunzo katika Wakala ya Vyuo vya Uvuvi nchini (FETA) Mbegani wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Mwakilishi Mwandamizi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa Japan Kentaro Akutsu akitoa namna wanavyotoa ufadhili wa Mafunzo kwa Watumishi wa Sekta ya Uvuvi nchini Somalia ikiwa ni njia kuongeza ajira kwa vijana katika nchi hiyo wakati wa ufunguzi wa Mafunzo yanayoendeshwa na Wakala ya Vyuo vya Uvuvi nchini (FETA) Mbegani wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.


Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Vyuo vya Uvuvi nchini (FETA) Yahya Mgawe akitoa taarifa namna wanavyotoa mafunzo wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya Watumishi wa Taasisi za Sekta ya Uvuvi nchini Somalia yanayofanyika katika cha Uvuvi Mbegani wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Watumishi wa Taasisi za Sekta ya Uvuvi nchini Somalia wakiwa katika mafunzo katika Wakala ya Vyuo vya Uvuvi nchni (FETA) Mbegani wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdullah Ulega akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Sekta ya Uvuvi nchini Somalia wanaopata mafunzo katika Wakala ya Vyuo vya Uvuvi nchini(FETA) Mbegani wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.



*Na Watumie wataalam wanaozalishwa na Vyuo vya Uvuvi nchini.


Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii 

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema katika kufikia uchumi wakati sekta ya Uvuvi ni sekta ambayo inahitaji wawekezaji makini ikiwemo kutumia wataalam wa Uvuvi wanaosoma vyuo vya ndani.

Hayo ameyasema Ulega wakati akifungua mafunzo ya Watumishi 20 wa Taasisi za Sekta ya Uvuvi nchini walioletwa na Shirika la Kimataifa la Japani (JICA) katika Wakala ya vyuo Uvuvi (FETA) Mbegani wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

Amesema sekta ya Uvuvi imekuwa na michango mingi Bungeni katika kuona nchi inanufaika katika kuleta maendeleo kwa kufikisha dhamaira ya serikali ya kufukia uchumi wa Kati.

Ulega amesema kuwa kutokana na Wakala ya Vyuo vya Uvuvi kufanya vizuri ndio maana nchi nyingine wanakuja kujifunza nchini Tanznaia.
Amewasaa wasomali wanaopata mafunzo wakayatumie katika kuwapa maendeleo nchini mwao.Amesema kuwa Wakala ya Vyuo vya Uvuvi kwa miaka miwili Zaidi ya wageni 770 wamepata mafunzo katika Wakala hiyo.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Vyuo Vya Uvuvi nchini (FETA) Yahaya Ibrahim Mgawe amesema kwa miaka hivi karibuni wameisha to mafunzo kwa wanafunzi Mia Saba sabini kutoka nchi mbalimbali moja ya mafunzo nibutawala Uvuvi menejimenti na masoko.

Afsa miradi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA)Veronika Balua amesema japan imeamua kutoa mafunzo hayo kwa wasomali lengo nikutaka kutoa fursa ya ajilra kwa vijana ili kupunguza migogoro iliyopo ndani ya nchi yao na Mafunzo hayo yatachukua takribani week tano

RC MAKONDA AZIDI KUUNGWA MKONO KAMPENI YA MATIBABU YA UPASUAJI MOYO KWA WATOTO

0
0
* ACHANGIWA MILIONI 13 NA AKO GROUP NA CHAMA CHA WASHEHERESHAJI.

Kampeni ya Matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto 60 kutoka familia zenye maisha duni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda imezidi kugusa Mioyo ya wadau na watu mbalimbali ambapo leo Kampuni ya Ako Group Ltd imeahidi kutoa mchango Shilingi Milioni10 kwaajili ya matibabu ya watoto 5 huku wanachama wa Chama cha Washehereshaji Tanzania wakichangia kiasi Cha Shilingi milioni 3.3 kwaajili ya matibabu kwa watoto wenye tatizo la moyo.

RC Makonda amesema fedha hizo zitawezesha matibabu ya upasuaji wa moyo kwa Watoto 7 ambapo ametoa wito kwa wadau, taasisi na kampuni mbalimbali kusaidia matibabu ili kuokoa maisha yao.

Hayo yamejiri wakati wa mkutano mkuu wa Chama cha Washehereshaji ambapo katika michango hiyo kampuni ya Ako Group Ltd imetoa ahadi ya kusaidia matibabu ya watoto 5 na chama cha washehereshaji kimejitolea kugharamia matibabu kwa watoto 2 na kufanya idadi kuwa watoto7.

Itakumbukwa jumamosi ya juni 22 RC Makonda alitoa ufadhili wa matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto 10 kati ya 60 ikiwa ni mkakati wake wa matibabu ya watoto 10 kila mwezi.

WANANCHI MANISPAA YA IRINGA WAKUNWA UTENDAJI KAZI WA MADIWANI WA CCM

0
0

 Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Joseph Lyata ambae ni Diwani wa kata ya Kwakilosa akiwa pamoja na mwenyekiti wa umoja wa vijana manispaa ya Iringa Salvatory Ngerea,diwani wa kata ya Mwangata Nguvu Chengula pamoja na baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mkimbizi A wakiwa kwenye picha ya pamoja
 Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Joseph Lyata ambae ni Diwani wa kata ya Kwakilosa akiwa pamoja na mwenyekiti wa umoja wa vijana manispaa ya Iringa Salvatory Ngerea,diwani wa kata ya Mwangata Nguvu Chengula pamoja na baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mkimbizi A wakiwa kwenye picha ya pamoja

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

WANANCHI wa kata ya Mkombizi Manispaa ya Iringa wamekishukuru chama cha Mapinduzi ccm kupitia umoja wa madiwani wa chama hicho kwa kutatua kero yao ya ubovu wa miundombinu ya barabara iliyodumu kwa muda wa miaka saba.
Ni siku moja tu juni imepita   toka wananchi wa kata ya Mkimbizi Manispaa iliyopo chini ya upinzani wa chama cha demokrasia na Maendeleo chadema kutoa kero yao ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika mkutano wa hadhara wa madiwani wa ccm wa Manispaa ya Iringa,uliofanyika juni 23 katika kata hiyo kuwaomba watengenezewe miundombinu barabara hiyo ambayo imenakwamisha shughuli za kiuchumi kutoka na ubovu wake.
Akizungumza wakati wa ukarabati wa barabara hizo Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Joseph Lyata ambae ni Diwani wa kata ya Kwakilosa ccm alisema kuwa lengo lao ni kutaka kuhakikisha barabara zote korofi zinakarabatiwa kupitia umoja wao kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo.
“Madiwani wa chama cha Mapinduzi ccm katika Manispaa ya Iringa tumeamua kwa umoja wetu katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa kuangalia kero zilizopo katika kata zote 18 bila kujali iko ipinzania ua chama tawala’’Alisema
Alisema kuwa  lengo  lao ni kuhakikisha kero ndogondogo za wananchi katika kata  za madiwani wa ccm ndani ya Manispaa zinatanawatumikia wananchi wananchi wanatatuliwa kero zao.
Mpaka sasa jumla ya kata  5 tumeshakarabati miundombunu ya barabara ambazo ni kata ya Mwangata,Kihesa,Mtwivila, ,Kwakilosa ,Ipogolo na leo tupo kata ya Mkimbizi,tunataka maeneo ambayo ni korofi yanafanyiwa matengenezo;
Huu mpango ni endelefu,tutaendelea katika kata zote tukiwa na lengo kubwa la kuhakikisha kata ambazo zina changamoto ya miundombinu na kero zingine zinatuliwa kwa wakati katika kelekea uchaguzi wa serikali za mitaa’’Alisema
Diwani wa kata ya Mwangata kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Nguvu Chengula alisema kuwa  umoja wa madiwani wa ccm wameamua kupita kila kata ya diwani anaetokana na chama hicho kuangalia kero na changamoto ambazo hazijatatuliwa wanashirikiana kwa pamoja na kutatua.
Chengula alisema kuwa umoja wa madiwani wa ccm kwa  kushirikiana na wadau wa maendeleo ndani ya manispaa ya Iringa tutahakikisha tunawafikia wananchi kila kata na kusikiliza kero zao na kuzipatia ufumbuzi ili uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika nchini mwaka huu ccm iweze kushinda kwa kishindo.
‘’Mikakati tuliyojiwekea sisi kama Madiwani tunaotokana na chama cha mapinduzi ccm  ni kuhakikisha mapaka kufikia August 30 barabara zote korofi zilizopo katika kata na mitaa ya manispaa ya Iringa zinakarabatiwa ili wananchi waweze kufanya shughuli zao bila kikwazo’’Alisema
Nae mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela aliwapongeza madiwani hao kwa kuisaidia serikali katika kutatua kero za wananchi kwa vitendo,huku akiwataka wananchi kutoa ushirikiano wa madiwani hao ili kero zinazowakabili ziweze kutatuliwa.
''Tumemuomba mh.Rais atusaidie fedha kwa ajili ya kuweka rama katika barabara za manispaa ya Iringa zenye urefu wa kilomita 21,tunaamini mh.Rais atatusaidia,hivyo ninawaomba wadau wa maendeleo kujitoa waunge mkono juhudi hizi zinazofanywa na madiwani katika kuleta maendeleo ya manispaa ya Iringa''Alisema
Kwa upande wake mwenyekiti wa mtaa wa Mkimbizi A,Agata Kasisi alisema  kuwa barabara hizo zimekuwa kikwazo kikubwa kwa wananchi hasa wafanyabiashara,bodaboda pamoja na wanafunzi ambao wamekuwa wakishindwa kwenda shule kutokana na miundombinu kutokana rafiki.
‘’Tunae diwani wa chadema aliyechaguliwa na wananchi,lakini ameshindwa kutatua changamoto mbalimbali zinazotukabili katika kata yetu ikiwemo changamoto ya miundombinu.Tunawashukuru madiwani wa ccm pamoja na chama cha mapinduzi klwa ujumla kwa kututatulia kero hii na tunahidi kosa ambalo tulilifanya katika uchaguzi mkuu 2025 hatutalirudia  katika serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020’’Alisema

SERIKALI YAITAKA SEKTA YA FEDHA IWE IMARA

0
0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifungua Ofisi na Tawi la Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe, wakati akifungua Ofisi na Tawi la Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifungua akaunti katika Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), baada ya kufungua Ofisi na Tawi la Benki, katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019. Kulia ni Ofisa Huduma kwa Wateja Elizabeth Mkondya. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihifadhi fedha baada ya kufungua akaunti katika Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), baada ya kufungua Ofisi na Tawi la Benki ya Benki hiyo, iliyopo katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019. Kushoto ni mtoa huduma wa fedha, Nasra Namkudai. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kufungua Ofisi na Tawi la Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), katika jengo la PSSSF jijini Dodoma, Juni 24.2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Ashantu Kijaji, wakati wa ufunguzi wa Ofisi na Tawi la Benki ya Uwekezaji Tanzania (TIB), katika jengo la PSSSF jijini Dodoma.





*Ihakikishe huduma zake zinawafikia wananchi wa mijini na vijijini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema sekta ya fedha inapaswa kuwa imara na kuhakikisha huduma zake zinawafikia wananchi wengi katika maeneo ya mijini na vijijini ili iweze kutoa mchango unaokusudiwa katika kuinua uchumi wa nchi na ustawi wa jamii. 

Ameyasema hayo leo (Jumatatu, Juni 24, 2019) wakati alipofungua Ofisi Ndogo na Tawi la Benki ya Biashara ya TIB jijini Dodoma. Amesema ukuaji wa sekta ya huduma za kifedha ni muhimu sana katika kukuza uchumi na kupunguza umaskini.

Waziri Mkuu amesema benki ndicho chombo kikuu cha kutolea huduma za kifedha kwa wananchi, hivyo, benki zinatakiwa kuzingatia mahitaji ya wananchi, kuwahamasisha na kuwaelimisha umuhimu wa kutumia benki. 

“Wananchi nao pia wana wajibu wa kuzitumia benki hizi kwa kutunza akiba zao na kukopa wakati wanapohitaji kuwekeza kwa malengo yaliyokusudiwa. Suala la msingi ni kuwa mnapokopa mkumbuke pia kurejesha kulingana na makubaliano.”

“Sifurahishwi sana na takwimu zinazoonesha kwamba ni asilimia 16.7 tu ya Watanzania wote ndiyo wanaopata huduma za kifedha kupitia mifumo halali ya kibenki, huku asilimia 48.6 wakipata huduma za kifedha kupitia mitandao ya simu na asilimia 35 ya waliosalia kutopata kabisa huduma rasmi za kibenki.”

Waziri amesema hali hiyo haikubaliki kwenye nchi kama Tanzania ambayo inakabiliana na ujenzi wa uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, hivyo ametoa wito kuwa benki zote ziendelee kubuni mikakati na mbinu zitakazowawezesha Watanzania wengi zaidi kupata huduma rasmi za kibenki tena kwa gharama nafuu ili waweze kujiongezea kipato na kujikwamua kutoka kwenye umaskini. 

Hata hivyo, Waziri Mkuu amesema tozo za mabenki kwa wateja bado ni kubwa na haziwasaidii wananchi wa kawaida, kwa hiyo, zipunguzwe. “Riba kwa wakopaji nazo ziko juu sana ukilinganisha na mfumuko wa bei, pia nazo zipunguzwe.”

Kuhusu changamoto ya riba kubwa inayotozwa kwa mikopo ya benki, Mheshimiwa Majaliwa amesema tayari Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania imefanikiwa kupunguza riba ya hati fungani za Serikali, pamoja na ile inayotozwa kwa mabenki yanayokopa Benki Kuu. Moja ya lengo la kufanya hivyo ni kutaka riba za mabenki zipungue. 

“Naomba mabenki yaunge mkono jitihada hizo za Serikali kwa kupunguza riba zinazotozwa hasa kwenye mikopo ya watu binafsi na biashara ndogo ndogo kwani hawa wakipata unafuu wataweza kukuza biashara zao na hivyo kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji.”

Akizungumzia suala la baadhi ya benki kuwa na tawi moja au mawili jijini Dar-es-Salaam tu, Waziri Mkuu amesema tayari Serikali imeshaiagiza Benki Kuu ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango kuzitathimini upya benki za aina hiyo.

“Leo narudia tena kuiagiza Benki Kuu ya Tanzania kuzisimamia benki zetu ili zifungue matawi yake hadi vijijini waliko wenye uhitaji.! Kwanini? benki nyingi zimejikita katika kutafuta faida pekee bila kuwekeza kwa faida ya nchi yetu? Hadi sasa tuna benki ambazo zimekuwa siku zote na tawi moja tu tena liko Dar-es-Salaam. Benki Kuu ya Tanzania isisite kuchukua hatua za kisheria kurekebisha hali hiyo.”

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya TIB, Frank Nyabundege amesema kwa kipindi cha miaka minne benki hiyo imeweza kukuza mtaji kutoka sh. bilioni 206 wakati inagawanywa mwaka 2015 mpaka kufikia sh. bilioni 409 mwishoni mwa mwaka 2018 sawa na ukuajia wa aslimia 98.5.

Mkurugenzi huyo amesema mbali na kufanikiwa katika kukuza mtaji, pia benki hiyo imeweza kukuza amana za wateja kutoka sh. bilioni 110 mwaka 2015 mpaka sh. bilioni 338 mwezi Disemba 2018, sawa na ukuaji wa asilimia 207.

“Mafanikio mengine yabenki ya TIB katika kipindi cha miaka minne ni pamoja na kuanza kutengeza faida angalau ya sh. bilioni 1.3 mwaka jana (2018), kutoa mchango stahiki katika Mfuko Mkuu wa Serikali kiasi cha sh. milioni 250.”

Mkurugenzi huyo ameongeza kuwa benki hiyo imetoa mikopo na dhamana kwa taasisi za umma hadi kufikia shilingi bilioni 224.35 kwa kipindi kilichoishia Machi 2019, kulipa kodi Serikalini kiasi cha sh. bilioni 19.2 tangu benki ianzishwe na kutoa mikopo kwenye sekta ya viwanda jumla ya sh. bilioni 65.12.

WAZIRI KAMWELWE KUWAPA NEEMA WATAALAMU WANAOSOMEA SEKTA YA ANGA

0
0
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akizungumza wakati wa kufungua kongamano la pili la wadau wa sekta ya anga lililoandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari akizungumza wakati wa kongamano la pili la wadau wa sekta ya anga lililoandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dar es Salaam. Meza kuu...
Washiriki wakifuatilia kongamano.
Picha ya pamoja na wadhamini. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema yupo katika hatua za mwisho ya mazungumzo na Wizara ya Elimu ili itoe mikopo kwa wataalamu wanaosomea sekta ya anga. Waziri Kamwelwe ameeleza hayo leo, wakati akifungua kongamano la pili la wadau wa sekta ya anga lililoandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). 

 Kongamano hilo, lina lengo la kujadili mafanikio na changamoto zinazoikabili sekta hiyo na mbalimbali zitawasilishwa ikiwemo mchango wa sekta ya anga kwenye ajenda ya kuipeleka Tanzania ya viwanda. Kamwelwe ambaye pia mbunge wa Katavi (CCM) amesema tayari ameshazungumza na viongozi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) katika kufanikisha mchakato huo ili bodi hiyo ishiriki kikamilifu kuwasaidia wataalamu hao. 

 “Kulikuwa na hoja ya kwamba wataalamu hawa wanahitaji fedha nyingi, lakini nikawaambia hawa watalipa haraka kuliko hao wengine wanaokopeshwa. Nimeangalia vizuri hii fani rubani kufundishwa hadi kuiva ni fedha nyingi.” “Hata mimi siwezi kumsomesha mwanangu kwa hizo fedha, hakuna namna kwa sababu tulishaamua kuikuza sekta hii. Lazima Serikali iingize mkono wake kama ilivyo kwenye mambo mengine,” amesema Kamwelwe.
Viewing all 109602 articles
Browse latest View live




Latest Images