Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110119 articles
Browse latest View live

HUYU NA YULE: Mahojiano na waTanzania Evans Mhando na Fatuma Matulanga wakiwa CHINA

$
0
0
WaTanzania Evans Mhando (L) na Fatuma Matulanga (M) walipokutana jijini Beijing nchini China. Wiki hii walikuwa wageni katika kipindi cha HUYU NA YULE kinachotayarishwa na Mubelwa Bandio (R) wa Jamii Production
Katika huyu na yule wiki hii, nimepata nafasi ya kuzungumza na vijawa wawili wa kiTanzania wanaosoma nchini China. Nao ni Fatuma Matulanga aliyeko Beijing na Evans Mhando aliyeko Nanchang ambao kwa pamoja tumejadili mambo kadhaa na zaidi kuhusu vijana
Wameeleza mengi wakioanisha kijana na maisha ya China na Tanzania ikiwemo
1: TOFAUTI KATI YA KIJANA WA CHINA NA TANZANIA
2:TOFAUTI KATI YA ELIMU YA CHINA NA KWINGINE. Ni kweli kuwa China haifunzi ubunifu na ndio maana wanasifika kwa kuendeleza kuliko kubuni?
3: MALALAMIKO KUWA BIDHAA ZA CHINA HAZINA UBORA, YANATAZAMWA VIPI HUKO CHINA?
4: NI KIPI WANACHOJUA SASA KUHUSU CHINA AMBACHO HAWAKUJUA KABLA HAWAKWENDA CHINA?
5: MABADILIKO YA SERA YA MTOTO MMOJA MNAONA IMEPOKELEWA VIPI HAPO?
6: NI KIPI WANACHOTAMANI KINGETOKA CHINA KWENDA TANZANIA (HASA KATIKA TASNIA YA HABARI?)
Na mengine mengi

Ni huyu na Yule ya Mubelwa Bandio wa Jamii Production akihojiana na Fatuma Matulanga na Evans Mhando, wanahabari wa shirika la utangazaji la Tanzania (TBC) wanaojiendeleza kielimu nchini China
Kwa maoni ama ushauri, usisite kutuandikia kupitia jamiiproduction@gmail.com

Pan African Parliament to engage African Union on Democracy, fair Elections and Good Governance

HOUSE FOR RENT AT MIKOCHENI B IN DAR ES SALAAM

$
0
0
A nice place to live with two bedrooms, kitchen, seating room, with fenced located at MIKOCHENI B, in Dar es salaam. Located in a quite area, easy to access main road and facilities like, shopping centers, hospitals and schools, plus a lovely garden area, and enough space for parking .... Please contact me if you wish to discuss anything. My number is 0653312186 or 0772821920 and my email address is mhillal@hotmail.com.



JK KATIKA SHEREHE YA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU DUNIANI

$
0
0
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi alama mpya za barabarani kwa watu wenye ulemavu wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013. 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo toka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu, Bi. Lupi Maswanya wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Usalama barabarani ya Watu wenye Ulemavu (NCPDRS)  na mbunifu wa alama za barabarani kwa watu wenye ulemavu ,Bw. Jutoram  Kabatelle,kabla ya kuzindua rasmi alama mpya kwa watu wenye ulemavu wakati wa sherehe ya Siku ya Watu Wenye Ulemavu Duniani katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo Novemba 3, 2013. 

KUONA PICHA ZAIDI,BOFYA HAPA

NAIROBI TO HOST 14TH EAC JUA KALI-NGUVU KAZI EXHIBITION

$
0
0
East African Community Secretariat, Arusha, 4 December 2013: The 14th EAC JuaKali/Nguvu Kazi Exhibition is taking place on 8 - 15 December 2013 at the Railways Club Sports Ground, Uhuru Park in Nairobi, Kenya. The theme of the Exhibition is Jua Kali/Nguvu Kazi (MSEs) for value addition and product quality for EAC industrialization.

According to the EAC Principal Trade Officer (Internal) Mr. Nduati Wa Karanja, as of this week,1,070 (one thousand and seventy) Exhibitors had registered and confirmed participation. They are distributed among the Partner States as follows:- The United Republic of Tanzania, 250; Kenya, 600; Uganda, 120; Rwanda, 60; and Burundi, 40.

A one-day Symposium  for the Exhibitors will be held on 13 December, 2013 during which the following papers will be presented by resource persons from Partner States.

Access to affordable credit facilities for SMEs to be cover the following areas
-Sources, Institutions;
-Types of packages available,
-interest rates and any other costs
-amounts to be advanced,
-eligibility- collaterals,
-Repayments period,
-Defaulting,
-Refinancing,
-late payments/over drafts and
-any other requirements

How to access government procurement to cover the following areas:
-Procedures/ requirements;
-Eligibility;
-Any preferential/quota for MSEs; and
-Terms of payments.

Accessing the retail outlets markets to cover the following areas:
-Why most Jua Kali/Nguvu Kazi (MSEs) products are not accessing the retail markets;
-Why Jua Kali/Nguvu Kazi products are not properly displayed;
-Requirements;
-Payments; and
-Any other related issues to accessing the retail outlet markets.

KUMBUKUMBU

$
0
0
MAREHEMU SAID ALLY 
MUYONGO ABAD


Kweli maisha ni safari ndefu, hatimay leo umefikisha miaka ishirini na tano (25) tangu ulipotangulia mbele za haki mnamo tarehe 04/12/1988. 
Ni Siku  isiyoweza kusahaulika maishani mwangu. Upendo, Hekima, Busara, Ucheshi na Ukarimu ni uridhi pekee ulioniachia . Pumzika kwa amani baba yangu mpendwa.

Mjukuu wako William Stephen III  anakuombea daima. Kila nikimwangalia anavyokuwa na kuchukua sura yako napata faraja ya kwamba sikuachwa peke yangu.

Unakumbukwa daima na ndugu zako wa Vanga, Mombasa, Moa, Nairobi, DSM, Arusha, mkwe wako na marafiki zako wote popote walipo.

WABILAH TAWFIQ. INNA LILLAH WAINNA ILYH RAIUN. 
AMEN


Ni Mimi mwanao Mpendwa Beatrice Muyongo Abad 
na Mjukuu wako William Steve III

wazee wa kazi wavunja kabat London, wahudhuria harambee ya KUCHANGIA MTOTO WA AFRIKA

$
0
0
JUMAMOSI 30/11/2013 KULIKUWA NA HARAMBEE YA KUCHANGIA MFUKO WA KUMSAIDIA MTOTO WA AFRICA. HARAMBEE HIYO ILIFANYIKA KWENYE HOTEL YA LANCASTER JIJINI LONDON, UINGEREZA. SHUGHULI HIYO ILIANDALIWA NA WAKE WA MABALOZI WOTE WA AFRICA  WALIOKO UINGEREZA NA KUHUDHURIWA NA WAHESHIMIWA MABALOZI NA WAFANYABIASHARA MBALI MBALI WA KIAFRIKA AMBAPO WAZEE WA KAZI SERENGETI FREIGHT NAO WALIALIKWA KUHUDHURIA NA KUTOA MCHANGO WAO MKUBWA TU. NA SI HIVYO TU BALI PIA WAZEE WA KAZI WALIACHANA NA MA-JEANS YAO NA KUVUNJA KABATI NA KUULAMBA KISAWASAWA. 

CHRIS LUKOSI AND SIMON LOUIS DIRECTORS OF 
SERENGETI FREIGHT WITH H.E WAWERU NGARE.jpg

CHRIS LUKOSI WITH H.E EPHRAIM WAWERU NGARE.
DIRECTORS OF SERENGETI WITH H.E PETER KALLAGHE 
TANZANIA HIGH COMMISSIONER TO THE UK
WAZEE WA KAZI WITH  MAMA BALOZI NA MHESHIMIWA BALOZI
SHUGHULI IKIENDELEA

KIJIWE CHA UGHAIBUNI


WAFANYAKAZI WA TAZARA WAOMBA TAZARA ICHUKULIWE NA WACHINA..!

MBUNGE WA IRINGA MJINI,MCH.MSIGWA AKANUSHA TUHUMA ZA KUTOKABIDTHI FEDHA ZA RAMBI RAMBI ZA DAUDI MWANGOZI

$
0
0
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini kupitia chama cha CHADEMA,Mch. PETER MSIGWA, amekanusha kuhusiana na tuhuma zinazomkabili juu ya kutokabidhi fedha za rambirambi kiasi cha shilingi milioni moja kwa mjane wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha wandishi wa habari mkoa wa Iringa marehemu DAUDI MWANGOSI, ambazo zilitolewa na wanachama wa CHADEMA waliopo nchini Uingereza na kusema kuwa tuhuma hizo si za ukweli, ni mambo ya uzushi na kwamba watu wanasema hivyo ili kumchafua  .

Akizungumza na na kituo cha redio ya Nuru fm ya Iringa,kupitia kipindi cha sunrise power,Mh. MSIGWA amesema kuwa ni kweli pesa hizo alipokea kupitia kwa MAJID MGENGWA na baada ya kupokea fedha hizo alichangisha tena fedha kwa wananchi wa jimbo la Iringa mjini kupitia mkutano, ambapo walichangia kiasi cha laki tatu  pamoja na yeye mwenyewe aliongezea kiasi cha shiringi laki tano ,hivyo kupelekea kufikia kiasi cha shiringi milioni moja na laki nane na sitini na nane na kumkabidhi mjane wa marehemu  DAUDI MWANGOSI.

Msigwa amesema kuwa ni wanasiasa tu wanaojaribu kuwachafua baada ya kuona kuwa wameshindwa na tayari amewasiliana na uongozi wa chama chake ili kuweza kulichukulia hatua gazeti ambalo limeandika tuhuma hiyo.

RAIS WA TFF AUNDA JOPO LA WATAALAMU 20 KUPANGA MKAKATI WA KUCHEZA AFCON 2015

$
0
0
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es salaam leo wakati wa kutangaza Jopo la wataalamu 20 aliowateua kwa ajili ya kupanga mkakati wa kutengeneza timu itakayoweza kuonyesha jinsi Tanzania inavyoweza kushiriki Fainali za Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwaka 2015 nchini Morocco. Jopo hilo la wataalam litakutana kwa siku tatu mjini Zanzibar kuanzia Desemba 6-8 mwaka huu. Jopo hilo litaongozwa na Mwenyekiti wa zamani wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Kanali mstaafu Idd Omari Kipingu.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Lager,George Kavishe akizungumza machache juu ya Kamati hiyo maalum,ambapo ameiombea mafanikio makubwa ili tuweze kuja kupata timu bora ya Taifa kwa siku zijazo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Jopo la wataalamu 20 watakaokutana Visiwani Zanzibar hivi karibuni,Kanali mstaafu Idd Omari Kipingu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja wa Waandishi wa habari kutoka Chombo cha EATV,Patrick Nyembela akiuliza swali kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (hayupo pichani). 

Jopo la wataalamu 20 walioteuliwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi linakutana kupanga mkakati wa kuonesha jinsi Tanzania inavyoweza kushiriki Fainali za Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwaka 2015 nchini Morocco.

Kikao hicho maalumu (retreat) kitafanyika mjini Zanzibar kuanzia Desemba 6-8 mwaka huu. Jopo hilo litaongozwa na Mwenyekiti wa zamani wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Kanali mstaafu Idd Omari Kipingu.

Wengine wanaounda jopo hilo linalohusisha pia makocha ni Dk. Mshindo Msolla, Peter Mhina, Ayoub Nyenzi, Abdallah Kibaden, Pelegrinius Rutahyuga, Kidao Wilfred, Salum Madadi, Juma Mwambusi, Ken Mwaisabula, Boniface Mkwasa, Fred Minziro, Meja Abdul Mingange, Ally Mayay, Boniface Mkwasa na Dan Korosso.


Wajumbe wengine wa jopo hilo wanatoka Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA).

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMUAGA BALOZI MPYA NCHINI NIGERIA OLE NJOLAY

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi mpya nchini Nigeri, Ole Njolay, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi rasmi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi mpya nchini Nigeri, Ole Njolay, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi rasmi. Picha na OMR

Article 20

TTCL yazindua huduma mpya kwa wateja

$
0
0
Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo Kampuni hiyo, Bw. Peter Ngota akisisitiza umuhimu wa huduma mpya waandishi wa habari mfumo mpya wa kibiashara na utendaji kwa ajili ya kuwapatia huduma bora wateja wake kama njia ya kuchangia shughuli za maendeleo nchini kupitia huduma ya mawasiliano ya simu jijini Dar es Salam jana. Kulia ni Meneja wa Kampuni hiyo Dar es Salaam Kaskazini, Bwana Karim Bablia.
Meneja wa Kampuni Kampuni ya Mawasiliano nchini (TTCL) Mkoa Dar es Salaam Kaskazini, Bwana Karim Bablia akisisitiza umuhimu wa huduma mpya waandishi wa habari mfumo mpya wa kibiashara na utendaji kwa ajili ya kuwapatia huduma bora wateja wake kama njia ya kuchangia shughuli za maendeleo nchini kupitia huduma ya mawasiliano ya simu jijini Dar es Salam jana.Kushoto Afisa Mkuu wa Masoko na Mauzo Kampuni hiyo, Bw. Peter Ngota.

UMOJA WA MATAIFA WAZINDUA RASMI MATUMIZI YA DRONES KATIKA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO

$
0
0
Pichani ni ndege ambayo haiendeshwi na binadamu maarufu kama Drones 
(Unmanned aerial Vehicles) ambayo ni kati ya mbili zilizozinduliwa rasmi siku ya jumanne tayari kwa matumizi ya shughuli za ulinzi katika eneo la Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mkuu wa Idara ya Operesheni ya Ulinzi wa Amani ya Umoja wa Mataifa ( DPKO) Bw. Herve Ladsous (katikati) akipewa maelezo kuhusiana na kifaa hicho

CHINA WATILIANA SAINI NA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR LEO

$
0
0
Waziri wa Afya wa Zanzibar Juma Duni Haji na Naibu Mkurugenzi Mambo ya Afya kutoka jimbo la Changzhou Dk. Chen Jiangua wakitia saini makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya Mifupa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani na magonjwa ya tumbo Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika sherehe zilizofanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar.
Waziri wa Afya wa Zanzibar Juma Duni Haji akibadilishana hati ya makubaliano na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afya wa Jimbo la Changzhou baada ya kutiliana saini makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya mifupa Hospitali ya Abdalla Mzee na Kituo cha magonjwa ya tumbo Hospitali kuu ya Mnazimmoja katika sherehe zilizofanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Muhammed Dahoma akiukaribisha ujumbe wa Madktari kutoka Jimbo la Changzhou katika sherehe za utiaji saini makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya mifupa na magonjwa ya tumbo katika Hospitali ya Abdalla Mzee, Mkoani Pemba na Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika sherehe zilizofanyika leo Wizara ya Afya Mjini Zanzibar.
Picha ya pamoja ya viongozi wa Wizara ya Afya ya Zanzibar wakiongozwa na Waziri wa Afya Juma Duni Haji na Ujumbe wa madaktari kutoka Jimbo la Changzhou ulioongozwa na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afya wa Jimbo hilo baada ya kutiliana saina makubaliano ya ujenzi wa kituo cha maradhi ya mifupa Hospitali ya Abdalla Mzee na kituo cha maradhi ya matumbo Hospitali ya Mnazimmoja. Sherehe hiyo ilifanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

WAZIRI MAGHEMBE AFUNGUA MKUTANO WA MPANGO MKAKATI WA UTEKELEZAJI,ULINZI WA VYANZO VYA MAJI NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

$
0
0
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe amefungua mkutano wa kwanza wa aina yake wa kupanga mapango mkakati wa utekelezaji , utunzaji na ulindaji wa vyanzo vya Maji pamoja na mabadiliko ya tabia ya nnchi Mjini Morogoro leo asubuhi.

Akifungua mkutano huo, Waziri wa Maji Prof. Maghembe aliwaomba wataalamu wa sekta mabalimbali kuandaa mpango huo ili Serikali sasa ianze kutekeleza mikakati yoye iliyopo ili kulinda vyanzo maji Nnchini.

’’ Ndugu zangu wote mnaelewa kuwa kwa sasa tatizo la uharibifu wa vyanzo vya maji ni kubwa kwa sababu ya uvamizi wa vyanzo vya maji,ukataji wa miti ovyo pamoja na uvamizi wa makundi makubwa ya mifugo katika vyanzo vya maji pamoja na ongezeko la upungufu wa ubora wa maji nnchini “ alisema Prof. Maghembe.

Alisema kuwa, anamini wataalumu watukuja na mpango ambao utalisadiia Taifa letu kukabiliana na balaa hili la Kitaifa. “ Kimsingi tuna sera ya maji, sheria ya Maji namaba 11 ya mwaka 2009 pamoja na mikakati mbalimbali hivyo ni wajibu wetu sasa kuhakikisha kuwa yale tuliojipangia tunayatekeleza “ alisistiza. 

Waziri Maghembe aliwashauri wajumbe kuona uwezakano wa bodi zetu za mabode ya Maji kwa kushirikiana na wadau wengine kuanzisha ulinzi shirikishi katika vyanzo ya maji ili wananchi wawe walinzi wa raslimali hiyo.

Akimkaribisha Waziri waMaji, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr. Joel Bendera aliishukuru Wizara ya Maji kwa kuuleta mkutano huu katika Mkoa wa Morogoro kwani Mkoa wake ni Mkoa wa mfano maana kwa muda mfupi tangu awe Mkuu wa Mkoa wamefanikiwa mengi katika suala la utunzaji wa mazingira ikiwa pamoja na kukifunga kiwanda ch nguo cha 21st Century kilchokuwa kinatumia magogo ya miti tani 50 kwa siku pamoja na kutiririsha maji machafu katika mto Ngerengere. Alimfahamisha Prof. Maghembe kuwa Mkoa wa Morogoro una mito 143 na kwa mwaka karibu mito 133 hutiririsha maji mwaka mzima.

Mkutano huu unajumuisha watalaamu wa Uhandisi, uhandisi mazinngira, wachumi, maendeleo ya ya jaimii, wanasheria toka Wizara mbalimbali pamoja na asasi zisizo za kiraia.
Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa utekelezaji wa kulinda na kuviendeleza vyanzo vya Maji pamoja na mabadiliko ya tabia yannchi Mjini Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr. Joel Bendera akimkaribisha Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe katika mkutano wa Mpango Makakati wa utekelezaji wa utunzaji wa vyanzo vya Maji.
Wadau na Wataalam wakisiliza kwa makini hotuba ya Mhe.Waziri Maji Prof.Jumanne Maghembe.

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA KAMISHNA MPYA WA UHAMIAJI ZANZIBAR

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI (TFF) LEO

Article 13

Viewing all 110119 articles
Browse latest View live




Latest Images