Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 1260 | 1261 | (Page 1262) | 1263 | 1264 | .... | 3286 | newer

  0 0
  0 0


  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dk.Lenard Akwilapo akikabidhiwa picha na Mwakilishi Makazi wa Shirika la KAS, Daniel El-Noshokaty ya waasisi wa ushirikiano kati ya Tanzania na Shirika lisilo la Konrad Adenauer Stiftung (KAS) la nchini Ujerumani, Hayati Mwalimu Julius Nyerere (kushoto pichani) na Konrad Adenauer (kulia), wakati wa Kongamano la la kitaifa na kimataifa lililokuwa na mada yake kuu uadilifu wa viongozi na utawala bora katika usimamizi wa maliasili kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Tanzania lililofanyija  katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni Dar es Salaam juzi.
  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Philip Mangula akichangia jambo kwenye kongamano hilo.
  Taswira katika ukumbi wakati wa kongamano hilo.

  0 0

  Salaam, Kwa niaba ya Kamati ya Mpito - TZUK naambatanisha Rasimu ya Katiba iliyoandaliwa na kamati hii chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wake Eng. Dr. Julius Hingira, Kamati hii, ilichachaguliwa na watanzania wenyewe mwishoni mwa mwezi April mwaka 2016, na kupewa muda wa siku tisini kukamilisha kazi yake. Kamati ilijitambulisha ubalozini na kupata kufahamika rasmi kama chombo kilichopendekezwa na watanzania wenyewe.
  Rasimu hii imezingatia maoni ya watanzania wanaoishi hapa nchini Uingereza na kuandikwa katika mfumo unaokusudia kuleta umoja, mshikamano na upendo, wakati wa shida na furaha, kwa kuunganisha nguvu za Jumuiya zote zilizopo hapa UK na Northern Ireland na kutoa rai ya kuanzishwa kwa Jumuiya katika maeneo ambayo hakuna Jumuiya, yaani “local community”.

  Pia Rasimu imejikita katika mazingira yanayozingatia kujiendeleza kiuchumi, ajira na uwekezaji, ushauri na kujishirikisha katika kuboresha sekta mbalimbali za umma na binafsi,  bila kusahau usaidizi wa misaada mbalimbali nyumbani Tanzania, katika nyanja za elimu, afya, kilimo, etc na umiliki wa rasilimali kwa manufaa ya wanajumuiya.

  Rasimu hii ya katiba itawakilishwa kupata baraka, katika mkutano mkuu wa pamoja kwa watanzania wote utakaondaliwa na ubalozi wetu hapo baadae kwa maagizo ya Mh. Waziri Mkuu alipozungumza nasi katika ziara yake hivi Karibuni.

  Hivyo basi ni vyema tukaipitia kwa kusoma kipengele kwa kipengele na kuwafahamisha wengine kwa kuisambaza rasimu hii iwezekanavyo ili iwafikie watanzania walio wengi zaidi na tuweze kupata maoni yao zaidi kabla ya kuidhinishwa na mkutano mkuu wa pamoja na kupanga tarehe ya kufanya uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya kuu Shirikisho moja, itakayoundwa kwa uwakilishi wa Jumuiya za maeneo mbalimbali hapa UK na Northern Ireland.

  Pia kamati ya Mpito itafanya kazi ya kuelimishana kuhusu rasimu hii na kubabadilishana mawazo na watanzania wote hapa UK, kwa kila aina ya mawasiliano ili kufanikisha zoezi hili kwa ufasaha.
  Rasimu hii pia itapatikana katika mitandao mbalimbali online kama facebook, blogs, websites, whatsapp na telegram phone appilication za TZUK na nyingine nyingi za kitanzania etc.
  Facebook ya TZUK ni: https://www.facebook.com/tzuk.diaspora
  twitter page ni https://twitter.com/TZUKDiaspora 
  Website:tzuk.org.uk.
  Rasimu ya Katiba link hii hapa chini;

  Natanguliza shukurani, 
  wenu katika ujenzi wa Jumuiya;
  Abraham Sangiwa

  ...................................................

  Katibu Mkuu - Kamati ya Mpito - TZUK

  0 0

  Yanga yanasa mshambuliaji mwingine baada ya kupata saini yake kuitumikia timu hiyo kwa miaka miwili. Obrey Chirwa mwenye asili ya Zambia aliyekuwa anakipiga kwa wachimba madini FC Platinum ametua leo jioni na usiku huu kumalizana na Wanajangwani hao na anatarajiwa kuungana na wenzake siku ya Jumapili kwa ajili ya kuelekea nchini Uturuki kwa maandalizi ya kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe.

  Mabingwa hao wa ligi kuu Vodacom, wamekuwa katika mikakati ya kuimarisha kikosi chao kwa kusajili wachezaji watakaoweza kusaidia timu yao kwenye michuano iliyokuwa mbele yao pamoja na ligi kuu.

  0 0

   Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakumbusha walipakodi wote kulipa Kodi ya Mapato na Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kabla ya tarehe 30 Juni 2016 ili kuepuka usumbufu na msongamano. 
  TRA pia inawakumbusha wafanyabiashara wote wa Dar es Salaam ambao mauzo ghafi ni kati ya  shilingi millioni 14 na milioni 20 kwa mwaka kufika ofisi za TRA katika mikoa yao husika kuchukua mashine za EFDs kabla ya tarehe 30 Juni 2016. 
  Baada ya tarehe 30 Juni, zoezi la kugawa bure mashine za EFDs katika mkoa wa Dar es Salaam litasitishwa.   
  Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na kituo cha huduma kwa wateja simu namba: 0800750075au 0800780080 

  Limetolewa na:

  Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi

  Mamlaka ya Mapato Tanzania

  Dar es Salaam. 


  “PAMOJA TUNAJENGA TAIFA LETU


  0 0


  Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang wakati alipofanya mazungumzo na Kamati hiyo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

  Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang ambaye pia ni Kiongozi wa
  Msafara huo.

  Kiongozi wa Msafara wa Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang (katikati) akisanini Kitabu cha Wageni alipomtembelea Naibu Spika Dkt Tulia Ackson ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

  Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang akimkabidhi Naibu Spika Dkt Tulia Ackson zawadi mara baada ya kuzungumza nae ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

  Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiangalia zawadi aliyopewa na na Kiongozi wa Msafara Ujumbe wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje kutoka Bunge la China ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Zhang Haiyang mara baada ya kuzungumza nao ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.  (Picha na Ofisi ya Bunge)

  0 0

  Today. 18 June. Time like this we'd like to remember a one of a kind soul that left us 8 years ago. The family of Wimile miss you so much. From Dr Happiness Mbeyela, Hellen, Harris and Hope-Elly Wimile. We loved but God loved more.

  0 0


  0 0


  0 0


  0 0

  Robo fainali ya pili ya michuano ya Copa America ilichukuwa nafasi usiku mwingi wa kuamkia leo huko East Rutherford, Marekani kwenye dimba la ML. Stadium ikizikutanisha Colombia na Peru. 

  Kabla ya mechi hii timu hizi zimewahi kukutana mara 52, Colombia akiibuka mshindi mara 20 huku Peru akipata ushindi mara 15 na wakitoka sare mara 17.

  Mchezo huu ulikuwa mkali sana kwa muda wote kila timu ikitafuta nafasi za kufunga lakini walishindwa kuzitumia.

  Shukrani za kipekee ziwaendee walinda milango wa timu zote mbili kwa kuokoa mipira yote ya hatari iliyoelekezwa langoni mwao. Kwa hiyo hadi mwamuzi wa mchezo huu Patricio Loustau toka Argentina anapuliza kipyenga cha mwisho dakika 90+3, Colombia 0, Peru 0.
  Kulingana na kanuni za mashindano haya kutokuwa na muda wa ziada (extra time) kwa mechi za robo fainali na nusu fainali basi ikatumika kanuni ya kupigiana penati 5 kila timu, hapo ndipo Colombia walipopata penati 4 zilizowekwa kambani na James Rodriguez, Juan Cuadrado, Moreno na Perez wakati Peru walipata penati 2 zilizofungwa na Diaz na Tapia huku Trauso na Christan Cueva wakikosa. Colombia anamsubiri mshindi kati ya Mexico na Chile kwenye nusu fainali.

  Wakati tukila daku usiku mwingi wa kuamkia kesho kutakuwa na hitimisho la mechi za robo fainali

  ARGENTINA vs VENEZUELA na MEXICO vs CHILE


  0 0


  0 0

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikabidhi sehemu ya vyakula hivyo kwa Mwenyekiti wa Kituo cha Charambe Islamic Center Dkt. Haruni Kondo aliyepokea kwa niaba ya vikundi vigine vinne. Mke wa Rais amekabidhi mchele kilo 500, sukari kilo 500 na tende kilo 28, tukio hilo limefanyika katika ofisi ya Mke wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam.
   Khalifa wa Zawiyatul lqadiria, Abas Hamdan watatu kutoka kulia akiongoza dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na viongozi wengine wakuu wa serikali mara baada ya tukio la kukabidhi vyakula hivyo. Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, Mke wa Waziri mkuu Mama Marry Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali vya vikundi vya kulea watoto yatima na watu waishio kwenye mazingira magumu.
   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa na  mke wa Waziri Mkuu Mama Marry Majaliwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa vikundi vya kulea watoto yatima na watu waishio kwenye mazingira magumu. Tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Mke wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa na mke wa Waziri Mkuu Mama Marry Majaliwa akizungumza na viongozi mbalimbali wa vituo hivyo kabla ya kuwakabidhi vyakula hivyo katika Ofisi yake Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

  MKE wa Rais Mama Janeth Magufuli amekabidhi chakula kwa ajili ya futari wakati huu wa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa vituo vinne vya kulea watoto yatima na wale waishio katika mazingira magumu Jijini Dar es salaam.

  Vyakula hivyo vimekabidhiwa leo tarehe 18 Juni, 2016 katika ofisi ya Mke wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam vimejumuisha Mchele kilogramu 500, Sukari kilogram 500 na Tende kilogramu 28.

  Akizungumza mara baada ya kukabidhi vyakula hivyo, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli aliyeongozana na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa amewatakia heri Waislamu wote katika mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kuwasihi waendelee kuliombea Taifa amani na utulivu.

   (“Tunawatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, katika kipindi hiki tunawaomba mzidi kuiombea nchi yetu amani, viongozi wetu wa nchi na watanzania wote kwa ujumla, nchi ikiwa na amani ndio mambo mengi mazuri yanaweza kufanyika”)

  Kwa niaba ya vituo vilivyopatiwa vyakula hivyo, Mwenyekiti wa Kituo cha Charambe Islamic Center Dkt. Haruni Kondo amemshukuru Mke wa Rais kwa kutoa vyakula hivyo na ameeleza kuwa kitendo hicho kinaonesha mshikamano na ushirikiano walionao watanzania wote bila kujali tofauti ya dini, kabila wala maeneo wanayotoka.

   (“Kwa hiyo ndugu zangu mna imani ya kikristo lakini mnatambua waislamu ni ndugu zenu, wote tunajenga nyumba moja, mshikamano ndio tunu tuliyoachiwa na Baba yetu wa Taifa, leo mmeguswa kuona wenzenu tunafanya ibada na nyinyi mmeingia kwenye ibada, sasa ibada ya kutoa ni ibada kubwa sana, sio nchi nyingi katika Afrika zinafanya kitendo hiki, watu hawaelewi, ni nchi chache sana ambazo imani moja inaunga mkono imani nyingine, lakini sisi waislamu tunalitambua hili hata toka kipindi ambacho mtume wetu SWA anapigana kusimika dini hii kwa waumini alipata nusura kwa wakristo”)  

  Vituo vilivyokabidhiwa vyakula hivyo ni Charambe Islamic Center, Tasofe Lqadiria, Nur Twarigatu Lqadiria na Zawiyatul Lqadiria.

  0 0


  Governors of central banks from the Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) region will meet for the annual Forum that will be held at the Bank of Tanzania in Dar es Salaam on Monday 20 June 2016. 
  The event will be attended by up to 40 officials comprising 14 central bank Governors and Deputy Governors from the MEFMI region, technical experts from Investec Asset Management and the Bank for International Settlements (BIS) in Basel, Switzerland. Investec is the financial partner for the event.   The Forum will be held back to back with the Bank of Tanzania Golden Jubilee celebrations on 22 June 2016.
  The Governors’ Forum is one of the Executive Fora series on MEFMI’s annual calendar of events meant to assist in developing and sustaining a crop of more informed policy makers in the region. Each event is uniquely crafted in an effort to address critical issues that impact and affect the role of the central banks in the macroeconomic and financial management of our region. The Forums are also used to come up with a common understanding of both prevailing and emerging economic issues. 
  The theme for the Forum is “Implications of the IMF Adoption of Chinese Yuan as Part of the Special Drawing Rights Basket of Currencies”.  The theme is highly relevant to the MEFMI region, particularly the central banking community as they are the custodians of foreign exchange reserves and facilitators of international trade settlements. 
  It is MEFMI’s hope that both the presentations and the discussions will provide the unique opportunity for sharing views on the inclusion of the Chinese Yuan into the basket of reserve currencies of the IMF / World Bank. 

  0 0

   Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio (katikati) mgeni Ramsi Kutoka Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA, Sheikh Ali Hamis, wakiwaongoza wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, kuchukua Futari wakati wa hafla Futari iliyoandaliwa na Mfuko huo katika Hoteli ya City Garden jijini Dar es Salaam jana Juni 17, 2016.
   Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo kwenye Hoteli ya City Garden jana
   Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakijisevia futari wakati wa hafla hiyo kwenye Hoteli ya City Garden jana.
   Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akizungumza na wafanyakazi wa mfuko wake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na mfuko huo  kwenye Hoteli ya City Garden jijini Dar es Salaam, jana Juni 18, 2016. Kushoto ni mgeni rasmi, Sheikh Ali Hamis. 
   Mgeni rasmi Sheikh Ali Hamis, akizungumza na wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF,(hawapo pichani)  wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na mfuko huo  kwenye Hoteli ya City Garden jijini Dar es Salaam, jana Juni 17, 2016. Katikati ni Mkurugenzi mkuu wa Mfuko huo, William Erio.  0 0
  0 0

  KATIKA kusherekea siku ya mtoto wa Africa, Bank ya CRDB Tawi la Water Front  limetoa zawadi mbali mbali kwa watoto wenye akaunti ya Junior Jumbo pamoja na kula  keki pamoja na kunywa vinywaji nao, Katika kusherekea siku hii adhimu na muhimu.

  Akitoa shukrani kwa niaba ya wazazi wengine waliowafungulia akaunti katika benki hiyo amewanashkuru sana kwa  kuwapa zawadi watoto wao na iwe chachu kwa wazazi wengine kuafungulia akaunti watoto wao.
  Keki na zawadi kwaajili ya watoto wenye akaunti ya Junior Jumbo katika Benki ya CRDB tawi la Water Front.
   Watoto wakinyoosha  mkono kujibu maswali ya Meneja wa Tawi la Water Front, Donath Sheirima jijini Dar es Salaam leo. Pia waliojibu maswali vizuri wamepewa zawadi mbalimbali ambazo zilikuwa zimeandaliwa kwaajili ya watoto hao katika tawi hilo.
  Meneja Rasilimali watu wa Benki ya CRDB makao makuu, Timoth Fasha akikata keki kwaajili ya watoto wenye akaunti ya Junior Jumbo katika Tawi la Water Front jijini Dar es Salaam leo.
  Watoto na wazazi wakifurahia Shampein ilivyofunguliwa jijini Dar es Salaam leo.
   Watoto wakilishwa keki.
   Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Water front akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi, wazazi na watoto wenye akaunti za Junior Jumbo  katika tawi hilo jijini Dar es Salaam leo.
  KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.


  0 0

  East African Legislative Assembly, Arusha, Tanzania, June 18, 2016: The EAC stands to gain immensely through an enhanced people- centred approach and driven integration. In this regard, the legal fraternity should and can play a key role in sensitizing citizens on the integration process, EALA Speaker, Rt. Hon Daniel Fred Kidega has said.

  The Speaker made the remarks in Arusha when he met with representatives of the East Africa Law Society (EALS) at the Speaker’s Chambers. The delegation paid the EALA Speaker a courtesy call to introduce the incoming Chief Executive Officer, Mr John Patrick Okoth.

  The EALA Speaker told the regional law society officials to take a lead role in bringing the legal fraternity and the civil society to speed on matters of regional integration. The Speaker challenged EALS to work with Partner States to ensure speedy realization of approximation of national laws to the Community Acts. He cited the full implementation of the Common Market Protocol as another area that should fully interest the legal fraternity. The Speaker further said it was important for EALS to spread its tentacles to the Republic of South Sudan, given its recent admission into the regional bloc.

  The Team: EALA Speaker, Rt Hon Daniel Fred Kidega (Second from right) and the EALS CEO, John Patrick Okoth flanked by Brenda Dosio, Programme Officer, Legal and Policy Analysis (left) and Lydia Taima Munganyinka, Program Assistant, Public Interest and Litigation.

  “We need to enhance a symbiotic relationship between the legislative body and yourselves and to consult every so often on matters of legislation that improve the lives of East Africans,” Rt. Hon Kidega said. He said the Assembly would work closely with the EALS to ensure outstanding issues in the EAC Cross Border Legal Practice Bill, 2014 were addressed.

  In attendance were EALS’ Programme Officers, Ms. Brenda Dosio and Ms Lydia Taima Munganyinka.

  The EALS CEO, John Patrick Okoth reiterated the regional law society had intensified its efforts in strengthening the integration process through advocacy around the EAC. He maintained this would be done while holding Partner States to account on matters of good governance, rule of law and human rights in accordance with the EAC Treaty. Mr Okoth said EALS was ready for active and productive engagement with EALA and other stakeholders.

  The meeting between the EALA Speaker and the EALS CEO yesterday

  On her part, Ms Brenda Dosio, Programme Officer, Legal and Policy Analysis, said EALS would soon be reviewing its Strategic Plan to strengthen the institution and make it more robust, while Lydia Taima Munganyinka Programme Assistant, Public Interest Litigation, lauded the Assembly for the role it continues to play in the integration process.

  EALS has in the recent past referenced a number of applications before the East African Court of Justice (EACJ). The recent cases include Reference No. 1 of 2011 of The East Africa Law Society Vs The Secretary General of the East African Community challenging certain provisions in the Common Market Protocol that according to EALS, purport to oust the jurisdiction of the EACJ. Another case pits The East Africa Law Society Vs The Attorney General of the Republic of Uganda and the Secretary General of the East African Community and concerns what the Society calls human rights violations in Uganda during the ‘Walk to Work’ processions. A third case relates to the rendition of Kenyan citizens to Uganda with a view to defining the legal environment for combating transboundary crimes.
  EALA Speaker, Rt Hon Daniel Fred Kidega presents EALA publications to the incoming CEO of the EALS, John Patrick Okoth during a brief ceremony at the Speaker’s Chambers. EALS is the premier bar association in the region.

  Mr John Patrick Okoth who joined the EALS this month, has a rich background in both law and diplomacy. He is a former Deputy Ambassador of Kenya to the Netherlands and the Czech Republic. He was once Principal State Counsel in the State Law Office and the Department of Justice, in the Republic of Kenya. Within the diplomatic circles, Mr Okoth is fondly remembered at the Hague for his able handling of the renegotiations of the Treaty Establishing the Common Fund for Commodities among other accomplishments.

  Mr Okoth who replaces Mr Tito Byenkya, is expected to steer the Secretariat of the regional bar association, as it redefines its role within the region through the development of a new Strategic Plan for the organization.

  The organization headquartered in Arusha, is largest organized professional/ civil society dual membership organization in the region with a strong mandate and interest in the professional development of its members. Its membership spans to over thirteen thousand. The bar associations include the Burundi Bar Association (BBA), Kigali Bar Association (KBA), Law Society of Kenya (LSK), Tanganyika Law Society (TLS), Uganda Law Society (ULS) and the Zanzibar Law Society. EALS enjoys an observer status at the EAC.

  0 0

  Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM kwenye Ofisi Ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 26. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM , Abdulrahman Kinana. Makamu wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakifuatilia kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwenye Ofisi ndogo ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 2016.
  Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakati alipofungua kikao chao kwenye Ofisi ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Juni 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kushoto) pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dk. Tulia Ackson mara baada ya kumaliza kikao maalum kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es salaam ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Dk. Tulia Ackson mara baada ya kumaliza kikao maalum cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika , Makao makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) .

  0 0

  TAM1 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wadau wa  zao la pamba kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni 17, 2016. Kulia kwake ni Wazieri wa Kilimo,  Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mku)
  TAM2

older | 1 | .... | 1260 | 1261 | (Page 1262) | 1263 | 1264 | .... | 3286 | newer