Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 109591 articles
Browse latest View live

UWEKEZAJI WA MRADI MKUBWA WA MAJI SAFI NA SALAMA WA RUVU CHINI NA RUVU JUU SASA INAELEKEA KUKAMILIKA.


MPINZANI WA CHEKA AWASILI NA KUTEMA CHECHE, AMWITA CHEKA BABU.

0
0
 Bondia Mserbia anayeishi Uingereza, Geard Ajetovic (katikati) akiwa na Mkurugenzi wa Advanced Security, Juma Ndambile (kushoto) na Promota Jay Msangi (kulia) katika mkutano na waandishi wa habari jana. Ajetovic atapigana na Francis Cheka Jumamosi kwenye viwanja vya leaders club kuwania mkanda wa uzito wa Super Middle wa Mabara wa chama cha WBF
 Bondia Mserbia anayeishi Uingereza, Geard Ajetovic (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana tayari kwa pambano lake la jumamosi dhidhi ya Franci Cheka. kushoto ni Mkurugenzi wa Advanced Security, Juma Ndambile na kulia ni promota Jay Msangi. Ajetovic atapigana na Francis Cheka Jumamosi kwenye viwanja vya leaders club kuwania mkanda wa uzito wa Super Middle wa Mabara wa chama cha WBF.
 Mkurugenzi wa Advanced Security, Juma Ndambile (katikati) akizungumza katika mkutano huo.


Na Mwandishi wetu
BONDIA Geard Ajetovic amewasili nchini na kumuita bondia nyota wa ngumi za kulipwa nchini ,Francis “SMG” Cheka kuwa ni ‘babu’ na hawezi kupigwa na bondia huyo pamoja na kupigana katika ardhi ya Tanzania.
Ajetovic alisema kuwa anamjua Cheka kwani amemuona kwenye pambano lake dhidi ya Thomas Mashali na kusema kuwa ‘amekwisha’ na kamwe si bondia wa kupambana naye.

Alisema kuwa Cheka amepigwa na bondia ambaye si lolote wala chochote na atampiga kabla ya raundi ya tano katika pambano hilo la ubingwa wa Mabara la uzito wa Super Middle unaotambuliwa na chama cha WBF.

“Cheka ni babu, si bondia wa kiwango changu, nimemuona na hana chochote kwangu, siwezi kupoteza pambano hili, ni rahisi ndiyo maana nimewahi kufika siku moja kabla ya muda niliopanga kuja hapa,” alisema Ajetovic.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Advanced Security, Juma Ndambile aliwahakikishia mashabiki wa ngumi za kulipwa nchini kuwa maandalizi ya pambano hilo yamekamilika bada ya ujio wa Ajetovic.

Ndambile alisema kuwa maofisa wa Chama cha WBF, ikiwa pamoja na Rais wake, Howard Goldberg na mwamuzi wa pambano hilo ambao watawasili leo.

“Kama nilivyosema hapo awali, dhamira kubwa ya kampuni ya Advanced Security in kuendeleza mchezo wa ngumi za kulipwa nchini hasa kwa mabondia kufaidika na vipaji vyao na si vinginevyo,”

“Ili kufikia lengo letu, Advanced Security imeamua kuwashirikisha mabondia chipukizi katika mapambano ya utangulizi. Mabondia hao chipukizi wanatarajia kutoa changamoto kwa mabondia maarufu ambao pia watashiriki katika pambano hilo,” alisema Ndambile.

Alisema kuwa wameandaa mabondia chipukizi ili kupamba siku hiyo. Alisema kuwa Mohamed Bakari atapambana na Cosmas Cheka katika pambano la uzito wa feather la raundi nane (8) huku Mohamed Matumla ataonyeshana kazi na Mustapha Dotto katika pambao la uzito wa Light la raundi nane pia.

Bondia mkongwe na maarufu nchini, Mada Maugo ataingia ulingoni kwa kupambana na bondia kutoka Mbeya, Baraka Mwakansope baadala ya bondia Abdallah “Dulla Mbabe” Pazi kama ilivyotangazwa awali.
Alisema kuwa pia siku hiyo, bondia wa kike, Lulu Kayage atazichapa na bondia nyota kutoka mkoa wa Mbeya, Mwamne Haji katika pambano la uzito wa fly lilillopangwa kuwa la raundi sita.

STATEMENT BY HEAD OF UN MISSION IN TANZANIA ON THE OCCASION OF THE 50TH ANNIVERSARY OF UNDP

0
0
Alvaro Rodriguez

UN Resident Coordinator in Tanzania and UNDP Resident Representative, Mr. Alvaro Rodriguez.


Today marks the 50th Anniversary of the United Nations Development Programme (UNDP). Founded in 1966, UNDP now works in some 170 countries and territories to help eradicate poverty and reduce inequalities and exclusion.

In Tanzania, UNDP support began in May 1978. Since then, UNDP has continued to serve as a critical member of the UN team in the country, which has collectively supported the government in achieving its development agenda through aligning its support specifically to the national development priorities. In addition, UNDP has helped strengthen the government’s capacity to manage and coordinate international development assistance through the development of strategies, action plans and an improved aid management system to facilitate national leadership.

UNDP in particular has supported the development of a national framework for reducing emissions from deforestation and forest degradation, as well as of local capacity to manage forest carbon projects. In addition, UNDP continues to support the government to integrate environment and energy issues into national policy, as well as build local and regional capacity. 

READ MORE HERE

MAKALA YA SHERIA: KAMPUNI ILIYOSAJILIWA NJE KUFANYA BIASHARA TANZANIA

0
0
Na  Bashir  Yakub.

Mara  kadhaa  tumeeleza  namna  ya  kusajili  kampuni. Yumkini  tulipoeleza  hivyo  tulirejea usajili  wa  kampuni  zilizo  Tanzania.  Tulieleza  faida  za  kufanya  biashara  chini  ya  kampuni  na  tukaeleza  namna  ya  kisheria  ya  kusajili  kampuni  mwanzo  mpaka  mwisho  unapopata  cheti  cha  kuzaliwa  kwa  kampuni( certificate  of  incorporation). Hatujawahi  kueleza  usajili  wa  kampuni  ambayo  imeanzishwa  nje  ya  Tanzania inayohitaji  kufanya  biashara  Tanzania.

1.KAMPUNI  ILIYOSAJILIWA  NJE  YA  TANZANIA.

Tunaposema  kampuni  kusajiliwa  nje  ya  Tanzania  tunamaanisha  kampuni   imeanzishwa  nje  ya  Tanzania    na  cheti  chake  cha  usajili  imekipata  huko  nje  ya  Tanzania  na  hivyo  inatambulika  kama  kampuni  ya  huko  ilikosajiliwa.  Kampuni  ya  namna  hii  inaweza  kuamua  kuja  Tanzania  kufanya  biashara  bila  kuhitaji  kuanzisha  kampuni  nyingine  mpya  isipokuwa   kuendeleza  ileile  na   kupafanya Tanzania kama  tawi  au  si  tawi   lakini sehemu  kuu  ya  biashara.

2.  WATANZANIA  WALIO  NJE  YA  NCHI  KUMILIKI  MAKAMPUNI  HAYA.

Baadhi  ya  Watanzania  walio  nje  ya  nchi  wamewahi  kuuliza  swali  hili  wakitaka  kujua  utaratibu  wa  kufuata  ili  kuifanya  kampuni  iliyoanzishwa nje  ya Tanzania kuweza kufanya  kazi  zake  Tanzania. 
Kwa  waliouliza  swali  hili  watapata  majawabu  lakini  pia itafahamika  kwa  wengine  kuwa  unaweza  kuunda  kampuni  hukohuko  uliko  ikafanya  kazi  huko  lakini  pia  Tanzania  ambako  ni  nyumbani  kukawa  na  tawi  la  biashara  . 

Lakini  pia  wapo  watu  ambao  huulizwa  swali  hili na  rafiki  zao  wa  kigeni  kuhusu  kuingiza  kampuni  Tanzania   kwa  ajili  ya  biashara.  Hawa  nao  sasa  watakuwa  na majawabu.

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AMUAGA MWAKILISHI MKAZI WA UNHCR, JOYCE MENDS-COLE

0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (watatu kulia) akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, anayemaliza muda wake, Joyce Mends-Cole (wapili kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia), Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke (wapili kulia) wakielekea katika hafla fupi iliyoandaliwa na Wizara hiyo kwa ajili ya kumuaga Mwakilishi wa UNHCR nchini, iliyofanyika katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akizungumza katika hafla ya kumuaga Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, anayemaliza muda wake, Joyce Mends-Cole (watatu kulia). Katika hotuba yake fupi, Waziri Kitwanga alimshukuru Mwakilishi huyo kwa ushirikiano wake mzuri kati ya Wizara na UNHCR, pia alimtakia safari njema na mafanikio mema arudipo nyumbani kwake. Joyce anatarajia kustaafu rasmi katika nafasi hiyo mwezi ujao. Wanne kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Injinia Hamad Masauni, kushoto aliyekaa ni Katibu Mkuu, Meja Jenerali Projest Rwegasira, na Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimkabidhi zawadi ya picha Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) nchini, anayemaliza muda wake, Joyce Mends-Cole, kwa ajili ya kumbukumbu yake kutokana na ushirikiano mzuri kati ya Shirika lake la UNHCR na Wizara. Hafla hiyo fupi ya kumuaga iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ilifanyika katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.

UCHACHE WA MATUNDU YA CHOO, WAPELEKEA WANAFUNZI ZAID 570 WA SHULE YA MSINGI IPULI MKOANI SINGIDA KUJISAIDIA VICHAKANI

0
0
WANAFUNZI 575 wa shule ya msingi Ipuli,tarafa ya Nduguti,wilayani Mkalama,Mkoani Singida wanatumia matundu ya vyoo manne kati ya matundu 31 yanayohitajika katika shule hiyo,jambo ambalo linasababisha baadhi yao kwenda kujisaidia mashamabani huku wengine wakijisaidiaa kwenye vyoo vya muda vilivyozungushiwa maturubai.

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Ipuli,Jeremia Masawe aliyasema hayo kwenye taarifa aliyotoa kwa Mbunge wa jimbo la Iramba mashariki (CCM)Allani Joseph Kiula aliyetembelea shuleni hapo kutaka kufahamu changamoto zinazoikabili shule hiyo.

Aidha mwalimu huyo alifafanua kwamba kabla ya kuamua kujenga matundu hayo sita ya vyoo kulikuwa na matundu mengine waliyokuwa wakiyatumia wanafunzi,lakini kutokana na kuta zake kuwa na nyufa walilazimika kusitisha matumizi ya vyoo hivyo.
Mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki(CCM), Allani Kiula akishiriki katika ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule ya msingi Ipuli.

Hata hivyo mwalimu Masawe aliweka wazi kuwa baada ya mvua kubwa iliyonyesha dec,17,mwaka jana ndipo matundu hayo yote yalipotitia na hivyo waliamua kusitisha matumizi yake na kuanza ujenzi wa matundu mengine ya vyoo vya kudumu.

“Shule ilikuwa na choo chenye matundu manne lakini kutokana na mvua zilizokuwa zinaendelea kunyesha ndipo mnamo tarehe 17/12/2015 matundu yote hayo manne yalipotitia hivyo tukaanza ujenzi mwingine lakini wakati huu tukatengeneza utaratibu mwingine wa vyoo vya muda wanafunzi wataendelea kuvitumia wakati tunaandaa vyoo vya kudumu”alisisitiza mwalimu mkuu huyo.

Kwa mujibu wa mwalimu huyo wanafunzi 575 waliopo katika shule hiyo wanahitaji jumla ya matundu 31 ya vyoo na kwamba hata hayo wanayoendelea kujenga hayatatosheleza mahitaji ya wanafunzi hao.

ujenzi wa matundu ya kudumu ya vyoo unaoendelea kujengwa katika shule ya msingi Ipuli.


“Vyoo vilivyokuwa vikitumika kwa siku za nyuma vikawa vimeachwa kwa sababu ya kuta zake kuwa na nyufa,kwa hivyo tukaondoa zile kuta tukafunga maturubai kwa ajili ya wanafunzi kujisaidia huku wengine wakijificha mashambani”alisisitiza mwalimu mkuu huyo.

Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki(CCM),Allani Joseph Kiula ambaye alitembelea shule hiyo na kushiriki katika ujenzi wa matundu hayo ya vyoo alisema kuwa mikakati ya Halmashauri ya wilaya ya Mkalama ni kuhakikisha shule zote zinakuwa na matundu ya vyoo vya kudumu.

Choo cha muda kilichozungushiwa maturubai kutokana na kutokuwepo kwa matundu ya vyoo vya kudumu hivyo wanafunzi wa shule ya Ipuli kulazimika kutumia vyoo vya muda vilivyozungushiwa maturubai huku wengine wakienda kujisaidia mashambani.(Picha zote Na Jumbe Ismailly)

“Kimsingi ni kwamba mimi kama mbunge,madiwani na Halmashauri ya wilaya ya Mkalama tunao mkakati wa kuhakikisha kwamba shule zote zinapata matundu ya kutosha ya vyoo,na tunataka ifanyike hivyo kwa sababu sasa hivi kuna ugonjwa wa kipindupindu kwa hiyo tanataka tuhakikishe kwamba suala la vyoo mashuleni linamalizika kabisa”alisema Kiulla.

Hata hivyo mbunge Kiula aliweke bayana kwamba mpaka sasa wameshafanya sensa na kupata takwimu za kubaini mahitaji ya shule zenye upungufu wa matundu ya vyoo,kwa hivyo nguvu zaidi zitaelekezwa katika ujenzi wa matundu ya vyoo vya kutosha.

Azam Fc na Tanzania Prison hakuna mbabe

0
0
   Mtanange wa Azam Fc na Tanzania Prison uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya Ngoma Droo ya bila Kufungana ikiwa nimuendelezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara....      
   Baadhi ya Mashabiki Kinazi wa Mpira wa Miguu wakiwa Uwanjani kushuhudia Mtanange huo uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya...
 Wachukuwa Taswira Wakirekodi Mtanange huo..
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.

CHAMA CHA BODABODA WILAYA YA NACHINGWEA CHATOA MIKOPO YA PIKIPIKI 62 KWA WANACHAMA WAKE

0
0
bodaboda
Na. Mwandishi Wetu, Liwale

Chama cha waendesha bodaboda wilayani Liwale Mkoani Lindi chatoa mikopo ya pikipiki kwa wanachama wake wapatao 62 zenye thamani ya shilingi 92,000,000.

Chama hicho kilipata mkopo wa pikipiki 20 zenye thamani ya shilingi 35,000.000/= kutoka mfuko wa Maendeleo ya Vijana wa Wilaya na kuweza kukopeshwa kwa mwanachama mmoja mmoja na kupitia umoja wao chama kiliweza kupata pikipiki 42 na kuweza kufikia ya jumla ya pikipiki 62.

Leo wamekabidhi pikipiki mbili kwa wanachama wawili zenye thamani ya shilingi 4,400,000/= na kukabidhi kwa mwanachama mmoja bati zenye thamani ya shilingi 2,000,00/= jumla ni 6,400,000/= na wameweza kufanya marejesho ya shilingi 6,325,000/=.

Chama hicho  Kina miaka Sita Tangu kuanzishwa kwake Mnamo mwezi Mei mwaka 2010 kikiwa na waanzilishi 65 pia chama hicho kinatambuliwa na Idara ya Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Liwale na kimepatiwa Hati ya Utambulisho Mwaka 2014.
Wilson Nyamanga
Mgeni rasmi bwana Wilson Nyamanga aliyekuja kumwakilisha mkuu wa wilaya ya Liwale mh,Ephraim Mmbaga.
Wilson Nyamanga
Mgeni rasmi akikabidhi pikipiki kwa mwanacha hii leo maeneo ya ofisi za chama cha bodaboda.

SERIKALI KUTOA MIKATABA MAALUM YA AJIRA SEKTA YA UJENZI

0
0
Ujumbe wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa ukielekea katika kituo cha pamoja cha forodha (One Stop Border Post) kwa upande wa Taveta nchini Kenya.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akipata ufafanuzi wa namna ya kituo cha pamoja cha Forodha kinavyofanya kazi kutoka kwa Meneja Forodha kwa upande wa Taveta – Kenya Bw. Daniel Nyambaka.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akiagana na Meneja Forodha kwa upande wa Taveta – Kenya Bw. Daniel Nyambaka mara baada ya kukagua kituo hicho.

DIRA YA DUNIA YA BBC SWAHILI KUTOKA LONDON, UINGEREZA

17TH EAC HEADS OF STATE SUMMIT SET FOR 2ND MARCH, 2016 IN ARUSHA, TANZANIA

0
0
The 17th Ordinary East African Community (EAC) Heads of State Summit has been rescheduled for 2nd March, 2016 in Arusha, Tanzania.
Top on the agenda of the long-awaited meeting will be the consideration of reports by the EAC Council of Ministers on: the negotiations on the admission of the Republic of South Sudan into the Community; Sustainable Financing Mechanisms for the EAC, and; the EAC Institutional Review.
The meeting will also consider Council reports on: the Model, Structure and Action Plan of the EAC Political Federation; Implementation of the Framework for Harmonized EAC Roaming Charges; Modalities for Promotion of Motor Vehicle Assembly in the region and Reduction of the Importation of Used Motor Vehicles from Outside the Community, and; the Promotion of the Textile and Leather Industries in the region, and stopping importation of Used Clothes, Shoes and Other Leather Products from outside the region.
The Summit is also expected to deliberate on a report by the Council on the verification exercise for the admission of the Republic of Somalia into the EAC.
The Heads of State are expected to launch the new International East African e-passport (electronic-passport) during the meeting.
Also scheduled to be launched by the Summit is the Private Sector Partnership Fund which is expected to deepen the participation of the private sector in the East African integration.
The Summit will be preceded by a meeting of the EAC Council of Ministers that will take place at the EAC Headquarters in Arusha on 29thFebruary 2016.

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AMWAKILISHA MAKAMU WA RAIS KUZINDUA TAWI JIPYA LA BENKI YA AMANA MBAGALA DAR ES SALAAM, LEO.

0
0

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Tawi jipya la Benki ya Amana, wakati alipokuwa akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Tawi hilo lililofunguliwa leo Feb 25, 2016 Mbagala Zakiem jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki hiyo, Dkt. Muhsin Salim Masoud (kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Abdallah Al- Nahdi. Picha na Sufianimafoto Blog
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya Amana lililofunguliwa Mbagala Zakiem jijini Dar es Salaam, ambapo Mhe. Kijaji alimwakilisha Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwenye uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Benki Amana, Dkt. Muhsin Salim Masoud, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, kuzindua Tawi hilo kwa niaba ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.

WAZIRI KITWANGA, MASAUNI NA WATENDAJI WAKUU JESHI LA MAGEREZA WAPANGA MIKAKATI KULIBORESHA JESHI HILO

0
0
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Magereza nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira akifuatiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP), John Minja.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto meza kuu) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Magereza nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Injinia Hamad Masauni. Wapili upande wa kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira akifuatiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya. Wapili kushoto ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja akifuatiwa na Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Jeshi hilo, Dk. Juma Malewa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini (CGP), John Minja (kushoto) akijitambulisha kabla ya kuanza kikao cha Watendaji Wakuu wa Jeshi la Magereza pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Kikao hicho kilichoitishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto meza kuu) na kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Injinia Hamad Masauni. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI, KATIBU MKUU WALA VIAPO KUIONGOZA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA

0
0
 
 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akila kiapo cha kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta.
 Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) akimpongeza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni  mara baada ya kumuapisha kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza, katika tukio lililofanyika katika Mahakama hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza.
 Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni kabla ya kumuapisha kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza, katika tukio lililofanyika katika Mahakama hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni (kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, mara baada ya Jaji huyo kuwaapisha kuwa viongozi wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza katika tukio lililofanyika Mahakamani hapo, jijini Dar es Salaam leo. Injinia Masauni katika Tume hiyo amekuwa Makamu Mwenyekiti, na Meja Jenerali Rwegasira amekuwa Katibu. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

TAARIFA MGOGORO WA CHUO KIKUU CHA MT. YOSEFU TANZANIA(SJUIT) KAMPASI YA ARUSHA


TASWIRA MBALIMBALI KATIKA MTANANGE WA AZAM FC NA TANZANIA PRISONS.

0
0
   Mtanange wa Azam Fc na Tanzania Prison uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya Ngoma Droo ya bila Kufungana ikiwa nimuendelezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara....      
   Baadhi ya Mashabiki Kinazi wa Mpira wa Miguu wakiwa Uwanjani kushuhudia Mtanange huo uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya...
 Wachukuwa Taswira Wakirekodi Mtanange huo..
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.

kuzibwa kwa ushoroba kunachangia kupotea kwa wanyama hifadhi ya arusha

0
0
 Afisa utalii wa hifadhi Taifa  Arusha National Park (ANAPA)  Samweli Sakinoi akiwa anawapa maelekezo baadhi ya waandishi waliotembelea hifadhi hiyo
Baadhi ya waandishi waliotembelea hifadhi ya ANAPA.

Na Woinde Shizza,Arusha

Hifadhi ya taifa Arusha (ANAPA) inakabiliwa na changamoto ya mbalimbali ikiwemo ya kuzibwa kwa mapito ya wanyama (ushoroba )vilivyo tokana na shughuli za binadamu kafika vijiji zaidi ya 84 vilivyozunguka hifadhi hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari afisa utalii wa hifadhi hiyo Samweli Sakinoi alisema kuwa kufungwa kwa vishoroba hiyo vimesababisha wanyama wengi kutoingia na kutoka ndani ya hifadhi hiyo jambo ambalo linasababisha baadhi ya wanyama kutoweka na kusabisha kupungua kwa baadhi ya vivutio

Alisema kuwa pamoja na hifadhi hiyo kuwa na vivutio mbalimbali ikiwemo uwepo wa mnyama aina ya mbega mweupe ambaye ni marachache kupatikana katika hifadhi zingine hapa nchini ,kupanda mlima meru ,utalii wa kutumia farasi ,utalii wa kumia magari ,pamoja na uwepo wa maziwa mengi madogo madogo pamoja na utalii wa kupiga makasi kitua ambacho kimefanya utalii kuongezeko la watalii kuongezeka kutoka watalii 20 hadi 40 wanaoingia kwa siku.

Ili kukabiliana na changamoto hiyo mamlaka iyo imeanza utaratibu wa kukutana na uwongozi wa mkoa wilaya kwa lengo la kuwapatia elimu wananchi kuepuka kuvamia maeneo ya ifadhi kufanya makazi ,shughulli za kilimo na ufugaji jambo ambalo lina fukuza wanyama waliozoeya kuishi mazingira ya asili .

“shughuli za kibinadamu zimekuwa zikichangia kwa kiasi kikubwa kutoweka  kwa baadhi ya wanyama hali ambayo inaweza kusababisha kupotea kwa wanyama katika hifadhi hiyo”alisema Saikononi

Aidha alisema kuwa kwa sasa  ivi wameboresha vivutio vyao na wameongeza vivutio ambavyo vinaweza kusaidia kuongeza watalii ambapo alibainisha kuwa kwa sasa ivi  wameleta utalii mpya ambao aupo katika hifadhi zingine ambao ni utalii wa kutumia farasi ambao utalii huu ni mzuri ambao utalii huu ni mzuri kwani unasaidia wageni wengi kuweza kuona wanya kiuraisi
Mmoja wa wananchi wanaishi pembezoni mwa hifadhi hiyo Elituliza Elisa alisema kuwa amekuwa  akinufaika na hifadhi hiyo kwa kukopeshwa fedha kwa riba nafuu pia pamoja na hafadhi hiyo kuwajengea shule watoto wao.

Aidha waliitaka hifadhi hiyo iendelee kutoa misaa kwa wananchi ambao wamezunguka hifadhi hiyo kwa lengo la kunufaika na wageni ambao waliokuwa wanafanya utalii wa ndani katika hifadhi hiyo.

BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA RAIS IKULU LAKUTANA LEO.

0
0
Katibu Mkuu Ikulu Mhe. Peter Ilomo akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi  Ofisi ya Rais Ikulu katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 25, 2016.

FIFA YAKATAA RUFAA YA BLATTER,PLATINI; YAWAPUNGUZIA ADHABU

0
0
Na Bakari Issa Madjeshi

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limekataa rufaa ya  Rais wa Shirikisho hilo ambaye anatoka madarakani, Sepp Blatter na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Ulaya (UEFA) aliyesimamishwa kazi, Michael Platini.
Kamati ya Rufaa ya FIFA imekataa rufaa ya Marais hao lakini imewapunguzia adhabu ya kujihusisha na masuala ya soka kutoka miaka nane hadi miaka sita.

Wote walipatikana na hatia ya matumizi mabaya ya fedha kiasi cha Paundi Milioni 1.3 sawa na Dola Milioni 2 ambazo Blatter alimlipa Platini kwa kile walichokiita kazi maalum.

Blatter na Platini walikataa kufanya hivyo na kusema  kuwa wanakwenda katika Mahakama ya Rufaa  (CAS) kukata rufaa.
Pia wamesema  makubaliano ya malipo ya mwaka 1998 yalikuwa  yakiungwana kwa kazi iliyofanywa na  Mfaransa huyo wakati alipokuwa mshauri wa ufundi wa Blatter.

Hata hivyo,Blatter katika maelezo yake alieleza kuwa “sijakubaliana na Kamati ya Rufaa ya FIFA”.

Naye,Platini alisema kuwa “ni udharirishaji na aibu kwa maamuzi hayo ya kisiasa”.

Uchaguzi wa kumtafuta mbadala wa Blatter utafanyika siku ya Ijumaa.

Tanzanite Article in brief

0
0
Introduction

Picture 1: Rough and Cut and polished tanzanite

Tanzanite was formed over 600 million years ago when Mt. Kilimanjaro erupted caused a unique set of conditions to form deep within the earth - heat and pressure mixed with rare chemicals such as Vanadium to allow this exceptionally rare gem stone to form. These conditions remained constant for the entire 600 million years and Tanzanite grew. It was first discovered by man in 1967 when an enormous grassfire swept the land below Kilimanjaro Mountain.


As Tanzanite is a brownish color in its rough state, the crystals lying on the surface were never noticed until when the grassfire had burnt the land and heated the stones. They turned bright, glittering violet-blue in the sunlight and attracted the attention of some Maasai tribesmen. Tanzanite was named by Tiffany & Company (New York) and for the first ten years after its discovery Tiffany's had the exclusive right to this lovely gem stone. Today, after the liberalization of the Tanzanian economy, it is a free market.

To date the only known reserve of Tanzanite gemstone in the world is a strip of 8km by 1km at Merelani area in Manyara region, Northern of Tanzania on the slopes of the legendary Mt. Kilimanjaro at Merelani Tanzania. To remember this you can imitate Tanzanite Poem by Eng.Gilay Shamika;


Tanzanite the uniqueness of Tanzania,

Only Tanzanite in Tanzania,

Only tanzanite with tantalizing tricolor,

The stones on the foot of Mt.Kilimanjaro,

The stones of 21st Century and

The stones of December birthday.


Geology

Tanzanite is a thousand times rarer than diamonds and is trichroic, which means that in its rough form, it radiates three different colors from each of its crystallographic axes: blue, violet and burgundy. Tanzanites are found in Lelatema Antiform in Merelani, Manyara Region and its chemical formation is: 3Tsavorite + H2O + 5CO2 = 2Tanzanite + 3Quartz + 5Calcite

Tanzanite is found within a relatively complex geological environment and is found in 'chocolate-tablet' boudin structure, typically located in the hinges of isoclinal folds (folds dipping in the same direction) present in the ore body. The Geologists at Tanzanite one has identified two potential strips of these unique zones in the area and has named them as Upper Horizon and Lower Horizon.


Unique features of Tanzanite to prove it’s natural

Tanzanite is the only gemstones in the world that is "trichroic". This means that when white light passes through, it breaks into 2 paths and creates 3 different colors - one axis will look violet, reddish brown and the third a blue-violet. The picture below shows the same Tanzanite crystal from 3 different angles showing its amazing trichroism. This is the confirmation that, the tanzanite you have is natural and not synthetic (manmade).
Picture 2: (Picture Tanzanite into different lights left side under white light and right side under incandescent light



Gemological properties of Tanzanite


Gemological Properties of Tanzanite

Unit of Measure

Gem Species

Zoisite

Specific gravity

3.35

Hardness (Mohs Scale)

6.5

Toughness

Fair

Stability to light

Stable

Carat Weight

Below 1-10 ,rarely 100 +

Birthstone

December


Treatment and grading of tanzanite

Tanzanite when heated at 600 centigrade it changes its color from pale blue/brown to deep blue/brown color. Though sometime in the market the grading includes AAA, AA and A, signifying A,B and C grade, but the grading within the country ( TanzaniteOne) the grading is as seen in the table below.

Colour grading  of  Tanzanite

Explanation

A

Exceptional Colour, Eye Clean

B

Rare Deep Blue/other Colour, Eye Clean

BSI

B Colour-Slightly Included

BI

B Colour Included

BL

B Lighter Colour Grade, Eye Clean

BLSI

B Light-Slightly Included

BLI

B Light Included

D

Opaque Material(agreed to use D instead of O )



Generally all tanzanite with inclusions (embedded with unwanted material outside or inside) that is BSI,BI and BLSI are mostly termed as grade C. From this information, you are now aware of the only source of tanzanite and the properties of tanzanite which will guide you to buy the natural tanzanite.Welcome to the next gemstone next week.

Viewing all 109591 articles
Browse latest View live




Latest Images