Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110119 articles
Browse latest View live

WATANZANIA WAPEWA SOMO KUHUSU DIPLOMASIA YA uCHUM (ECONOMIC DIPLOMACY

$
0
0
Kutoka kushoto ni Balozi mstaafu Ahmed Kiwanuka, Nduwayo Mzonya, Hussein Melele na Rashid Njenga wakiwasikiliza wachangaji mbalimbali katka kongamano hilo lijulikanalo Epowerment of Economic Diplomacy in Tanzania .
Balozi mstafu wa Tanzania Nchini India ambaye pia ni mwalimu katika chuo cha diplomasia Balozi Ahmed Kiwanuka akitoa mhuadhara elo kuhusu namna Tanzania inavyoweza kutekeleza diplomasia ya uchumi kupitia ekta mbalimbali na kwa kutumia makundi mbalimbali
Allan Kasamala(mwenye shati ya bluu) akiwa na Baadhi ya washiriki walioshiriki kongamano hilo ambalo limeandaliwa na Wanafunzi,wahitimu na marafiki wa chuo cha diplomasia leo katka ukumbi wa chuo hicho  kilichopo kurasini jijini Dar es Salaam ambapo kongamano hilo limeandaliwa na uongozi wa serikali ya wanafunzi wakishirikiana na wahitimu wa Kozi mbalimbali za mwaka wa masomo 2014/2015 wakiongozwa na Simalenga Simon amaye amemaliza PGD MFR 2014/2015.
Washiriki wa kongamano hilo.


JOH MAKINI FT AKA - DON'T BOTHER OFFICIAL MUSIC VIDEO

SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO

$
0
0

SIMU.TV:  Uzoefu, busara kumbeba Spika, wabunge wataja sifa nyingine, awe na ujuzi wa sheria. Makinda ang’atuka uongozi wa kisiasa;  https://youtu.be/ZLbwvEA0E-A 
SIMU.TV: Kasi ya Magufuli noma, waziri mkuu anatakiwa kuwa na sifa ya ufuatiliaji. Uwazi wa EWURA ulivyoleta unafuu wa bei ya mafuta; https://youtu.be/ZhWl1GQz1Gk 
SIMU.TV:  Lowassa, Maalim Seif wateta saa moja. Mtanzania atuhumiwa kuhifadhi maiti Brazil. Walimu washauriwa kufuata kasi ya rais;https://youtu.be/Y_KOeoty6BY 
SIMU.TV:  Kufa na kupona Stars leo. Samatta aahidi kufia uwanjani. Tumba Sued kuchukua nafasi ya Nyoso Mbeya City; https://youtu.be/XFkFYZGIzd0 
 SIMU.TV:  Dodoma yaanza kufurika, wanowania kumrithi Makinda wafikia 22. Katibu mkuu awavua nguo viongozi Dar atoa siku 14 jiji liwe safi;https://youtu.be/W2lLELZBMGg 

WATANZANIA WENGI HAWAWEKI AKIBA - SABASABA MOSHINGI

$
0
0
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Bw. Sabasaba Moshingi, (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta ya Akiba, Kenya, Bi.Anne Karanja, (Katikati), na Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Posta Uganda, Bw. Stephene Mukweli, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa mkutano wan ne wa Bodi ya Wadhamini, ya Umoja wa Mabenki ya Afrika Mashariki, ASBEA, uliomalizika Novemba 13, 2015 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. 
 Wajumbe wakimsikiliza mtoa mada, Mkurugeni Mtendaji wa Benki ya Posta Kenya, Bi.Anne Karanja. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA ALGERIA KWA BAO 2-2

$
0
0
Mshambuliaji machachari wa Timu ya Taifa Stars, Thomas Ulimwengu, akionyesha umahiri wake wa kuwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Algeria, wakati wa Mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kucheza kwenye Mashindano ya Kombo la Dunia ya Mwaka 2018, katika mechi iliyopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Hadi mwisho wa mchezo, Timu zote zimetoka suluhu ya kufungana Bao 2-2.
Mchezaji wa timu ya Taifa ya Algeria, Guediora Aldane akiondoka na mpira mbele ya beki wa Timu ya Taifa Stars, wakati wa Mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kucheza kwenye Mashindano ya Kombo la Dunia ya Mwaka 2018, katika mechi iliyopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Hadi mwisho wa mchezo, Timu zote zimetoka suluhu ya kufungana Bao 2-2.
Thomas Ulimwengu wa Taifa Stars akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Algeria, Ghoulam Faouzi, wakati wa Mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kucheza kwenye Mashindano ya Kombo la Dunia ya Mwaka 2018, katika mechi iliyopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Hadi mwisho wa mchezo, Timu zote zimetoka suluhu ya kufungana Bao 2-2.
Mlinda Mlango wa timu ya Taifa ya Algeria, M'bolhi Rais akipiga shuti kuondosha mpira langoni mwake.

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa Stars, Mbwana Samatta akiangalia namna ya kuwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Algeria, wakati wa Mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kucheza kwenye Mashindano ya Kombo la Dunia ya Mwaka 2018, katika mechi iliyopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Hadi mwisho wa mchezo, Timu zote zimetoka suluhu ya kufungana Bao 2-2.

WABUNGE WAENDELEA KUSAJILIWA, WAELEZA MATARAJIO YAO KWENYE BUNGE LA 11

$
0
0

 Mtangaza nia wa uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samweli Sita akiongea na mfanyakazi wa Benki ya CRDB katika viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi ya Kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza hivi kariubuni.

: Mtangaza nia wa uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samweli Sita akiongea na wafanyakazi  wa Benki ya CRDB katika viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi ya Kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza hivi kariubuni.

Mtangaza nia  wa Uspika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samweli Sita akiongea na baadhi ya waheshimiwa wabunge  kwenye Viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi ya Kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza hivi karibuni.
(PICHA NA BENJAMIN SAWE)

Mtaalamu wa Upasuaji wa Uti wa Mgongo na Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu kutoka Hospitali za Apollo kuendesha huduma Dar

$
0
0
Na Mwandishi Wetu,


Tanzania ni moja ya nchi ambazo ina uhaba mkubwa wa madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu kitendo kinachopelekea nchi kupoteza fedha nyingi kwa kuwapeleka wagonjwa wa matatizo ya aina hiyo nje ya nchi kupata matibabu na ushauri.

Inakadiriwa kuwa watoto wachanga 1000 kati 4000 wanaozaliwa na tatizo la mfumo wa fahamu hupatiwa matibabu huku wengine 3000 wakishindwa kupatiwa matibabu.

Kutokana na hali hiyo, Hospitali ya Apollo ya nchini India imemleta nchini daktari bingwa wa upasuaji wa uti wa mgongo na mfumo wa fahamu ambaye pia ni Mkuu wa idara ya upasuaji wa magonjwa ya fahamu katika hospitali hiyo DKT ALOK RANJAN ambaye atakuwa akitoa huduma na kuwaona wagonjwa wake aliowafanyia upasuaji siku za nyuma.

Nao baadhi ya wagonjwa waliofika katika kliniki hiyo inayofanyikia katika hospitali ya hindu mandal jijini Dar es Salaam wameiomba serikali kuhakikisha kwamba inasaidia katika gharama za matibabu ya watu wanaosafiri nje ya nchi kufuata matibabu ya magonjwa mbali mbali.

Wamezitaka pia kampuni za bima ya afya kuhudumia wateja wake katika hospitali za kimataifa badala ya kujikita katika hospitali za hapa nchini pekee.

Katika mkutano huo na waandishi wa habari ulofanyika tarehe 12 katika hospitali ya hindumandali Dk.Alok Ranjan kutoka Hospitali za Apollo amewashauri watanzania kubadilisha mtindo wa maisha ili kuepukana na magonjwa ya mfumo wa fahamu na uti wa mgongo. anasema kuwa kwa watu wazima ugonjwa huu mara nying husababishwa na namna mbovu ya ukaaji ambao hudhuru uti wa mgongo, trauma, shinikizo la damu, ajali, kisukari, uzito wa kupitiliza na sababu nyinginezo.

Tanzania kwa sasa inakadiriwa kuwa na madaktari wa mfumo wa fahamu 7 ambao wote kwa sasa ni watendaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

Dr Alok Ranjan, mtaalamu wa magonjwa ya mfumo wa fahamu na uti wa mgongo kutoka hospitali ya Apollo akitoa huduma kwa mtoto Zulea akiwa na mama yake Shamila Idd katika kliniki iliyofanyika siku tatu.’
Dr Alok Ranjan, mtaalamu wa magonjwa ya mfumo wa fahamu na uti wa mgongo kutoka hospitali ya Apollo akiongea na waandish wa habari katika cliniki iliyoanza tarehe 11 na kuendelea mpaka tarehe 13 katika hospitali ya hindumandal.
Bwana Hafidhi Rashid Waziri, mmoja wa wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo na Dr Alok Ranjan katika hospitali ya Apollo Hyderebad akiongea na waandishi wa habari katika Klinik hiyo.

Shamila Idd mama wa mtoto Zulea mwenye tatizo la uti wa mgongo akiongea na waandishi wa habari katika kliniki iliyoandaliwa na Dr Alok Ranjan, mtaalamu wa magonjwa ya mfumo wa fahamu na uti wa mgongo kutoka hospitali ya Apollo.

PRESIDENT MAGUFULI MOURNS PARIS TERROR ATTACK VICTIMS

$
0
0
H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania has sent a condolence message to   H.E. François Hollande, President of the Republic of France following the terror attack which occurred on 13th November, 2015 in Paris.


The message reads as follows:


            “Your Excellency François Hollande,

President of the Republic of France,

Paris,

FRANCE


I have received with great shock and sadness the news of the terror attack against French citizens and football fans in Paris that occurred on the 13thof November 2015.


In this difficult time, I wish to express, on behalf of the Government and People of the United Republic of Tanzania and indeed on my own behalf, our deepest sympathies to you and through you to the families of the bereaved, the People of France and the Government of France.


My Government joins all other peace loving nations in strongly condemning these heinous attacks that claimed hundreds of innocent lives. On this sad moment, we stand in solidarity with you, the Government and the People of France.


 As you mourn the deceased, I wish the bereaved strength and solace throughout this mourning period. I also wish those injured a speedy recovery. Our thoughts and prayers are with you all.


Please accept, Your Excellency, the assurance of my highest consideration”.

  
Issued by: THE MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION, DAR ES SALAAM


14TH NOVEMBER, 2

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi ufunguzi michezo ya shimmuta Arusha

$
0
0


Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan

Na Woinde Shizza,Arusha

Michuano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA), yanatarajia kuanza kutimua vumbi wiki ijayo jijini Arusha kwa kushirikisha Mikoa Yote Tanzania.


Katibu mkuu wa SHIMMUTA Award Safari alisema kuwa hadi sasa tayari mikoa kadhaa imethibitisha ushiriki wao ikiwemo wenyeji wa mashindano hayo Mkoa wa Arusha na Mikoa mingine ni Dar es salaam, Dodoma, Morogoro, Mbeya na Tanga. 

Tukiwa kama kamati tendaji ya SHIMMUTA tulifanya kikao tarehe saba mwezi huu pamoja na wajumbe wa timu shiriki ili kupeana miongozo na taratibu za michezo hasa tukiwa tunaboresha mapungufu yaliyojitokeza mwaka jana mkoani Tanga” alisema Safari. 

Takribani michezo 12 yatafanyika ikiwa pamoja na Mpira wa Miguu, Riadha, kuvuta Kamba, Mpira wa Pete, Vishale, karata, na drafti na karata.


“Kwa mujibu wa katiba, SHIMMUTA  ipo chini ya makamu wa Raisi, hivyo mashindano ya mwaka huu tunatarajia Makamu wa Raisi Samia Suluhu atakuja kufungua mashindano hayo akiwa anachukua nafasi ya Mlezi aliyepita Makamu wa Raisi Mstaafu Mohamed Ghalib Bilal” alisema Safari.


Mashindano ya SHIMMUTA yanatarajia kuanza Novemba 19 hadi Novemba 30 mwaka huu, hivyo timu shiriki zitaanza kuwasili kuanzia tarehe 17 wakati siku inayofuata SHIMMUTA itafanya mkutano na viongozi wa timu zote zitakazofika. 

SHIMMUTA ni moja ya mashirika manne yalioundwa na serikali kwa ajili ya kusimamia michezo makazini ikiwemo SHIMIWI ikiwa chini ya wizara ya kazi, SEMISEMISTA serikali za mitaa na MAJESHI ambalo linasimamiwa na Baraza la michezo la Majeshi.


Idara ya Magonjwa ya Dharura Muhimbili Yafanya Mazoezi ya Kujiandaa na Majanga

$
0
0
Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali (EMD) Imefanya mazoezi kwa ajili ya kupambana na majanga ya dharura mara yanapotokea katika maeneo mbalimbali hapa nchini. 
Mazoezi hayo yamefanyika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) chini ya Kitengo cha Magonjwa ya Dharura na Ajali na kuwahusisha madaktari, wauguzi wa hospitali hiyo na wataalamu kutoka hospitali nyingine. 
 Akizungumza katika zoezi hilo, Mkuu wa Idara hiyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Dharura na Ajali, Dk Juma Athuman Mfinanga amesema lengo la zoezi hilo ni kuiandaa idara na hospitali hiyo ili kukabiliana na majanga pamoja na ajali mara zinapotokea hapa nchini. 
Amesema kuwa katika kipindi cha miaka mitano kumekuwa kukitokea majanga makubwa pamoja na ajali ambazo uzoefu umeonyesha kwamba matukio hayo yanahitaji huduma bora na ambazo zinafanywa kwa wakati ili kuokoa maisha waliokumbwa na ajali hizo. 
Dk Mfinanga amesema kwamba zoezi hilo limefanikiwa vizuri kwa kuwa madaktari na wauguzi walitekeleza wajibu kwa wakati na ubora unaotakiwa kimataifa. 
Mazoezi mengine yamekuwa yakifanyika mara kwa mara kwa lengo la kuboresha huduma katika idara hiyo. Zoezi la leo si la kwanza bali mengine yamewahi kufanyika kwa ufanisi mkubwa.
Baadhi ya "wagonjwa" walioambukizwa magonjwa ya dharura wakiwa nje ya Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali (EMD) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Baadhi ya "wagonjwa" walioambukizwa magonjwa ya dharura wakiwa nje ya Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali (EMD) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Wauguzi wakiwa wamembeba "mgonjwa" kwa ajili ya kupatiwa matibabu leo.
 Dk Juma akizungumza na madaktari na wauguzi baada ya zoezi hilo kukamilika.

Dk Juma (kushoto) na madaktari na wauguzi wakati wa zoezi hilo.

SALAMU ZA RAMBI RAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA GEITA

SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI

$
0
0
SIMU.TV:  Askari mmoja afariki na watatu kujeruhiwa baada ya  gari walilokuwa wakifanyia doria kupinduka Mkoani Singida; https://youtu.be/nonF7IsMrkQ
 SIMU.TV:  Kamati kuu ya CCM pamoja na wabunge wa CCM kukutana kesho mkoani Dodoma ili kumalizia mchakato wa kutafuta spika, https://youtu.be/dDcHPQG7-M4
 SIMU.TV:  Polisi Geita yawakamata watuhumiwa watatu kwa makosa ya uhalifu wa kulipua bomu na kutishia usalama wa raia wakidai fedha; https://youtu.be/RllAKgqu6C4
 SIMU.TV:  Kamati kuu ya CCM pamoja na wabunge wa CCM kukutana kesho mkoani Dodoma ili kumalizia mchakato wa kutafuta spika, http://simu.tv/023GKcv
 SIMU.TV:  Wakazi Mkoani Dodoma wadai kutoridhishwa na bunge lililopita na kuwataka wabunge wapya kuweka maslahi ya wananchi kwanza;https://youtu.be/s4TU69b4Oqc
 SIMU.TV:  Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoani Geita afariki dunia baada ya kukatwa na mapanga na watu wasiofahamika;  https://youtu.be/53uDq4xf84M
 SIMU.TV:  Polisi Geita yawakamata watuhumiwa watatu kwa makosa ya uhalifu wa kulipua bomu na kutishia usalama wa raia wakidai fedha; https://youtu.be/QPErNoFzUiI
 SIMU.TV:  Wanasheria waingilia kati suala la Zanzibar na kuvomba vyombo vinavyohusika kushughulikia  tatizo hilo mapema; https://youtu.be/h5rgJkrSEHU 
 SIMU.TV:  Wananchi watakiwa kujijengea tabia ya kufanya mazoezi ili kuepukana na ugonjwa wa kisukari  ambao umesababisha vifo mil 4.9, https://youtu.be/WNc_m8v9EjY
 SIMU.TV:  Baadhi wa wanajeshi wastaafu mkoani mbeya wameipongeza serikali Kwa kuwasajiri katika mifuko ya hifadhi ya jamii ili kupata matibabu burehttps://youtu.be/2EXnWS1M0fo
 SIMU.TV:  Vijiji vinne wilayani Mheza mkoani Tanga wataanza kunufaika na mradi wa maji ulioanzishwa baada ya kuteseka  kwa muda mrefu: https://youtu.be/QtAa-R_o-Sc
 SIMU.TV:  Mkuu wa mkoa wa Manyara Dkt. Joel Bendera amewaagiza mfuko wa maendeleo ya jamii TASAFU kunusuru kaya maskini: https://youtu.be/hWirL5Pm-r8
 SIMU.TV:  Serikali imeunda kamati maalumu Mererani mkoani  Arusha  kwa ajili ya kutatua matatizo yanayowakabili wachimbaji madini: https://youtu.be/tWpLyP7LOh4

SIMU TV: MECHI YA TAIFA STARS NA ALGERIA

$
0
0

SIMU.TV: Taifa Stars na Algeria wazichapa katika uwanja wa taifa jijini  Dar es salaam ili kufuzu kuwania kombe la dunia;  https://youtu.be/i5DZb0UDAZU
 SIMU.TV Mambo ya Samatta sio ya kitoto  licha ya mpira kuwa wa moto kwelikweli kwa timu zote mbili  za Taifa stars na timu ya Algeria;  https://youtu.be/c6swRxcEjm8
 SIMU.TV Huku ni kukosa bahati kwa mechi ya leo au? Angalia hali ilivyo dimbani kipindi cha kwanza. Hebu toa tathmini yako binafsi ;  https://youtu.be/_9xKvwLCrEg 
 SIMU.TV Mgagaa na upwa hali wali mkavu bwana, baada ya dakika kadhaa za utulivu Tanzania inajipatia goli la kwanza kupitia mchezaji Mwinyi Haji katika dakika ya 43;https://youtu.be/iiH5fEKY1OI 
 SIMU.TV Mbwana Samatta wacha kabisa habari yake, hebu ona alivyokuwa akipiga mpira kwa kujiamini mwishoe aipatia Tanzania goli la 2; https://youtu.be/m2YPwqOU5_4
 SIMU.TV Algeria washambulia mlango wa Tanzania, shambulizi linazaa matunda  na wanailipa Taifa  Stars SARE YA 2-2; https://youtu.be/bwo05uywuhw

AYOUB MZEE'S TRAVEL LOG-Sex violence IN CONFLICT

NAPE AANZA KULIFANYIA KAZI JIMBO LA MTAMA

$
0
0
Mbunge mteule wa Jimbo la Mtama, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape akisaini mkataba wa kupata vifaa vya huduma za afya mbele ya Mwambata wa Siasa wa Ubalozi wa China nchini Tanzania Mis Song Rui katika ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China.

Mbunge Mteule wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye ameanza kazi ya kuwatumikia wakazi wa jimbo hilo baada ya kusaini mkataba maalum na Ubalozi wa China nchini wa kusaidia vifaa vya huduma ya Afya kwa jimbo la Mtama.

 Ikumbukwe katika kampeni zake Nape aliahidi kulifanya jimbo kuwa la mfano kwa kuboresha huduma mbali mbali za kijamii ikiwemo afya na elimu.

Akiongea na mwandishi wa habari hizi Nape alisema " Wakati nimeamua kugombea ubunge nilisema nataka kuwafanyia kazi watu wa Mtama nataka niwe mbunge wa mfano na niliwaahidi nitatatua kero zao mbali mbali na leo nimeanza kwa upande wa huduma za afya ambapo vituo na zahanati kadhaa vitapata vifaa vya matibabu alivitaja baadhi ya vituo ni Mtama, Nyangamala, Chiponda, Namupa, Chiuta,Luo, Nyengedi,Kiwalala na kwengineko."


UTSS sponsors first ever Pan - African Albinism Conference (PAAC) at Julius Nyerere Convention Center November 19 – 22, 2015.

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

$
0
0

Mvua kubwa iliyonyesha kwa saa kadhaa jijini Tanga yasababisha mfereji mkubwa kufurika na kupelekea maji kujaa kwenye makazi ya watu.https://youtu.be/EvPniLrdLSs

Taasisi za kijamii huko Zanzibar ziwashauri viongozi wa kisiasa toka pande mbili za CCM na CUF kukaa pamoja na kutafuta muafaka wa kisiasa.https://youtu.be/CWN7uEmw3YA

Tume ya taifa ya ucahguzi NEC yawataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika maeneo ambayo uchaguzi umepangwa kufanyika nchini.https://youtu.be/xeui81BkzHw

Maadhimisho ya kisukari yafanyika nchini hapo jana huku watu wengi wakijitokeza kupima afya zao na kupatiwa ushauri. https://youtu.be/kxIrs_LXAHM

Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Mtwara walalamikia huduma zinazotolewa katika hospitali ya rufaa ya Ligula Mkoani humo. https://youtu.be/jMXcXpq-eyA

Benki ya damu salama kanda ya kaskazini inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu salama kufuatia ongezeko la mahitaji ya damu mahospitalini hivyo kuhatarisha uhai wa wagonjwa. https://youtu.be/QuyNKM7JCUA

Vyama vya upinzani vyatakiwa kujipanga upya ili viweze kuaminiwa na kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa kuimarisha mifumo ya vyama vyao.https://youtu.be/9Q0bR4oxqQ4

Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa chajikuta njia panda na kukumbwa na sintofahamu baada ya kada wake kutimkia chadema na kupewa ubunge wa vitimaalum. https://youtu.be/xpGJMks731k

Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars waeleza masikitiko yao baada ya kutoka sale ya bao 2 kwa 2 na timu ya Algeria. https://youtu.be/8ePj-jApiyU

Mechi ya kirafiki kati ya Uingereza na Ujerumani imehairishwa kufuatia hofu ya mashambulizi ya kigaidi kama ilivyotokea nchini Ufaransa.https://youtu.be/R0JaDzW7i1I

TEASER JOTO LA ASUBUHI LA 93.7 EFM JUMATATU NOVEMBER 16, 2015

DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO

$
0
0

STAR TV:Pata yaliyojiri mbio za uspika, hali ya kisiasa Zanzibar, na kishindo cha siku 144 za Magufuli kupitia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/Vh5Dy6y_CNA

CH10: Fuatilia uchambuzi wa magazeti ya leo Nov.15 uhabarike na mengi yaliyopewa uzito wa juu na wahariri siku ya leo. https://youtu.be/RMANH4bAVCM

AZAM TV: Ni habari gani zilizopewa uzito katika magazeti ya michenzo nchini hii leo? Jibu liko hapa fuatilia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/a38KbqRSOAo

KUTOKA MAKTABA: May 2014 - SIKU JK alipokagua ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar es salaam DART

Viewing all 110119 articles
Browse latest View live




Latest Images