Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 100 | 101 | (Page 102) | 103 | 104 | .... | 3272 | newer

  0 0


  Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation (left) welcomes Hon. Mari Elka Pangestu, Minister for Tourism and Creative Economy of the Republic of Indonesia who had paid a courtesy visit to Minister Membe, today in Dar es Salaam.  Hon. Pangestu is one of the candidates running for the position of the Director General of the World Trade Organisation (WTO).  

  Hon. Minister Membe (2nd right), Ambassador Celestine Mushy (right), Director of the Department of Multilateral Cooperation in the Ministry welcome Hon. Mari Elka Pangestu (center), Minister for Tourism and Creative Economy of the Republic of Indonesia and Government Officer from the Republic of Indonesia, Mr. Cecep Rukendi (3rd left), Assistant to Minister Pangestu and H.E. Zachary Anshar (1st left), Ambassador of the Republic of Indonesia to the United Republic of Tanzania, during their meeting held earlier today in Dar es Salaam.

  Hon. Membe in a conversation with Hon. Mari Elka Pangestu, Minister for Tourism and Creative Economy of the Republic of Indonesia.   Also in the photo is Ambassador Celestine Mushy (1st Right), Director of the Department of Multilateral Cooperation in the Ministry.  Indonesia is one of the five countries that have passed through the first round of voting in the candidacy battle of the Director General of the World Trade Organisation (WTO).  Other four candidates are from Brazil, Mexico, South Korea and New Zealand. 

  0 0


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuifungua Nyumba ya Walimu Skuli ya Kusini Makunduchi leo, iliyojengwa na Jumuiya ya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,yenye Makao Makuu yake nchini Sweden.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee na Wananchi alipowasili Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja leo, kuifungua Nyumba ya Walimu,iliyojengwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Makunduchi Mzuri kaja,kwa ushirikiano na Jumuiya ya Bus 4 Afrika,ya nchini Sweden.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Mwakilishi wa Jimbo Makunduchi pia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Maalim Haroun Ali Suleiman,baada ya kuifungua Nyumba ya Walimu ya Skuli ya Kusini Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.


  0 0
 • 04/13/13--08:17: Tangazo la msiba.


 • Mdau Adam Nderumaki anatangaza kifo cha baba yake Mzazi kilichotokea usiku wa Jumatano katika Hospitali yay a Taifa Muhimbili. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu  Mzee Bernard Nderumaki Victoria, Kijitonyama.

  Ibada ya kuaga mwili itafanyika nyumbani kwa marehemu siku ya Jumapili saa 8 mchana na mazishi yatafanyika siku ya Jumatatu Kilema Moshi.

  Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, Amen.

  0 0

  Minister for Constitutional and Legal Affairs of the United Republic of Tanzania, Hon. Mathias Chikawe seated with Mr. Nixon Ntimbwa, Director of Constitution and Human Rights at The Attorney Generals Chambers after the launch of the Model Law on Access to Information in Africa.

  The Minister for Constitutional and Legal Affairs of the United Republic of Tanzania, Hon. Mathias Chikawe, has told the African Commission on Human and Peoples’ Rights that Tanzania fully supports the Model Law on Access to Information in Africa that has been prepared by the Commission for the purpose of assisting AU Member States as a guiding tool while enacting Access to Information Law in their countries.

  While giving a statement on behalf of the Member States of the AU during the launch of the Model Law that took place on 12th April during the 53rd Ordinary Session of the Commission that is taking place in Banjul, The Gambia, Hon Chikawe said “The Model Law comes at an opportune moment when most of the African states are contemplating enacting this law in their own countries. It is opportune because transparency, and citizen participation has now become an important part of good governance”.

  Hon Chikawe noted with concern that as of now, there are only 9 African counties namely Angola, Ethiopia, Guinea Conakry, Liberia, Nigeria, Rwanda, South Africa, Uganda, and Zimbabwe that have freedom and access to information laws in place, while Niger and Tunisia have actionable regulations.

  He commended the efforts taken by Commissioner Pansy Tlakula who is the Special Rapporteur on Freedom of Expression and Access to Information for preparing the Model Law which conforms to international standards and that the Model Law adequately covers all the basic tenets of right to access, disclosure, exemptions, classified information etc. and what's most important is that it is user friendly.

  Hon Chikawe told the Commission that although Tanzania does not have the freedom of information law in place, there are Constitutional provisions which guarantee freedom of information to its citizens in general terms. He assured the Commission of Tanzania’s commitment to itself and to the International Community to enact the Access to Information Law in the near future and that Tanzania will be the first one to benefit from the Model Law.

  Hon Chikawe urged other AU Member States who do not have Access to Information Law to use the Model law to eventually enact the same in their own countries.

  0 0

  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC) na viongozi na wadau mbalimbali wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akisaidiana na Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia baada ya kufungua rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akiwa na Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kufungua barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akiwa ameongiozana na Naibu waziri wa wizara ya ujenzi, Mhe Gerson Lwenge (kulia), Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, na mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe Chiku Gallawa (kushoto) Barabara ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti kama kumbukumbu yaq ufunguzi rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Kuhsorto kwake ni Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), na kulia kwake ni Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC) akipanda mti kama kumbukumbu ya uzinduzi rasmi wa barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Kulia ni Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
  Msafara wa Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ukipita juu ya sehemu ya barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki. PICHA NA IKULU

  0 0


   Katika pita pita za Kamera Man wa Globu ya Jamii,leo alikatiza eneo hili la Barabara ya Umoja wa Mataifa ambapo ni njia panda kabisa ya kuelekea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Upanga jijini Dar es Salaam na kuinasa taswira hii ya Mashimo yaliopo katika barabara hiyo,kama ionekanavyo pichani hapa.sasa sijui mashimo haya yapo kwa ajili ya maandalizi ya nini??

  Haikuishia hapo,kwenda mbele kidogo tena hapo ni baada tu ya mataa ya faya kwenye makutano ya Mtaa wa Twiga na Swahili,Kariakoo nako mambo yako namna hii .
   Na hapa ni Mikocheni "A" usoni kabisa mwa Hospitali ya TMJ na Mall ya Mayfar Plaza.

  0 0


  Hon. Mahadhi Juma Maalim (MP), Deputy Minister for Foreign Affairs and International Co-operation earlier today met with Dr. Herminio Mendoza, who paid a courtesy visit to the Hon. Minister's office in Dodoma.  Dr. Mendoza, is one of the candidates from Mexico who is running for the position of the Director General of the World Trade Organisation (WTO) and was previously served as a Minister for Business and Trade Cooperation in the Government of Mexico.  

  Hon. Maalim (3rd right) together with Mr. John M. Haule, Permanent Secretary of the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation in a discussion with Dr. Mendoza, who is running for the candidacy of Director General of the World Trade Organisation.   Right is Ambassador Celestine Mushy, Director of the Department of Multilateral Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs.  


  Ambassador Celestine Mushy (center), in a brief conversation with a candidate from Mexico running for the position of Director General of the WTO, Dr. Herminio Mendoza earlier today in Dodoma.  Mexico is one of the five countries that have passed through the first round of voting in the candidacy battle of the Director General of the WTO.  Other four candidates are from Indonesia, Brazil, South Korea and New Zealand. 

  Ambassador Mushy (2nd left) in a roundtable discussion with Dr. Herminio Mendoza, Mexico candidate running for the Director General position in the World Trade Organisation.  Also in the photo  is Mr. Mohammad Reza Saboor (right), Honorary Consul of Mexico to the United Republic of Tanzania. 

  Ambassador Celestine Mushy (2nd right), Director of the Department of Multilateral Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation in a group photo with Dr. Herminio Mendoza (left), a candidate from Mexico currently running for the Director General position in the World Trade Organisation (WTO) and other delegates from the Mexico Government.   A decision on the next Director General is expected to be announced around 31 May, 2013 while the new Director General is expected to assume his new duties on 1st September, 2013.

  0 0


  0 0  Mheshimiwa Angellah Kairuki (MB), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria akiwa na mwenyeji wake Mhe. Sayid Ashraful Islam, Waziri wa Serikali za Mitaa, Maendeleo Vijijini na Ushirika, (Wizara inayoshughulika na Usajili wa Vizazi naVifo) wakati wa ziara yake nchini Bangladesh kujifunza namna ambavyo nchi hiyo imeweza kufikia asilimia zaidi ya 95 ya usajili wa Vizazi naVifo.  MheshimiwaAngellah Kairuki,  

  Naibu akijibu maswaliyawaandishi wa habari wa Bangladesh


  Mheshimi wa Angellah Kairuki akifafanua jambo kwa Mhe. Hassanul Haq Inu, Waziri wa Habari wa Bangladesh wakati walipokuwa wakisubiri kukutana na waandishi wa habari wa Bangladesh na kueleza madhumuni ya ujumbe wa Tanzania kwenda nchini Bangladesh kujifunza namna ya kuboresha mfumo wa usajili wa vizazi na vifo hadi kufikia asilimia mia moja (100%).  Mhe. Angellah Kairuki akielezwa jambo na Bw. Nazrul Islam, MtendajiMkuu wa Dhaka South City Corporation
  Mhe. Angellah Kairuki akiwa na Sir. Fazle Abed, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa taasisi ya BRAC alipotembeleaMakaoMakuuya BRAC.
  Mhe. Angellah Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wake wa wataalam kutoka Taasisi za RITA, NIDA, TRA, Serikali za Mitaa, e-Government, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Ofisi ya Takwimu,,Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na wenyeji wake.
  0 0

   Mwezeshaji Akifafanua na kutoa uelewa kwa wakinamama washiriki wa mdaharo kuhusu ardhi, hifadhi au maeneo ya pembezoni mwa Mito na kuwataka wanawake watafute ardhi hata kwa kununua.
   Wanawake waliohudhulia mdaharo wa wanawake, wakiandika masomo ya mada wanazojifunza ikiwa ni kwa siku ya tatu.
   Mshiriki kutoka kijiji cha Nghaya wilaya ya Magu akielezea mgogoro wa ardhi na kuvunjiwa nyumba kwa wakazi waishio pembezoni mwa mto Simiyu.
    Kutoka Kushoto, Jane Kapongo, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyehudhuria kusikia na kujibu changamoto mbalimbali za ardhi zinazowakabili Wanawake. Picha zaidi Bofya Hapa
  =========  ======= =======

  Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake Jana uliingia siku ya tatu ambapo mada kuu ilikuwa Haki za Wanawake katika rasilimali za asiliambapo mada ndogo ndogo kama sera ya ardhi na sheria ya ardhi ya kijiji ya Tanzania, umuhimu wa wanawake kumiliki ardhi na rasilimali nyingine pamoja na uwekezaji wa ardhi na madhara yake kwa wanawake zilijadiliwa.

  Mada ndogo nyingine zilikuwa ni pamoja na nafasi ya wanawake katika jamii yenye rasilimali pamoja na wanawake wazalishaji chakula, upatikanaji na umiliki wao wa rasilimali muhimu..

  Jopo la wataalamu wa maswala ya ardhi lilikuwepo kusikiliza na kujibu maswali mbalimbali yaliyojitokeza. Wataalamu hao walikuwa ni Bernard Baha (Mwanaharakati wa maswala ya Ardhi), Victoria Mandari ( Mwanasheria wa kujitegemea), Yifred Miyenzi (Mkurugenzi Haki Ardhi), Juvenile Rwegasira (Mwanasheria kutoka TAWLA, Lilian Loloitai (Afisa kutoka CORDS) pamoja na Enock Kijo (Mwanaharakati wa maswala ya Ardhi)

  Vilevile Jane Kapongo, Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alikuwepo kusikiliza na kujibu baadhi ya changamoto zilizotajwa na wanawake hao.

  Mdahalo wa Kitaifa wa wanawake ni tukio linalofanyika kwa hisani ya mtandao wa jinsia wa asasi za kiraia (CSO Gender Coalition) kuanzia tarehe 10-14 April, 2013 mkoani Dodoma.

  Mdahalo huu umewaleta pamoja wanawake wapatao 300 walioko pembezoni (marginalised) kutoka katika mikoa yote ya Tanzania.

  Tunachukua fursa hii kuwasihi wananchi wote wafuatilie kwa makini mdahalo huu kupitia mitandao ya kijamii na tovuti rasmi iliyozinduliwa na Mhe. Sophia Simba (MB), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.

  Twitter: www.twitter.com/SautiYaMwanamke  #MdahaloWaWanawake
  0 0
 • 04/13/13--20:00: ngoma azipendazo ankal
 • Juma Kakere alitisha na ngoma yake ya 'Safari'

  0 0
 • 04/13/13--20:00: IN LOVING MEMORY
 • THE LATE HELLEN SADIKI MWALUGAJA

  The day has come again,the years we shared have been full of joy,the memories we have made will go on and on,you lit up our lives,our hopes and dreams.Your had special heart ,special charisma,very humble and divine,we can't replace that we will always love you mumy. as we mark this 15th year, We thank you Almighty God for giving us peace and comfort for things we dont understand .

  show us a serving heart mold it into your master plan.Bless our family and grant us serenity,Because of you we have now our own identity

  You will always be remembered as best friend to your sons and daughters,your brothers and sisters and the entire mwalugaja family

  The truth is that those we love are never truly gone.their soul lives forever,so as u mumy

  Missing you mumy
  Psalm 108,,,,,,,
  AMEN

  0 0


  0 0


  CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kinatarajia kushiriki kwenye Mkutano Mkuu wa 76 wa Chama cha Kimataifa cha Waandishi wa Habari za Michezo (AIPS) unaotarajiwa kuanza kesho (Jumatatu) Sochi, Russia.
   
  Mkutano huo wa kawaida wa mwaka ambao utashirikisha viongozi wa zaidi ya vyama vya waandishi wa habari za michezo 100 duniani, mwaka huu utaambatana na uchaguzi mkuu wa AIPS. 

  TASWA katika mkutano huo itawakilishwa na Mwenyekiti wa chama, Juma Pinto na Katibu Mkuu, Amir Mhando ambao wanatarajiwa kuondoka leo alasiri kwa ndege ya Emirates. 

  TASWA ni mwanachama hai wa muda mrefu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Duniani (AIPS) chenye makao yake makuu Lausanne, Uswisi, ndiyo sababu kila mwaka tumekuwa tukishiriki mikutano hiyo kwa awamu mbalimbali za uongozi ukiwemo wa kwetu uliochaguliwa mwaka 2010.

  Mwaka 2011 tulishiriki Mkutano Mkuu wa AIPS uliofanyika Seoul Korea, Korea Kusini na tuliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti, Maulid Kitenge na mimi nikiwa Katibu Msaidizi.

  TASWA pia ilishiriki Mkutano Mkuu wa AIPS uliofanyika Innsbruck, Austria Januari mwaka jana, ambapo Katibu Mkuu, Amir Mhando alihudhuria. Tunaamini hii ni njia mojawapo ya kukutana na wadau mbalimbali kwani AIPS imekuwa ikitoa nafasi za mafunzo kwa wanachama wake na semina za michezo mbalimbali.

  Ujumbe wetu katika mkutano wa mwaka huu ambao utamalizika Ijumaa wiki ijayo ni mkubwa, hivyo tunaamini utakuwa na manufaa kwa chama na waandishi wa habari za michezo kwa ujumla.

  Ahsanteni. 

  George John

  Kaimu Katibu Mkuu, TASWA

  0 0


  Meneja Masoko wa kampuni ya Push Media Mobile, Rugambo Rodney akisisitiza jambo wakati wa utambulisho wa bahati nasibu ya Kigitali Zaidi.
  =====================
  Kampuni  ya Push Media Mobile imetoa ving’amuzi  91 kwa ajili ya kushindaniwa  katika promosheni ya “Kidigitali Zaidi”  ambayo lengo lake kubwa ni kuongeza idadi ya watumiaji wa mfumo wa matangaza ya televisheni ya kidigitali.
  Meneja Masoko wa Push Media Mobile, Rugambo Rodney alisema  kuwa promosheni hiyo itaanza kwanza kwa miezi mitatu ambapo kila siku mshindi mmoja atajishindia king’amuzi.
  Rugambo alisema kuwa ili kushinda king’amuzi  tuma neno “shinda” kwenda namba 15522 na mshindi anaweza kujipatia king’amuzi cha aina ya StarTimes, DiGi Tek au Zuku.
  Alisema kuwa wamesikia kilio cha watanzania kuhusiana na gharama za kupata king’amuzi na wao kuanzisha promosheni hiyo ambayo washindani watapata king’amuzi sawa na ‘bure’ na kuzishukuru kampuni za Global Publishers, Kituo cha televisheni cha DTV, Times FM, Magic FM, Maisha Club na Baakubwa kwa ushirika wao katika kampeni hiyo.
  Kwa mujibu wa Rugambo, promosheni hiyo ni endelevu na lengo lao ni kuona watanzania wanapata haki ya kupata habari kwa njia ya televisheni.
  “Tumejiandaa vilivyo kwa ajili ya promosheni hii, kila siku kumekuwa na kilio cha watanzania kuhusiana na gharama za kupata king’amuzi, wengi hawana na wanakosa taarifa za kila siku ikiwa pamoja na habari za michezo, sanaa, urembo na za kisiasa,” alisema Rugambo.
  Alisema kuwa jumla ya shs  25 millioni zitatumika katika  promosheni hiyo ambapo mshindi wa siku ya 90 atapata king’amuzi na televisheni bapa ‘flat screen’ yenye thamani ya sh. 1 million.

  0 0

   Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro leo, Aprili 14, 2013.
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM, uliofanyika leo Aprili 14, 2013 katika Kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro.

   Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akisalimiana na  Katibu wa NEC Oganaizesheni Mohamed Seif Khatib alipowasili leo eneo la Nane Nane, mjini Morogoro kuanza ziara ya kikazi ya siku nane katika wilaya zote za mkoa huo.PICHA KWA HISANI YA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA NA BASHIR NKOROMO.

  0 0

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mufti wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban Simba, KATIBU Mkuu wa Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Suleman Lolila (wa pili kulia), Kadhi Mkuu Sheikh Abdallah Mnyasi (kulia) na Shehe wa Mkoa wa Dar es salaam Alhaj Alhad (kushoto) wakiomba dua baada ya harambee kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika harambee ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
  Mufti wa Tanzania Sheikh Issa bin Shaaban Simba akimshukuru Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 na Mwenykiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia aliyechangia shilingi milioni mbili kwa ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

  0 0


  0 0   Bw. Kenyatta akiwa watoto kwenye sherehe yao na Juliana iliyofanyika Days Inn Springfield, Massachusetts April 6, 2013 ya kusherehekea Harusi yao iliyofanyika Marykand Ijumaa ya March 1, 2013 na kufanyika sherehe yao ya kwanza usiku huo wa March 1, 2013 College Park, Maryland.
   Ndugu, jamaa na marafiki waliojumuika pamoja kweye sherehe hiyo.
   Mkuu wa wilaya ya Springfield, Isaac Kibodya (wapili toka kushoto) katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
   Mkuu wa wilaya akiwa na mama mwenye nyumba wake (gauni nyeusi) pamoja na ngungu, jamaa na marafiki waliojumuika pamoja na Kenyatta na Juliana.
   Wageni waalikwa wakila rhumba
   Hapa wakiduarika
   Wakiburudika na ngoma ya kiruguru
   mduara ukiendelea
  Wageni waalikwa katika picha ya pamoja (picha kwa hisani ya mkuu wa Wilaya)

  0 0

   Katika ngoma zenye taswira za kitaifa zilizotamba na bado zinatamba ni hii ya 'Tanzania yetu ni nchi ya Furaha iliyotungwa na kuimbwa na mkongwe Stephen Hiza (anayepeana mikono na Rais Jakaya Mrisho Kikwete juzi mjini Tanga) na Zigi saidi ambao hadi leo wanaendeleza libeneke na bendi ya Nyumbani Classic jijini Tanga katika ukumbi wa Classic. Sikiliza ngoma yenyewe hapo chini

older | 1 | .... | 100 | 101 | (Page 102) | 103 | 104 | .... | 3272 | newer