Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110028 articles
Browse latest View live

ngoma azipendazo ankal

$
0
0
Dada Tabia Mwanjelwa anakupa ngoma yake moto ya 'Kilimanjaro song'

Scholarship

$
0
0

Umoja wa Wanawake - Makanisa ya Dar es Salaam (UWAMAKDA), an interdenominational women’s committee of the Umoja wa Makanisa ya Dar es Salaam, is announcing to Tanzanian Women a scholarship for studying a Bachelors of Business Administration at the Presbyterian University of East Africa - Kenya . The scholarship has been graciously offered to UWAMAKDA by the Moderator of the 20th General Assembly of the Presbyterian Church of East Africa whose headquarters are in Nairobi.

Umoja wa Wanawake - Makanisa  ya Dar es salaamincludes all churches and Christian Institutions who are members of or are affiliated to the Tanzania Episcopal Council/TEC/Roman Catholic; Christian Council of Tanzania/CCT and the Pentecostal which include Churches in Tanzania/PCT.

Eligibility Criteria

Age                  :  Must be less than 40 years of age

Gender           :  A Tanzanian woman

Nationality     :  Tanzanian

Required Educational Background

* Division II or higher, Form VI with a science or commercial concentration.

* Division I - Form IV, with a science or commercial concentration.

* An Advanced Diploma or another Bachelor degree will be an added advantage.

*You must be fluent in English, able to read, speak and write English proficiently.

Deadline for applications:  MAY 17, 2013

Please forward your application, a cover letter, updated resume and copies of attained certificates to:

CHAIRLADY

UWAMAKDA;

P.O BOX 6783, DAR ES SALAAM

Those who wish may deliver their applications in person, with same address to the Matron,

YWCA Headquarters opposite St Albans Church in Dar es salaam.


President of Malawi in war of words over Madonna's 'bullying'

WARSHA YA WANAHABARI WA MKOA WA DODOMA KUHUSU UZINDUZI WA MPANGO KAZI WA KUTOKOMEZA UKATILI KWA WATOTO

$
0
0
Bibi Georgina Mtenga kutoka shirika la UNICEF- Tanzania akiwasilisha mada wakati wa warsha kwa waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dodoma kuhusu Uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kutokomeza Ukatili kwa Watoto.
Bw.Erasto Chingo'ro Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Maendeleo ya Jamii, (aliyesimam Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Watoto Bw.Benedict Missani na Kulia ni Georgina Mtenga-UNICEF.
Bibi Rose Minja, Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto akifafanua jambo wakati wa kikao hicho.
Sehemu ya Wanahabari wakifuatilia uwasilishwaji wa mada wakati wa kikao kazi na wanahabari kuhusu Uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kutokomeza Ukatili kwa Watoto.

Plot inauzwa BUNJU A

$
0
0
Plot inauzwa,ipo BUNJU A plot no 74 kina septic tank na Banda kwa mawasiliano zaidi piga simu no 0756573337 Lazaro, 0766316497.

AFRICAN LIFE ASSURANCE RELEASES 2012 RESULTS

$
0
0
African Life Asurance CEO Mr Julius Magabe (right) with Chief Financial Officer Mika Samwel whne announcing 2012 financial statement before journalists at the firm's headquarter in Dar es Salaam.

African Life Assurance, the leading life insurer in Tanzania has published its financial statements for the year 2012 which shows significant growth on all key financial performance parameters. The statements show that for the year 2012, Operating Profit grew by 68% from Tshs. 1.8 billion to Tshs. 3.8 billion, Net Profit grew by 104% from Tshs. 2.57 billion to 5.2 billion. Gross written premiums grew by 29% while total assets grew by 28%.

Speaking to members of the press, African Life’s CEO Julius Magabe said “African Life Assurance places great emphasis in quality excellence in all our operations and the above performance signifies this commitment and the confidence that our stakeholders have in us, to deliver to their expectation and satisfaction”. African Life Assurance now commands a 50% life insurance market share, this increased from 47% market share position in 2011.

African Life Assurance is a specialist life assurance company which is A+ rated by the Global Credit Rating Company. It has also received best presented financial statements awards consecutively from NBAA for the last 3 years. As a member of the Sanlam Group, a large financial services company that operates in Africa, Europe, Asia, Australia and America, African Life Assurance brings to the market global expertise to compliment its local offerings.

Wazazi wanaowakataza watoto wao kwenda shule,wachukuliwe hatua - Mkuu wa Wilaya ya Kilwa

$
0
0
Mkuu wa Wilaya Kilwa,Abdala Ulega akitoa maagizo wakati alipokuwa akizungumza na wazazi,walezi na wadau wa elimu katika shule ya sekondari mibuyuni wilayani humo jana
Baadhi ya Wazazi,Walezi na Wadau wa Elimu waliofika shuleni hapo.

serikali ya wilaya ya kilwa imewataka wazazi na walezi wanaowakataza watoto wao kwenda shule wachukuliwe hatua za sheria ili kukomesha vitendo hivyo.

Agizo hilo limetolewa na mkuu wa wilaya Kilwa Abdala Ulega wakati alipokuwa anazungumza na wazazi walezi na wadau wa elimu wa shule ya sekondari mibuyuni wilayani humo jana.

Ulega alisema kufanya hivyo sio tu kwamba ni kuwa nyanyasa bali pia ni kuwanyima hakiyao ya msingi na urithi wa maisha yao ya baadaye watoto ambao ndiyo tegemeo la taifa.

Watendaji wa tarafa, kata, kijiji wametakiwa kutekeleza agizo hilo kwa kuwachukulia hatua wazazi na walezi aina hiyo.

Alisema kuwa kuwakataza watoto kwenda shule mbali na kuwanyima haki zao vilivile kunakwamisha juhudi za serikali za kukuza elimu.

Ulega alitoa agizo hilo baada ya kupata taarifa kuwa zaidi ya watoto 200 wa shule ya sekondari Mibuyuni hawafiki shuleni kutokana na utoro wa rejareja na kusababisha shule hiyo kuwa na mahudhurio madogo kila siku.

Aidha shule ya sekondari mibuyuni ambayo iko katika wilaya Kilwa Mkoani Lindi ni kati ya shule 10 zilizofanya vibaya katika matokeo ya kitado cha nne mwaka huu.

KAMPUNI YA ALLIANCE ONE KUCHANGIA VIFAA VYA UJENZI NA MADAWATI 497 YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 28 KWA SHULE ZA TABORA, KIGOMA, MARA, KAHAMA NA RUVUMA.

$
0
0


Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One inajiandaa kutoa msaada wa vifaa vya ujenzi na madawati 497 yenye thamani ya shilingi 28,055,000 kwa shule zilizopo Tabora, Kigoma, Kahama na Ruvuma. Hii inatokana na maombi kutoka kwa jamii ya wakulima wa tumbaku katika mikoa hiyo.


Kamati ya miradi ya maendeleo ya Jamii ya Alliance One ilikutana hivi karibuni mjini Morogoro na kuidhinisha msaada huu ikiwa ni sehemu ya namna Alliance inavyojitolea kuwajibika kwa jamii. Mradi huu unalenga kusaidia jamii zilizopo ndani ya maeneo ambayo Alliance One inaendesha shughuli zake. Sera ya kampuni kuwajibika kwa jamii inalenga kusaidia katika nyanza za elimu, afya na kutunza mazingira.


Msaada ambao Alliance one inatoa kwa jamii unaenda sambamba na juhudi za serikali katika kutoa huduma za jamii kwa watu wake.


 “Tunawajibika kwa Tanzania na tunashukuru kwa msaada ambao Serikali imekuwa ikitoa kwa sekta ya tumbaku na tunaamini kwamba tunawajibika kusaidia kupunguza umaskini kwa kuchangia katika elimu, afya na kuhifadhi mazingira,” alisema Mr. Mark Mason, Mkurugenzi wa AOTTL na Mwenyekiti wa CDPC.


Shule ambazo zitafaidika na msaada huu ni Shule ya Msingi Kalunde iliyopo Tabora (madawati 110), Shule ya Msingi Imalauduki (madawati 70), Shule ya St. Francis iliyopo Tabora (mifuko 20 ya mbolea), Shule ya Msingi Mulungu iliyopo Kahama (mabati 50 na mbao 120 za kuezekea darasa moja), Shule ya msingi Lugongoni iliyopo Nguruka, Kigoma (madawati 70), Shule za Msingi Mkongo Gulioni, Mlindimila na Litete zilizopo Songea, Ruvuma (madawati 30 kila moja) na Shule ya Msingi Geitasamoiliyopo Serengeti, Mara (madawati 157).


Alliance One Tobacco Tanzania Ltd (AOTTL) yenye makao makuu yake katika Manispaa ya Morogoro, maeneo ya Kingolwira, ni kampuni tanzu ya Alliance One International (AOI) ya Marekani yenye makao makuu North Carolina. Ni moja kati ya kampuni tatu Tanzania zinazonunua tumbaku na inanunua zaidi ya kilo 35 milioni kutoka katika vyama vya msingi vya ushirika 182 vyenye wanachama wakulima wapatao 39,800 kutoka Tabora, Urambo, Kahama, Manyoni, Iringa, Kasulu, Songea na Mara.


KING CLASS MAWE AJIANDAA KUMKABILI AMOSI MWAMAKULA MEI MOSI

$
0
0
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  (kulia) akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Ally Masaga wakati wa mazoezi anayoendelea kuyafanya katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam.Class anajiandaa na mpambano wake wa mei mosi dhidi ya Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  kulia akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Ibrahimu Toll wakati wa mazoezi anayoendelea kuyafanya katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam.Class anajiandaa na mpambano wake wa mei mosi dhidi ya Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba.
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  kulia akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Abuu Mtambwe wakati wa mazoezi anayoendelea kuyafanya katika kambi ya Ilala Amana CCM Dar es salaam.Class anajiandaa na mpambano wake wa mei mosi dhidi ya Amos Mwamakula utakaopigwa katika ukumbi wa PTA Saba saba.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

KUCHEKA NI AFYA JAMANI! LAKINI KILA AONYESHAE MENO ANACHEKA??

$
0
0

Kuna vicheko vingine eh? 

Wataalamu wa mambo ya afya wanasema kucheka ni afya! sijui kama kweli au lah?
Nchini india kuna  vilabu vya kufanya mazoezi ya kucheka,pia katika  nchi nyingi kuna  wasanii wachekeshaji (Comedy)wanaofanya vituko kuwawezesha wanadamu wengine wacheke,inamaana kucheka ni tiba ya kuondoa fikira mbaya katika nafsi au? na wasanii wetu wa vichekesho nao ni madaktari.

 Lakini tunajiuliza hivi kila anaeonyesha meno anacheka au? kama kamanda Ras Makunja wetu (pichani) juzi juzi alikua studio kupika nyimbo akafumwa akicheka sana sana kiasi ya watu waliokuapo pale walikua wakijiuliza hivi kicheko cha kamanda meno nje! ni kicheko kweli au ? tukae mkao wa kula kusikia ujio wa vitu vipya kwa siku za usoni.
lakini acha tuendelee kupata raha za wikiendi at ffu camp www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com

RAHIM KANGEZI EXCLUSIVE INTERVIEW WITH SWAHILI TV

Mhandisi Baya ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NEMC

$
0
0
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua kwa mara ya pili Mhandisi Bonaventure Baya (pichani) kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Hifadhi na Msimamizi wa Mazingira Nchini (NEMC) .

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Tutubi Mangazeni, Mhandisi Baya atatumikia wadhifa huo kwa kipindi cha miaka mitano.

Pamoja na kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NEMC,Mhandisi Baya pia ni Rais wa kwanza wa Baraza la Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Ardhi na Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Wataalamu wa Mazingira nchini.

Nyadhifa nyingine alizowahi kuzishika kabla ya uteuzi huo ni pamoja na  Mjumbe wa Bodi ya Taasisi ya Huduma ya Misitu na Mjumbe wa Bodi ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH).

Aidha Mhandisi Baya amewahi pia kuwa Mjumbe wa Bodi ya  Wizara ya Kilimo na Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Misitu ya Milima ya Mashariki (TAO).

Uteuzi huo umeanza tangu Oktoba 08 mwaka 2012 ambapo Mhandisi Baya anatarajia kutumikia cheo hicho hadi mwezi  wa kumi  mwaka 2017.

UJUMBE WA TANZANIA WAENDELEA KUKUTANA NA VIONGOZI WA CHINA ILI KUKUZA UTALII WA TANZANIA

$
0
0
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii , Wizara ya Maliasili na Utalii nchini Bw. Ibrahim Mussa (kushoto) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Wizara ya Utalii ya China Bw. Zhu Shanzhong juu ya masuala mbalimbali ya uhusiano baina ya nchi hizi mbili hususan katika sekta ya utalii wa Tanzania katika soko la China.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki (kulia) na Mkurugenzi Msaidizi wa Malikale John Kimaro wakifuatilia mazungumzo hayo kwa umakini.
Balozi wa Tanzania nchini China Philip Marmo (kulia) na Mbunge wa Ngorongoro Mhe. Kaika Telele wakifuatilia mazungumzo baina ya serikali ya Tanzania na China kuhusiana na sekta ya utalii nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi (kushoto) na Kaimu Mhifadhi wa Mamlaka ya Ngorongoro Bruno Kawasange wakifuatilia mazungumzo hayo.
Viongozi wa Serikali ya China wakifuatilia majadiliano.
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahimu Mussa (kushoto) akipokea zawadi maalum ya stempu mbalimbali za China kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Wizara ya Utalii nchini China Zhu Shanzhong mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao.
Mkurugenzi wa Utalii Ibrahimu Mussa na Balozi Philip Marmo wakiwa na Makamu Mwenyekiti wa Wizara ya Utalii ya China Bw. Zhu Shanzhong.Picha zote na mdau Pascal Shelutete, TANAPA.

kibonzo

Tamasha Airtel Yatosha kuhamia chalinze siku ya Kesho Jumamosi na Jumapili

$
0
0
Tamasha la Airtel Yatosha lenye lengo la kutoa elimu juu ya huduma mbalimbali za Airtel ikiwemo huduma mpya ya Airtel Yatosha linalofanyika katika mikoa mbalimbali nchini mwishoni mwa wiki hii litafanyika katika mkoa wa Pwani.

Shangwe za Airtel yatosha litajumuisha wasanii mbalimbali nchini wakiwemo Ney wa Mitego, sir Juma Nature, kikundi cha Tip top connection kikiongozwa na madii, msanii wakizazi kipya Roma Mkatoliki pamoja na burudani nyingi toka kwa wasanii chipukizi na burudani za dansi na acrobatic kutoka katika kikundi cha vinoko.


Tunawakaribisha watanzania na wakazi wa mkoa wa pwani kuhudhuria tamasha ili siku ya Jumamosi na Jumapili ya tarehe 13 na 14 mwenzi wa 4, katika viwanja vya sokoni chalinze, kuanzia saa tatu mpaka saa kumi na mbili jioni.


Kiingilio ni BURE, njoo na kitambulisho chako usajili namba yako na kuunganishwa na huduma poa ya Airtel yatosha na kupata ofa kibao kutoka Airtel.

Airtel itaendelea na burdani hizi za shangwe katika mikoa mingine katika kuitambulisha kwa wateja wake na watanzania huduma ya Airtel Yatosha inayomuwezesha mtumiaji wa mtandao wa Airtel kupiga simu kwenda mitandao yote kwa gharama ya chini kabisa na hivyo kutokuwa na haja tena ya kubadilisha kadi ya simu pindi anapohitaji kuongea na mtu wa mtandao mwingine.

Mteja anajiunga kwenye huduma hii kwa kupiga *149*99#

RAIS KIKWETE AFUNGA SEMINA KWA MAWAZIRI YA UTEKELEZAJI WA MFUMO MPYA WA UTENDAJI SERIKALINI

$
0
0
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifunga semina kwa mawaziri na makatibu wakuu  walioketi na kupanga mikakati ya utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete  tarehe 22 Februari, 2013 na kukamilika Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya uchukuzi.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiweka saini kama wadhamini wa waraka wa  kujifunga katika utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara hizo sita katika   semina elekezi  kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa semina kwa mawaziri na makatibu wakuu  kujadili mikakati ya utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete  tarehe 22 Februari, 2013 na kukamilika Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya uchukuzi.
 Mawaziri wa  Fedha, Kilimo, Uchukuzi, Maji, Nishati na Madini na Elimu wakiweka saini  waraka wa  kujifunga katika utekelezaji wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara sita  hizo sita baada ya  semina elekezi  kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia. Mfumo huu utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Awamu ya kwanza ya labs ilizinduliwa rasmi na Rais Kikwete tarehe 22 Februari, 2013 na kumalizika mwezi huu wa  Aprili, 2013. Maeneo ya awamu ya kwanza ya labs yanahusisha elimu, kilimo, nishati, mapato, maji na miundombinu ya uchukuzi.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiwa na mawaziri na makatibu wakuu wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Performance Management and Delivery Unit (PEMANDU) ya Malaysia Dkt Idris Jala wakti wa kuujadili  mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo uliokabidhiwa kwa wizara hizo sita katika   semina elekezi  kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Mfumo huo unaanza kutekelezwa  kwa kutumia uzoefu wa PEMANDU, ambapo utajumuisha uanzishwaji wa taasisi ya President’s Delivery Bureau (PDB) ambayo itafanya kazi kwa karibu na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Katika mfumo huu, uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) utafanyika ili kuandaa programu za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa benki ya NBC Bw. Lawrence Mafuru akitoa majumuisho ya uchambuzi wa kina wa kimaabara (labs) wa mfumo mpya wa kusimamia utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya miradi ya maendeleo katika   semina elekezi  kwa mawaziri na makatibu wakuu iliyofanyika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.PICHA NA IKULU

Speaker Makinda received the “US Embassy Coin of Excellence”

$
0
0
US Ambassador to Tanzania H.E Alfonso E. Lenhardt presenting “the US Embassy Coin of Excellence” to the Speaker of the National Assembly Hon. Anne Makinda for the recognition of her contributions she had made to the development of the country in a position as a leader. Hon. Makinda she is the first female to become Speaker in Tanzania and she had worked in different position including Cabinet Minister before becoming the Speaker in 2010. The event took place at the Speakers Office in Dodoma when the Ambassador payed a courtesy call to her Office today.
Speaker Makinda discussing with the US Ambassador to Tanzania H.E Alfonso E. Lenhardt when the Ambassador payed a courtesy call to her Office today in Dodoma.
Speaker Makinda admiring "The Embassy Coin of Excellence" .Photos by Owen Mwandumbya, from Bunge

Article 18

MGANGA MKUU WA MKOA WA LINDI AELEZEA CHANGAMOTO YA AFYA YA UZAZI WA MTOTO, BABA NA MAMA

$
0
0
Mganga Mkuu wa mkoa wa Lindi, Dk Sonda Shaaban, akifafanua jambo mbele ya maofisa wa Vodacom Foundation na Taasisi inayojishughulisha na tafiti zinazohusiana na Afya ya Uzazi ya EGPAF, (hawapo pichani), sanjari na kutoa tathmini ya jinsi mkoa huo ulivyojipanga kukabiliana na changamoto ya afya ya Uzazi wa mtoto, baba, na mama kwenye eneo la maambukizi mapya ya VVU toka kwa baba na mama kwenda kwa mtoto. Vodacom Foundation hivi karibuni ilichangia mashine 8 za kisasa 'SMS PRINTER' zenye thamani ya zaidi ya Dola za Marekani elfu 10 ndani ya mkoa huo, katika kuwezesha upatikanaji wa haraka wa majibu ya vipimo vya VVU kwa watoto wachanga.
Afisa Muuguzi wa Hospitali ya mkoa wa Lindi, Zainab Mathradas, (kulia), akimkabidhi mmoja wa wadau wa huduma za afya, ambaye ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon, taarifa ya takwimu na matokeo ya ufanisi wa huduma ya Afya ya Uzazi wa mtoto, baba na mama mkoani Lindi. Wengine wanaoshuhudia ni Maafisa waandamizi kutoka Taasisi inayojishughulisha na Mpango wa Tafiti zinazohusiana na Afya ya Uzazi ya EGPAF. Vodacom Foundation hivi karibuni ilichangia mashine 8 'sms printers' zenye gharama ya zaidi ya Dola Marekani elfu 10 mkoani Lindi, zinazowezesha upatikanaji wa haraka wa majibu ya vipimo vya VVU kwa watoto wachanga.
Mratibu wa Uchunguzi wa VVU kwa Watoto Wachanga kutoka Taasisi Tafiti za maendeleo ya Afya ya Uzazi wa mtoto, baba na mama wa EGPAF, Georgiah Kasori (katikati) akitoa maelekezo ya namna bora ya kutumia mashine za kisasa 'sms printers' zinazowezesha upatikanaji wa haraka wa vipimo vya VVU kwa watoto wa umri wa kati ya mwezi 1 hadi miezi 18 kwenye Zahanati ya 'Town' katika ziara iliyofanywa na Maofisa wa Vodacom Foundation kukagua ufanisi wa mashine hizo mkoani Lindi. Zahanati hiyo ni miongoni mwa Vituo vya Afya vilivyonufaika na mashine hizo takribani 8 zilizotolewa kwa hisani ya Vodacom Foundation.
Mtaalamu wa Maabara ya Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Julius Mwansimba, (kulia) akimuonesha Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon, ufanisi wa mashine 'sms printers' zinazowezesha upatikanaji wa haraka wa majibu ya vipimo vya VVU kwa watoto wachanga ndani ya maabara ya hospitali hiyo jana. Vodacom Foundation chini ya uratibu wa Taasisi inayojishughulisha na Tafiti za Afya ya Uzazi wa mtoto, baba na mama ya EGPAF hivi karibuni ilitoa msaada wa mashine hizo zipatazo 8 mkoani Lindi, zenye thamani ya zaidi ya Dola za Marekani elfu 10
Afisa Muuguzi wa Kituo cha Afya cha 'Town' mkoani Lindi, Faida Ibrahim, kwa kushirikiana na Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon, akimtoa damu mtoto mchanga kupitia kisigino, tayari kwa kuikausha na kuipeleka maabara kuu ya Taifa ya Muhimbili kwa njia ya mashine ya kisasa 'sms printer' ambayo pia katika kipindi kifupi inauwezo wa kupokea majibu ya vipimo hivyo tayari kwa kumkabidhi mzazi. Mashine hizo takribani 8 zenye thamani ya zaidi ya Dola za Marekani elfu 11, zimetolewa mkoani humo na Vodacom Foundation, chini ya uratibu wa Taasisi inayojishughulisha na Mpango wa Tafiti zinazohusiana na Afya ya Uzazi ya EGPAF

UMOJA WA MATAIFA WAZITAKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI KUTOA USHIRIKIANO KWA SOMALIA

$
0
0
Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Masuala ya Kisiasa nchini Somalia Balozi Dr. Augustine Mahiga (Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo ametoa wito kwa nchi za Afrika mashariki kuichukulia Somalia kama taifa lingine lolote na kulipa ushirikiano kwani kwa sasa lina amani na utulivu tofauti na watu walivyokuwa wakilifikiria. Kulia ni Msemaji wa Ofisi ya UN inayoshughulikia suala la Somalia Nick Binback.
Viewing all 110028 articles
Browse latest View live




Latest Images